Mh:Dr Bishop Gwajima Ni Mwalimu mzuri sana tukimsikiliza kwa makini na kumwelewa na kuamini na kufuta anachofundisha tutavuna elimu na maarifa,na ufahamu wake naye Kristo atatuinua nasi tutafikia hatima yetu
Historia na hadithi ya wanawali kumi haipatani na maelezo. Fundisho linaeleza kitu muhimu lakini ufafanuzi wa hadithi ya wanawali kumi na ujio wa bwana harusi havipatani.
Askof Gwajima tumemiss zile nondo zako😂 ungekua ushatuambia katiba mbovu ya nchii lkn saivi Mzee umefunikwa na koti la CCM nakuomba uludi ktk nafasi yko ulisaidie taifa letu lina teketea na watu wake😢😢😢

Yaaaan mtumish..mafundisho yako waga nabarikiwa sana👏👏👏👏👏👏🤝🙏
Nakupenda sana Mtumishi upo very transparent
Hekima yako yanijenga kila wakati. God bless you Jasusi la mbinguni.
Your wisdom is Spirit-filled
Thanks my lecture for good reason
Amen
Point sana mtumishi Emeni
Nimekusikia mtumishi ktk kristo yesu
Amen❤
Ameeen
Amen 🙏🤲📖 amen amen
Fundisho kubwa sana, tunza mafuta
Ameen Baba
Ameni
Historia na hadithi ya wanawali kumi haipatani na maelezo. Fundisho linaeleza kitu muhimu lakini ufafanuzi wa hadithi ya wanawali kumi na ujio wa bwana harusi havipatani.
Tatizo ni haujaelewa haukua darasani
😢😢
Jamani,link.
Naona imeandikwa kulogwa badala ya kurogwa ipi neno sawa
Loga sio roga/ kuloga sio kuroga
@@mrsdeborahurio sikiliza ujumbe
Nikweli kabisa hatauombaje wanakujatu nimejifunza
Walevi hoyeeeeeeh mnalindwa na Mungu adi wachawi wanawaogopa
Kwa hiyo tuwo walevi au
Mzee wa upako akiacha konyagi anakua mtu wa maana kabisa
Pointi muhimu
Askof Gwajima tumemiss zile nondo zako😂 ungekua ushatuambia katiba mbovu ya nchii lkn saivi Mzee umefunikwa na koti la CCM nakuomba uludi ktk nafasi yko ulisaidie taifa letu lina teketea na watu wake😢😢😢
Kama ulisikia kipindi kile unataka kusikia nini kwa sasa.
😂❤🇰🇪👍🙏