Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
🔴LIVE: BALAA LA MAPOKEZI YA YANGA MKURANGA/MASHABIKI WAFURIKA KAMA NYUKI/ALLY KAMWE ANAKIJIJI CHAKE
Вставка
- Опубліковано 14 лип 2024
- Klabu ya Yanga Leo Julai 15,2024 imefungua rasmi hamasa kuelekea Wiki ya Mwananchi ambapo Mashabiki wa Yanga wamejetikoze kwa wingi kuunga Mkono Jitihada za Uongozi kuelekea Kilele cha Wiki hiyo
Nashukuru yanga mnajua kuyakuza mambo hongera semaji letu prince cleotus ki pacamwe unaupiga mwingi sana Mungu akubariki na aibariki YANGA yetu BINGWA teinaaa
Mashaallah Alhamndulilah nakuomba M/Mungu tujaalie neema na mafanikio Inshaallah
Ali kamwe safi sana naona uanawatuliza walizi wasije kusukuma wananchi💛💚💚💚
Yanga hutanaga jambo dogo💚💚💚💚
Duh Yanga mna sifa sana😅
Yanga hatunaga Jambo dogo naomba mashabiki tutengeneze benders za yanga zakutosha ata uwanjani uwa tunakuwaga hatuna benders zakutosha
Nikajua wote wamevaa jezi ya yanga kumbe wengine wamevaa gwanda za ccm
Wakumbushe wananchi walipie kadi zao. Hilo ni muhimu sana ili furaha iendelee
Yanga kiboko haiwezekani
Tunaomba na Iringa mje
Siyo ulanga, ni maulana.
Mje iringa tujiandikishe