Askofu Gwajima alipua moto tena | Atokeza mbele tena kwenye vita

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лют 2021
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

КОМЕНТАРІ • 612

  • @sarahmsangi7243
    @sarahmsangi7243 3 роки тому +173

    " Kama unatamani 2025 achukue urais gonga like hapo

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 3 роки тому +13

      😂😂😂😂😂😂Yn kama mm namkubali xana huyu mwamba ni Mzalendo kwelikweli💪💪💪💪

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 роки тому +5

      Huyu mbona nirais wa nchi yetu ya Tz ajae??hilo tumelithibitisha na ndivyo lilivyoooooooooooooooooo????

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 3 роки тому +3

      Nanii?

    • @gabrielnyanga8155
      @gabrielnyanga8155 3 роки тому +2

      Ana elekea huko huko!

    • @sarahmsangi7243
      @sarahmsangi7243 3 роки тому +1

      @@simontamba1285 gwajima

  • @veronicaoman8764
    @veronicaoman8764 3 роки тому +16

    Nakataa hofu ya Corona ishindwe ktk jina na yesu 🇹🇿🙏

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 роки тому +12

    Nafurahia sana mtumishi wa Mungu anavoongea kwa vitendo muda wote! Barikiwa Sana Sana Sana. We love you!

  • @isackmwakibete4559
    @isackmwakibete4559 3 роки тому +2

    Yesu ni mshindi

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 роки тому +9

    Yaan amen!!! Askofu kweli ww ni askofu yaan BWANA YESU akutie nguvu sana, ahsante sana kwasababu ww una moyo wa ushujaa sana.

  • @rensonmwawughanga5819
    @rensonmwawughanga5819 3 роки тому +1

    A true man of God,,, natamani huku kenya tungepata watumishi kama hawa

  • @abdallahrunwa1886
    @abdallahrunwa1886 3 роки тому +7

    Kwa mtaji huwo wa kumutegemea Mwenyezi Mungu bwana gwajima hapo sina swali hapo msaidieni mkuu wetu wa nchi ili shutuma zidi yake zipunguwe niwaombeni ndugu kwa hili tushikamane sote tuwe kitu kimoja tutashinda MUNGU NIMWEMA...AMIIIYN...!

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 3 роки тому +6

    Amen Asante Yesu ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwakweli nmebarikiwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 3 роки тому +24

    Amen. Ishi Tanzania kwa nguvu za Mungu. Hama corona kwa jina la Yesu, hofu ondoka Alleluya🇹🇿

  • @antonmwaveya8780
    @antonmwaveya8780 3 роки тому +13

    May the Lord Jesus Christ of Nazareth Bless you Man of God

  • @lucasbunuma9824
    @lucasbunuma9824 3 роки тому +7

    Asante mtumishi maana mwenye haki wangu ataishi kwa imani

  • @immaculatajoyce4321
    @immaculatajoyce4321 3 роки тому +10

    Ameeeeeeeeen my Daddy Gwajima napokea mapafu yasiharibika kamwe Kwa jina la Yesu

  • @OmanOman-gp7xm
    @OmanOman-gp7xm 3 роки тому +1

    Gwajima safiii mungu Akubariki nikweli mie niko uku oman nakuambia mwanzoni atamimi nimeuguwa tukaangaika kwenda kumuona DAKITARI AKUONA UGONJWA NIWAMUDA MLEFU UGONJWA BC TU WALIKUWA AWAJAUGUA WAOGA KWELI TENA

  • @thesub-zero4277
    @thesub-zero4277 3 роки тому +16

    Emen baba hakika wew ni sauti ya Mungu nakataa Covid19 katika jina LA Yesu🙌🙌

    • @nasserm.nasser5087
      @nasserm.nasser5087 3 роки тому

      Wengi kama wewe walijifanya wana imani kali wakaperish. Walikunywa sumu wakidhani hawatokufa, waliogelea majini wakidhani watatembea juu, wote wakafa
      Na nyie extremists ndio mtairudisha nchi nyuma

  • @mtewatina9471
    @mtewatina9471 3 роки тому +35

    Amena baba! Nakataa corona kwa Jina la Yesu.

    • @manasekijangayamba2023
      @manasekijangayamba2023 3 роки тому

      Tina usimsikilize kila anaye litaja jina la Yesu kuna wengine wanalitaja mdomoni na sio moyoni

  • @chescomnyangali8601
    @chescomnyangali8601 3 роки тому +15

    AMINA AMINA KUBWA🙏🙏🙏 MUNGU ANASEMA YEYE NDIO KILA KITU YEYE NI ALPHA NA OMEGA

  • @margaretrukerebula6826
    @margaretrukerebula6826 3 роки тому +13

    Preach jemadari was Yesu Kristo asante can't have nami naafiki nawe Alleluia kweli kabisa🙏🇬🇧

    • @Philipoupdates
      @Philipoupdates 3 роки тому

      Mtumishi naomba tuwasiliane wasap +255767204792

  • @mirimbanyamuhirwa853
    @mirimbanyamuhirwa853 3 роки тому +4

    Ubarikiwe zaidi askofu. Mungu akupe kuishi sikunyingi ili ufundishe ulimwengu kuelewa

  • @eliakimchaiikobellah358
    @eliakimchaiikobellah358 3 роки тому +12

    Sauti hiyo inatosha kabsa, haina haja ya kuongeza baba, imefikaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @davidfabian5625
      @davidfabian5625 3 роки тому +1

      Kweli kabisa mm huwa ananitia nguvu sana Mtumishi

  • @sisterolivia9874
    @sisterolivia9874 3 роки тому +14

    Kenyan... Watching and following from Doha... Umenikuwa wa ufunuo na kweli katika maisha yangu...
    MUNGU AKUTIE NGUVU UENDELEE KUOKOA WATU WA MUNGU... MANENO YAKO YANA NGUVU... YANAMEA KWA MOYO WANGU.

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 3 роки тому +1

      ni mbunge wa kawe now

    • @sisterolivia9874
      @sisterolivia9874 3 роки тому

      @mathias sielewi

    • @charlesjohn5792
      @charlesjohn5792 3 роки тому +1

      @@mathiasmsese6128 bado ni MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 3 роки тому +4

      @@mathiasmsese6128 Ni mbunge na Ni Bishop hapo Sasa ,akienda bungeni anapiga injili akija kanisa injili inaendelea. Go deeper papa, mpaka korona iyeyuke Kama samli

    • @sisterolivia9874
      @sisterolivia9874 3 роки тому +1

      @@neemamasimba2981 amen

  • @mwaumark4372
    @mwaumark4372 3 роки тому +23

    Only those who are in true spirit of God can understand what this man is saying.

  • @immaculataroeser8428
    @immaculataroeser8428 3 роки тому +6

    Very good Gwajima!!!!Ubarikiwe sana

  • @apostleedwinmarknatembeya8775
    @apostleedwinmarknatembeya8775 3 роки тому +6

    Barikiwa sana baba Askofu, nimebarikiwa na ujumbe wako, tangu nianze kufuata maagizo yako na kufunga na kuomba hapa kwetu Bungoma Magharibi nchini Kenya korona haijaua watu kwa maeneo yetu. Nilizunguka eneo hili na ukuta wa moto.

  • @marisblessingmuruthi4592
    @marisblessingmuruthi4592 3 роки тому +5

    Hallelujah. Amen Like mount Zion so we are, we shall not be moved.

  • @davisnkoba2683
    @davisnkoba2683 3 роки тому +17

    You are so right Bishop,
    Sema tukombolewe tupate kupona.

  • @thomasmuyya7221
    @thomasmuyya7221 3 роки тому +4

    Thank you Mtumishi kusimamia Neno si kama wajiitao viongozi wa dini wanaokana Neno la Mungu. Mungu atatupigania sisi Mabaki yake. Tangaza ufalme tupo pamoja nawe.
    Mchungaji Godda

  • @joycemella7676
    @joycemella7676 3 роки тому +9

    Ameeen ...sitakufa wala familia yangu uzao wangu na watu waTaifa hatutakufa na co19

  • @serahmutemi
    @serahmutemi 3 роки тому +13

    Ameelaniwa amtumainiye mwanadamu amen

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 3 роки тому

      Maasikofu wanatumaini barakoa!!!!! Badala ya Muumba wetu. Wanadiliki hata kuilaumu serikali!!!! Waumini tukimbilie wapi?

    • @nyendwabhanya2175
      @nyendwabhanya2175 3 роки тому

      @@edwardmizambwa237 ni kweli

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 3 роки тому +2

    Imeandikwa mji usipolindwa na BWANA alindae Akesha BURE ( Ameen mtumishi wa Mungu)

  • @kelvinmbela7778
    @kelvinmbela7778 3 роки тому +8

    Amen mtumishi hakika wewe ni CHUMA, Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu💪💪💪

  • @johnzacharia2308
    @johnzacharia2308 3 роки тому +5

    Amen mtumishi wa Mungu aliye hai, sintakufa nakorona Mimi pamoja na familia yangu na ndugu zangu kwajina la Yesu,sintaogopa Yesu ameshinda mauti hata milele

  • @blessedone5834
    @blessedone5834 3 роки тому +4

    What I should say is TANZANIA is blessed,God bless you MOG

  • @venelandakundi63
    @venelandakundi63 3 роки тому +3

    Asante mtumishi hapo umeinua imani yangu maana tumechoshwa n.a. watu wasiyomwamini Mungu ubarikiwe

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 3 роки тому +6

    Ni kweli kabisaa Baba hii Mitandao hii ndiio balaaa ya kila kitu . Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike Milele . Yaani ni Mungu pekee ndio tegemeo letu. Tumeshaumwa wote basi tu haya Mahofu ndio balaa. Siogopi kwa Jina la Yesu.

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 2 роки тому

    Askofu Gwajima nisamehe nilikuwa nikuelewagi ila kwa hili Umenitia Imani na MUNGU Akupe Afya njema 🙏

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 3 роки тому +5

    Mwenyezi Mungu atatuvusha katika hili janga. Asante kwa kutokomeza woga kwa Watanzania Askofu. Hakuna kinachomshinda Johova. Tuzidi kumuomba Baba aliye hai na kumtegemea. Alleluya

    • @christophertweve98
      @christophertweve98 3 роки тому

      Izo bangi tu? Kwamba nawewe ni mchungaji sasa apo ndo umehubili nn

    • @christophertweve98
      @christophertweve98 3 роки тому

      Gwajima wewe usituchanganye wewe ni waupande gan serkali am upande wa Mungu

  • @bettykhamesse6894
    @bettykhamesse6894 3 роки тому +3

    Kanyaga twende babaaaa.......mtumishi wa Mungu.

  • @johnnawapatavizulisanaandr4320
    @johnnawapatavizulisanaandr4320 3 роки тому +6

    MUNGU akubaliki sana Tundulisu ndiye anawatisha wa Tanzania kwa hasira yake yakijinga

  • @petitebulenge6104
    @petitebulenge6104 3 роки тому +1

    Imani tunayo, ila tunati tu sheria. Kama vile Kristu anasema yakaisari mupe kaisari. Ila tuombeyane. Safari ni ngumu. Pia korona hakuna ila tukuze imani. Kwa sababu hari ya munyama inatisha. Fuguweni masho. Na Mungu wa rahisi Magufuli apewe sifa. Tena kubukeni kumuombea Magufuli Mungu akulinde sana.

  • @francokamugisa296
    @francokamugisa296 3 роки тому +2

    Mungu mlinde mtumishi na rais wetu magufuli.

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 3 роки тому +2

    Asante mtumishi wa Mungu kwa kukaza imani, nimepata jambo, tumtumaini na kumwamini Mungu kuwa anaweza.

  • @sharonnasambu6753
    @sharonnasambu6753 3 роки тому +2

    Amtumaniae mwanadamu amelaani roho ya uogaah Hamaaa kwa jina la yesu

  • @mahewalekwasa210
    @mahewalekwasa210 3 роки тому +2

    Ubarikiwe sana Askofu kwa kweli umenisaidia sana

  • @edwardmsongelwa5455
    @edwardmsongelwa5455 3 роки тому +5

    Nimekubali ana nawe waondoe uvivu Hao Wana kawe God motivational Asikofu AMEN

    • @kahungu1able
      @kahungu1able 3 роки тому

      Tatizo anategemea kisicho tegemeka tegemeeni Elohim Yahuwah alietegemewa na Ibrahim isaka na yakobo mulungu wa watanzania hataweza hilo

    • @edinanchimbi702
      @edinanchimbi702 3 роки тому

      Mungu wa watz ndie MUNGU wa Isaka na yupo hai mpaka leo. Upooooo

    • @edinanchimbi702
      @edinanchimbi702 3 роки тому

      @@kahungu1able MUNGU wetu ndie MUNGU wa waTZ. Upooooooo

    • @edwardmsongelwa5455
      @edwardmsongelwa5455 3 роки тому

      @@edinanchimbi702 Nili Manisha kwamba vijana waondoe uvivu wamsikilize Asikofu Ni Maono mazuri Kwa Maisha Yao Good motivational Ni uhamashishaji Bora kwao

    • @edinanchimbi702
      @edinanchimbi702 3 роки тому

      @@edwardmsongelwa5455 sasa nimeelewa. Ubariwe

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 3 роки тому +4

    Be blessed pastor. God still loves Tanzania

  • @shijamtobela9864
    @shijamtobela9864 3 роки тому +2

    Asante baba sema napenda kazi yako

  • @jacmueni7907
    @jacmueni7907 3 роки тому +1

    Umenipea nguvu sana.. watching from Kenya...

  • @charlesjohn5792
    @charlesjohn5792 3 роки тому +2

    Dunia inahitaji watumishi wa Mungu Kama huyu...haleluya

  • @lightnesssolomon4830
    @lightnesssolomon4830 3 роки тому +1

    Asante sana mtumishi wa mungu kwa msimamo wa imani ulio nayo

  • @malikaalimwashaka2444
    @malikaalimwashaka2444 3 роки тому +7

    Amen inaeleweka man of God (methali :20:5) God blss you.

  • @febronianyangwala7524
    @febronianyangwala7524 3 роки тому +12

    Hakika nimetiwa nguvu na maneno ya mtumishi wa MUNGU.

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 3 роки тому +2

    Baadhi ya Maaskofu wenzako hawakuelewi!!!! Sijui ufanyeji Askofu wangu. Kwa mazingira haya tumaini liko kwa MUNGU TU.

  • @margaretrukerebula6826
    @margaretrukerebula6826 3 роки тому +2

    Preach it ask if I wangu ni kweli kabisa ongea pasua kabisa🙏🙏🇬🇧

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 роки тому +4

    That's my only man of God. I so love this vessel of God almighty.

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 2 роки тому

    Ameeeen, barikiwa mtumish wa Mungu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +4

    Mm. Mwiislam. Ila kweri timuamini Mungu pia tuache kufanya zambi Mungu atatutolea maladhi yoote lnshallah

    • @sarahmsangi7243
      @sarahmsangi7243 3 роки тому

      Hapo nimekupenda bure,unasapoti vitu unavyoona vinakusaaidia

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 роки тому +1

      @@sarahmsangi7243 hakuna ujanja nikuruditu kwa Allah yy ndiye katuletea malazi na atayatoa lnshallah

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 роки тому +4

    Tumeirudisha corona
    kwa la Yesu.⚓👩‍👦🙏

  • @douglaskomba2304
    @douglaskomba2304 3 роки тому +5

    sauti ya mtumishi wa mungu

  • @kaniogachief6151
    @kaniogachief6151 3 роки тому +8

    Safii Dr nafatilia maubiri yako mimi islam pia mpiga kura wako

  • @kayomboange5429
    @kayomboange5429 3 роки тому +2

    Wewe ni sauti ya mungu,neno la mungu nalisikia kupitia wew naweza kusoma na kuandika,lakin sielewi ila wew unatujenga na kutufundisha kujitegemea ata kama hautakuwa mchungaji leo naweza kusimama pekeangu mungu awe nasi Tanzania

  • @pandelababaofficial5056
    @pandelababaofficial5056 3 роки тому +5

    Haya mahubiri yanatufaa sana hasa kwa wakati huuu

  • @jacquelinepaight1472
    @jacquelinepaight1472 3 роки тому +2

    Amen Baba sitakufa na corn kwa Jina la Yesu

  • @monicanelisha1299
    @monicanelisha1299 3 роки тому +5

    AMEN AMEN AMEN this is a powerful message

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 роки тому

    Amina,watumishi wote wangekuwa na Imani Hii.Tanzania tungepona

  • @amissemwenetombwe3236
    @amissemwenetombwe3236 3 роки тому +7

    Amina Mchungaji. ww bingwa!!

  • @episonfelician7670
    @episonfelician7670 3 роки тому +1

    Mungu akutie nguvu mtumish bishop kwa ujumbe mzuri

  • @janethcharles1146
    @janethcharles1146 3 роки тому

    Amen semasema Baba mtumishi

  • @rosemwangome8996
    @rosemwangome8996 3 роки тому +1

    Amen Mungu ndie kimbilio na nguvu na msaada.

  • @emmanuelytunduma8127
    @emmanuelytunduma8127 2 роки тому +1

    Moto juu ya Moto gwajima tuko nyuma yako

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 3 роки тому

    Haleluyah Haleluyah Haleluyah Utukufu Sifa Heshima na Adhama anastahili Mungu Mwenyeenzi corona bye bye hakuna Corona nakataa kwa Jina LA YESU Mungu Baba katushindia asante Baba na Mungu wetu kwa Kutushindia

  • @immaculataroeser8428
    @immaculataroeser8428 3 роки тому +2

    Yeeeeeeeeees !! Hongera sana .

  • @gracesamson924
    @gracesamson924 3 роки тому +2

    Nakataa kwa jina la YESU Ameeen

  • @herryallymaneno8052
    @herryallymaneno8052 3 роки тому +2

    Huyu ni askofu wa kweli tofauti na wale

  • @tintz3157
    @tintz3157 3 роки тому +1

    Eimeeeen Bishop God is with us as a nation
    No Fear No Corona

  • @benjaminmwambene4897
    @benjaminmwambene4897 3 роки тому +4

    Umenena HAKIKA 🙏🙏🙏

  • @maandaziimakavuu3790
    @maandaziimakavuu3790 3 роки тому +2

    Asante mchungaji upo vizuri sana!!!!

  • @sunguramwassa5782
    @sunguramwassa5782 3 роки тому +2

    Wooo! Woow! This is right and fabulous

  • @ikrammichael833
    @ikrammichael833 3 роки тому

    Ameeeen jina la bwana lihimidiwe daima

  • @luckyvitalis7235
    @luckyvitalis7235 3 роки тому

    👊👊👊👊kula tano baba ss huku ulaya tunavaatu kufata sheria ila tunamsimamo kama huu ndani mwetu maana aliendani yeti ni mkuu kuliko covid hallelujah!

  • @thomasmuyya7221
    @thomasmuyya7221 3 роки тому +5

    Tupo pamoja tunaomtegea BWANA JEHOVAH

  • @santamaria715
    @santamaria715 3 роки тому +1

    Hongera babà.

  • @christinenelima2641
    @christinenelima2641 3 роки тому +6

    Massege saa ufufu na uzima uwa sinaninjenga sana

  • @estermsuya8818
    @estermsuya8818 3 роки тому

    Amina mchungaji Mungu atuwezeshe kumtegemea na hofu ishindwe kwa Jina la Yesu

  • @davisnkoba2683
    @davisnkoba2683 3 роки тому +21

    TANZANIA TUMEPENDELEWA NA TUNA VIONGOZI WENYE IMANI NA TANZANIA ITASIMAMA KWA JINA PEKEE LA YESU KRISTO WA NAZARETH

  • @josephsimiyu5211
    @josephsimiyu5211 3 роки тому

    Barikiwa mtuele wa MUNGU

  • @mohammedmnasi3228
    @mohammedmnasi3228 2 роки тому +1

    Kweli gwajima tanzania inakupenda sana unamuenzi magufuli kwelikweli nakutabilia kuwa rais ongera

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 роки тому +8

    Yeah, you right man of God

  • @oswaldshayo2758
    @oswaldshayo2758 3 роки тому

    Ameen baba Askofu gwajima Mungu wetu wambinguni akulinde

  • @gracesamson924
    @gracesamson924 3 роки тому +1

    Siogopi kwa jina la YESU Ameeeeeen

  • @immaculataroeser8428
    @immaculataroeser8428 3 роки тому +1

    Hongera sana .

  • @immaculataroeser8428
    @immaculataroeser8428 3 роки тому +2

    Ameeeeeen!!Yesu atasmama.

    • @dominicmligo7926
      @dominicmligo7926 3 роки тому

      Sauti inatosha mtumishi upo sahihi ujasiri useme kwa vitendo kwa nn? Hofu? Mungu yupi mabaya yote yarudi kwao waliyopanga na kutufanya watumwa kwa magonjwa na mengine yaliyotarajiwa na yamegeuka yawe yooooo!!!!!

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 роки тому +1

    Ameen kwajina la yesu hatupatwi na corona

  • @rodgersmenza5261
    @rodgersmenza5261 3 роки тому

    Am greatly aspired

  • @charlessostenes4232
    @charlessostenes4232 2 роки тому

    amna ubarikiwe vita tutaishinda kwa jina la yesu

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 3 роки тому +1

    MUNGU AKUBARIKI SANA SANA KAMANDA WA YESU KRISTO SHETANI AMEONA WEWE NI RUNGU LA BWANA NDO MAANA AKAONA AKUZAWADIE UBUNGE WEWE ULITAKIWA UKAE KWENYE NAFASI YAKO YA KUMTUMIKIA MUNGU TU SIYO BWEBWE ZINGINE.

  • @paulmarwa2725
    @paulmarwa2725 3 роки тому

    Ubarikiwe mtu wa Mungu, zaburi 91:5-,,

  • @eliaabethlyd5568
    @eliaabethlyd5568 3 роки тому

    Amen amen baba ubarikiwe saana babayangu

  • @irakazaeriekim4753
    @irakazaeriekim4753 3 роки тому +1

    Asante sana

  • @judyjidena3768
    @judyjidena3768 3 роки тому +1

    Aminaa kubwa🙏🙏

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 3 роки тому +1

    Amen Man of God