Gwajima Ashusha Nondo: 'Tuweke Nyenzo Kudhibiti Rais Akiingia Madarakani Asitoke Nje ya Maono'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Mkutano wa Kumi na Tano, Kikao cha Arobaini na Nane cha Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania kinahusu kipindi cha maswali na majibu pamoja na mjadala wa Bajeti kuu ya Serikali iliyopitishwa Juni 13, 2024.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 124

  • @zesootv6726
    @zesootv6726 2 місяці тому +5

    Mungu akipenda siku mmoja nitaomba interview na mzee gwajima asantee sana kwa mchango wako uliotoa kwenye bunge mchango wako uliotoa bungeni kuhusu taifa letu la tanganyika au 🇹🇿 Tanzania

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 2 місяці тому +8

    Akili hii ya Askofu Gwajima itaheshimika Sana miaka ya mbele. Siku wakiamua kukusikiliza na kukuelewa badala ya kukusikiliza ili wakujibu tutafika mbali sana

  • @victoriamachunde4365
    @victoriamachunde4365 2 місяці тому +2

    Waoooo! Hongera askofu kwa mchango mzuri. Hizi ndio nondo za kisomi tunazotaka.❤

  • @farajakwilasa471
    @farajakwilasa471 2 місяці тому +3

    Asante mh gwajima kwa mchango wako nami nina nyongeza kidogo hapo wizara zingelikuwa zinaazimwa ningeliazima wizara ya ujenzi kwaajili ya kujenga kwa zege na nondo barabara itakayo dumu miaka 100 upana njia 8×2 = 16 🤝🏿✊🏿

  • @nibahati
    @nibahati 2 місяці тому +3

    Watu wenye akili hawakubariki kwetu bongo!
    Big up mzee GWAJIMA

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 2 місяці тому +11

    Wenye akili tuuu ndo wanakuelewa Askofu Gwajima.Kila Raisi atakuja na vipaumbele vyake na kila wizara inavipaumbele vyake.Wabunge wengi hawa uwezo wakuwajua long planning na short planning.Sisi siku zote tuna short planning.Nihatari sana.Mungu ona namna ya kumuweka Gwajima kuwa Kiongozi wetu wa nchi ya Tanzania

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l 2 місяці тому

      Nchi ya Maono ya Raisi haiwezi fika mbali

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 2 місяці тому +3

    Gwajima ni akili kubwa saana 🫡🫡✅

  • @FosterBwalya-rh9lh
    @FosterBwalya-rh9lh 2 місяці тому +1

    Asante sana bishop gwajima kwa maono hayo

  • @Jeremiamussa1986
    @Jeremiamussa1986 2 місяці тому +2

    Gwajima is the next president of Tanzania,you are deserved to be......

  • @ramadhaninyuki
    @ramadhaninyuki 2 місяці тому +6

    Gwajima.upo vzr sana kimaono SEMA vichwa vyetu havitaki mambo mazuri

  • @user-lk2dy6be2j
    @user-lk2dy6be2j 2 місяці тому +2

    Mh siku wakikuelewa nchi yetu ishakua tajirii

  • @michaelnzowa
    @michaelnzowa 2 місяці тому +3

    Hii ni akili kubwa kuliko, hao mawaziri wanaoshikilia uchumi na mipango ya nchi hii wapowapo tu.

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f 2 місяці тому +7

    Gwajima Bora uwe rais Ili maisha yasonge

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 2 місяці тому +1

      Pole sana tangu lini mchumia tumbo akajenga nchi

    • @khalidikmuhija5397
      @khalidikmuhija5397 2 місяці тому

      Huyu aliyesema Ana mango wa wapiga kura wake atawafanyia mpango wa kuwapeleka majuu. Huo mpango wake mdogo tu amefeli

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 2 місяці тому +2

    Madini ya kutosha sanaaa🔥

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 2 місяці тому +2

    VERY GOOD ASKOFU.
    MCHANGO MKUBWA

  • @johariyahaya8794
    @johariyahaya8794 2 місяці тому +2

    😂😂 wote hawaelewi kitu

  • @leopoldmushobozi6551
    @leopoldmushobozi6551 2 місяці тому +1

    Godbless Lema alishatahadharisha kuhusu hili....

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 2 місяці тому

    Kwann wasukuma wanaakili sana tofaut na makabila mengine

  • @PeterMlungu-fb2jv
    @PeterMlungu-fb2jv 2 місяці тому +3

    Safi sana mchungaji wape elimu hao kwa Traffic ded iwepo

  • @farajanovath8564
    @farajanovath8564 2 місяці тому

    Good point

  • @user-yt9eb2yg8g
    @user-yt9eb2yg8g 2 місяці тому

    God bless this man, take him to the higher position

  • @elianyigu5500
    @elianyigu5500 2 місяці тому +2

    Gwajima Kichwa unafaa kuwa rais. kwa sasa uwe mshauli wa rais itakua powa

  • @rama2ification
    @rama2ification 2 місяці тому +2

    Gwajima kumbe ni brain hivi hongera

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 2 місяці тому +8

    Kwani Askofu Gwajima umeona ugumu gani kusema kwa uwazi tu kuwa instrument inayotakiwa kulinda maono ya nchi ni mfumo mpya wa utawala, kisheria na kikatiba kwa kuhakikisha nchi inaandika katiba mpya ili kumdhibiti Rais???

    • @abdulmagido5444
      @abdulmagido5444 2 місяці тому

      Awezi kuiweka hiyo mada wazi kwa sababu alishaitwa na kamati ya nizamu na kamati is ya nizamu ndilo inayotengeneza mfumo wa kulindana na ni mfumo una wahasisi wake wananguvu kubwa sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 місяці тому

      Gwajima hawezi sema kwauwazi Kwasababu hatayeye. Alipata kiti hicho wakura za Asante makufuli

    • @user-ic8od4el4c
      @user-ic8od4el4c 2 місяці тому

      Katiba na maono ya nchi wapi na wapi mzee

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 місяці тому

      @@user-ic8od4el4c utavfikaje kwenyemaono bila katiba nzuri?

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 2 місяці тому

    Hongera sema chadema wamesema sana haya mambo nikaona wanawakejeli

  • @aloycematiku5895
    @aloycematiku5895 2 місяці тому

    safi

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 2 місяці тому

    Amina uko sahihi askofu

  • @Makokola
    @Makokola 2 місяці тому +1

    Huyu ndie mtu tunaemuhitaji afrika Ila new colonialism is problem in all African countries

  • @EnockSalapion
    @EnockSalapion 2 місяці тому

    Mh Gwajima nakubali sana point yako. Tusipo kuja na mpango wa jumla hatuwezi kuharmonize resources na implementation kutoka kwenye kiti kikuu cha nchi. Imagine kila president anaingia kwa mamlaka na priorities zake. Its a challenge !
    Jamani wakuu tuone umuhimu wa collective priorities za nchi za muda mrefu kila anayeingia kwa power aendeleze tuu ana sio kuanza vipya

  • @pilehkumpaul3034
    @pilehkumpaul3034 2 місяці тому

    Aiseee hizi nondo njema sana

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 місяці тому

    Mawazo ya gwajima ni mazuri Sana, tatizo katiba yetu shida

  • @vanessachriss5910
    @vanessachriss5910 2 місяці тому

    🙌🙌🙌

  • @user-kl8xf1yk2b
    @user-kl8xf1yk2b 2 місяці тому +1

    Nimala ya pili unawambia hawa washenzi namwingin anaanza nakumpongez raisi amekuwa mungu saizi

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 2 місяці тому

    Unaakili saana

  • @jimmyjohnson1133
    @jimmyjohnson1133 2 місяці тому

    🤝

  • @nurunewz103
    @nurunewz103 2 місяці тому

    Gwajima, akili nyingi sana.

  • @anastaziashihumbi
    @anastaziashihumbi 2 місяці тому

    Gwajima anafaa sana kuwa Rais kwenye nchi yetu hii

  • @user-qy7he6cl8w
    @user-qy7he6cl8w 2 місяці тому

    👏👏👏👏

  • @stevinmwanzaa1785
    @stevinmwanzaa1785 2 місяці тому

    Gwajima uko vzuri

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 місяці тому +2

    ŴATU WENYE AKILI KUBWA KAMA HAWA CCM HAITAKI WAKAE KWENYE SYSTEM HASA NAFASI YA URAIS. NCHI YETU INATAWALIWA NA WATU WASIOJITAMBUA WAKATI WATU WENYE AKILI KUBWA na UPEO MKUBWA WAPO!!"

  • @jenadiusnicholaus3238
    @jenadiusnicholaus3238 2 місяці тому +1

    Nilichogundua hili taifa bila wasukuma hatufiki popote..

    • @shadymoses5813
      @shadymoses5813 2 місяці тому

      Kabisa asee, ni critical thinkers hasa

  • @IssaAlly-cu4xp
    @IssaAlly-cu4xp 2 місяці тому +1

    Nyie ni Mchongo au sijamwelewaaa jamani

  • @dastanlufunda8846
    @dastanlufunda8846 2 місяці тому

    Kweli kabisa vision, vision , vision

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 2 місяці тому

    Kweli babisa 🎉

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 2 місяці тому

    Jasusi la Mbinguni😂😂

  • @paulmwaipopo9946
    @paulmwaipopo9946 2 місяці тому

    Mungu amwongoza askofu bungeni. Huwo ni mchango mzuri sana. Tunaomba Mungu ili Afrika yetu ibadilike.

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 2 місяці тому +1

    Ndani ya CCM watu wenye akili hawapewi hata nafasi za kuwa mawaziri ila mazuzu .

  • @jrkaluli5638
    @jrkaluli5638 2 місяці тому

    Hapo kwenye Nini kianze upo sahihi kabisa.

  • @chilakasanga7895
    @chilakasanga7895 2 місяці тому

    Huyuuu jamaaa anafaa kuwa waziri wa mipango

  • @magdalenampanda1426
    @magdalenampanda1426 2 місяці тому

    Big up sukuma tribe

    • @BenjaminSululu-uz6sd
      @BenjaminSululu-uz6sd 2 місяці тому

      Mbona hiri kabira linaonekana ndiro rinauchungu sana na hii machi ?

  • @yohanamogolo9628
    @yohanamogolo9628 2 місяці тому

    Aloo huyu jamaa anapaswa apewe hiyo wizara ya mipango atutengenezee hicho alichoongea anamaono makubwa sana, mengineyo tumwachie mungu mwenyewe ataamua .

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l 2 місяці тому

    Kwa wenye akili hapa Doctor anaizungumzia katiba mpya ya mamlaka ya wananchi ila inabidi uwe na D mbili ndiyo unaweza kumuekewa

  • @jameskagulu4228
    @jameskagulu4228 2 місяці тому

    Aoil nyingi sna

  • @Sostere98
    @Sostere98 2 місяці тому +1

    GWAJIMA POINTI YAKE NI ILE ILE NA IPO SIKU MTAMKUMBUKA

  • @MerereJr
    @MerereJr 2 місяці тому

    Askofu Ngwajima siku moja Yanzania hii itakukumbuka.

  • @Itarusii
    @Itarusii 2 місяці тому +1

    ....looks the same.... 😅

  • @froma3732
    @froma3732 2 місяці тому

    Kweli Rais Samia wamewamsha Watanganyika miaka 3 Sasa wanajitambuwa
    Wazanzibar wanawapa Hongera

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 2 місяці тому

    Fundisha Kila Wakati,Vishwa Vya Waafrika Ni Vidumavu.Wengi Ni Wapongezaji Hapo Bungeni.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому

    Sikio la Liga baba,waziri msomi nendeni mkafanye uganga wa kienyeji mambo ya kichumi yanawenyewe,

  • @amosmerama3680
    @amosmerama3680 2 місяці тому +1

    Hoja nzito, hakika political will ni shida kwa taifa letu

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 місяці тому

    Mpango wa serikali wa muda mfupi na wa muda mrefu ni kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani na kushinda chaguzi zote

  • @jrkaluli5638
    @jrkaluli5638 2 місяці тому

    Kuiona kesho kutwa kutokea juzi kunahitaji kujitoa wakfu (sacrifice) Jana na Leo. Idara za mipango kila wilaya chukueni maoni hayo

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 2 місяці тому

    Gwajima ana nondo sana, anasema ukweli kabisa

  • @samuelmakara1475
    @samuelmakara1475 2 місяці тому

    Hakuna nyenzo zaidi ya katiba mpya

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 2 місяці тому

    Wazee wa kupima upepo

  • @rich-lr8tq
    @rich-lr8tq 2 місяці тому

    haya yote ya Gwajima ni marudio tu, upinzani walishayasema muda mrefuuu, Gwajiboy ahsante kwa kuwakumbusha ccm, hakuna cha polytical will/wish ila ni KATIBA mpya inahitajika kwanza

  • @babanatalis8401
    @babanatalis8401 2 місяці тому

    Huyu jamaa ni ngumu sana kumuelewa anaongea makubwa sana lazima uwe na akili nyingi kumuelewa

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 2 місяці тому

    Kitila alitoa taarifa gani 😂😂

  • @leonardkazimoto6339
    @leonardkazimoto6339 2 місяці тому

    Nyie semeni katiba ndo inaweza kusimamia hayo shida yenu mnazunguka

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 2 місяці тому

    Huu ndo ukweli! Tunashangaa tu bure vya ulaya wakati njia yao ni mipango ya mbali na kuwa na nidhamu kusimamia mipango au maono ya miaka mingi ijayo....hii kanyaga twende tutasubiri mno...mahakama ipewe meno ya kumuhukumu kiongozi yeyote ambae anakosa nidhamu kwenye maono ya nchi...

  • @user-uh3eg5cj2r
    @user-uh3eg5cj2r 2 місяці тому

    Sio kwa CCM,! au sio viongozi wa Serikali tulionao Hawa!

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 2 місяці тому

    Hivi bunge limekuwa darasa inaonekana bunge na wabunge awajui kwanini wanaitwa wabunge sipika ajui kwamini anaitwa sipika na mawaziri awajui kwanini wanaitwa mawazili kwaiyo tanzania imezaliwa leo uwezi kujua kama nchi yetu ni kongwe au ina miaka 60 na ushee

  • @justinemuzanye7067
    @justinemuzanye7067 2 місяці тому

    Gwajima ameongea vzr,,, japo nikama marudio ya mipango ya hayati magufuri. Kikubwa wamkumbushe Dr Samia rais, kuwamkali asimamie fedha na wateule wake

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 2 місяці тому

    Wt wenye akili kama huyu wako wapi

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y 2 місяці тому

    Uko sahihi mzee tunaangamia,kwa kukosa marfa

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 2 місяці тому

    Hii ndiyo elimu bure kwa serikali

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 2 місяці тому

    Nchi inatengezwa na maono ya nchi kutumia habari/information tofauti tofauti katika kushirikiana na nchi rafiki zilizo fanikiwa na ikiwemo kutumia mashushu (spy) katika kuiba au kupeleleza habari za nchi shindani kutengeza uwezo wao kiuchumi na kiusalama kwa masilahi ya nchi nzima kwa maisha ya nchi ya sasa na yajayo kwa kutengeza contingency plan ya muda mfupi na mrefu. Ila Tanzania ina pelekwa pelekwa na watu wachache wasio na uchungu wa nchi na wananchi wake kwa kufanya maamuzi ya utashi na hisia za akili zao wao wenyewe matokeo yake wanaingiza taifa kwenye matatizo.

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 2 місяці тому

    mimi hili swala la kilimo sielewi paka leo..kwa nini hakufanyiki mapinduzi ya makusudi while we call this uti wa mgongo wa Taifa,haiingii akilini,kwa nini jambo ambalo lingeweza kuwa ishal wananchi na serikali yenyewe

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 2 місяці тому

    CCM hawana hiyo wao wanaangalia ya leo tu,wabunge 😂

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 2 місяці тому

    Kauli ungesema hatuna katiba , na Sheria za kusimamia mpango wa taifa,

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 2 місяці тому

    Kuna wabunge wanatamani kua upande wa wawananchi lkn wanaogopa

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 місяці тому

    Mh askofu una nondo Kali ila hapo wamejizima data wanaona ya Leo wapige hela2 na tushaambiwa vichwa vyetu vya Wenda wazimu 😂😂😂

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 2 місяці тому

    Ccm na ngonjera,mko hovyo sana.

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 місяці тому

    Mbona ndio wachdm wanawaambia

  • @user-mp7zk7dk7f
    @user-mp7zk7dk7f 2 місяці тому

    Nimecheka nchi kuangukia pua kiu kweli piga penyewe

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 2 місяці тому

    Kwamfano spika wabunge akiwa mbuzi halafu wabunge wakiwa mbwa wanabweka hivi mnahisi mbuzi atakuwa anawazanini katika mipango ?

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y 2 місяці тому

    Watu wanazekea malumbano vita ya kupinga kusapot karine hii ni 'yakuwaza barabara ya lami wakati wa china or island wanakaribya kutoka kwenye huo mfumo wa magari duuuh haya mambo haya

  • @evaemil856
    @evaemil856 2 місяці тому

    Asiuze mali zetu pia

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 місяці тому

    kwani Gwajima ukusema ukweli kwamba Tatizo lipo kwene katiba shida itakua nini

  • @rommelmauma5872
    @rommelmauma5872 2 місяці тому

    *All African countries LOOKS the same." What?*

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 2 місяці тому

    Wanacheza na maneno, ngeli ya ngenge.

  • @elpidiuskalumuna2338
    @elpidiuskalumuna2338 2 місяці тому

    Gwajima aliahidi kuleta train ya umeme sijuhi huo mpango umefika wapi?

  • @amosjk8630
    @amosjk8630 2 місяці тому

    Tushaa angukia pua

  • @zesootv6726
    @zesootv6726 2 місяці тому

    Sasa mzee gwajima ww upo kwenye kikundi hipi sasa kwasababu maono yako ni makubwa lakni uwezi kuitekeleza hapo unapiga kelele tuu kwasababu kla 1 afrika anamupango na tumbo lake

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 2 місяці тому

    Sasa kama Gwajima asiye waziri ndiyo yuko hivyo kwa nini wasimpe hiyo wizara aiongoze? Gwajima hao watu hawatakuelewa isipokuwa wenye akili na wazalendo wa nchi tu. Hawa watu kila mtu ana biashara zake unadhani watakuelewa? Mipango ya Wala nchi ndiyo wanaita mipango ya taifa, na hatuoni taifa linaenda popote.

  • @sylvesternicholous5445
    @sylvesternicholous5445 2 місяці тому

    Kwanini askofu asiwe raisi jamani ili hii brain tuifaidi tz

  • @barakamfilinge6943
    @barakamfilinge6943 2 місяці тому

    Ameongea hoja nzito na nzuri sana, bahati mbaya business as usual no body cares

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 2 місяці тому

    Uwa nakufatilia sana vile vile nasaport ungekua rais uchumi ungepanda.Ulisomea wapi? una mawazo mazuri

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 місяці тому

    Akiongea Kitila wanapiga makofi. Gwajima wanapiga makofi jamani

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 місяці тому

    Na haya ndiyo yalipaswa kuzungumzwa na viongozi wetu wakiwa bungeni n.k