THE JUNCTION S1:E34 | LEONARDO & KHADIJA MZEE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 142

  • @Mjomba_Side
    @Mjomba_Side 7 місяців тому +11

    Watching from the US. Leonard you have a sharp brain. You can take Tanzanian comedy global.

  • @bosongopepe994
    @bosongopepe994 7 місяців тому +12

    I want to appreciate the host jaman..bro matukio if ur seeing this Unafanya comfortability nzur sana kwa guest to talk and open up…co kelele ila ni seriousness kishkaj…thanks to the team for this show..it’s a blessing

  • @selemanismail4241
    @selemanismail4241 7 місяців тому +3

    Mashaallah ukhty Khadija ana saut nzuri😊

  • @gadialfayo8102
    @gadialfayo8102 7 місяців тому +8

    😂😂hii walker imekutana na mtembezi haswa😂😂

  • @Life_LensDiaries
    @Life_LensDiaries 7 місяців тому +4

    sema mzee wangu leonard bwana ukitaka uenjoy story zake mpige pombe oyaaa,Ila Khadija nimempenda jaman Admin nifanyie wepesi

  • @LindaThomas-bx7nm
    @LindaThomas-bx7nm 7 місяців тому +3

    kazi ya john mtembezi leonardo kawaka

  • @venantchami960
    @venantchami960 7 місяців тому +6

    Leonard .... comedian msomi

  • @paschalpius9245
    @paschalpius9245 7 місяців тому +5

    Leo pombe huziwez mzee😂😂

  • @OdenGreen
    @OdenGreen 7 місяців тому +1

    Somo zur sana ilo nimelipenda

  • @hellenkajange9946
    @hellenkajange9946 7 місяців тому

    I loove looove Leonardo, he’s so SMART!❤ and of course the show ni kali balaa keep it up guys🎉🔥

  • @GideonKiwango
    @GideonKiwango 7 місяців тому +6

    By the way theme ya kipind naona inaendana na uhalisia wa kipindi chenyewe .... binafsi naona kipind kinapendeza sana na kinaburudisha na kufundisha kikiwa na kaubishani kwa mbali ....ni kama chombeza ..And na mdhamini mwenyewe anajieleza jaman🤝

  • @emanueldanstan8904
    @emanueldanstan8904 7 місяців тому +1

    Interview kali sana😊❤

  • @AgnesAgnes-fm8wp
    @AgnesAgnes-fm8wp 6 місяців тому +1

    Kwa kweli kaka kipindi chako ni kizuri sana binafsi naenjoy sana Kila nikiingia kwenye vipindi yako 😂🎉

  • @rebbywealth9869
    @rebbywealth9869 7 місяців тому +2

    Ila Leon 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 such a natural comedian

  • @willyztv..7743
    @willyztv..7743 7 місяців тому +2

    Shooow iz kali jmnii

  • @dj_davietz
    @dj_davietz 7 місяців тому +3

    Oya kumbe nimechelewa Tena😂😂😂😂

  • @hmanyinja
    @hmanyinja 7 місяців тому +1

    Kwenye kutembea kweli maana tulipishana Bakwata Pale Makumbusho

  • @jeanmakanya
    @jeanmakanya 7 місяців тому +2

    This show should be on Maisha Magic Bongo

  • @jootayz
    @jootayz 7 місяців тому +1

    Leo mpaka kipindi kimeisha Leonardo hajalewa duuuuh

  • @silverman6930
    @silverman6930 7 місяців тому

    Another episode of this excellent podcast with my Guy Chalz. We appreciate you bro from here Uk 🇬🇧… big up to the guests especially my guy Leonardo .. intellectual 🧐

    • @iRocNetworks
      @iRocNetworks  7 місяців тому

      Mwana familia wa nguvu kabisa, much love from iRoc Networks❤

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 7 місяців тому +1

    I laughed lik a I never did😂💔 S/O to the whole Junction crew.. Leonardo is so genius n' talented😂n' Khadijah mzee got a sweet voice fr.. Af mbona kama episode imeishia kati like imekatwa flani hiv🤔.. Ila much thanks to u guys🙌

    • @iRocNetworks
      @iRocNetworks  7 місяців тому

      Your feedbacks are much appreciated❤

    • @Tariq_Tryagain
      @Tariq_Tryagain 7 місяців тому

      @@iRocNetworks 🙏🙏

  • @mostlyben
    @mostlyben 7 місяців тому +9

    Leo ni smart..khadija should a permanent co host she is that good❤

  • @mustaphaismail4628
    @mustaphaismail4628 7 місяців тому +1

    Leo Johnnie Walker alimshinda mapema ila good interview kafanya big up

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 6 місяців тому

    Mke ata mume mke kwa wazungu😂😂😂😂

  • @MahmmedOmani-sn7xx
    @MahmmedOmani-sn7xx 7 місяців тому +1

    Nimecheka sana hawa watu wako pow sana

  • @BrayoDimpoz
    @BrayoDimpoz 7 місяців тому +1

    Leonard akianza kuwaka anachangamka😂😂

  • @2116-n
    @2116-n 7 місяців тому

    Dada nimemkubali, ana sauti nzuri bhana

  • @mosibwanado
    @mosibwanado 6 місяців тому

    Sema leonardo na khadija wameendana kweli

  • @zotto_boy
    @zotto_boy 7 місяців тому

    😂leornad yuko serious na kinywaji 🙌

  • @mostlyben
    @mostlyben 7 місяців тому +2

    Hii show ni top level

  • @nshutielyse4477
    @nshutielyse4477 2 місяці тому

    Hii John Walker Imefanya mambo hahaha

  • @hanyjeniphakimaro9826
    @hanyjeniphakimaro9826 7 місяців тому +1

    Who is this guuy😩 Leonardo kumbe is very smart jmn..

  • @noahnalompa9748
    @noahnalompa9748 7 місяців тому +3

    Ila John Walker ndio key player wa hiki kipindi😂😂 salute kwa John mtembezi🫡

  • @fortmbilinyi6917
    @fortmbilinyi6917 7 місяців тому +1

    leo asamehewe john mtembezi kamshinda

  • @danielmosses3020
    @danielmosses3020 7 місяців тому

    Incroyable 😁

  • @THELITLAB-sy5by
    @THELITLAB-sy5by 7 місяців тому +6

    HII SHOW KALI SANA WAKUU, TUWEKEENI DSTV PALE JAMANI.

  • @chimu_mobiles
    @chimu_mobiles 7 місяців тому +1

    Hii show kali sana❤

  • @mashauri.014
    @mashauri.014 7 місяців тому

    Love the show

  • @egbertpesha4082
    @egbertpesha4082 5 місяців тому

    Enjoyed this one

  • @Suleimankhamis-qk9hq
    @Suleimankhamis-qk9hq 7 місяців тому

    this show is soooooo great

  • @HamidMajid-p2w
    @HamidMajid-p2w 7 місяців тому +1

    Katika episode niliotamani iendelee hii ni moja wapo, this was a good session

  • @JuniorSaguma
    @JuniorSaguma 7 місяців тому

    Very awesome interview 🎉🎉

  • @brysonmichael8099
    @brysonmichael8099 7 місяців тому

    Umlete na Eliudi😂😂😂👏🏾

  • @voicdesition897
    @voicdesition897 3 місяці тому

    Next show host awe idriss kitawaka kinoma

  • @onlyskills8258
    @onlyskills8258 Місяць тому

    Yani hii ni totally with no doubt Leonardo amelewa 😂

  • @meckie9931
    @meckie9931 7 місяців тому +7

    mpaka kipindi kinaisha nahs Leonard alimaliza hyoo chupa

  • @emanueldanstan8904
    @emanueldanstan8904 7 місяців тому

    Sheenzi kabisaa😅

  • @Giannoumiles
    @Giannoumiles 7 місяців тому

    Saiv show inakua mpka mnapat muda w kureply ,😂😂😂 anyways THE JUNCTION 🎉🎉🎉

  • @AsheryMwaweza-fb2oz
    @AsheryMwaweza-fb2oz 7 місяців тому +1

    Nakubal

  • @AziziMpongwe
    @AziziMpongwe 7 місяців тому +1

    nice show

  • @eliasmshiu2600
    @eliasmshiu2600 Місяць тому

    Khadija NAKUPENDA shangazi

  • @ibrahimlyimo631
    @ibrahimlyimo631 7 місяців тому +1

    Huyo manz hafai kwenye maisha ya mahusiano 0

    • @valencyminde5246
      @valencyminde5246 7 місяців тому +1

      Hafai na hataolewa hakuna mwanaume wakumwoa huyu

    • @ibrahimlyimo631
      @ibrahimlyimo631 7 місяців тому

      @@valencyminde5246 mtu hayupo sawa na baba yake atakua sawa na wewe???

    • @ibrahimlyimo631
      @ibrahimlyimo631 7 місяців тому

      @@valencyminde5246 mtu haelewani na babaake ndo ataweza kuelewana na mwanaume mwingine????

  • @reginajacob9272
    @reginajacob9272 7 місяців тому +1

    Mlete lavidoz , marcelo na Neema Mduma

  • @drmeku
    @drmeku 7 місяців тому

    Tunaomba extended version wakuu, hizo hata kama zina 3hours 😂😂😂, maana haka kaasaa moja na nusu kadogo, see what you can do kama mtaweka kwenye playlist ya extended version or whatever that is creative hizi show ziwe na version ndefu.
    Matukio ameua hiyo outfit yake 😂😂,

  • @edithafungo
    @edithafungo 5 місяців тому

    Khadija ana sound kama nandy

  • @Issamauridi
    @Issamauridi 7 місяців тому

    Leornado unakunya sana bro utalewa 😅

  • @jamesmoses4905
    @jamesmoses4905 7 місяців тому +1

    shoo kali

  • @rebbywealth9869
    @rebbywealth9869 7 місяців тому +1

    Very funny episode😅

  • @juventbyera1408
    @juventbyera1408 6 місяців тому

    Kipindi kizuri

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 7 місяців тому

    Utapigwa bastola 😂😂😂😂😂😂

  • @Caelumkids
    @Caelumkids 7 місяців тому +2

    Mabega ya Leonardo yanapanda kadri anavyozidi kuwaka 😅 ..yuko composed vinaya mnoo

  • @aaronmlingi7165
    @aaronmlingi7165 7 місяців тому

    Mzee wa PC

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 7 місяців тому +1

    Afu hamna kitu inanikwaza kwenye hii show kama brother Matukio unaposema "HILI NDO SWALI LETU LA MWISHO"🤦💔

  • @MwajumaKabua-qg4jm
    @MwajumaKabua-qg4jm 7 місяців тому

    Na mtto WA dadaangu nd zake watu wote wakilala yy nd anaenda washa tv half saut Hakuna yaan kmy

    • @fadhilzumbe
      @fadhilzumbe 7 місяців тому

      Wewe ndo unazingua (sio kwa ubaya)
      Ila hiyo ndo nature ya kipindi,lower your expectations haha hasa picha uliyoitengeneza mwenyewe kichwani..he is amazing

  • @Simeonesaph13
    @Simeonesaph13 7 місяців тому +1

    Hapo mwishoni leonard vitu vilishaanza kupanda kichwani🤣🤣🤣🤣 angepiga shots nyingine mbili za John Walker mngemfukuza humo😂😂😂 double penetration zimeingiaje hapo sasa?

  • @sarahrashidi9558
    @sarahrashidi9558 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @paschalpius9245
    @paschalpius9245 7 місяців тому +2

    Ila leonad pombe amna kitu

  • @yusravyizigiro1247
    @yusravyizigiro1247 7 місяців тому

    ❤️😘😘😘😋

  • @wemasanga142
    @wemasanga142 7 місяців тому

    Imekuchikua mda gani kujua kua hlo shati ndo lile lile sema tu limenyooshwa

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 7 місяців тому +35

    Show Kali, ila host ndo anazingua bhana, tushasema mara kibao lkn mpaka leo habadiliki. Host wa kipindi anapiga makelele sanaaa. CHARLES KUBALI KUBADILIKA BHANA

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 7 місяців тому +8

      Naona hiyo iko ndani ya DNA yake.... itamchukua muda kubadilika and alot of commitment, tujaribu tu kwenda nae hivyo hivyo until further notice ataadopt polepole
      Sababu ni bonge la show kiukweli, always looking forward to Thursdays

    • @sirajshelali6209
      @sirajshelali6209 7 місяців тому +3

      Mi nafkiri kinywaji kinachangia pia! Haijakaa sawa kulewa kwny kipindi

    • @eliamtani2840
      @eliamtani2840 7 місяців тому +2

      @@sirajshelali6209 yeah, alaf nilikua sijawaza like that, ni kweli asee.

    • @kulvetiaseli3569
      @kulvetiaseli3569 7 місяців тому

      Kweli kabisa host kelele nying sana

    • @iRocNetworks
      @iRocNetworks  7 місяців тому +31

      Asante kwa maoni. Theme ya The Junction ni kijiwe smart, hapa we are having fun but tunajifunza pia, kwahiyo hiyo atmosphere ya kubishana na zogo imetengenezwa kwa makusudi ili kipindi kiwe na feel ya kijiwe na ndio maana unaona mdhamini ni Johnnie Walker yupo makusudi ili kuchochea hiyo dhima ya kipindi. Kwa kawaida kijiweni unapata madini lakini pia vurugu za hapa na pale ndio jadi yake😅. Pole kama unakwazika rafiki

  • @thejelycho5087
    @thejelycho5087 7 місяців тому +1

    Leo ameshalewa 😂😂

  • @kataipixel2977
    @kataipixel2977 7 місяців тому

    Dk 55:38 😂😂😂

  • @nehemia397
    @nehemia397 7 місяців тому +1

    leonardo mnamuwekea ngumu ....kalevi hako tunakuaga nae MIKASA ubungo.

  • @Bmtstudiostz
    @Bmtstudiostz 7 місяців тому

    Johnnie Mtembezi kashafanya yake kwa Leonardo 🤣🤣🤣
    Ila nimependa kipindi kimekaa kibabe sana
    Mahojiano ya kijiwe yanajenga sana mtu anajisikia huru kwenye story za hapa na na pale
    Kweli hapa ni Makutano

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 7 місяців тому +2

    mbonaa fupiiii,imeisha mapemaa

    • @iRocNetworks
      @iRocNetworks  7 місяців тому

      Lisaa na nusu😅

    • @CharifaRachidi
      @CharifaRachidi 6 місяців тому

      Sababu imechangamka🔥🔥🔥 ndomana unaiona fupi

  • @dullahjr9570
    @dullahjr9570 7 місяців тому

    😂

  • @mukrimmo
    @mukrimmo 7 місяців тому

    Dkk ya 01:20:20

  • @gracesamwel460
    @gracesamwel460 7 місяців тому +1

    .

  • @mohamedKassimu255
    @mohamedKassimu255 7 місяців тому

    Bonge la show

  • @mosibwanado
    @mosibwanado 6 місяців тому +2

    Sema leonardo na khadija wameendana kweli