JINSI YA KUPIKA SUPU YA NG’OMBE//HOW TO COOK BEEF SOUP
Вставка
- Опубліковано 25 лют 2023
- Jinsi ya kupika supu ya Ng’ombe tamu sana.
MAHITAJI
Nyama 1kg
Kitunguu 1
Tangawizi 1tsp
Kitunguu swaumu 1tsp
Hoho 1
Karoti 1
Pilipili manga 1tbsp
Chumvi 1tsp
PS:
Tbsp-kijiko kikubwa
Tsp-kijiko kidogo
For inquiries
Instagram: missmasao
Email:nikkipollo@gmail.com - Навчання та стиль
Nimejifunza nita pika ivo piya asante
Karibu
wow very nice 👍
Thank you🥰
✌🏽
Supu tamu ila hizo dakika daaaaaaah🍷🍾
Ukitaka supu tamu lazima uwe mvumilivu
Nimeiipenda
Asante
Umetia nini ya malaya kwanza
💚💚
Thanks
Nitamu sana ❤❤
Thank you
Asante ❤❤❤❤
Karibu
Nice
Thank you.
❤❤
💖💖
Nmejifunza dear
Asante sana
iko poa kabisa
Asante sana
Wek,viung,vyakawaid😊
Kabisaa
Iko poa sana dada
Asante
Supu poa
Asante sana.
Nice Naomba no yako plz
Mafuta mengi
Sawa
Sasa huo si mchuzi kabisa?
Eeeh ndio
Hakuna ulichopika hapo mbona supu yenyewe inasura Kama yangu
Asante
Heshimu hustles za watu. Komwe kubwa akili kisoda
Unatumia nyama ya mkia au..?
Hapana , ya kwaida ila ina mifupa
@@missmasao kawaida ni nyama ya upande gani.? Mgongo? Mbavu, mguu.?
Ya pumbu. Acha maswali ya kipumbavu na kujizima data kwenye komwe lako hilo
@@eddyology7304 kwasababu huna akili ndio maana huwe kuelewa nauliza kwa nini
@@eddyology7304😅😅😅
❤❤❤
Asante