CAF WAIPA YANGA RUHUSA YA UFUNGUZI/VITAL O WANAKAZI KUBWA JUMAMOSI/ALLY KAMWE AHUTUBIA TAIFA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Meneja Habari na Mawasiliani wa Yanga Ally Kamwe amezungumza na Wanahabari kuhusu Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao Yanga watakuwa Nyumbani dhidi ya Vital O Jumamosi kwenye Dimba la Mkapa.
    Aidha ameeleza kuwa Mechi hiyo ni maalum kwaajili ya ufunguzi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Msimu huu ambapo CAF wameidhinisha Yanga walifanye hilo.

КОМЕНТАРІ • 67