Padre Prosper Kessy Aingia Kwenye Kinanda Katikati ya Misa,Apiga Wimbo kwa Shangwe kwa Mapadre Wapya
Вставка
- Опубліковано 2 сер 2022
- 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GZCvnqJ2KPf...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america
huyu padri Mungu ambariki sana popote pale kwenye utume wake
God dwells in Tanzania. I felt more Catholic in Tanzania than in my own country and elsewhere. I miss my old days at Katubuka parish in kigoma.
You are welcome. From which country are you?
@@tondelogungulundi1523 I am Zambian but I stay in taiwan
Ok I come from Katubuka and also I was singing there
@@tondelogungulundi1523 that's good to hear bro. I knew one lady in that choir called Maggie. Do you know her?
Yes I do. Maggie lives in Dar es Salaam nowadays
Tunataka ma padre kama awa bhana si mapadre anasoma ibada unasema anamaliza saa ngapi
Pongezi padre kwa kucheza kinanda kwa weledi. Mungu akupe siha njema ili uzidi kuinjilisha taifa la Mungu.
Ni baraka tuu za Mungu hizi. Kwanza alivyo na furaha. Mungu wabariki na walinde mapadri wetu. Mavuno ni mengi japo watenda kazi na wachache
Hazina kuu ya kanisa
I have cried as I watched this i don't know why but sometimes we fail to serve our God. The selfness in this video can be seen with everyone.
Great Padre Prosper Kessy may God bless you always. Bravo!
I don’t even understand you here 🥴
Hongera sana father kwa uinjirishaj Mungu azid kukujalia afya njema ili uzid kuimarisha utume wako
Baba hingelaa nimependa ❤❤❤❤❤
Hongera Father kwa utume wako kwa kanisa la Mungu
Amina
Hongera unamaasisha vizuri cyo Kama umetoka usingizini
Sifa na Utukufu zimrudie yeye anaekuwezesha,hongera baba
Mwisrael kweli kweli!!! Hongera Fr.
Hongera sana Fr barikiwa
Hongeren Anton wapadua
Kongole kwako baba prosper kessy
Father anaavituko kama who barikiwa sana lakini vichekesho vyake ni vitakatifuu
Love you people
Dah hongera wa vipaji
Hongera sana kwa kuchunga kondoo wa mungu
Yaaaniii hadi raha aaaaaa Mungu akubariki father.
shukrani sana Padre❤💯🎹🎼🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni father wa kuiigws
Nimeipenda sana hii kitu ,,, ila Ushauri hii parokia Kubwa sana ,, Hilo jiwe Nyuma ya kinanda ni aibu kwa kazi yake inayoifanya na Mazingira lilipowekwa nitofauti Viongozi walione hilo..!!
Amina, tutawafikishia ujumbe
Glory be to God
Hongera padri kwa utume wako
🎉
Hongera sana Fr kwa kupiga kinanda vizur
Tunda la kanisa
Congratulation father.
Ubarikiwe Fr nilitamani sana niwe padre ila nikakosa kwaajili ya makosa ya wazaziwangu jamani
Pole Fransis
Usilaume ndugu. Mungu bado ana jema juu yuko.
Very lively,,,love it
Good performance Fr
Gifted fr.
Good work father.
Hongera sana father kwa utume uliotukuka.
Glory to God 👏👏
Thanks father
baba Yuko vyema
Safii
Mapadri wanavipawa tatizo wanabania
Hoonngera fr
YOU NEVER SEE SUCH MANY CHILDREN IN THE WEST
Hongera sana Kwa Utume wako,pia Kwa njia ya NYIMBO big up saaaaanaaaaaaaaa!!!
I see fr.Josephat from my home
Nice
👌🙏🙏🙏🙏🙏
Whats the name of the song..huo wimbo wa shukrani waitwa aje
Fr nimekumbuka siku zile Pemba ulitupigia kinanda wimbo wa ndugu yangu kaza mwendo safari bado ni ndefu
God bless
Atembee na Egypt isaac God bless
Remember that your called to serve
Nyimbo hizi za masebene mi sijawahi zielewa hata kidogo
Huwez kuelewa kila kitu duniani🤣🤣🤣
Wimbo huo waitwaje?
P
Glory be to God
Hongera sana Padre wetu,Mungu akupe maisha marefu