NONGWA ZA MSIMU (EP 02) | Mashabiki wacharuana ishu ya wachezaji kuuza mechi na kiwango cha Feitoto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 78

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 6 місяців тому +3

    miraji nakuelewa sana we ni shabik ata kama ujawai maybe kusomea uchambuzi ila kuna wachambuzi unawazidi wengi hapa bongo chukua maua🎉🎉 yako

  • @AllyPamba-o2w
    @AllyPamba-o2w 6 місяців тому +1

    Daaah Mashabiki wayanga Mbona Wapombalisana na soccer Wanaongeasana Kimapenzi ya team yao.

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 6 місяців тому

    Huyo baba mtangazaji anafurahisha sana anavouliza maswali

  • @MoshiMrisho-e6m
    @MoshiMrisho-e6m 6 місяців тому +1

    😂😂mashabiki wa yanga 😂😂daah akiliamnakabisa pole alafu mpira amjui kabisa

  • @saidjuma-j3r
    @saidjuma-j3r 6 місяців тому +1

    Feisal mtu jamaniii Oooh😂😂😂😂😂😂

  • @PaulMuasya-z8c
    @PaulMuasya-z8c 6 місяців тому +1

    Timu nzuri hii

  • @osimtawa5392
    @osimtawa5392 6 місяців тому +2

    Mzeee said 😅😅😅😅😅😅

  • @johnurio9151
    @johnurio9151 6 місяців тому +7

    Miraji huwa nakukubali sana ila Kuna kipindi unashindwa kuwa mkweli, mechi ya Yanga na Simba ni wazi Simba walizidiwa

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 6 місяців тому +2

      Achana nao, nyakati zimebadilikia ila wao wanaishi nyakati zilizopita.

  • @kazembeally1619
    @kazembeally1619 6 місяців тому +5

    Mpira ni namba kama utazikataa namba bas mtakuwa mnapiga kelele.position ya namba kumi kazidiwa namba 8 bado ajawai kifikiwa namba ya mudathiri.

  • @ZakariaSimon-gp1gr
    @ZakariaSimon-gp1gr 6 місяців тому +3

    Wanauza mech wachezaji tena

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 6 місяців тому

    Naipenda sana Yanga ila tshabalala Bora kuliko kibabage

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 6 місяців тому

    Feitoto akienda yanga anacheza pia Simba anacheza Azam anacheza kila tim hapa mpeni 🥀🥀yake acheni chuki utoporooooo

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 6 місяців тому +2

    Kwa anayejua ball, ata madrid asa hivi akija akiambiwa achague kati ya fei na ki ataenda kwa ki tu😅

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 6 місяців тому +3

    Shida ya mashabiki wa yanga huwa si waelewa kisoka.

  • @chiddmullo3241
    @chiddmullo3241 6 місяців тому

    Oya milaji salut Sanaa kaka

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 6 місяців тому

    Huyo wa Azam bwege kweli

  • @WilfredSaidi-st3tn
    @WilfredSaidi-st3tn 6 місяців тому

    2nataka part3 dodi🎉🎉

  • @MoiseMishenyimateranya
    @MoiseMishenyimateranya 6 місяців тому +1

    Mada nizuri Saana kabisa fei Toto nimuzuri

  • @sajigwelunogelominga2446
    @sajigwelunogelominga2446 6 місяців тому +2

    Mzee Chembela kaongea ukweli mtupu,huyo Gody na wenzeke wanaleta ushabiki

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 6 місяців тому +2

    Swali la yanga kajibu vizuri miraji kuliko wenye yanga yao.😂

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 6 місяців тому +1

    Kipindi kizuri sana hichi. Siku moja nitakuja nina mambo mengi sana ya kuongea.

  • @EliaTish
    @EliaTish 6 місяців тому +1

    noma sana

  • @ToshNester
    @ToshNester 6 місяців тому +1

    Hiki kipindi kizuri sana.

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 6 місяців тому +1

    Siunaona kabisa mchezaji anasema mwenyewe aliambiwa asifunge ili asajiliwe.

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 6 місяців тому +7

    Kweli nimeamin utopolo wenye akili ni wawili angalia Apo wote mzeee chembela pekee ndo anaelewa mpira hao wengne ni vilaza kabsa

    • @asmaSheha
      @asmaSheha 6 місяців тому +5

      Angalau ss utopolo wenye akili wawili nyie makolo nyote nimambumbumbu

    • @abelimaganga417
      @abelimaganga417 6 місяців тому +1

      @@asmaSheha unaujua mpira wew au unabwabwaja tu kama umewekewa msumari wa Moto kwenye tako

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 6 місяців тому

      Acha matusi​@@abelimaganga417

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 6 місяців тому

      god bwege tuu kaona simba

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 6 місяців тому +2

    Nakusikilizaga sana Miraji ila leo umepuyanga mzee. Rushwa ngumu sana kwa mpira wa sasa. Mchawi wa Simba ni Simba wenyewe

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 6 місяців тому

      Rushwa ipo popote wewe mpira wa bongo asa mechi hizi kubwa Rushwa tupu

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 6 місяців тому +1

    Fei anacheza mana alikua anakueka nnje azizik

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 6 місяців тому +1

    Ni kuzidiwa tu kimchezo hakuna rushwa yeyote kwanza ushindi kwa mchezaji ni raha. ila kushawishi kumpa pesa ili ahame mchezaji ili ahamie tim nyingine inawezekana,

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 6 місяців тому +2

    Hii Team Uwaga Nahikubali Kinoma Yanii🎉❤🎉🇹🇿

  • @NgombaleNgombale
    @NgombaleNgombale 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂 kimeumana

  • @HamisiUliza
    @HamisiUliza 6 місяців тому

    Mm yanga ila god mpla ajui kbs daah

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 6 місяців тому +2

    Mgosi alikamatwa na pesa kutaka kuhonga mtibwa na alifungiwa

  • @hassankumba6938
    @hassankumba6938 6 місяців тому

    Rushes si lazima iwe fedha. Unaweza kuwa Zawadi au taktıma ya namna moja au nyingine.

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 6 місяців тому +1

    😂😂😂😂tungoje kidg tutasikia uyo mama Azam wamempa nyumba kisa kumuongelea fei tungoje miez 2 tu

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 6 місяців тому

    Milaji upo sahihi enjinia anasehemu zake nabaka sehemu yake,siyo enjinia enjinia enjinia wapi wewewewe,wengine kama hamuwezi kujibu kaa kimyaaaaa! halafu huyo enjinia amemaliza kesi ya wachezaji bado wazee 🤣🤣 mwambie awalipe!mnadaiwa unasema enjinia enjinia 🤣

  • @Emerson99-o6l
    @Emerson99-o6l 6 місяців тому

    Huu ni uongoo mbona Kuna mwaka yanga alichukua point nne kwetu simba na nyuma mwiko ajachukua ubingwa😂😂😂

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 6 місяців тому +1

    Fei ni kiraka watu hawaelewi Azizi sio kiraka

    • @mussahamad404
      @mussahamad404 6 місяців тому

      Fei anadharauliw kwasababu hana passport ya nje

    • @HassanRamadhanPashua
      @HassanRamadhanPashua 6 місяців тому

      @@mussahamad404 passport ya nnje ni ipi hio

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 6 місяців тому +1

    ww dodi mwendesha kipindi na waongozwaji wote isipokuwa miraji na dosi ni wanafiki na wapuuz sana hakuna mwanamichezo hapo wala mpira hawajui

  • @jumaiddy441
    @jumaiddy441 6 місяців тому +1

    Hawa wapuuzi hata chama walisema hana namba yanga leo imekua sherehe na lazima atacheza

  • @ramadhanrashidmthailand9553
    @ramadhanrashidmthailand9553 6 місяців тому +1

    Huyo gody anaonekana hajui kabisa mpira anachojua yeye ni yangatu maana hata kwenye ukweli anabisha

    • @HamisiUliza
      @HamisiUliza 6 місяців тому

      Mm yanga ila uy God mpl aujui

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 6 місяців тому +1

    Inamana akuna shabikiyeyote wa yanga ambae anaweza akamkubali FEI.

  • @ManenoMshauri
    @ManenoMshauri 6 місяців тому +1

    Uyo anaongelea uxhabiki

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 6 місяців тому

      Nani anaeongelea ushabiki zaidi ya huyo godi yanga

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 6 місяців тому +1

    Asiwazingue kwani wskubwa wa wanafumgwa je jela mishahara yao kiasi gani

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 6 місяців тому

    Alosema hakuna rushwa kumbuka kweli,na yawezekana huyo ndiye mhusika mkubwa anaficha makucha,
    Jibu rushwa ipo na mpaka kwa marefa,hiyo imeisha sema sasa mdhibiti hiyo tabia chafu

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya 6 місяців тому

    Aiseeee yanga hakuna akili jamn yaan mnabisha hadi kwa fei dubbhh yanga chuki zimewajaaaa

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 6 місяців тому +2

    Apo anayejua mpira ni miraji tu wengne wanapiga kelele tu mpeni miraj Mike Apo awafundishe mpira

    • @bone102
      @bone102 6 місяців тому

      Yanga wengi wanaonyesha hawajui mpira

    • @abelimaganga417
      @abelimaganga417 6 місяців тому

      @@bone102 kabsa hawajui kazi kubisha tu

  • @jumaiddy441
    @jumaiddy441 6 місяців тому +1

    Huyu utopolo mbona kiherehere sana haitwa kanyanyuka hamuoni mwenzake miraji japo kashika mic lakini katulia tuli

  • @leeobite2507
    @leeobite2507 6 місяців тому

    CJamuona mikoi kisugu hApo

  • @bone102
    @bone102 6 місяців тому

    Yanga wabadilike aisee yaani wakiona mchezaji katoka kwao lazima wamshushe viwango Mayele walimponda sana na matusi juu ila cha ajabu leo Mayele ndio topscorer ligi bora kuliko ligi ya Tz Yanga weng hawajui mpira wao ni kuisifia timu yao ndo maana timu yao ikiboronga wanavamia had nyumba za viongozi huu ni ujinga

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 6 місяців тому +1

      Hakuna mtu anadhushwa kiwango, kwa Mikson, Chama na Sakho walishushwa viwango walipoenda nje?

  • @kaizerabilahi5958
    @kaizerabilahi5958 6 місяців тому

    Uto muna mkataa fei kisa hayupo kwenu ila angekuwepo mungemsifia tu

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 6 місяців тому +1

    😂😂😂

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 6 місяців тому

    Utopolo akilizao bhna Pascal msindo ana cheza yanga ana mtoa kibabage zimbwe anacheza, kibu d anacheza yule max amtoi kibu

    • @bone102
      @bone102 6 місяців тому

      Yanga weng hawajui mpira wanapenda kusifia Timu badala ya kuongea mpira ushabiki maandaz sana

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 6 місяців тому

      ​@@bone102sawa nyie mna wachezaji wengi wazuri

  • @drallan6879
    @drallan6879 6 місяців тому

    waulizeni yanga kuhusu rushwa;huko majaliws penati ilitolewa njee ya kumi na nane

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 6 місяців тому +1

    Xavi mtupu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 6 місяців тому +1

    Unawatee Kwa sababu ww niyanga

  • @BibeLunangela
    @BibeLunangela 6 місяців тому +1

    Hakuna rushwa niku zidiwa

  • @saidabdul832
    @saidabdul832 6 місяців тому

    Eti huyu ni mwalimu kajaaa chuki

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 6 місяців тому

    Polisi wanalipwa shilingi ngapi waambie trafki wote hawategemei mshahara

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 6 місяців тому

    Rushwa hipo kilaseemu chukulia mfano wa YANGA na IHEFU kabla ya wao kuchangia mzamini nabaada ya wao kuchangia mzamini ndo utapata majibu nasio IHEFUTU chukuamechizote za timu kabla awajachangia uzamini nabaada yakuchangia uzamini mechizao zilikuweje nabaada yawao kuchangia uzamini mechizao zinakuweje utapata majibu yakwamba rushwa hipo ao ahipo.

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 6 місяців тому +1

    Rushwa hipo kilaseemu chukulia mfano wa YANGA na IHEFU kabla ya wao kuchangia mzamini nabaada ya wao kuchangia mzamini ndo utapata majibu nasio IHEFUTU chukuamechizote za timu kabla awajachangia uzamini nabaada yakuchangia uzamini mechizao zilikuweje nabaada yawao kuchangia uzamini mechizao zinakuweje utapata majibu yakwamba rushwa hipo ao ahipo.