PADRE KITIMA ASHINDWA KUJIZUIA AELEZA MAZITO KUHUSU MAZURI YA ASKOFU RUWA'ICHI KUANZIA SAUT,SALA N.K

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
    INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
    FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
    Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
    Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

КОМЕНТАРІ • 25

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 місяці тому +1

    Wananchi wa Mwanza waliumia sana kuondoka kwake.mungu akutunze baba.

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 3 місяці тому +1

    Sote tunajua gharama ya ukweli Baba Ruwaichi ❤ songa mbele na uniombee na mimi Baba. Na mimi naendelea kukuombea katika utume wako mtumishi wa Mungu.

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 3 місяці тому +1

    Dr Kitima ameeleza Kwa ufasaha Sana.Hawa wazee walikuwa na maono makubwa Sana.Mungu awabariki Sana maaskofu wetu.

  • @EmiliaLyimo
    @EmiliaLyimo 3 місяці тому +1

    Hongera kwa utumishi wa miaka 25 ya utume Baba Askofu..Mungu akutunze uendelee kulichunga vema kundi la kondoo wa Bwana.

  • @benswai8099
    @benswai8099 3 місяці тому

    Asante sana Padre Kitima kwa kuusemea vizuri utu na utume wa kuhani mkuu, Yudathadedeus. Anastahili. Mungu amsaidie zaidi, ili alisaidie kanisa la Mungu. Kanisa hili ni la Kristo. Wao ni mahalifa. Yuda ni halifa. Anatusaidia kumshuhudia Kristo Kwa watu. Kabla wakatoliki tulikuwa wanyonge kumshuhudia kristo maana baadhi kwa nafasi yake walikosa hizo sifa. Baba Yuda kuhani wetu kazana. Tunaoujua ukristo na ukatoliki tunaona. Mungu akubariki.

  • @francisriziki1954
    @francisriziki1954 3 місяці тому

    Asante baba kitima umeongea vizuri sana kuhusu baba yetu Ruwaichi ,,nawe nakupongeza na kazi yako ya ukatibu mkuu ,,hongera baba

  • @user-om5li6de1e
    @user-om5li6de1e 3 місяці тому

    Umenena vema fr. Kitima.. Kweli kabisa, ulionena yote fr.
    Hongera mno Baba Askof Ruwai'chi. Mungu amukutunze na kumubariki katika kazi zake zote, Amujalie afya njema ya mwili na Roho, na kila Neema na baraka anazohitaji katika maisha yake ya kichungaji, na ushirikiano bora kwa wale wote mnaofanya kazi pamoja, na Mungu awaimarishe katika Upendo na Umoja....

  • @andrewshirima6332
    @andrewshirima6332 3 місяці тому

    Hongereni Fr. Kitima,Bishop Lwaichi na TEC, nashauri mfanye uwekezaji serious elimu ya ufundi maboresho vyuo maarifa ya nyumbani kadiri mahitaji ya dunia.Mungu Baba awabariki daima kwa maono kwa taifa la Mungu.

  • @josephmasenga3517
    @josephmasenga3517 3 місяці тому +1

    Hongera sana Baba Kitima kutushirikisha ❤Mungu amtie nguvu aendelee kulitumikia kanisa la Kristu.

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 3 місяці тому

    PADRI Kitima nakubaliana na Wewe kabisa kuhusu Baba ASKOFU Ruwaichi. Sijawahi kufanya naye kazi lakini mimi ni msomi wa master degree. Nimemwangalia kwa saikolojia yangu. Anapenda sana kusimamia ukweli huyu Baba. Undumila kuwili siyo jambo zuri kwa kiongozi. Ni watu wachache wanaosema ukweli kwa viongozi wao lakini huyu ni msema ukweli hasa kipindi cha covid 19.

  • @eugenvem1818
    @eugenvem1818 3 місяці тому

    Padre kitima uko sahihi juu yake........askof ruwaichi kwakweli mungu akutunze sasa na milele......... ana hofu ya mungu kweli na ndio maana mungu anaendelea kumpa kibali

  • @emilylyimo4838
    @emilylyimo4838 3 місяці тому

    Surely

  • @fatumamaila6233
    @fatumamaila6233 3 місяці тому +1

    Baba RUWAICHI beba msalaba wako kwa ajili ya kanisa🎉🎉🎉

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 3 місяці тому

    Katoliki big up

  • @danielmandari4253
    @danielmandari4253 3 місяці тому

    😊

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 3 місяці тому

    The other side vp Fr

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 3 місяці тому

    Namtakia kila laheli katika utume wake baba askofu luaichi.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 3 місяці тому

    Kwani Nini Kimetokea Kwa Askofu Rwaichi

    • @desderipatrick8392
      @desderipatrick8392 3 місяці тому +2

      Anaadhimisha jubilee ya miaka 25 ya Uaskofu leo.

    • @malifezajrdealf8982
      @malifezajrdealf8982 3 місяці тому

      Anaazimisha miaka 25 ya uaskofu. Hii huambatana na homilia pamoja na historia ya uaskofu wako kwa kanisa maharia..nini umefanya ktk utume wako kwa kanisa.

    • @stevenghambi3471
      @stevenghambi3471 3 місяці тому

      Kutimiza miaka 25

    • @sr.elizabethmbuligwe5540
      @sr.elizabethmbuligwe5540 3 місяці тому

      Alikuwa na jubilei ya miaka 25 ya kiaskofu