Af kidogo nisahau.. leo imefanyika atleast 2h and half afu hot mwa mwi🙏🙌🔥 can't wait for the next episode.. afu mtufanyie tena mambo yenu ya lisaa limoj😢
Shout out to switi😂😂😂😂😂😂..... Another good episode, guests mmetisha sana. Inasikitisha tu siasa za nchi hii ni chafu sana it's hard kufaidi akili kubwa kama za Shamira kwenye uongozi
Kwan kucheat ndio iwe sababu yakusema hafurahii ndoa yake,wewe kama wako anacheat kwa kukuonesha pole yako but others wanacheat na hujui na huoni dalili and respect their wives sasa wasijisemee mazur Yao
Kipindi kikali sana sijajutua mb zng ni kirefu na nikizuli sana shamila amependezesha sana na tbway yupo vzur anajibu maswali kwa akili sana kipindi ni kizuri sanaaaaaaaaa
Why do people use the word hustling kwenye politics? Kwan kuongoza watu ni mchongo? So ulali usiku na mchana ili uchaguliwe? Ukapate hela au ukaongoze watu??
Nimeipenda sana hiii jmn😊❤❤❤❤❤❤
Maswali ya huyu mtangazaji ni Yale maswali ambayo I real dreams be asked in future 😢❤
Hiki kipindi kinafundisha sana , respect I rock
🎉❤
from Just a show to The Show, best of the best Sana, Show ya taifa 2hrs, asante sana kwa kazi nzuri na show kali
Show ya Taifa🎉🔥
Nice show inafundisha sanaaa big up🎉🎉
❤❤❤
Imechangamka sana 😅❤
Every new episode I go with new skills. 💪🏻💪🏻🔥
Leo upo na mzee wa ELEMENT, TBWAY 360
🔥🔥🔥
The best show in town currently 🔥🔥🔥
Huyu ndo lastborn sasa😂
All the way from Dom town! another time for the best show All over TZ
🔥🔥🔥
Ah I learned a lot of things wallah with a lot of enjoyment😅.. Huge S/O to bro Matukio we ni mnoma kaka😂🙌 Thnx iRoc🔥
Big up🔥🔥🔥💯
The best show in town🔥🔥
💯💯📌
Its a very nice show big up 🎉🎉🎉
Shamira kaupiga mwing❤
Nimeanza kipindi nasema 2hrs mbona nyingi ila najikuta namaliza kipindi 😂😂 nimenjoy nimejifunza pia 🔥🔥
😅😅❤
Mtu mzima Afichiki 😃😃😃😃 #Alooooooooh
Nimesema niangalie tu dakika 15 nizime data loh! Nimemaliza 2:20 na nimeona kimeisha haraka😂😂 aaah MB zng🥹
I enjoyed and learned to listen to Shamira a lot ❤
shamira yuko vizur sana keep going
Kipindi ni kizuri sana ❤❤
mimi hapo kweny age Tbway upo sahihi kabisa kwajili ya respect
Mzee matukio weka till No. Tusupport hata kama ni 1000
Mayatima wa sweetie 😂😂😂😂
Af kidogo nisahau.. leo imefanyika atleast 2h and half afu hot mwa mwi🙏🙌🔥 can't wait for the next episode.. afu mtufanyie tena mambo yenu ya lisaa limoj😢
😅😅😅
This show is something else 🎉🎉🎉
🔥🔥
Show ni kali mnoo🎉
Mmmmh mmhh in matukio voice 😂😂😂
team teza nakukubali sana
The show is awesome 👌
TBWAY anatema madini sana, akili mingi uyu mzee
Tibway balaaa sana akili nyingi brain 🧠
Hapo kwa dakika ya 11:50 una muongelea Jonijo tangu atoke wasafi kwenye kipindi cha Club89 kapotea kabisa hajulikani yuko wapi.
😅😅😅😅 kuna part naskilza zaidi ya mara mbili aseeee
sio nyimbo ni wimbo
Salute
Ww sio watu wate wametoke maisha ya kishua hamna elawww
Charles uko vizuri sana
🎉
Shout out to switi😂😂😂😂😂😂.....
Another good episode, guests mmetisha sana.
Inasikitisha tu siasa za nchi hii ni chafu sana it's hard kufaidi akili kubwa kama za Shamira kwenye uongozi
🔥🔥🔥
hapo kwenye ustaarabu🤣🤣🤣🤣
Uyo shamira utafikilia ndoa yake imetulia Sana ayani Kama kila kitu kwake kipo poa kumba matatizo tupu na kucheat anacheat maisha ya mtandao bn
Tafuta hela mzee uache makasiriko😅
Kwan kucheat ndio iwe sababu yakusema hafurahii ndoa yake,wewe kama wako anacheat kwa kukuonesha pole yako but others wanacheat na hujui na huoni dalili and respect their wives sasa wasijisemee mazur Yao
uyu dada yaan as if yeye ndo kwnza kumiliki ndoa kila mtu ana matamanio na mipango yake kaz sana haaaaaa
Tungepata podcast mngekosha big time
Kipindi kikali sana sijajutua mb zng ni kirefu na nikizuli sana shamila amependezesha sana na tbway yupo vzur anajibu maswali kwa akili sana kipindi ni kizuri sanaaaaaaaaa
Aaah not to disrespect her but dada unaongea balaaaa😂😂😂🤦🏾♂️
👊👊👊
💪🏾
Show kali brother
Kuna Dada aliandika “All Men are Dogs” halafu ana Watoto wanne wote wa kiume😆..Siku pata jibu mpaka Leo
😅😅😅
Tuning in😊
We're looking forward to your feedback. Enjoyyyy🎉
nice show
Nmependa walivobishana kwenye maada ya umri hapo
matukio ulivo itikia io 200M anaona haiishi😂😂😂😂
Kipindi kiko poa sema t bway anongea kiswah english had anaboa😂
Matukio ni mmoja tu Dunia nzima...bro unajua nin tunataka kila sku👏👍😅😅😅
🥰
Ila Shamira anatuvituvitu kwa sweety wake hatariii🤣
Huyu dada ni wa maana sana.😁
😅😅
Jamaa hawez kuongea lugha moja inaboa
Tbway ameongea point untill alivyosema ongea na mtoto kama mtu mzima🌚🚮think again and again and again and more than again.
Why do people use the word hustling kwenye politics? Kwan kuongoza watu ni mchongo? So ulali usiku na mchana ili uchaguliwe? Ukapate hela au ukaongoze watu??
Shamira hapo kwenye kumuota mme wako....How is that possiblr🤣