Team Kibwana 2-6 Team Job | Highlights | Mechi ya Hisani | Wape Tabasamu 22/06/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 чер 2024
  • WAPE TABASAMU: Team Kibwana kwa mara ya tatu imekula kichapo safari hii ikipigwa 6-2 na Team Job katika mchezo wa hisani wa #WapeTabasamu2024 uliopigwa Uwanja wa jamhuri. Morogoro.
    Magoli ya Team Job yametoka kwa Eng. Hersi Said (13'), Said Ndemla (234'), Prince Dube (27'), George Mpole (78'), Samson Mbangula (79') na Edwini , Balua 90'+4.
    Magoli yote mawili ya Team Kibwa yamefungwa na Saimon Msuva dakika ya 30 kwa free-kick na dakika ya 47 kwa penati.
    Haya hapa magoli yote manane.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 57