Mko vizuri ndugu zetu Tunawaombea heri, baraka na mafanikio katika Safari hii. Mtuombee na sisi Familia Takatifu ya Nazareth Mwendakulima- Kahama tukue vizuri na kuimarika.
Hongereni sana Jumuiya ya seminary ya kipalapala kwa wimbo mzuri wa kumualika Mungu ktk safari ya kuelekea jubilei ya miaka 100 tangu kunzishwa Seminary hiyo ya kipalapala Kwa kweli Mungu awe pamoja nanyi ktk safari hiyo Muweze kufikia kilele kwa Amani Mkimshukuru Mungu kwa Shangwe hiyo Kubwa na kuendelea kuifanya Seminary hiyo kuwa kitalu cha kutunza na kuchipusha miito mitakatifu ktk Kanisa🙏
Hongereni sana waimbaji na mtunzi. Wimbo mzuri sana na wenye kutafakarisha. Nimesikia katika huu wimbo muunganiko wa vionjo vya watunzi miamba wa muziki mtakatifu John Mgandu na Joseph Makoye.
Hongereni sana wapendwa wetu tunawaombea safari njema ya jubilee ya miaka 100 kipalapala, Watoto wangu wawili wapo hapo kipalapala seminari I'm proud of them and you all ❤ thanks a lot.🙏
Hongera na Hongereni kwetu sote wana Kipalapala. Hii ni ishara wazi inayoonyesha mambo mazuri na makubwa yanayokuja kipindi hiki cha jubilee na baada VIVA 🎉❤❤❤❤KIPALAPALA
Hongera sana mtunzi hakika mungu anakusudi nawe usichoke kumtumikia maana alichokianzisha ndani yako hakina mfano una karama kubwa sana mtumikie muumba wako katika ujana na hata uzee wako pamoja na wateule wenzako tunawapenda sana wetu wajao🎉🎉🎉
Hongereni sana watumishi wa Mungu na tunawatakia Jubilei njema🎉🎉👏👏👏.
Ahsante sana! Tumshukuru Mungu 🙏
Mko vizuri ndugu zetu
Tunawaombea heri, baraka na mafanikio katika Safari hii.
Mtuombee na sisi Familia Takatifu ya Nazareth Mwendakulima- Kahama tukue vizuri na kuimarika.
Amina🙏 Ahsante sana
hongereni sana Mafrateri wote hongera sana my kaka sololist Frt Aloyce
Ahsante sana 🙏
Maandalizi mema nami ntafika ,
Wimbo mzuri sana
Ahsante sana! Karibu nyumbani 🙏
Hongereni sana kwa jubilei 🎉 pongezi nyingi kwake Soloist Frt. Alois Kanyere
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana waseminari wetu mmeimba vizuri, Mwenyezi Mungu awaimarishe mudumu katika wito wenu na mmtumikie daima kwa furaha na bila ya kuchoka❤
Amina🙏
Tupo njia moja,nawaombea mfanikiwe
Hongereni sana kwa wimbo mzuri na kwa wito mlioitika kufanya kazi shambani mwa Bwana
Ahsante sana 🙏
Safii tutahudhuria Mungu bariki Mama Kipalapala nakukumbuka
Amina! Karibu sana nyumbani 🙏
Nawatakieni jubilei njema,Mungu awabariki Sana ❤️
Amina🙏
Hongera mafrateri wetu na baba Gombera kwa kuwalea watoto hao.
Ahsante sana 🙏
Neema ya injili TZ,,, Mungu aendelee kutukuzwa milele🙏🙏🙏
Amina🙏
Hongereni sana Jumuiya ya seminary ya kipalapala kwa wimbo mzuri wa kumualika Mungu ktk safari ya kuelekea jubilei ya miaka 100 tangu kunzishwa Seminary hiyo ya kipalapala
Kwa kweli Mungu awe pamoja nanyi ktk safari hiyo Muweze kufikia kilele kwa Amani Mkimshukuru Mungu kwa Shangwe hiyo Kubwa na kuendelea kuifanya Seminary hiyo kuwa kitalu cha kutunza na kuchipusha miito mitakatifu ktk Kanisa🙏
Amina... Tumshukuru Mungu 🙏
Hongereni Mafrateri
Ahsante sana 🙏
Mungu awe nguzo yenu kwenye utume mtumikie yeye bila kuchoka Amina 🙏🙏
Amina🙏
Hongereni malabee Mungu ibariki seminari yetu.
Amina 🙏
Asanteni sana. Wimbo unatutafakarisha
Amina🙏
ongereni sana kwa kazi nzuri, Mungu azidi kuwabariki
Ahsante sana 🙏
Mungu ibariki Kipalapala Seminari. Hongereni mwimbo mzuri sana.
Ahsante sana 🙏
Wimbo ni mzuri hongereni
Ahsante sana 🙏
Lovely😍. Tunamshukuru sana Mungu kwa uimbaji huu mzuri
Ahsante sana 🙏
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana ndugu zangu. Maandalizi mema ya jubilee ya Seminary ya Mt. Paulo Kipalapala
Ahsante sana 🙏
Hongereni kwa wimbo mzuri wa sala, pia mmeimba vizuriii mnooo hongereni 👏👏👏
Ahsante sana 🙏
Dunia nzima tungekuwa na unyenyekevu kama wa hawa watumishi wa Mungu,dunia ingekuwa mahali salama sana.Mungu awatunze watumishi wa Mungu.
Amina🙏
Mbarikiwe Sana wapendwa MUNGU awafanikishe yote Katika utume 💒🙏🎶🎼
Amina🙏
Hongereni sanaaaaaa Mungu awatangulie ktk safari yenu ya jubilei
Amina 🙏
Hongereni Wimborne ni mzuri
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Ahsante sana 🙏
Kazi nzr sana👏👏👏,
Mungu awajalie mahitaji ya mioyo yenu ktk kufikia Jubilei yenu.
Amina 🙏
Mungu azidi kubariki maandalizi ya Jubilei,,,,Kazi nzuri sana
Amina🙏
Hongereni sana wanaseminari wote pamoja na mapadre wote Mungu awafikishe salama kabisa mbarikiwe na bwana
Amina🙏
Hongereni sana Malabee wa Mungu, kwa nyimbo nzuri ya safari ya Jubilei.... Mungu awajalieni Mafanikio tele katika safari ya kuijongea altare ya Bwana.
Amina🙏
Tuisherekee jubilee yetu Kwa Amani, katika wakati wetu,, imekua zawadi na bahatiii kubwa Kwa Seminari Yetu! Tunamshuku Munguu 🎶🎵🎶🎶🎵
Amina 🙏
Hongereni sana
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana mpo good.Mungu awajalie mfikishe ndoto zenu🙏
Amina🙏
Kazi nzuri mubarikiwe sana
Ahsante sana 🙏
Safi waseminari wetu oyeeee!!
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana waimbaji na mtunzi. Wimbo mzuri sana na wenye kutafakarisha.
Nimesikia katika huu wimbo muunganiko wa vionjo vya watunzi miamba wa muziki mtakatifu John Mgandu na Joseph Makoye.
Ahsante sana 🙏
😂
Hongereni sana watumishi wa Mungu! Mungu awape hitaji lenu kama mlivoomba🙏
Amina 🙏
Hongereni sana Mafrateri kwa wimbo uliojaa tafakari na hamasa kwa maandalizi ya Jubilei .
Ahsante sana 🙏
Kuimba vizuri ni kusali mara mbili
Amina
Kazi nzuri. Hongereni sana.
Ahsante sana 🙏
Kazi nzuri sana
Ahsante sana 🙏
Tufikie Kilele kwa Amani🙏
Amina🙏
Hongereni sana Mafrateri kwa wimbo mzuri
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana mafrateli, watching from Kenya 🇰🇪
Ahsante sana 🙏
Karibu Tabora
Hongereni kwa Kazi nzuri
Ahsante sana 🙏
Hongereni makuhani watarajiwa kwa kuimba vizuri
Ahsante sana 🙏
Amina Mungu awapiganie ...hongereni sans
Ahsante sana 🙏
Hongereni wimbo mzuri Mungu awabariki sana mwendlee kumtumikia
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongera The Galaxy Pro Studio,
Nawaelewa Sana, chaguo Sahihi
Hongera Waseminari 🎉
Ahsante sana 🙏
Mwenyezi Mungu azidi kuwaongoza katika hii safari. Congratulations
Amina 🙏
Hongereni jamani mungu aendelee kuwatunza nawaona na wadogo zangu
Tumshukuru Mungu 🙏
BIG UP FRATERS&RECTOR FOR THE JUBILEE SONG
Thanks 🙏
Kazi nzuri, hongereni sana mapadre wa kesho
Ahsante sana🙏
Nzuri ❤
Ahsante sana 🙏
Hongera,kazi ni nzuri
Ahsante sana 🙏
Maandalizi mema kwa Jubilei🙏
Ahsante sana 🙏
Hongeren sana
Ahsante sana 🙏
Mungu akawe daraja kwa Kila jambo
Amina🙏
God is good always.
All the time. Thank you!🙏
very nice song 🎉🎉
Thank you 🙏
Hongereni Sana Mungu afanikishe safari yenu hii.
Ahsante sana 🙏
Maandalizi mema ya Jubilei
Ahsante sana 🙏
Duhhhh mbarikiwe sana wanangu kwa utume wenu nimetokwa na machozi ya furaha mnavyoimba
Ahsante sana 🙏
Kwa kweli wanaimba vizuri mnoooo🎉🎉
🔥🔥🔥Melody🔥🔥Hongereni sana Wimbo mzuri sana
Ahsante sana 🙏
Mungu awabarik Sana mdogo Wang anasoma hapo.
Amina 🙏
MUNGU awaimarishe Kila siku ya maisha yenu watumishi wa MUNGU
Amina🙏
Pongezi kwenu
Ahsante sana 🙏
Sala nzuri, Mbarikiwe
Ahsante sana 🙏
Hongereni snaa Wimbo mzur yaan nauskiliza mara tatu tatu❤❤
Amina... Tumshukuru Mungu 🙏
Mungu awabariki sana,wanatabora
Amina 🙏
Mungu awe nanyidaima,🎉
Amina🙏
Asantee Sana wadogo zatu
Mapadre wakesho
Tumshukuru Mungu 🙏
Mungu Ibariki Seminary yetu
Amina🙏
Hongereni sana sana Mama Bikira Maria mama na mwombezi wetu azidi kuwa mama yenu daima akiwaombea na kuwasimamia
Asante, sana Veronica, Mungu akubariki
Mbarikiwe Sana hakika Matendo ya Mungu ni makuu mmeutendea haki Wimbo wa Jubilei mmeimba vizuri sana
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana Kwa kazi nzuri Mungu mwenyezi awatangulie mfike salama
Ahsante sana 🙏
Hongerani sana, nimefurahi kumwona Baba aliyenifanya kijana na askari hodari wa Yesu Kristo
Amina 🙏
Niwatakie wana kipalapala Jubilei njema na Mungu awabariki sana Malabee wa Mungu🙏🙏🙏🙏
Amina Ndugu! Ahsante sana 🙏
@@KipalapalaSeminaryOnlineTv Amina Ndugu🙏🙏
Congratulations brothers Mungu awaongoze
Amina 🙏
Hongereni sana wapendwa wetu tunawaombea safari njema ya jubilee ya miaka 100 kipalapala, Watoto wangu wawili wapo hapo kipalapala seminari I'm proud of them and you all ❤ thanks a lot.🙏
Ahsante sana Mama 🙏
Galaxy studio 👏🏿
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongera na Hongereni kwetu sote wana Kipalapala. Hii ni ishara wazi inayoonyesha mambo mazuri na makubwa yanayokuja kipindi hiki cha jubilee na baada VIVA 🎉❤❤❤❤KIPALAPALA
Nibarakaa sana
Ahsante sana 🙏
Congratulations for a very good song Of the jubilee, we wish you good preparations and successful for the jubilee of 100 years
Thank you so much🙏
MUNGU azidi kuwaimarisha katika safari yenu ya utume
Amina🙏
Vzur san
Ahsante sana 🙏
Awesome!! ❤❤❤
Mzidi kukua katika utume!
Amen, thank you!🙏
Safi sana kazi nzur tunazid kuwaonbea mfikie malengo yenu
Amina 🙏
Hongera sana mtunzi hakika mungu anakusudi nawe usichoke kumtumikia maana alichokianzisha ndani yako hakina mfano una karama kubwa sana mtumikie muumba wako katika ujana na hata uzee wako pamoja na wateule wenzako tunawapenda sana wetu wajao🎉🎉🎉
Amina
❤️❤️❤️❤️❤️ Kila wakati mungu awainue muufikie wito mtakatifu mtuongoze vyema 🙏🙏🙏🙏🙏
Hongereni sana mafratel😘🔥🔥nakuona fratel kanyele kaka angu Mimi umeweza sana sana kaka
Ahsante sana 🙏
Safi sana wana uwaka waseminari wetu
Ahsante sana 🙏
Kazi nzuri sana, Tanawapongeza wote waliohusika kuifanikisha.
Ahsante sana 🙏
hongereni sana kipalapala
Ahsante sana 🙏
Wooow kakaangu Aloyce nakuombea kakaangu ufikie wito wako umeimba vzr na wenzako wote hongereni🎉🎉🎉🎉
Ahsante sana 🙏
Hongereni sana Kwa wimbo huu ... Ni wimbo mzuri na umebeba ujumbe mkubwa sana💐🎊💐🎊
Ahsante sana Mama
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongeren sana mafrateri kwa kuimba vzuri...
Ahsante sana 🙏
Hongereni sanaaa kwa wimbo mzuri wa Jubilee
Ahsante sana 🙏
Kazi nzuri, Mbingu ziwazawadie
Amina🙏
Kweli Mungu afanikishe safari yenu. Hongereni sn waklero wetu
Amina 🙏