Askofu Gwajima atoa ya moyoni kuhusu Mama Samia Suluhu | Atoa ushauri kwa serikali

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 бер 2021
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

КОМЕНТАРІ • 517

  • @timotheeciza1592
    @timotheeciza1592 3 роки тому +4

    Tu me fortifie Frere Gwajima. Je suis pas Tanzanie suis burundais mais un burundais qui suivait de près les œuvre de notre Héros d afrique John Pomb Magufuli. Il etait un homme incroyable un Panafricaniste. Que le Seigneur exauce tes prières et que Maman Samia accomplisse ce que Magufuli a commence. Ninawapenda sana ndugu wa tanzania pigo hili msiba huyu sisi wote umedufikia. Poleni sa

  • @fannybuunda773
    @fannybuunda773 3 роки тому +34

    Ninamushuru Mungu kwakututiya moyo baba nakutupa tumaini lakusonga mbele. Mimi si mu Tanzania lakini nilimepnda sana Magufuli baba ya wa nyonge

  • @candydolly7726
    @candydolly7726 3 роки тому

    Bishop Gwanjima is very very correct,i love this man of GOD?ANASEMANGA UKWELI HATA IWE NINI!!!

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 3 роки тому +7

    Asante kwa kutufariji najua kunawatu awataki kusikiliza ukitupa mistar y mambo y siasa wanaumia mbona unaogea inawauma

  • @pamellahmark4822
    @pamellahmark4822 3 роки тому +10

    MORE GRACE MAN OF GOD🔥🔥🔥🔥🔥❤

  • @editornkonge7561
    @editornkonge7561 3 роки тому +13

    From Kenya, may God bless Tz, May lord protect u

  • @masoyamanyasi8638
    @masoyamanyasi8638 3 роки тому +2

    Bwana ni mwema hakika atatenda miujiza katika inch yetu ya Tanzania R,I,P. JPM. 🙏 asante askof gwajima Kwa uzalendo Wa kweli AMANI! 🕊🕊🕊🕊

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 роки тому +17

    I was waiting to hear from you Baba.

    • @edwardmsongelwa5455
      @edwardmsongelwa5455 3 роки тому

      Kumbukeni huyu MAMA ALIFANYA KAZI KWA KARIBU. SANA NA JPM Sasa mengi wamekuwa wakiyafanya PAMOJA Sina Shaka Na Mama Samia huyo Ni JPM KWENYE MWILI WA MAMA bila Shaka MSI hadaike Na Urembo wake MAMA JPM YUPO KIUTENDAJI NA UFANISI MKUBWA KWANI MAMA YEYE NI MWEPESI KUONA KAMA MAMA TUSIWE NA SHAKA

    • @edwardmsongelwa5455
      @edwardmsongelwa5455 3 роки тому

      Ni Kweli lakini nimepigwa Na butwaa kutokana na jemedari wetu kututoka hata hivyo bado tupo kwenye mikono Salama ya MAMA SAMIA kwani Ni mwanafunzi mzuri sana hata ukifatilia jinsi ALIVYO fika hapo alipo utaona kwamba huyu mama Ni Chuma cha Pua kama sio JPM mwenyewe Atafanikisha Kila unacho kifaham tusiwe Na Shaka kwani usitegemee Approach to be the same but you will see the movement

  • @erickdidas9088
    @erickdidas9088 3 роки тому +8

    Nice preaching profit gwajima.

  • @angelinaomare3055
    @angelinaomare3055 3 роки тому +8

    AMEN 🙏 ni vivyo hivyo kazi ya Magufuli Duniani imekwisha sasa nikusonga mbele na tuvipigane vita Vizuri....tumpe Support na LOVE❤️ MAMA .
    Habari Tamu sana ya Kufariji na Kip’s Matumaini...Asante sana YESU KRISTO NI YULE YULE ASIYEBADILIKA JANA LEO NA MILELE.

  • @petermkongo3079
    @petermkongo3079 3 роки тому +11

    Unanibariki Sana mtumixhi natamani uwe Joshua wa badae

    • @gerardkeleba3218
      @gerardkeleba3218 3 роки тому

      Tunatamani Joshua wasasa pia ajikite kuwatetea wanyonge piamwenye moyo wakuthubutu Kama magufuli

    • @japhethojiambo6449
      @japhethojiambo6449 3 роки тому

      Nayo yatende vivyo hivyo katika jina la yesu

  • @evelynkunga5402
    @evelynkunga5402 3 роки тому +4

    Holy Spirit speaking through you MOG, more grace so powerful

  • @mwaumark4372
    @mwaumark4372 3 роки тому +22

    Kusema kweli Gwajima umebarikiwa sana

    • @neemalambo9790
      @neemalambo9790 3 роки тому +1

      Nampenda sana anajua kufariji na kutia moyo

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 3 роки тому +1

      Ila asitudanganye tena kama anafufua watu

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 3 роки тому

      @@machintangachibwena5922 Hahahaaa tushajua janja yao

    • @alisaid4380
      @alisaid4380 3 роки тому

      Piya ana uweezo wa kufufua lakini sijuii kwanini hakufanya hivyo pls niuliziye broo

    • @mwaumark4372
      @mwaumark4372 3 роки тому +1

      Je wakati Yesu alikua duniani alifufua kila mtu!!!!?.
      Only few were resurrected. So stop this nonsense of trying to undermine God's power

  • @lindashadrack7470
    @lindashadrack7470 3 роки тому +5

    Barikiwa sana mtumishi, watanzania mjichunge sana na hawa watu wanajifanya marafiki wanafiki sana, wanataka kuwapotosha na vibarakoa vyao, Mungu ailinde nchi nzuri ya Tanzania, muwe na msimamo kama baba yetu Magufuli..maana Mungu ameichangua Tanzania kuwa kama rescue ya watu duniani...our new president of Tanzania you're the Joshua of our generation, do not fear be courageous God is with you.

    • @yusuframadhan4744
      @yusuframadhan4744 3 роки тому

      Amen ndugu! Ubarikiwe sana kwa maneno yako mazuri na yenye ujumbe mzuri kwakila mmoja wetu anaethamini maslahi ya nchi yetu Tanzania

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 3 роки тому +9

    Namshukur mungu ulichaguliwa n Rais pia ww mungu alikuwa n mpango kamili n we ivyo nyie shikaneni mikono viongoz sisi tuko nyuma yenu

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus 3 роки тому +7

    This man is anointed!!!!

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 3 роки тому +2

    Amina mtumishi kwa kumbariki Rais wetu Samia na kutupa faraja! Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai wa Magufuli apumzike kwa amani

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 роки тому +3

    Nakukubali xana Mzalendo mwenzangu 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @costavalenci7699
    @costavalenci7699 3 роки тому +18

    Amina baba nipo kenya nawaona vizuriii saana barikiwa mpaka ushangae

  • @antoinetteuwanyiugira34
    @antoinetteuwanyiugira34 3 роки тому

    God bless you watching from Salt Lake City ,Utah 🇺🇸 Amina❤️🙏🏽

  • @bidayo1058
    @bidayo1058 3 роки тому +13

    Kitaeleweka tu, hili taifa limewekwa na Mungu ili mataifa mengine wajifunze. Asante baba askofu kwa kulitia moyo taifa.

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 3 роки тому +1

      Umeonaeee 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 3 роки тому

      Mataifa yote ni ya Mungu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Hakuna taifa lisilo la Mungu usikashifu wengine kwasababu ya Magufuli

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 3 роки тому +1

    Hallelujah hallelujah Glory to God.Jehovah Nisi bendera yetu ya Ushindi

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 3 роки тому +1

    Ameeeeen Joshua.Samia Suluhu Hasani tupeleke nchi ya ahadi Mungu alipo tukusudia Mungu akupe Afya njema 🙏🙏

  • @edithambetsa5696
    @edithambetsa5696 3 роки тому +5

    Good advice indeed.

  • @innoboy6768
    @innoboy6768 3 роки тому

    Godbless you paster
    Tuangazie nuru aliyo kuwezesha Mungu kuiona,,maana kuna Watu
    hawana Uzalendo wa hofu ya Mungu
    ktk nafsi za

  • @amissemwenetombwe3236
    @amissemwenetombwe3236 3 роки тому +10

    Bwana Yesu asifiwe!!!

  • @user-ws2sg7un7z
    @user-ws2sg7un7z 3 роки тому +6

    Amen daddy God bless u pastor

  • @meryololo5410
    @meryololo5410 3 роки тому +9

    Asante baba tuungane kama wana wa MUNGU

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 роки тому +11

    Nimekuelewa sana askofu viongozi wetu wanatakiwa wawe makini sana maana inaonekana vibaraka wa hao mabeberu tunao umu umu nchini inatakiwa tuzidishe sana kumuomba Mungu ili atushindie vita hii tuwaunge mkono viongozi wetu na wao km kunatokea tatizo lolote LA nchi wawaite viongozi wa dini ili tuliombee tatizo litaondoka kwa uwezo wa mungu watanzania tushikamane tuliombee taifa letu na Africa yetu

    • @jayzeem14
      @jayzeem14 3 роки тому

      Dawa ni kusali na kuomba kwa Imani ili Mungu atuepushe na mabaya yote yanayopangwa na afui wetu wanaoonekana na wasioonekana! Kila mmoja akae kiroho. Tusamehe na kuwaachilia wote waliotuumiza.

  • @johnsimon1280
    @johnsimon1280 3 роки тому +5

    Kweli kabisa mungu huwajuza watumishi habari ili kutujuza bwana wa majeshi akubariki bishop gwajima nimekuelewa

    • @baaliyanuun416
      @baaliyanuun416 3 роки тому

      Ww unataka sadaka tu huna uwezo wakumsimamisha mtu wala kumlaza mtu MUNGU pekeee ndo anaejua maisha yetu sio ww na kelele zako hizo

  • @rhodaademba4451
    @rhodaademba4451 3 роки тому +1

    Asante MUNGU MKUU kwaajili ya mtumishi wako.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 роки тому +2

    Do not fight what you cannot change,,Gwajima anaweza sana sana..anaonaga mbali mapema sana.

  • @mordally
    @mordally 3 роки тому

    Kwa hili mm nakupongeza sana Askofu Gwajima, utumishi unatakiwa hivi sio kuwatenganisha watu

  • @blessedone5834
    @blessedone5834 3 роки тому +1

    Your anointing is in another level, I'm blessed so much with this sermon,may Almighty God uplift you from glory to glory

  • @jescarwegoshola7231
    @jescarwegoshola7231 3 роки тому +2

    Amen kubwa ,kamanda wa Yesu,💪
    Mungu wetu yuko hai tuko pamoja🙏

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 3 роки тому +2

    Asante baba Askof kwa maneno yako ya faraja. Tunakutegemea wewe baba kupitia kwa MMungu In Shaa Allah

  • @plasinapius5421
    @plasinapius5421 3 роки тому +6

    Ooh yes!am happy 4this and this will happen in the name ov Jesus

  • @obadiasanare8338
    @obadiasanare8338 3 роки тому

    Ameizing message

  • @editornkonge7561
    @editornkonge7561 3 роки тому +2

    Amen, they is hope , hallelujah hallelujah hallelujah ❤️

  • @nixonmaduhu3594
    @nixonmaduhu3594 3 роки тому +5

    Bishop Dr. Gwajima unafaa sana kuwa makamu wa Rais na Mungu akalithibitishe neno hili.

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 роки тому

      Yeah makamo wa rais anatakiwa kuwa mkali

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 роки тому

      Kama kawe mpaka sasa hatuoni reaction yoyote itakuwa makamu wa raisi

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 роки тому

      Kama kawe mpaka sasa hatuoni reaction yoyote itakuwa makamu wa raisi

  • @lucasharison2441
    @lucasharison2441 3 роки тому

    Mungu akuangazie akuna shaka kwa hili usemalo mtumishi

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 3 роки тому +2

    Asante sana mpakwa mafuta Haleluyah,Amina Amina..

  • @pastornongoli4388
    @pastornongoli4388 3 роки тому +9

    Like this nchi ya BWANA YESU, nchi ya MUNGU

  • @eliakimchaiikobellah358
    @eliakimchaiikobellah358 3 роки тому +5

    Ameen Askof
    Ila ulikuwa kimya Sana'a
    Mungu ni mwema

  • @gracemunyana7804
    @gracemunyana7804 3 роки тому +1

    Amen tumesha fanya maombi kuusu mama samia Mungu wetu atamuongoza vzuri

  • @yusuphandrew9389
    @yusuphandrew9389 3 роки тому +1

    Blessed 🙏

  • @johncondrad6258
    @johncondrad6258 3 роки тому

    Amina Mh Gwajima tunashukuru kwa maneno mazuri ya kututia Moyo na kutufariji hasa sisi wenye mawazo mengi Mara baada ya kuktutoka baba yetu Kipenzi Magufuli wetu

    • @binyamina8850
      @binyamina8850 3 роки тому

      Gwajima anaweza kufufua watu, amfufue raisi

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 роки тому

      @@binyamina8850 HATA KUKU HAWEZI.

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 3 роки тому +2

    Siasa na dini ni vit tofauti usituletee usengeeee

  • @aiysharamdhan899
    @aiysharamdhan899 3 роки тому +5

    Waaooo askofu mbunge umenena

  • @mussamchena9595
    @mussamchena9595 3 роки тому +7

    Amen

  • @whitewolfmedia6761
    @whitewolfmedia6761 3 роки тому +6

    Greaty

  • @donkorosso1302
    @donkorosso1302 3 роки тому +2

    Ameeen So powefully surmon

  • @aminalimu5150
    @aminalimu5150 3 роки тому +1

    Amina amen Amen 🙏

  • @evabiyela8554
    @evabiyela8554 3 роки тому +1

    Amen we believe in Jesus Christ name.

  • @stevenmatheo7134
    @stevenmatheo7134 3 роки тому +13

    Unatia moyo Baba

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 3 роки тому +1

    Amina Amina tunayashika kwa Jina la YESU ALIYEHAI

  • @glorianshimanyi1545
    @glorianshimanyi1545 3 роки тому

    Haleluya. Mtumishi umenena vema sana. Wakati wa Musa wetu umeishia hapa sasa tunaongozwa na Joshua yani Mh. Samia. Kweli Mungu amewasuka kila moja kwa namna yake. Tutafika tuendako kwa jina la Yesu. amen

  • @jameshamistakadin5159
    @jameshamistakadin5159 3 роки тому +1

    Mungu na akubariki kwa kutiamoyo taifa.

  • @zainabwickam7857
    @zainabwickam7857 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki ndugu kwa kuleta uwiano na undugu TZ

  • @gracembaka5689
    @gracembaka5689 3 роки тому

    Sasa mtumishi wa mungu ninaomba mungu akupe maono ya kugombea urais kwa uchaguzi ujao..

  • @vicentndole3805
    @vicentndole3805 3 роки тому

    Tumuenzi J.P. M kwa kuongeza muda zaidi wa kuchapa kazi zaidi.

  • @edinasosteness3182
    @edinasosteness3182 3 роки тому +3

    Ahsante Mtumishi wa Mungu

  • @dikisonikisau5239
    @dikisonikisau5239 3 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi

  • @sherryshazala7123
    @sherryshazala7123 3 роки тому +3

    AMEN ..AMEN

  • @monicanelisha1299
    @monicanelisha1299 3 роки тому +5

    AMEN

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 3 роки тому +9

    AMENI

  • @LRocks
    @LRocks 3 роки тому +4

    Tafadhali msimame na mama na mumuunge mkono.

  • @eradiushenry7766
    @eradiushenry7766 3 роки тому +9

    Maneno ya madhabau tuliyangoja na tulitegemea maelekezo kutoka mbinguni we love you Daddy

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +1

    🙏JESUS ❤️

  • @ntambalalubangila2774
    @ntambalalubangila2774 3 роки тому

    Umeongea ya busara sana,una muono Kama wa kwangu nami ndivyo nilivyo hongera sana Mungu akubariki,

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 3 роки тому +6

    Inna lilah wainna lilah rajiun Jpm alale salama. Tuliobaki tumshukuru mungu kwa yote tusonge mbele watanzania amin

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 роки тому +3

    Baba kwa kweli ww Ni faraja hafu nikiona we nahisi namwona magufuli barikiwa Sana baba

    • @neemanziku5403
      @neemanziku5403 3 роки тому

      Amekufa na ametuahidi kwamba tusiogope korona ameniachia iman kubwa Sana siogop korona, ww na baba magufuli mmenifanya nisiogope korona asante

  • @ngoyatvonline1181
    @ngoyatvonline1181 3 роки тому +1

    Safi Sana mchungaji gwajima

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 3 роки тому +4

    Aleluyaaa. Babaa

  • @joelymairamurungu1138
    @joelymairamurungu1138 3 роки тому +5

    Actually B shop you too much Daddy!!!😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌👍👍👍👍👍👊👊👊👏👏👏👏👏👏👏

  • @naomichambo458
    @naomichambo458 3 роки тому +4

    Gwajima wewe ni mtumishi wa Mungu

    • @ns9940
      @ns9940 3 роки тому +1

      Askofu gwajima magufuli his pacemaker was hacked by lisu to switch his devise if you know his hospital data you can kill some one lisu is a person who killed by lisu and his friend

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 роки тому

      MTUMISHI WA KAWE.

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 роки тому +1

    Mtumishi wa Mungu unarofanya ni zuri kumwombea raisi. Ila sasa una maadui wengine wanaukua against na ww na wanajiita watumishi w Mungu. Hawataki kusamee wala kuwa na upendo wa Yesu. Ila Mungu yupo.

  • @sadickjumaaismail1772
    @sadickjumaaismail1772 3 роки тому

    Nakuelewa sana Mchungaji, neno lako na liwatie moyo na faraja TANZANIA

  • @mwakisukuli2124
    @mwakisukuli2124 3 роки тому

    Amen barikiwa sana Bishop

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 3 роки тому

    Barikiwa Dr Bishop Ngwajima

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 3 роки тому +1

    Amina mtumishi ubarikiwe

  • @emmamwakagile473
    @emmamwakagile473 3 роки тому +1

    Thanks dady

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 роки тому +1

    Safi sana kaka mchungaji gwaj boys

  • @japhetmichael7608
    @japhetmichael7608 3 роки тому +12

    Nilikuwa nangoja Neno kutoka kwako mzee

  • @magrethpius8566
    @magrethpius8566 3 роки тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 роки тому +7

    Vita vipo kweli kweli

  • @apostlejeremiahmwasenga5291
    @apostlejeremiahmwasenga5291 3 роки тому +2

    Powerful

  • @saraphinampoma5945
    @saraphinampoma5945 3 роки тому

    Amina baba

  • @joshuaemanuel2577
    @joshuaemanuel2577 3 роки тому +8

    Ameni Baba mkono wa Mungu Uko juu yetu

  • @edinasosteness3182
    @edinasosteness3182 3 роки тому +1

    Amina baba Mungu akubariki

  • @francislovemore3858
    @francislovemore3858 3 роки тому

    Aminaa

  • @frankmathayo8685
    @frankmathayo8685 3 роки тому

    Nguvu ya Mungu inazidi kuonekana

  • @Byeragordian3572
    @Byeragordian3572 3 роки тому

    Spoken well man of God

  • @dinnamanga1741
    @dinnamanga1741 3 роки тому

    Aminaaaaa

  • @saraphinampoma5945
    @saraphinampoma5945 3 роки тому

    Aminaaaa

  • @vumiliamwaisaka5073
    @vumiliamwaisaka5073 3 роки тому

    Amina

  • @marympemba1829
    @marympemba1829 3 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi wa bwana

  • @kenyagoldenlionacrobats8927
    @kenyagoldenlionacrobats8927 3 роки тому

    Powerful words

  • @coffeemuya618
    @coffeemuya618 3 роки тому +1

    Bishop hakika ww ni mtumishi wa mungu

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 3 роки тому

      Kabisaa tuliombee Taifa letu Kuna mambo mengi Yanatokea na yatatokea mbeleni Mungu ibariki🇹🇿

    • @coffeemuya618
      @coffeemuya618 3 роки тому

      @@bernardoleonard7331 Ni kweli taifa linahitaji maombi tusirudi tulipotoka

  • @abrahammolla8188
    @abrahammolla8188 3 роки тому

    Amen amen