Me Nko Bachelor Ila Huwa Najifunza Sana Hasa Kupitia Mapishi Yako Unayoyaelekeza Leo Nimepika Chegele Kwa Staili Yako Hakika Nimepatia, Asante sana Kwa Maelekezo Yako❤❤
Asante my dear kwa support yako, video ni ya muda kidogo kwa hiyo sikumbuki mpz ila huwa siweki curry kwenye njegere mumy, nadhani hata kwenye hizo sikuweka.
Unaekeza vizur mpka mtu unaelewa asante nishajifunza vingi kutoka kwako😘
Nakushukuru sana na wewe kwa support yako mpz, karibu tena my dear👏🏾❤👊🏾
Ma bachelor tunaokuja uku kujifunza tujuane 😃
Karibuni sana wote.
😂😂😂😂
Tupo wengi kiongoz😂😂
Tupo😂😂😂😂
Tupo asee hii mmbo ni muhimu😂😂😂
Kama unaviaz pia unaeka ,,,dada upo 🔥🔥🔥
Me Nko Bachelor Ila Huwa Najifunza Sana Hasa Kupitia Mapishi Yako Unayoyaelekeza Leo Nimepika Chegele Kwa Staili Yako Hakika Nimepatia, Asante sana Kwa Maelekezo Yako❤❤
Nimeelewa❤ ahsante dada weka na ka pilipili
I just wanted to say thank you. Because of this video nimetengeneza sauce yangu ya kwanza ya njegere. Allah bless you
Mashaallah Kwa mapishi matamu
Hongera sana
Maelekezo Yako Yako Wazi Kabisa Hivi Kwamba Hata Swali hamna
Umesahau kueka kitunguu swaumu😂😂🤣🤣😂😁😀😄😄😅😅🤗🤗🤗🤗🤗
2:21
@@MsBupe alisagia kwenye nyanya tizama vzr
Napendaga sana yaani mno mno mnoooo mapishi yako...
Unajua mpaka raha
Asante sana ndg yangu🙏🏾
Ahsante dadaaaa
Kwani lazim kuweka nyanya ya kopo
Duh cyo kwa sotojo ilo kwwa wali lnanoga mashallah
Nimependa unavyofundisha
Nice 😋😋😋😋iko poa sanaaaaàaaaaa
Asante sana👏🏾 nashukuru kwa support yako.
@@MsBupe 😘😘
😘😘
😘😘
Nice , uko vizuri mama la mama
Asante sana my dear, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
NIMEWEZA BWANA B-magic ❤
Zavutia sana hadi raha😋
Asante my dear👏🏾❤
Ahsante, unanifundisha mengi
Asante sana🤗 nakushukuru na wewe kwa support yako🙏🏾
Uko vizuri dada mapishi mazuri
Unaelekeza taratibu anii ata kam mtu haelewi anaelewa bila shida daaa mungu akubaliki mwaya usiache kutufundisha mwaya
Amina my dear🙏🏾 Nashukuru sana pia kwa support yako❤
Napenda sana mapishi yako dada
Ahsante mpenzi mzuri
Asante sana na wewe kwa support yako my dear🙏🏾❤
Asante kutufundisha kupiga
Waooooh nimependa buure
Asante my dear🙏🏾❤
Sijaona ukiweka kitunguu thaumu lkn njegele mashalah 😋
Apo pembeni kunanukia tulioona. Apo pembeni tujuane
Daaaah nimependa mapishi yako ni rahic kukumbuka kama ndy Mara ya kwnz kuona upishi wa njegele
Nimekuolewa sana mama
Asante sana my dear na ninashukuru sana kwa support yako👏🏾❤
Waooo nime wez ina ladha nzur san
Asnte kwa somo
Vzr sana hongera mom
Asante kwa darasa nimeelewa
Asante kwa pishi.zuri
Waooooo nimeipenda pishi lako
Asante sana na ninashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Mwanamke mapishi tupe tupe mama 👌😘
🤗🤗🤗 asante my dear, pia nashukuru sana kwa support yako👏🏾❤
❤❤❤❤
Nzur sana mamy
Asante sana my dear, pia nashukuru sana kwa support yako👏🏾❤ karibu tena.
Tupo 😂😂😂
asante kwa pishi.nla ngegere. kipaji cha mapishi kilionekana kwako tangu tukiwa watoto. hongera sna my sis.
Asante sana, nani mwenzangu?🤔 Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Unajua
Asante sana my dear na pia nakushukuru kwa support yako🙏🏾❤
Nimeipenda pish lako
Nimependa
Asante mungu akubariki
Asante my dear, akubariki na wewe🙏🏾❤
Nimepata njaa ghafra😅😅😅
kwa kupika tu mashaallah!
Asante my dear😊👏🏾❤ karibu tena.
ni miaka mi 5 sas siolew kwa kigezo hiki aya mlio nikimbia mkuje sasa mana nipo na kasi ya 4g
😂😂😂
Heloo ni maziwa ya freshii
Mimi nautaka yiile maharagoo yin giine
❤Ahsante
unajua saana
Ntajaribu
Kila la kheri my dear na ninashukuru sana kwa support yako mumy🙏🏾❤
Watching in 2021 thanks allot nimependa
And thank you for watching🙏🏾❤
Zinaonekana zitakuwa tamu cana
nimepend san😍😍😍
Asante sana my dear na ninakushukuru pia kwa support yako🙏🏾❤
Una jua kuelezea sana kwanzia atua ya mwanzo mpak mwisho Kuna midada kazi kuji post mambo kama haya Hawa jui
Thank a lot,,be blessed
Yaani tamu sana,wimbo mtamu pia umeimbwa na nani
Asante sana my dear, na huo wimbo umeimbwa na Dallarz na unaitwa Usiniache. Link ya wimbo iko kwenye description Box yangu. ❤
Njegeree
Asante kwa kuangalia na karibu tena🙏🏾
Asante dad
Ntam kabisa
Asante sana na ninashukuru sana kwa support yako🙏🏾
Mabachelor sasa hapa tushindwe sisi sasa
Nmependa sana ssta one uje unifundishe livee
Asante kwa somo zuri la mapichi
Asante sana na ww kwa support yako👏🏾
Mbona ujaweka vitungu swaum sasa
Hujaeka vitunguu swaumu
Hujaeka kitunguu saum
Maashalah 😘
Unaelekeza vinzuri sana
Aaaawwww!!!🤗🤗🤗 Asante sana kwa support yako🙏🏾
Asante tamu hiyo
Asante na wewe kwa support yako my dear👏🏾❤
@@MsBupe poa tuko pamoja
😋 upate na chapati za samli.....uwiiiii...👌😍
Ni balaa😋😋😋
Nahiy yapembn nini kama supu ya samaki
Mashaaallh nimezipend
Asante sana, na ninashukuru sana kwa support yako👏🏾
ok Asante
Mbona kitunguu swaumu hujaweka!?
UNATUSAIDIA SANA SISI MA BACHELOR.......
Dad cjaona kitunguu swaumu kikiwekwa
Kuna ulazma kuweka nyanya ya pact
Ahsantee, nimefuata maelekezo na mi ni kidume nimewapikia watoto na tambi pembeni... Ni noma hawajaamini!! Mwanaume show kokote, big up B's kitchen.
😄 asante sana na ninakushukuru sana kwa support yako👏🏾 na hongera kwa mapishi.
Umeipika natambi🤤imeendana kweli yani vimekuwa vtamu
NIKICHEKO TU KWANGU 😂😂😂
Nice
Napend jins unavyofundish
Mashaallah nice
Asante
🙏🏾❤
Pishi zuri sana
Asante sana my dear na pia nakushukuru kwa support yako🙏🏾❤
Njegele umechemsha Kwa mda gani
Me ndo naangalizia then nipike maana kweny kupka kwa kweli sjui!!!
Utajua tu my dear wala usijali, asante sana kwa kuangalia🙏🏾❤
@@MsBupe Nlfanikiwa sku izi naweza!! Asantee pia!!!
Samahan dada alieimba huo wimbo Nan nimeupenda
Bila samahani dear, anaitwa Dallarz na wimbo Usiniache na link ya wimbo iko chini ya video kwenye information.
Wow B magic kichen!! Lovely Njegere recipe n supper results I'm pleased n happy watching ur post from TANGA amen
Thank you so much for your support, i really appreciate🙏🏾
Nilikumic bhana....😂,Pishi Tamu!
Nilikumic pia my dear, asante sana kwa support👏🏾❤
Actualy magic kitchen
Thank you🙏🏾
Waooh nice
Thanx my dear❤ nashukuru sana kwa support yako👏🏾
Nishaanza kujifunza mamy nimeanza na rosti maini imenoga iyo
Aaawww!!🤗🤗🤗 Hongera sana my dear pia nakushukuru kwa support yako🙏🏾❤
Nime penda sana 😍😍
Asante sana dear na karibu tena🙏🏾❤
Jaman ujawah kukosea kwenye mapishi dear nisipoelewa kupika kupitia wewe sitaelewa tena pengine
Aaaaawwww!!!🤗🤗🤗 asante sana my dear, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Dada nmekupenda buuure💓💓 unajibu commentes za wadau wako ni tofaut na wengine hata ulkiuliza swal haujibiwi
Aaaawww!!! Asante my dear❤ Pia nashukuru kwa support yako👏🏾
😊
Wooow
We missed you gal asante jwa kutuelimisha.
Missed you too my, asante for still rocking with me👏🏾 Much love❤
Umeweka spice gani ? Curry au
Asante my dear kwa support yako, video ni ya muda kidogo kwa hiyo sikumbuki mpz ila huwa siweki curry kwenye njegere mumy, nadhani hata kwenye hizo sikuweka.
Dada hiyo minyama Apo pembeni ni shida Ila hongera mamy unaelekeza vizuri jmn unajibu comments I love youuuuu
Hahahahaa😂😂😂 Aaawww!!!🤗 asante sana my dear, love you too swthrt. Asante sana kwa support yako👏🏾 na karibu tena❤
Jamani wazoefu kama hautakii kuweka nazi unaweka nini?
Samahani sana kwa kuchelewa kujibu, unaweza ukaweka maziwa.
@@MsBupe poapoa aisee usiwe na shaka..
Hapo nimeelewa..