Yammi Afunguka Zuchu na Nandy walivyokutana Studio pamoja, Nilimbembeleza sana Romy Jons Part 1
Вставка
- Опубліковано 19 лют 2024
- Tazamna full interview ya Yammi (Msanii wa Nandy) amefunguka mastori kibao, Zuchu na Nandy walivokutana hivi karibu, alivyokua na Mbosso studio!
Subscribe, Like, Comment & Share - Розваги
My best lovely musician yammi 💕 love you
Sasa unajielezea vizuri safi sana kaza buti usishuke mamii
Lil ommy punguza mapozi..its God not guard
King of interview mvp lilommy
Yammy huyoni wangu🇨🇩✌️✌️✌️
Sauti mashallah ,,yammy
Kwakwel nandy ana kazi hapa tusimseme muacheni tu amsuke vzr tupate kilicho bora zaid😢❤
Yammi🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Yammy and Yummy, very different
Pronunciation the same au vp
Sauti anayo yami anajuwa kucheza mashalwahu msimkatishe taamaa
Nilitamani iendelee
Cute ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Nampenda saana uyu binti
Hivi wameshawai toa colabo na nandy huyu
kwenye interview uyu bint bado sio mzoefu avutii kbsa nand mzoeshe kwenye media tour
Anajibu direkt kile alichoulizwa.... hayo mengine wanayofanya wengine ni nyodo tu wanafanyaga
😢😢😢😢😢 ht cjui nackitika nn
😂😂😂😂
Mbona hujamuuliza Madrasa amefikia wapi?
😂😂😂cijapentaa
Yummy anajilazimisha kuingia anga za Zuchu!!! Huwezi dada
Weh nawe huyo zuchu ana anga zipi mpka aingiliwe😂😂😂😂
@@fadyabajaber9654kilicho hapo ukweli ni zuchu iko kwenye lebel ambayo wana brand, lebel inawekeza pesa kwa wasanii wao, lebel ambayo inajuwa ku promote hizo ni anga ambazo hakunap lebel mbili tz kama Wasafi
Anga zake ni za juu baby
Fuck
😂😂 eti anga za zuchu
Why kila mtu Madrasa??
Madrasa watu uimba sana qaswida wengine uanza mapenzi na muziki hapo
@@kidatokassim7616alafu wanaita mziki haramu 😂😂😂 watu wanafiki daah
Kwa7bu madrasa huwa inasaidia kutampka herufi vizuli na kuna miondoko frani ya sauti kama sika bayat nahawndi ajemi hizi saut ukizijua ukilet kweny mziki wowte iwe taarabu au bongo freva huwa inaleta mziki mzuli na
@@svt3Yammy upo vizuri we unae sema anashina zuchu mbuyu ulianza kama mchicha
@@azizaali687 sikatai ila uwekezeji wa kutoshq unaitaji kwenye mziki,ukifuata interview ya Kill mu masai kwenye interview kasema wazi Nandi msanii wako Amy akienda ku shoot jaribu kumupatia camera nzuri (namnukuu) sasa msanii chini ya lebel anaenda shoot video na camera mbovu uwekezaji gani huo?