LAMATA AFUNGUKA SABABU YA MENINA KUTOONEKANA KWENYE JUA KALI/DORA KUINGIA KISIMANI/KUVUNJA DIRISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2022
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    LAMATA AFUNGUKA SABABU YA MENINA KUTO ONEKANA KWENYE JUA KALI/DORA KUINGIA KISIMANI/KUVUNJA DIRISHA
    #Bonatv #Exclusive #Lamata
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 83

  • @santieljohn3765
    @santieljohn3765 2 роки тому +6

    Hongera sana Lamata yaani kwa Tanzania sidhani kama kuna director anakuzidi daaah big up mamii ❤❤

  • @user-bs5to4hk1v
    @user-bs5to4hk1v 4 місяці тому

    Kweli kabisa kwa jinsi ulivyo naupendo uwezi mfanyia hivo mtu big up sana lamatah

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 5 місяців тому

    Lamata nakukubali san wa Tanzania Munaez Kbx🇴🇲🇧🇮✌️✌️🥰

  • @maryamhemed1769
    @maryamhemed1769 2 роки тому +9

    Jamani naipenda sana jua kali hongeren sana

  • @AngelistaKaishozi-kg8kw
    @AngelistaKaishozi-kg8kw Рік тому +1

    Tunakupenda Ukovuzur pia umenifurahisha
    Una Hekima Unavo jibu maswar Yani kwabusala
    Ongera saana naipenda Jua Kali saana

  • @sheilakanege9618
    @sheilakanege9618 2 роки тому +2

    Love you Lamata

  • @rashdamsuya7792
    @rashdamsuya7792 Рік тому

    Lamata hongera dada uko vizuriii.

  • @zenasalum699
    @zenasalum699 2 роки тому +5

    Jua kali mm mwenyew naipenda san 😘

  • @tusaamon3216
    @tusaamon3216 2 роки тому +1

    Safii sanaa yaan

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 роки тому

    I love you lamata

  • @ramlakisuka4178
    @ramlakisuka4178 2 роки тому +2

    Mungu anakuona lamata

  • @Layla_Sulaiman88
    @Layla_Sulaiman88 Рік тому

    Mashallha mko vizuri sana

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому +1

    Safi saana kazi nzuri🔥🔥🔥🔥

  • @zaynabb9051
    @zaynabb9051 2 роки тому +11

    Hongera dada Kwa ujasiri ingekuwa mwingine menina alivyoongea na wewe ungeropoka Ila wewe umenyamaza

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 2 роки тому +1

    Hongera kwakweli.

  • @stevenabraham3165
    @stevenabraham3165 Рік тому +1

    Tunaipenda ila haiishi sasa tumechoka yani 🙌

  • @shabanihamisi2811
    @shabanihamisi2811 Рік тому

    Ww una moyo wako mungu akuweke lamata maisha marefu kwako

  • @JasminKalaghe-fp9ff
    @JasminKalaghe-fp9ff Рік тому

    Dada nakupenda Sana wew nimpambanaje

  • @NuruNgole
    @NuruNgole 11 місяців тому

    Lamata Mungu akukumbuke kwa sadaka yako yakusaidia watu

  • @muniraramadhani1557
    @muniraramadhani1557 2 роки тому +6

    Kwanza jaman jua kali ingetakiwa iwe kuanzia j3 mpak j2...wiki nzima tusipumzike

  • @anetmush1449
    @anetmush1449 2 роки тому +2

    Aunaga kazi mbovu lamata

  • @mariethajoseph6565
    @mariethajoseph6565 2 роки тому +2

    Mama @lamatah nakupenda bure

  • @agnesmajuramangombe986
    @agnesmajuramangombe986 2 роки тому +8

    Lamata utapasuka jamani

  • @ramsonentertainment
    @ramsonentertainment Рік тому

    Nice

  • @adamsaga6700
    @adamsaga6700 2 роки тому +6

    Umuongo sana kwanza kwa unavyo ongea basi unajionesha kuwa ww muongo

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 2 роки тому +6

    Nasisisi tunakupenda saaana da Ramatha jua kali tunaifatilia Burundi 🇧🇮🇧🇮. Mkijihitaji mgine wakucheza usikose kuniita nawapenda saana

    • @sandysshanny224
      @sandysshanny224 2 роки тому +1

      Na mim pia from burundi nampenda sana lamatha

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 2 роки тому +3

    Mhhhh lamata mnene hilo kono sasa

  • @janetmtweve5590
    @janetmtweve5590 Рік тому

    ❤ napenda

  • @officialnaa8470
    @officialnaa8470 2 роки тому +3

    Nasisi tunakupenda sanaaaa piga kazi dada

  • @shekhaabdalla307
    @shekhaabdalla307 2 роки тому

    Jamani bora menina

  • @AgnesYoram-mc5cr
    @AgnesYoram-mc5cr 3 місяці тому

    Yas 🎉

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 2 роки тому +1

    Pore sana. Wabongo

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 роки тому +1

    nakupnda sna bona tz

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 2 роки тому +3

    Huyu dada nampenda sana lamata na kazi zake zote ninzuri sana

  • @fabiolamshana6143
    @fabiolamshana6143 2 роки тому +5

    Maria lazima awepo kwenye kuwakiwa jua awamu hii

  • @judyauma1988
    @judyauma1988 Рік тому +2

    🔥🔥🔥❤️

  • @suzycharzymarcus7315
    @suzycharzymarcus7315 Рік тому

    Lamata we fund

  • @giantdaniel1932
    @giantdaniel1932 Рік тому

    Shikamoo me napenda sana kuigiza nilikuwa napenda sana nipate nafasi ya kuigiza

  • @yusratmmbaga9372
    @yusratmmbaga9372 2 роки тому +1

    Yaani unavyoelezea tu nasisimka

  • @maikowatz3254
    @maikowatz3254 2 роки тому +4

    Huyu mtu ninoma Niko Mpanda katavi nafatiria you2bu

  • @NuruNgole
    @NuruNgole 11 місяців тому

    Hata mimi nimeielewa inanifundisha

  • @joycemlwale5422
    @joycemlwale5422 2 роки тому +1

    Nipe seen niigize mie dada lamata

  • @hilderrichard885
    @hilderrichard885 Рік тому

    Pongezi kwako my dada Lamata si kwa jua hili ila tunaomba uipunguzie maumivu familia ya sofia

  • @naimerenock6221
    @naimerenock6221 2 роки тому +1

    She is qute

  • @JemimaMdota
    @JemimaMdota 3 місяці тому

    Ila naila wa saiv hajawai toa jozi

  • @nacksuma2263
    @nacksuma2263 Рік тому

    Hujafanya vzr wampenda ungemfnyia rohombaya achaunafki

  • @pretty_witney8124
    @pretty_witney8124 2 роки тому +1

    Maria 😁😁

  • @lmpinga
    @lmpinga 2 роки тому +2

    Unene huo unaelekea kubaya

  • @maikowatz3254
    @maikowatz3254 2 роки тому +3

    Huyu naira anafaa Sana kwasasa Tena msmbadirishe

  • @veeJesus
    @veeJesus 2 роки тому +4

    Ulimkosea menina unajitetea

  • @dominalaurencemangi6940
    @dominalaurencemangi6940 Рік тому

    Lamata na mim napenda kuigiza nakupataje jamani

  • @gracemkama8676
    @gracemkama8676 2 роки тому

    Jmn mpumzoshe Anna mpe ndoa ata miez6

  • @user-mo1ui4qm7x
    @user-mo1ui4qm7x 5 місяців тому

    Amri kumi za mungi
    1 .zinaaaa

  • @user-mo1ui4qm7x
    @user-mo1ui4qm7x 5 місяців тому

    Usiwalaze wanawake na wanaume wakafanya wanaekt

  • @salimoman4033
    @salimoman4033 2 роки тому +1

    😊😊🙏🙏🤲🥺❤❤❤

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 2 роки тому +5

    Salehe usijichubue kaka, 🤔🤔

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 2 роки тому +3

    Lamata punguza kula chips mayai

  • @suzycharzymarcus7315
    @suzycharzymarcus7315 Рік тому

    Lamata fund mpaka menina kajfungua mimba ya frank kashidwa kurudi lokeshen

  • @user-ro3ld6xo5z
    @user-ro3ld6xo5z Рік тому

    Nirushieni hiyo yajana tarehe 20 bas mana nachakura nasioni😂

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 Рік тому

    Mkono wa lamata ni sawa na paja langu

  • @gracejohn5223
    @gracejohn5223 2 роки тому +1

    Lamata ashaboko mama yako mbona unafanana nae

  • @anastaziamlungu9871
    @anastaziamlungu9871 2 роки тому +3

    Heeee m nljuaga lamata mwanaume kumbe 🙈

  • @flavourjellmaxofficiel3822
    @flavourjellmaxofficiel3822 2 роки тому +2

    😂😂Diamond platnumz ka furahi sana baada yaku ona hii vidéo jionee nawe apa u furahi pia 👀🎥🎹
    👇👇👇👇👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/6YyHZwCiAxQ/v-deo.html

  • @user-mo1ui4qm7x
    @user-mo1ui4qm7x 5 місяців тому

    Ujue unawazinisha wenzio na wewe pia unazibeba dhambi

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 роки тому +3

    Bado mko nyuma sana kwenye film HAWATUMII viso a vya ukweli wala Bahraini. Wana act studio wana edit. Yani nyie mnafanya vitu ukweli 😂😂😂bado mko nyuma

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому

    Dada lamata HASANTE sana yaani hai walioanza mwanzo wamefaidi