DAKIKA 25 ZA ZITTO KABWE MKUTANONI KIGOMA ''MIKOA SABA NI MASKINI, TUTAIZUNGUKIA''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @AgnesMmila
    @AgnesMmila 2 місяці тому +1

    Kazi iendelee CCM oyee

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 2 місяці тому +3

    Ukiangalia comments WaTanzania Elimu ndogo sana unasema Zitto hajaifanyia kitu Kigoma wakati kila siku walikua wanaibua Madudu Bungeni kingine Serikali kama hawaja toa pesa kwa ajili ya Kigoma Je zitto akaibe alete tatizo liko kwa watawala

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 5 днів тому

    Kweli jitahidini muwekeni Mungu mbele tuombe Mungu atuokoe na hii serikali

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 5 днів тому

    Mheshimiwa zito umeongeza pointi kubwa sana kweli Mungu atusaidie chama cheti Cha act wazalendo kishike Dola

  • @athumanitanuke6795
    @athumanitanuke6795 2 місяці тому +3

    Yan CCM ni Adui mkubwa tena tuichukie kabisa haifa, mitozo kila siku, umeme tozo juu, sim tozo, miamala ya sim tozo, bank tozo, mafuta juu,
    Tanzania hii imejaa
    Madini
    Gas
    Mafuta
    Bandar
    Bahari
    Maziwa
    Milima
    Mbuga za wanyama
    Mikopo kila siku
    Lakin yote hayo yanaliwa na wachache

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 місяці тому

      Fanya kazi Acha uvivu,usitegemee hotuba za wanasiasa kuilalamikia ccm.

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 2 місяці тому +3

    Act wamelala sana tena sana waachie chadema

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 2 місяці тому

      Tunakiachiaje chama cha mtu mmoja.Watu makini na wasomi wote wamekikimbia Chadema akiwemo Profesa Baregu,Profesa Kitila,Dr Zito kabwe,Mchungaji Msigwa.Hawa watu ndio watu makini zaidi na wasomi zaidi kuliko wote waliopo pale Chadema.Sababu iliyowafanya waondoke ni moja tu MBOWE MBINAFI anakifanya chama chake mali yake chadema si taasisi ni mali ya mtu mmoja.Tunakichaguwaje chama hicho?Baki na ujinga wako.

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 2 місяці тому +1

    Upo sawa mwami

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 місяці тому +2

    Anajua kuongea san uyu, ila wanakupenda kigoma lkn ndo hivo tena ccm wameshachukua nafasi

  • @Awadhi-t2z
    @Awadhi-t2z Місяць тому

    Bora ACT chadema kazi vurugu tu hatupewi sera

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 2 місяці тому +2

    Chama kinakubalika sana kuliko chadema saiv

  • @SHABANI-t4j
    @SHABANI-t4j 11 днів тому

    Vizur xana

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 2 місяці тому

    Yaani inafikirisha sanaaaa

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 5 днів тому

    C c m wamejisahau sana embu wakae pembeni kwanza miaka 25 waone uchungu

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 2 місяці тому

    Mwami unayo kura yangu Kigoma Mjini

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 2 місяці тому

    Nilidhani unazungumzia mbegu ya mapapai kumbe unazungumzia mbegu ya mapambano😅

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 місяці тому

    Toa mifano ya hapa Africa, mnaona wazi kabisa kwani ukilinganisha na nchi za kiafrika sisi tuko vizuri sana. Future ya Tanzania ni nzuri sana, hiyo Iko wazi kwa mtu anayefahamu uchumi. Hiyo mikoa imeshafunguliwa na mabadiliko yanakuja kwa haraka.

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 5 днів тому

    Kwa miaka hii hauwezi kupata hata shamba la kulima utaambiwa maliasili

  • @SethMwakangata
    @SethMwakangata 2 місяці тому +2

    SIASA NI TAABU TUPU TU,WOTE NI KULA TU ACHENI WANANCHI WAFANYE KAZI JAMANI

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 місяці тому

      Sawa kabisa,wanasiasa wanawatia watu uvivu kwa kuwapotezea muda majukwaani wakilalamika na kuwahadaa watu kuwa wakiwachagua maisha yatakuwa bora.
      Siwaamini hawa bali ninachoamini ni kupambana kivyangu

  • @jaropthebilldone1652
    @jaropthebilldone1652 2 місяці тому

    ACT juuu ccm hapishe hatuoni mabadiliko wizi tu

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 2 місяці тому

    Siasa imeiharibu Kigoma,kila mtu ni mwanasiasa
    Wanasiasa mnawafanya watu wawe wavivu kwa kuwaaminisha kuwa umasikini wao unatokana na CCM badala ya kuwahimiza wafanye kazi.Mnatumia muda mwingi majukwaani kuwalalamikia ccm badala ya kuwapa elimu ya namna ya kujikwamua kimaisha.I hate ccm,I hate all politicians.

  • @laurentdyanko5497
    @laurentdyanko5497 2 місяці тому +1

    Miaka 10 kigoma kaskazini ulifanya nini.

  • @MwitaTv
    @MwitaTv 2 місяці тому

    Wewe Mdhaifu sana Zitto

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 2 місяці тому

      ZITO ni mdhaifu sana kuliko MBOWE?Duu inaonekana wewe umekufa.Watu makini wote wamekikimbia Chadema kwa. sababu ya udhaifu na ubinafsi wa Mbowe wasomi makini wamemuachia mbowe aendelee kungsngania uenyekiti na kukifanya chama ni NGO yake binafsi ya kupigia hela.Umeona wapi wewe mchaga kuwa mwanasiasa?Wasomi wamemuachia chama chake kama Profesa Baregu,Profesa Safari,Profesa kitila,Dr Zito kabwe,Mchungaji Msigwa na Peniza na wengi wengineo.Ondoka hapo sipo usijizime data.

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 2 місяці тому

    Kwani Vietnam kuna Singeli

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 2 місяці тому +1

    Reporter Punguza Maneno Lete habari Milad Ayo Tv hainaga Rongo rongo

  • @Richiewakitaa
    @Richiewakitaa Місяць тому

    Gombea urais mzee

  • @xaveryngonyani-nb1nx
    @xaveryngonyani-nb1nx 2 місяці тому

    SEMA zitoo nakukubali sana

  • @reubenmhagama8164
    @reubenmhagama8164 2 місяці тому

    Et wanaita wanaitwa ccm b ivi ni kweli?

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 2 місяці тому

    CCM B

  • @AshaMwamba-g3l
    @AshaMwamba-g3l 2 місяці тому

    Anachukiwa ubungee

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому

    Hilo Jimbo la kwanza limekwenda upinzani utake usitake

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 місяці тому +1

    Zito ni kiongozi mzuri sana,isipokuwa...........

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 2 місяці тому

    Chadema haita chukuwa inchi kw sera gani ruzuku wamepata mpaka leo hawana hata jengo wwbunge wa chadema walikuwa wanachangia kwa ajili ya maendeleo lakini hakuna maendeleo chademaa je wakipewa nchi si tutakuwa maskini mara,4 ya ccm bora act inajitahidi kimeendeleo

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 2 місяці тому +1

      Wewe utakuwa na govi siyo bure maana siyo kwa utahira huo

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 2 місяці тому

      Uko sahihi kaka

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 2 місяці тому

      WEWE UNAMWA NA UDINI, POLE SANA!!! USISAHAU KUWA UDINI NI DHAMBI MBAYA.

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 2 місяці тому

      @@erickmsigala138 acha matus eleza au towa hoja za msingi kwa matusi ya wanachedema ndo hamtachukuwa nchi mtasema mpaka mbadilike na mjazba nani atawapa kura bura tuwape udp

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa Місяць тому

      @@erickmsigala138 hata ww ulikuwa nalo ndo ukakatwa mawazo Yako na ufaham wako haulingani watu wengi hushabikia tu bilabkufatilia kwa mfano upinzani unasema tunataka katiba mpya hii tuliyo nayo tuiache halafu tutunge nyingine ni maneno mengine? Au tuboreshe katiba hapa usahihi ni upi ww unayependa bila kufutiye unafaata bendera na ndo wengi tokohivyo tujifunze kufatilia chama hikina jengo na ruzuku kinapata kinapeleke wapi?

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 місяці тому

    Hakuna mwanasiasa kama tundu lissu kwa kuteka hisia za watazamaji na wasikilizajis
    Pia zitto yupo vzr

  • @landomalekano6570
    @landomalekano6570 2 місяці тому

    Kabwe

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 місяці тому

    Napenda vyama vyote vya upinzan

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 2 місяці тому

      Uko vizuri lakini sasa mkombozi aliyejipambambanua no CHADEMA PEKEE!!!

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 2 місяці тому

    Nikwel upo sahihi san

  • @IsmailiIsmaili-ec7pt
    @IsmailiIsmaili-ec7pt 2 місяці тому

    Ongea zitto tunakupenda

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 2 місяці тому

    Nikwel upo sahihi san