TAZAMA UMAHIRI WA PADRE MWENYE MIAKA 90 AKIPIGA KINANDA KIKONGWE PERAMIHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mwanahabari wetu Stadius Elestides alifanya ziara katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Benedict Abbey na kukutana na kinanda kikongwe zaidi kisichotumia umeme |Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.

КОМЕНТАРІ • 21

  • @meshackouko7385
    @meshackouko7385 2 роки тому +1

    Kwenye maelezo umeandika kinanda hiki hakitumii umeme. Lakini kinatumia umeme kufua upepo. Hongereni sana kwa kumtumikia Mungu.

  • @graciamligo120
    @graciamligo120 2 роки тому +2

    Rest in peace mpendwa wetu Fr. Lucius. Tarehe 29 Sept 2021 ulitutoka gafla.

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 Рік тому +1

    Tutakukumbuka daima

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 роки тому +2

    Vinanda hivi vipo hapa ulaya yuko vizuri mnooo nimewapata vizuri mmno kutokea hapa Ujerumani🇩🇪👏👏👏

  • @user-fz4dc1ue9n
    @user-fz4dc1ue9n 8 місяців тому

    Fr Licious enzi hizo za Peramiho girls 2001 mpigaji kinanda happy to see you Benedictine

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 роки тому

    Kimewatoa ushamba. Kinaitaji zoezi. Hongereni wamisionari kwa kazi kubwa kumtumikia Mungu.

  • @marychintala6496
    @marychintala6496 3 роки тому

    My Fr. Lucius...job well done

  • @srbenedictamgaya8239
    @srbenedictamgaya8239 3 роки тому +1

    Kiukweli sisi wamisionari tunajivunia mzee wetu huyu kwa bidii yake ya kumtumikia na kumsifu Mungu hadi uzee wake.Maandiko my.Augustine yanasema 'kuimba in kusali Mara mbili. '.

  • @piuspaultanzania5093
    @piuspaultanzania5093 Рік тому

    Mamba hapa mziki pia ubadilike pia jamani sio nzuri huyo mzungu kengeeee

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 роки тому

    Weee..Cántico ruum ,Mzee umenifurahishaaa....

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 роки тому

    Miaka 90 Baba padri bado nanguvu na akili na ujuzi. Mungu amjalie afya njema .

  • @enriqueonsakia
    @enriqueonsakia 3 роки тому

    nice one

  • @barikikimaro9165
    @barikikimaro9165 3 роки тому

    OGAN vinanda vizuri sana

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 3 роки тому

    Kwa umri huu lakini bado ana memory na spidi kiasi hiki. Kweli Mungu ambariki mtumishi wake!!!

  • @catherinecharles8710
    @catherinecharles8710 2 роки тому

    Mmmmmh....jaman ndo nasikia leo hiki kinanda ila nimependa sanaa

  • @safarijuma3765
    @safarijuma3765 3 роки тому

    Safi sana

  • @gloriampete5629
    @gloriampete5629 3 роки тому

    Nimepamiss Peramiho

  • @mateinamate6253
    @mateinamate6253 3 роки тому

    Ndanda Mtwara via Lindi Kipo zaidi ya hicho....Nenda kajionee mwenyewe

    • @winfridagama5832
      @winfridagama5832 Рік тому

      Ndanda per kila vitu vyao vinafanana Hadi makanisa.

  • @joanmagagura4274
    @joanmagagura4274 3 роки тому

    Peramiho kanisa nililobatizwa nikapata komunio na kipaimara .