Nzuri kwa muonekano ila supu inatakiwa iwe simple and clear and not too much viungo inaonekama kama mchuzi wa nyama au mchemsho wa nyama lazima utofatishe mpenzi.
Ma shaa Allah ungerahisisha mwanzo usafi wa nyama na kukatwa ndio uhifadhi kwenye friza ukitaka kupika unabadika na kutia viungo inayayuka ikiwa kwenye moto..supu nzuri sana.
Umepika vizuri sizani kama ni ukale kama kwenye comment watu wanavyosema ,,, that is creativeness big up watu wamekalili supu isiyo na hoho wala viungo lkn sasa hivi ni digital life ,,, big up u are creative
Kwa kuwasaidia supu ya mboga mboga inawekwa ----------- Vitunguu saumu Vitunguu maji Tangawizi Karoti Hhoho Iliki Giligilani Na kingine unachopenda, kwa hiyo utasema sio supu? Watu waache kukariri wajifunze Kama hawwajui
Weweweee hata Kama nyama imelala kwenye friza hakikisha umeitoa mapema imeyeyuka Kishan OSHA nyama moja baada ya nyingine eeeeee Yani unatoa Kisha waipika na dam, mibarafu duuuuu ,,,,, ni mtazamo wangu bibie wala usijali mpenzi❤❤❤
Nzuri kwa muonekano ila supu inatakiwa iwe simple and clear and not too much viungo inaonekama kama mchuzi wa nyama au mchemsho wa nyama lazima utofatishe mpenzi.
Wew nae ushazoea michuzi hujui hiyo ndo supu nzito 😅🔥🔥🔥
Safi sana kazi nzuri nimeipenda
Waooo! Nimeyapenda mapishi yako dear hongera sana
Lazima nijaribu look delicious
Hapa Nairobi tunaiita "tumbukiza"... But yako ni advanced yani imeenda shule. Good stuff😋😋😋
Wow Asante maana nilikuwa sijui kupika supu jamni but Leo nimejifunza
Hongera dada kwa kazi nzuri wanawake wengi kizazi hiki hawajui kupika mpo wachache xana
Yakaa tamu sana... Will try it out
Supu nzuri dada I like them
Waoooo nimeipenda sana iyo jaman
Oh my yummy yummy 😋😋😋😋😋 keep inspiring us 💯...Good work.already subscribed.
Ahsante sana kwa maelezo mazuri
Yummy Yummy ❤❤❤❤❤
Safi sana maana wengine wanachemsha maji na chumvi alafu wanaita supu Asante Kwa nyongeza
Upo vizuri mpendwa
I like it hongera dada
Looks yummy loving it❤️❤️❤️👌
❤❤
Maashallah
Looks appetising. Well done
Nice one 😊
Like my friend
Masha allah
hongera sana my
Napenda sana mapishi
Nice nyau
Yummy
Woooo nyam nyam
Hongera kwa supu tamu dada
Iko good nimependa
Hongera
Hongera dada nimekupenda mapishi mazuri
I miss Supu men...
Dar hatari sana nimependa saaana mapishi hayo yummyum
Ma shaa Allah ungerahisisha mwanzo usafi wa nyama na kukatwa ndio uhifadhi kwenye friza ukitaka kupika unabadika na kutia viungo inayayuka ikiwa kwenye moto..supu nzuri sana.
Umepika vizuri sizani kama ni ukale kama kwenye comment watu wanavyosema ,,, that is creativeness big up watu wamekalili supu isiyo na hoho wala viungo lkn sasa hivi ni digital life ,,, big up u are creative
Kabisa ,wamekariri supu ,maji mengi kama kioo ujione humo
Washamba kabisa ndugu, hebu waulize supu ya mboga mboga inawekwa nini na nini,
Kwa kuwasaidia supu ya mboga mboga inawekwa -----------
Vitunguu saumu
Vitunguu maji
Tangawizi
Karoti
Hhoho
Iliki
Giligilani
Na kingine unachopenda, kwa hiyo utasema sio supu? Watu waache kukariri wajifunze Kama hawwajui
umenenaaa mwaaaa
Upo vizuri
Muonekano iko nzuri San 🔥
Jamani wabongo mmegoma 🙌😂😂😂😂 jmn embu jaribuni kujifunza vitu vipyaaaa
Mchemsho safi sana 😋
Weweweee hata Kama nyama imelala kwenye friza hakikisha umeitoa mapema imeyeyuka Kishan OSHA nyama moja baada ya nyingine eeeeee Yani unatoa Kisha waipika na dam, mibarafu duuuuu ,,,,, ni mtazamo wangu bibie wala usijali mpenzi❤❤❤
Uenda kabla hajaiweka kwenye frizer aliishaisafisha vizuri
nice
Mpishi umenona 😋
😋
Thanks
😋😋😋😋😋
Wow❤❤❤❤❤
❤️
Nice
Asante mama
Nicee
Wawooo nimeipenda hy
Your welcomeee
Tamu sana
Asante.. Hiyo sio hoho..Bali ni pili pili mboga!
Hongera mamy wanawake wa leo jiko lao tiktok
❤❤
Itakuwa nzito sana viungo vimezid
Nimeenda mpendwa asante kwamaelekezo
Nimeipenda xna
Hadi iliki jaman🤔
Ahsante sana mumy
Safi nimeipenda hiyo supu
Karibuu
Congratulations 🙏
Thanksss
❤❤❤
😍😋
Good
Mmmmh hapana uo ni mchemsho Kwa mchemsho ni mzuri sna ila supu hapana
Supu nzuri sana dada
Itakuwa tamu sana
Asante sana dada,bali comments,wueh!watu waache kucriticize upishi wa wengine.kila mtu na mapishi yake.
Aisee nmeielewa
Kila nchi na mapishi yake hongera dada🥰
Supu nzuri
Wee we unapig supu ya vizuri sana
Ongera Dada nimependa mapishi yako supu nzuri sana
Asanti sana kijana
Safi sana...mapishi ni ubunifu ttz watu wanakariri
Wana wivu hawana lolote
Kabisaa
Hapo na chapati ua moto ndio mwenziye
is good
thanksss
Dr Nyau nimekumic sana
😳
Mapishi. Mazuri
Hongera dad 🥰🥰
Mchuzi apo bado ubwabwa 😘
Ungeweka ndizi ufanye mchemsho au ungefanya kuwa trupper 😊😊
😂😂😂😂😂mchemsho wa mzazi huo sio supu jamani unakula bandozi zetu tuu
Nimeielewa hii supu nzuri sanas
Pow san
Ndomaana
Mbona tangawizi nyingi sana
Katia viazi vitunguu nyanya sasa supu gani yani mitandio inamambo kamahujui acha kutupia mitandioni
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimekuelewa
you got it right babe congrats , spot on!
Wapishi wengine bhana mnatumalizie MB zetu tu! ndio nn sasa kututilia hoho na viungo ving kwenye supu 😍
Huo ni mchuzi sio supu 🤣🤣
Watajikuta wanatengeneza uchawi wakidhani ni chakula.
Aliyekuambia supu siyo viungo ni nani? Asante.
@@emmanuelzani2889 Mmm Emma : siyo kuweka viungo vyote hivyo, viungo vikizid Sana hiyo siyo supu ni mboga ya k-katia viungu 😍
@@jean-daffairesmanirakiza4759 😁😁😁😁 jamani 🤦
Supu zuri mnoo
Wasiojua mapishi utawajua tu 🤣🤣🤣🤣
Ongela Sana mamy kwa mapxhi
thanksss love your welcome
Asant san dada yangu Leo nitajaribu iyo nakupend san
Naskia njaa tayari.
Butamu ❤
Duh hy so supu jaman viungo vyote hvy au nimim sijui supu kuwa ni chumv tu
Safi lakini,viyonjo vimekuwa vingi sana imekuwa mboga sasa.