Hizi ndo aina za uwekezaji kwa mTanzania. With Salum Awadh (Financial Advisor)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025
  • Download Kijiweni: hopp.bio/kijiweni.
    Join us as we sit down with the CEO of SSC Capital Salum Awadh, a former public worker in a pension fund, who shares his journey from public service to leading a top financial firm. In this episode, we delve into his experiences, discuss the landscape of investing in Tanzania, and explore various business opportunities in the region. Don't miss this insightful conversation packed with valuable advice for aspiring investors and entrepreneurs

КОМЕНТАРІ • 78

  • @iddyhajji4303
    @iddyhajji4303 Місяць тому +2

    financial literacy is the best assurance to financial freedom

  • @anjelinastephen
    @anjelinastephen 6 місяців тому +6

    The people we should be making famous,the news we should be sharing,👏👏👏👏👏👏

  • @bitusimussa6074
    @bitusimussa6074 5 місяців тому +6

    financial education is the best way to be a rich

  • @fynart5933
    @fynart5933 6 місяців тому +5

    Videos like this should be more popular

  • @archchina4705
    @archchina4705 6 місяців тому +3

    Finance 101! Thanks Mr Salum for sharing your knowledge!

  • @emmanuelmfuko1430
    @emmanuelmfuko1430 6 місяців тому +9

    That's Salum Awadh🙌🙌

  • @mwemezipaulbatungi5022
    @mwemezipaulbatungi5022 6 місяців тому +6

    I thoroughly enjoyed the informative podcast, Salum. Your candid conversation about the crucial elements of investment and the strategies for preparing our children to take over our business in the future was truly valuable. I genuinely believe that your insights deserved a greater amount of airtime! 😂😂

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 6 місяців тому +3

    Siwezi pita Bila Kumpa Salute Salum Awadh he is the Beast in this Field indeed 😊

  • @isrodrick
    @isrodrick 6 місяців тому +3

    Much appreciation to Mr. Salum Awadh.....madini ni mengi sana💯💯

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  6 місяців тому +1

      tunakubaliana nawe🤝

    • @tanzanite1
      @tanzanite1 6 місяців тому

      Finally nimepata sehem ya kupata advices Bila fee yoyote

  • @daudimkuki8018
    @daudimkuki8018 6 місяців тому +4

    Mr. Salum Awadh ni mtu pekee aliyeni inspire kutafuta maarifa na kuanza ku- invest katika Cryptocurrency Market..
    Thank you brother 🙌🏻

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  6 місяців тому

      nomaa🤝🔥 kila lakheri kwenye safari yako hio ya investment🙌🏽

    • @davidtabaro
      @davidtabaro 6 місяців тому

      Bro nifundishe

  • @emamalela3783
    @emamalela3783 2 місяці тому +3

    Jamaa anaelezea mambo magumu tuliofundishwa darasani kwa njia rahisi sana

  • @devopips
    @devopips 5 місяців тому +1

    Naomba unisaidie course ambayo inapatkana bongo na inahusisha ,hizi financial security like bond , share unity na fundamental analysis

  • @turnontv3872
    @turnontv3872 6 місяців тому +4

    Best of the bestest

  • @Egkyne
    @Egkyne 5 місяців тому +1

    Mtu anayejua hata kwenye kuelezea anaelezea kwa utrahisi sanaaa na hata yule wa mwisho anaelewa vizuri kabisa.Hongera kwa mtangazaji kuuiza maswali mazuri sana ambayo yamesaidia sana sisi kupata ufahamu zaidi.Asanteni sana

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  5 місяців тому

      Asante sana kwa comment yako chanya

  • @DanielMsangi-c3f
    @DanielMsangi-c3f 6 місяців тому +4

    INSIGHTFUL AND VERY INFORMATIVE POD

  • @Sr_BookLord
    @Sr_BookLord 6 місяців тому +1

    A very helpful session, big up to the facilitator. The Insightful is GREAT AND BROAD, Ahsante sana Sir Salum Awadh 🙏

  • @hamed_nassoro
    @hamed_nassoro 6 місяців тому +3

    Insightful podcast brother 👏

  • @mbanikadege504
    @mbanikadege504 4 місяці тому

    One of the best interview i have ever come across

  • @Joan-xn1pc
    @Joan-xn1pc 6 місяців тому +3

    You have open my eyes!!!
    May I have your contacts!!!
    Be Blessed.

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  6 місяців тому

      his email is Sawadh@ssc.co.tz

  • @kilalakaila9762
    @kilalakaila9762 6 місяців тому +2

    Good job✌🏾

  • @allyadamkirita
    @allyadamkirita 6 місяців тому +8

    Aiseeeeee jamaaaaa ana madini yaliyoshibaa mnoo ila hata mm nawashaurigi watu waje kwenye financial markets uchumi wako unaweza ubadili ukiwa huku

  • @Michaelson6677
    @Michaelson6677 6 місяців тому +1

    big up broo please bring on more rich and wealthy people how are willing to share

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  6 місяців тому

      That's the Goal. Shukran

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 6 місяців тому +2

    Dahh hii imekaa powa sana

  • @lussubm3745
    @lussubm3745 6 місяців тому +1

    Very impressive 💯

  • @timotheotenga1878
    @timotheotenga1878 6 місяців тому

    Brilliant✊️..i celebrate you brother Salum.

  • @IsraelIlomo-q2k
    @IsraelIlomo-q2k 5 місяців тому

    Awesome ❤

  • @daudbenard4800
    @daudbenard4800 6 місяців тому +1

    Bravo

  • @maligaallan5119
    @maligaallan5119 6 місяців тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @joachimsamwel812
    @joachimsamwel812 6 місяців тому +1

    Gems

  • @richardchiha6387
    @richardchiha6387 6 місяців тому +1

    Naibu waziri wa elimu

  • @shinshi9696
    @shinshi9696 6 місяців тому +5

    I am landing in Tanzania next week, how do i get ahold of this guy, I have to look for this guy. Ndio kwanza nimeanza kuangalia 15 minutes.

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  6 місяців тому +3

      here is a link to his website for more personal contact. salumawadh.com

    • @shinshi9696
      @shinshi9696 6 місяців тому +1

      @@TIPSpodcast Asante sana

    • @Moteswa
      @Moteswa 6 місяців тому

      Naomba contacts za Awadhi. Very informative guy

  • @Moteswa
    @Moteswa 5 місяців тому +1

    Contact za Awadhi???

  • @CharlesMwita-w9b
    @CharlesMwita-w9b 3 місяці тому

    Kipindi ni kizuri kwa kujifunza kwa rika zote. Nashauri host wa kipindi jitahidi kutumia lugha maalumu ya kiswahili epuka maneno ambayo yanafikisha ujumbe lakini hayajakaa kimuundo maalumu, mfano ukatoboa ungesema ukafanikiwa. Naamini wanaangalia watu wakubwa na mashuhuri kwa ajili ya mafunzo.

  • @frankbiita4904
    @frankbiita4904 6 місяців тому

    Is this a swahili channel?

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 6 місяців тому +1

    Jamaa anaitwa nani

    • @blackwarrior-animations593
      @blackwarrior-animations593 6 місяців тому +2

      Salum Awadh huyo Mwamba sana

    • @MohamedIbrahim-bn1gz
      @MohamedIbrahim-bn1gz 6 місяців тому +1

      @@blackwarrior-animations593 Shukran bro yupo kwenye UA-cam au vipi

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  6 місяців тому

      kwenye search bar ukiandika "Salum Awahi" utaziona content zake zengine

  • @tvsamaki
    @tvsamaki 5 місяців тому +1

    Calton uwe unaleta vitu kama hivi, nawapa maua yenu

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  5 місяців тому +1

      🔥 sawa mkuu tutajitahiadi kwee hilo, na asante sana😃

  • @denisndaki2351
    @denisndaki2351 5 місяців тому +1

    Wana habari wetu jitahidini kutumia muda kujiandaa especially mnapohoji watu potential kama hawa mtu hujui hata CV ya mtu anayekuja kumhoji amefanya nini that's bluffing otherwise interview nzuri

  • @_benytz1573
    @_benytz1573 5 місяців тому

    Kuna kitabu kimoja ambacho amekitoa hapo kinaitwaje na tunakipata vipi...!!!!

  • @benedictaustard5583
    @benedictaustard5583 6 місяців тому +1

    Nime subscribe maana mnaongea mambo yenye akili.Tunapataje namba ya huyu jamaa?.

    • @TIPSpodcast
      @TIPSpodcast  6 місяців тому

      Shukran 🙌🏽🔥....unaweza ukamtafuta kupitia email (sawadh@ssc.co,tz)

    • @benedictaustard5583
      @benedictaustard5583 6 місяців тому

      @@TIPSpodcast Asante sana!.

  • @bigboys016
    @bigboys016 6 місяців тому +1

    Huyu mwamba anamambo kibao ambayo GEN Z,mnatakiwa kuyafatilia kwaukaribu sana