Mungu akutangukie kwalila jambo unalo fanya broo herisi wewe nikiongozi wa karine yangu kwa Sasa naona ww ni kiongozi ulie teuliwaga na Allah endelea kua na moyo wa dhati hv hv broo na wakubwa zako wanao kuongoza wanae jembe Lina chapa kazi hasa
Mi mwenyew nashabikia soka na timu yng yanga, ila usipende kumuingiza ALLAH Kwenye mambo yasio yake...MUNGU atawateuw mitume na sio watu wa kuja kuhamasisha maswala ya mipira, tambua mpira na siasa MUNGU haviungi mkono ivo vitu
Yaani ni rais wa club --- Halafu ni mwenyekiti wa clubs Afrika --- Halafu pia ni striker katili wa nyavu --- " jamaa anajua boli nje,ndani " angalia mikimbio yake, kuifukuzia ile kros ya Nkane " utadhani HARY KANE "
Tunahitaji team kamwe vs Ahmedy na pesa itakayopatkana iende kwa ndugu zetu albino kumuenzi mtoto Asimwe❤
Kabisa umefikilia vyema
Hakik ndug itakua vzr sn
Daar hongera sana rais wetu. nakukubari sana kiongozi,
Yani tuna hangaika kutafuta streka na streka yupo😂🙌🏾
😂🤣😂🤣🤣🤣ovyo kabisa wewe
@@flavianajohn5250 au mwenzangu unaonaje ati😅
Yani yupo kwa vicha
@@kulthumsaleh5579 🙄🙄
Kumbe ni mzuri uwenjani kias hiki
Mwamba sanaa ENG, tunakubali kuwa unapenda mpira sanaa tupo nyuma yako Rais wetu
Engineer hilo bao ni balaa.
Simba wakikutaka watoe billion 50
😹😹😹😹ata sikua nataka kucheka ila apo kwa simba ss😂😂
@@MwanahamisiMchombo😂😂😂😂
😂😂
Mungu akutangukie kwalila jambo unalo fanya broo herisi wewe nikiongozi wa karine yangu kwa Sasa naona ww ni kiongozi ulie teuliwaga na Allah endelea kua na moyo wa dhati hv hv broo na wakubwa zako wanao kuongoza wanae jembe Lina chapa kazi hasa
Mi mwenyew nashabikia soka na timu yng yanga, ila usipende kumuingiza ALLAH Kwenye mambo yasio yake...MUNGU atawateuw mitume na sio watu wa kuja kuhamasisha maswala ya mipira, tambua mpira na siasa MUNGU haviungi mkono ivo vitu
Daah.. huyu jamaa ujue ni noma sana.. anaujua kinoma noma..😁🔥🔥💚
Eng.Hersi anajua yaan mechi moja tu kashamkuta Kibu kwa magoli.
Mmemuona DUBE lakin😂😂😂
Uyu hersi mwakani lazma tumpe jezi
Safi sana rais wetu tendelea kutupa furaha ktk michezo
Sio raisi wa yanga bali ni player, fundi anaubonda na anaufaya mpira ummtii😊😂❤
Safi sana kazi nzuri
Kama like la Aziz kiiiiiii daaah 😅😅
ENG H.oyeeee💚💚🇹🇿
Vip moud ataweza
Hivi Mangungu anayaona mambo yanaofanywa na Hersi? Huyu jamaa tuwape simba atawasaidia sana kwenye Ligi
Upo vizuri tuna mtu wa kujivunia hongera sana
nikajikuta nafuraha nikazan yanga tupo uwanjani😊😊😊😊
Waooo huyo ndo rais wetu
Raisi wa ball 🎉🎉🎉
Yaani ni rais wa club --- Halafu ni mwenyekiti wa clubs Afrika --- Halafu pia ni striker katili wa nyavu --- " jamaa anajua boli nje,ndani " angalia mikimbio yake, kuifukuzia ile kros ya Nkane " utadhani HARY KANE "
Mwaona kipaji hicho,Eng.Hersi hakika "ALOPEWA KAPEWA",yaani mbali ya kuongoza na kuupiga mwingi pia.Wananchi tumebarikiwa,hawatupati ng'o !!!!
Mungu hamjaalie eng wetu amiin
Allaah Akbar
What the gool🎉🎉 big up president
Nakubali wewe kweli engeneer
Aaah umepigajee apo Raisi wetu
Jamani watu mmejaa hivi utafikiri Yanga na Simba. Kweli Yanga hamna jambo dogo ni halali msemwe.
Mwamba umetisha sana rais wangu pale mtaa wa msimbazi umewafunika wote 😂😂😂
Haika rais wa boli
Hongera sana kijana wetu
Mtu wa maana simba anatufaa kuliko jobe
Kumbeee raisi wetu stweka wa mpira jamaniii 😂😂😂😂😂yanga rahaaaa jamaniii hadi raisi anafunga😂😂😂😂
Stweka?😂
@@joshuachimwejo5892 🤣🤣🤣Jamaniii nimekosea miee kumbee @streka 🤣🤣
Hadi raha
Huyu bwana ni hatar
Sasa si akae pale #9 tu tunahangaika nini tena
Mwamba anajua ball ndio maana hasajili wakina jobe
Hatukubali lazima Mangungu ama Try Again ailipe hii 🤣🤣🤣🤣
Ambulance iwe pembeni 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
MTU WA MAANA KABISA
Jobe analakujifunza kwa rais .namna ya kukaa kwenye nafasi ....la mashujaa nao mnakz kumtoa nkane hapo jangwani hyo assist😅😅😅😅
M naiyona yanga tu💚💛
Ex😮
Jamani ni Eng hersi goli Kali namba Tisa 9 wa yanga
Eng Hersi is not fo sale😅
Nyie yanga acheni ujinga tumsajili yuhu mwamba kama mchezaji
Yan kama wanavyosema kocha mchezaji basi raisi wetu awe raisi mchezaji basi jmn dash yanga raha mpk raisi ni straiker 😂😂😂
Ukiuzungumzia mpira basi hujue na kuucheza sio wengine kabobo nyingi, Hukimpa mpira apige japo danadana 2 hawezi halafu anajiita semaji la Caf.
Duuuuh.....kama kichwa Cha Kennedy Msondaaaaa.
Apewe miaka mitatu jangwani maana ni bonge la mchezaji 😂😂😂😂😂
Huyo jezi namba 25 sio dube ama naona vitu vyangu?
😂😂😂
Yeye uyo🤣🤣🤣
😂😂kwanin simba msimsajili injinia😊😊
Sure Boy na Eng nawapenda matani yao 😂😂
Here's kufunga ye kawaida tu mbona hata ile mechi ya wabunge alifunga goli safi pia
Halafu mtu kama huyu akusajilie striker uwe na mashaka naye!! Huyu anaujua haswa!
Asajiliwe kwenye kikosi cha yanga sasa
Twalib nur nakuunga mkono
NDOAVAE NAMBA 10 YA AZIZI KI SASA😢
Bonge ya goli🤣🤣🤣👍👍
Nice
Hahahaha wape salam Yanga hainaga viongoz vilaza Bali Ina viongoz wajua boll
Heeee😮😮😮😮
Huna baya
Bonge la bao
Mangungu vipi😕😕
Dube alivyofurah raisi wake kufunga inahitaj D Mbili
Sijaelewa kwani dube kashaingia yanga
😂🎉🎉🎉🎉🎉
Bonge la goli
Ali kamwe nawe ingia bwana tuone makal yako
Huyo ndiye kocha wa hicho kikosi
Goli la kawaida sna utopolo bwana
Jaribu kumuweka mangungu tuone kama atafunga
@@user-zj7tt5gv8ymangungu anakisukari na Magori ana degedege
Muingize mo tuone kama ataweza😂😂😂
Makolo hauzwi ,msije akaweka kwenye akaunti dolodolo Kama kwa Lawi