MAAJABU YA KANISA HILI KUBWA LILILOPO PEKEE TANZANIA, "KUNA MAKABURI, NI KAMA ROHO YA MJI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 175

  • @explorewithbertin
    @explorewithbertin Рік тому +14

    Kanisa zuri kweli...I cant wait to visit Bukoba

  • @pauloptatmosha8115
    @pauloptatmosha8115 Рік тому +29

    Kila mmoja ana uhuru wa kuabudu! Mtuache na ukatoliki wetu!

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km Рік тому

      Kabisa

    • @RastaSuma
      @RastaSuma Рік тому +2

      Tutawaambia ili muweze kutubia kabla ya siku ya kiama ,wazungu au mataifa 10 walikaa na kuchakachua vitabu vya injili, zaburi na torati kwa maslahi yao kama vile kufunga ndoa za jinsia moja na mengine mengi ya kumchukiza mungu. Kuanzia Adam hadi ujio wa Yesu na mtume wa mwisho Muhammad wote
      waliabudu mungu mmoja hii ndiyo dini ya haki na sahii.

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km Рік тому

      @@RastaSuma je na sisi tukisema waarabu walikaa wakaandika msaafu unaonaje hiyo

    • @M.F.COSMASM.F.COSMAS
      @M.F.COSMASM.F.COSMAS Рік тому +3

      @@RastaSuma ndugu wewe hufahamu hata kutofautisha kati ya Mungu na mungu, alaf unategemea kuongea kuhusu mandiko.

    • @RastaSuma
      @RastaSuma Рік тому +1

      @@M.F.COSMASM.F.COSMAS Pia ujue kutofautisha kati ya mfundisho ya watu na ya mungu.. Mwenyenzi mungu hana sifa za viumbe kwani yeye ndiye alieumba, pia hafananishwi na mwanzo wala mwisho hivyo viumbe havina haki ya kuabudiwa ,mwenye haki ya kuabudiwa ni yule ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa huyo ndiye Mungu

  • @alphoncesanga8609
    @alphoncesanga8609 Рік тому +14

    Kanisa zuri sana, na nyie msiojua taratibu za kanisa katorik halafu mnalisemea mngesikiliza tu mkapita sio lazima m Coment

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 Рік тому

      Ndugu Nakusii Jifuze Ata mmi ni mwanafuzi wa Kristo ila Roma awafuati mafundisho ya Kristo

    • @user-bl9jj8wm9g
      @user-bl9jj8wm9g 2 місяці тому

      Jibu Cho kanisa zuri jibu ni kumtukuza mungu kutoka ndani ya moyo

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 11 місяців тому +6

    Love Catholic naupenda ukristo Asante MUNGU najivunia San❤❤❤

  • @Habiba-yb2hb
    @Habiba-yb2hb 11 місяців тому +1

    Huwa tunahukumu na hatujui lakini sababu nikuaminishwa kwa kupotezwa mie Kristo amenijaalia kutembelea sehemu alipozikwa Nabii Ayubu na kwama elekezo nilopata nikwamba pale alipokuwa akisali ikitokea amekutwa na umauti basi huzikwa hapo hapo so, jambo hili kuona kaburi ndani ya kanisa hakijanishtua hapo ndipo Imani yangu inavyoongezeka Ee Yesu naomba uniongezee Imani Amina❤

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Рік тому +10

    Utengeneze kaburi lako mapema usisumbue watu ukifa ❤

  • @paschaziamathias5090
    @paschaziamathias5090 Рік тому +4

    Mnaohukumu kanisa la Roma eti ni Freemason,! Mungu awasamehe bure maana hamjui mlitendalo. Madhehebu si uzima wako Mungu aangalia moyo wa MTU na matendo yake, na pia ni kama chombo cha kutufanya cc tumjue Mungu,tumpende,tumtumikie na hatimae tumrudie yeye ktk uzima wake wa milele. Kinachowasumbua ni wivu tuu, acheni tumjengee Mungu wetu nyumba nzuri zenye kiwango za kumuabudia aliye hai milele.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому

      Tatizo hutaki/hamtaki kutumia Vema Neema ya Akili (Giza Totoro unadhani, unasema na Uaamini ni Mchana kweupee/Nyekundu (Hatari) unasema Kijani/Salama!)
      Eleweni na Zingatieni Vema Mafundisho ya huyo Mumfanyae na Kuamini ni Yesu/Mungu alikuwa akiongea/akifundisha Kwa Mafumbo; Kula Mkate na Kunywa Divai/Mvinyo alimaanisha Kuenzi Neno la Mungu/Mafundisho yake kimatendo.
      Moyo na Mwili wa Mja ni Miki ya Mungu, hivyo Mja atende (Maamrisho/Makatazo) yote kwaajili ya Mungu (Allah) Muumba tu na Si vinginevyo.
      Utajihakishiaje kwamba Matendo utenadayo ni sahihi/amyaridhia (ameyakubali/anayakubali)Mungu Wakti hufuati Dini/lmaan sahihi ya Mungu Sahihi anfuata ya Mitume/Manabii, Vitabu na Mungu sio sahihi?!
      Mambo mengine ya Kidunia mnatumia RasiliMali Watu, Muda, Fedha nk kufanya Utafiti Umbembuzi Yakinifu Ili kujiridhisha msipoteze Gharama/aFedha nk.
      Lakini Ktk Suala la Kumjuwa na Kumuabudu Mungu mnaridhia tu Kuenzi kuendeleza ya Kurithi ya Wazungu/Makafiri Wa Mpango Mkakati (Missionary/Freemasons) wa kutaka aabudiwe Shaiytwan/Ibilisi.
      Roma Wamerithi Imaa/Tamaduni (Mila) nyingi/kama Zote kutoka Kwa Wapagani wa Antokia (Matendo ya Mitume 11 : 25...)
      Jitahidi/Jitahidini Kusoma/Kutafiti mujuwe Kweli na Haki.
      Kwanza Roma Si Dini. Jifunze Ujuwe Asili na Maana ya Roma/Mroma au Vatican.
      Huo ni Ushauri tu.
      Hivyo unao Uhuru wa Kuukubali/Kuukataa.
      Ila nimetekeleza Ujumbe/Kazi ya Mungu ya kukufukishia Ujumbe/Ukumbusho.
      Ukumbusho unamaufaa Kwa Mwenye Kuamini Ukumbusho huo.
      Mungu Mola Muumba ndo Mjuzi/WaAllahu Aalamu

    • @theresiachacha5180
      @theresiachacha5180 11 місяців тому

      ​@@alhadajjmohammedsmith9042mtuache na ukatoliki wetu jaaamaaani mbona mwaumia roho.sisi wakatoliki tunajua Nini tutapata katika imani yetu.hakuna atayeenda mbinguni kwa ajili ya dini au dhehebu.heshimu dini yako acha na sisi tuheshimu dini yetu pia.mambo ya ushauri hatutakii coz tunajua Nini tunafanyaa

    • @jackobsamson2241
      @jackobsamson2241 11 місяців тому

      Yote hayo hayana maana Kama hauna ROHO MTAKATIFU moyoni kwako nikazi bure na motoni utaenda acheni mapokeo njia ni mbili chagua upendayo

  • @jasintherjovinary6213
    @jasintherjovinary6213 Рік тому +7

    Kanisa langu la Bikira Maria Mama wa Huruma, Jumuia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Miembeni. I miss you

    • @rebecamollel7192
      @rebecamollel7192 9 місяців тому +2

      Huyo ndo Mungu wako,? Acha ibada ya sanamu wewe Yesu pekee ndio njia kweli na uzima ...

  • @Yesunimwokozi1
    @Yesunimwokozi1 Рік тому +7

    Nilikua pale bukoba..kila unapoenda ukipotea hilo kanisa ni kama radar

  • @dexmorinc6343
    @dexmorinc6343 Рік тому +11

    Bukoba Cathedral, Kanisa moja tu, Katoliki

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 Рік тому

      ua-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/v-deo.htmlsi=hY8MN_MTPQMQaLBs

  • @projectusmakwaya7895
    @projectusmakwaya7895 Рік тому +3

    Huyu Mtangazaji nimempeda "Casedoro"

  • @piuslugata4931
    @piuslugata4931 11 місяців тому +7

    Natamani siku moja nijenge kanisa zuuli sana Mungu nibariki

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 10 місяців тому

      Ukisaidia maskini na wenye uhitaji utabarikiwa zaidi hata ya kujenga kanisa. Kwa maana Mungu wetu ni Pendo apenda watu, na atutaka tuongozwe na Upendo❤

    • @EDITHACHINGUILE
      @EDITHACHINGUILE 6 місяців тому

      ​@@NgengeMkeni-uo5hqkila mtu anaguswa kwa namna yake, kadili Roho Mt. atakavyomsukuma ndani yake.

  • @morisiexperansia5549
    @morisiexperansia5549 Рік тому +2

    Ila wahaya wamefanya nn maada iliyopo ni makanisa ww unaenda kwenye makabila mbna hueleweki na ww sema kabila lako tukusifie

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Рік тому +1

    Asnten wakatoliki mliojenga mchango wenu mliotoa mungu awabariki na Arusha inafuata kw ukubwa

  • @user-bl9jj8wm9g
    @user-bl9jj8wm9g 2 місяці тому

    Hakuna kabisa zuri Wala baya wete tunapaswa kumuabudu mungu kweri

  • @marianajulius5926
    @marianajulius5926 Рік тому +11

    My Catholic Church makanisa ya kitajiriii😅😅😅

    • @angelnyinge4139
      @angelnyinge4139 11 місяців тому

      Utajiri wa kanisa hautakupeleka mbinguni shtuka ndugu

    • @marianajulius5926
      @marianajulius5926 11 місяців тому

      @@angelnyinge4139 Kwaiyo unatakaje kwa mfano🧐

    • @jackobsamson2241
      @jackobsamson2241 11 місяців тому

      Bila ROHO MTAKATIFU ndani yako huwez kwenda mbinguni kamwe sahau kwenda mbinguni makanisa ya Roma hayana ROHO wa Mungu jiadhali nafsi yako wakati utafika utataka kumuabudu Mungu utakuwa umechelewa

    • @marianajulius5926
      @marianajulius5926 11 місяців тому

      @@jackobsamson2241 so🤓

    • @jackobsamson2241
      @jackobsamson2241 11 місяців тому

      🤣🤣 ujinga

  • @BernardAkili
    @BernardAkili 2 місяці тому

    Kujenga makaburi ndani ya kanisa ni ibada ya sanamu bhanaa

  • @alexbitakwate
    @alexbitakwate 11 місяців тому

    Ahsante baba askofu Methodius kilaini,tuko nawe ktk maombi.

  • @consomosha
    @consomosha Рік тому +7

    Ingekuwa vizur kutengeneza makaburi yetu mapema,tusisumbue watu😂😂😂😂💁‍♀️

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 Рік тому

      ua-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/v-deo.htmlsi=hY8MN_MTPQMQaLBs

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому +1

      Tengeneza/andaa Kaburi lako Mapema Kwa Kutenda Ammal njema anazoziridhia Mungu Mola Muumba

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Рік тому +2

    Amen

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 Рік тому

      ua-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/v-deo.htmlsi=hY8MN_MTPQMQaLBs

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Рік тому +2

    Nampendaga sana huyu askofu. Eti andaeni makaburi mapema😂😂😂

  • @user-db2hi8jn3e
    @user-db2hi8jn3e Рік тому +3

    Nimesoma mafunzo ya ekaristi takatifu hapo na kipaimara hapo

  • @johnnykrantz1658
    @johnnykrantz1658 Рік тому +4

    Mungu awasimamie wote waliotangulia,tunakushukuru

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 Рік тому

      ua-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/v-deo.htmlsi=hY8MN_MTPQMQaLBs

  • @waytruthlife4171
    @waytruthlife4171 Рік тому

    Na watu kadha wa kadha walipokuwa wakiongea habari za hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe mazuri na sadaka za watu, alisema,
    Haya mnayoyatazama, siku zitakuja ambapo halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa. Luka 21:5-6

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 Рік тому +4

    Kama mtu amemkataa Kristo YESU hata akizikwa kanisani ni motoni tu...Jambo la MSINGI sio kuzikwa kanisani bali ni KUAMINI,KUTUBU,KUBATIZWA KWA MAJI MENGI NA KWA JINA LA YESU KRISTO NA KUOKOKA sio zaidi ya hapo au Hell fire Kwa kila anaekataa KUOKOKA..Rumi 10:8-13

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому

      Jambo la Msingi ni Kuamini na Kufuata/Kutenda Mila/Tamaduni (lmaan/Dini) Njia ya Baba wa lmaan, Baba wa Mitume na Manabii (Ibrahim AW), Kujisalimisha/Kunyenyekea/Kumuabudu (Allah SW) Mungu Mola Muumba wa kweli na Haki na Wapekee, hakuzaliwa/hana Mwana Wala Mtoto.
      Na tuifuate Vitabu sahihi vya Mitume sahihi, lbada Sahihi kutoka Kwa Mungu Mola Muumba sahihi na si Vinginevyo.
      Wazungu Wanawapoteza/wamewapoteza !
      Someni Vema Historia ya Uumbwaji wa Adam na Hawa, Uumbwaji wa BinAdam, Shaiytwan/Ibilisi na Malaika.
      Kusudio Kuu la Kuumbwa Kwa Adam na Kusudio Kuu la Kuumbwa Wana wa Adam na Kusudio/Lengo Kuu la kuletwa hapa Duniani.
      Wazungu wamechomeka Visa, Historia, Dini/lmaa za Uwongo, Mitume na Manabii wa Uwongo, Vitabu vya Uwongo, Ibada/Siku za lbada za Uwongo Ili aabudiwe Shaiytwan/Ibilisi Kwa vile lbilisi anauwezo wa kufanikishia yao ya Dunia endapo tu akipenda Mungu Mola Muumba!
      Mungu alishamsamehe Adam pamoja na Hawa tangia wakiwa Mbinguni/Peponi ila Kwa Agano la Adam atafute Rizki Kwa Jasho lake (Ajitume/Afanye Kazi) na Hawa atazaa Kwa Uchungu.
      Hivyo hakuna Dhambi ya Asili/Kurithi ni Uwongo na ni Uzushi Uloasisiwa na Wapagani/Makafiri (Freemasons) Kwa Maelekezo na Ushawishi wa Shaiytwan Kwa Mkataba wa Maridhiano ya kutekeleza ya Kidunia na Mpaka atake/apende Mungu na si Vinginevyo, Ibilisi hana Uwezo. Pasi na kutaka Mungu na Kukubaliwa/kuwezeshwa Kuweza Kwa lbilisi na Wafuasi wake ni Mtihan tu (Ibilisi na Watufasi wake hupimwa Watamshukuru Mungu/Watakufuru?)
      Ibada ya Ubatizo na za mfano wake ni Ujanja Wa lbilisi Kumtowa binAdam ktk Mila/Tamaduni (Imaan/Dini) sahihi (Uislamu) Mila ya lbrahim na kumuingiza ktk Mila/Tamaduni Myahudi na Manasara (Makafiri); Kuabudu Viumbe (binAdam/Yesu, Mizimu, Jua, Mwezi, nk Visivyofaa Kuabudiwa) na ndomana hapo Kanisani Kuna Alama ya Pembe 3, Jicho (Jua/Mwezi) nk vya Ukafiri/Upagani.
      Maslahi ya Dunia yanafanya Wafuasi wa Ibilisi na Familia zao waendelee kurithishana Imaan na lbada za Kuabudu Viumbe!
      Mfano; Sunday/Siku ya Kuenzi Kuabudu Jua, Kutengeneza na Kunyenyekea/Kuabudu Sanamu, Kuzika Maiti Kwa Mavazi, Mapambo, Masanduku na Kujenga Makaburi Kwa Gharama za Kufuru, Kusheherekea Sikukuu za Uzushi/za Kujitungia, Kufuata Kalenda za Kujitungia nk yasofaa.

    • @M.F.COSMASM.F.COSMAS
      @M.F.COSMASM.F.COSMAS Рік тому +1

      Kaa ujifunze maana ya kutubu na kuokaka na ubatizo wa maji mengi kwa jina la Yesu, shida yenu muna soma biblia kama gazeti.
      Mimi ni mkatoriki.

    • @priskaclever997
      @priskaclever997 11 місяців тому

      AMINA hiyo nikweli 🤝 MUNGU AKUBARIKI sana

  • @habibajohn8967
    @habibajohn8967 Рік тому +1

    ❤❤

  • @BahatiJonasi-s5w
    @BahatiJonasi-s5w 4 місяці тому

    Askofu anaitwa baba duuh kazi ipo

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Рік тому

    The best. 😊

  • @user-yq4mj3my7l
    @user-yq4mj3my7l Рік тому

    Wow!! kanis zuri kwel

  • @wilsonpaschal3360
    @wilsonpaschal3360 Рік тому +1

    huo mnara ulinipoteza sana usiku

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 Рік тому +2

    Kanisa la mbulu ndilo kanisa kubwa la 3 kwa Africa 🌍 sasa na kushanga unasema ety hili ndo kubwa ww

    • @florencejohn6427
      @florencejohn6427 11 місяців тому

      Huwajui wahaya wewe. Mwandishi na askofu wote ni wahaya. Lazima wasifie vya kwao.

  • @GidionGidion-v4k
    @GidionGidion-v4k Рік тому +1

    🎉🎉

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 Рік тому

      ua-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/v-deo.htmlsi=hY8MN_MTPQMQaLBs

  • @SusanOlambo-x5t
    @SusanOlambo-x5t Рік тому +1

    Mungu mwema kwa kila mtu aminaaa

  • @BahatiJonasi-s5w
    @BahatiJonasi-s5w 4 місяці тому

    Hadi lifikishe Myakka 200 lotakuwa linaitwa makabuli ya maaskof

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 Рік тому +7

    Wazungu wametuvuluga kwa kila kitu 😢😢😢

    • @sarafinafranci8481
      @sarafinafranci8481 Рік тому

      Amekuvuluga wewe siyo sisi tunajielewa tuache usiye elewa kitu.

    • @florencejohn6427
      @florencejohn6427 11 місяців тому

      Una akili sana. Ila dini na elimu ndiyo vimetumaliza kabisa. Sijui tutaamka lini. Askofu kalishwa sana sumu na mzungu. Humwelezi kitu hapo

  • @mawazomacleanmwangobola6806

    Imani 😭

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Рік тому

    Alita salia jiwe juu ya jiwe,
    Jengo la kanisa linakuaje moyo wa mji?

  • @user-gf3et2ld2l
    @user-gf3et2ld2l 11 місяців тому +1

    kila mtu na anavyo amin

  • @ajheemclassicaltv7608
    @ajheemclassicaltv7608 11 місяців тому

    Lipo wapi nikalitembelee

  • @elipidiuscleophace113
    @elipidiuscleophace113 Рік тому

    Watoa comments wanazungumzi kuhusu wahaya kwan mirad unatoa habari kwa watanzania walio na upungufu kichwani?

  • @nicolousmwakalengela2258
    @nicolousmwakalengela2258 Рік тому +1

    Wahaya kwa sifa DULLY Akasome

  • @RastaSuma
    @RastaSuma Рік тому +3

    Historia ya manabii wote hakuna alievaa msalaba kilo nane kama huyu, Wazungu walipotoa kitabu cha injili miaka 600 baada ya yesu. waka wafundisha miungu 3 yaani 1+1+1=1 leo papa anasema biblia si maneno ya mungu na kimepitwa na wakati hivyo anatengeneza kitabu kingine kitakacho waongoza,, jifunzeni dini ya haki ya manabii wote..dini ya kuabudu mungu mmoja. 7:53

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому

      Hata lbada wazifantazo ni Uzushi/Uwongo Mtupu. Hao Maaskofu wamechukuwa Agano/Nadhiri ya Kufia Ktk Ukafiri/Upagani Ili tu wafanikiwe Kuishi Maisha ya Raha Duniani Ktk Kumtumikia lbilisi!
      Hivyo hawana Jinsi/hawawezi kuwakwepesha Vizazi vyao Kuwarithisha Mila za Ukafiri Ili kutimiza Agano walofunga Shaiytwan/Ibilisi.
      Hata wakiwa na Elimu Kisasi gani (DRs, PhDs, Masters, Professors nk) ngumu kutoka Ktk Ukafiri ilhali wanajuwa fika wapo Ktk lmaan/Dini ya Shaiytwan Kwakuwa wanapata Maslahi ya Dunia Kwao Poa tu!

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Рік тому +1

      We umelogwaaa mudy wako ndo alikuja miaka 600 bada ya Yesu na siso atuna manabii waloandika vitabu bali mitume

    • @RastaSuma
      @RastaSuma Рік тому

      @@FreeGod368 we ujafahamu? Baada ya miaka 6000 mataifa 10 ya Ulaya yakiongozwa na warumi yalikaa na kubadili au (kuchakachua) kitabu cha injili,Zaburi naTorati na wakaanza kuabudu miungu 3 yaani 1+1+1=1 this is totally devil philosophy teaching, wakati yeye Yesu aliabudu mungu mmoja na manabii waliomtangulia kabla yake na malaika mbinguni waliabudu mungu mmoja, hii ndiyo dini ya haki mbele za mwenyenzi mungu sahii.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Рік тому

      @@RastaSuma sasa broo we ni uko timamu kweli??? TANGU YESU AJE DUNIANI AMETIMIZA MIAKA ELFU 2 TU IO ELFU 6 UMEITOA WAPI KAMA SIO UMECHANGANYIKIWA??? AU UMEKARIRISHWA NA WALIMU UCHWARA UKAMEZA TU , WW ATA UJUI IVO KABISA KWAMBA YESU TANGU AJE DUNIAN NI MIAKA ELFU 2 TUU

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Рік тому

      @@RastaSuma WEWE UNA MTINDIO WA UBONGO SIO BURE , MIAKA ELFU , 6😂😂😂😂😂😂😂😂😂SERIKALI YENYEWE YA KIRUMI HAINA MIAKA ELFU 6

  • @user-gv7sd4oi6q
    @user-gv7sd4oi6q 2 місяці тому

    MUNGU UWASAMEHE HAWAJUI WALITENDALO

  • @hashimking4403
    @hashimking4403 Рік тому

    Natamani nitoe comment

  • @emmanulvictory507
    @emmanulvictory507 Рік тому

    We ni mavumbi na mavumbini utarud.nivyema kujiandaa kwa safar

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 11 місяців тому

    Hili ni jengo 0:35

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 11 місяців тому

    Huyo nimusazi😅😅

  • @morisiexperansia5549
    @morisiexperansia5549 Рік тому +1

    Una uhakika ni free mason mbna mnapenda kuzungumza vitu ambavyo hamna uhakika navyo ukiitwa kutoa ushahidi utasema nn

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 Рік тому

    Mmmmmm

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 11 місяців тому

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 Рік тому

    Yani Kwa Ubunifu au kwa ukubwa Maana kama ni Kwa ukubwa Peter claver hapa mbezi Luis nikubwa pia

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 Рік тому

      Ungeenda bukoba ukajionee mwenyewe. Mimi nimesali St Peter hapo dar na bukoba nimesali sana. La bukoba ni kanisa kubwa sana na nikanisa zuri sana

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому +1

    Baba Askofu kama Lina wa yanga... wahaya hata wakisoma .... jasiri haachi asili

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Рік тому

    Kabisa zuri abarikiwe

  • @geofreyjoel
    @geofreyjoel 11 місяців тому

    Wanafanya hadi ibada za wafu!!!

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 Рік тому

    Baba askofu kila mtu duniani akitengeneza kaburi lake itakuwaje? ardhi haitatosha na wengine wataremba nakuhamia Kama geto.

    • @AGELBESN
      @AGELBESN 11 місяців тому

      Ila jibu ni kila nafsi itaonja mauti pia toka karne na karne watu wanakufaga lakini ardhi haijawahi kujaa ndo ujue ardhi haishibagi

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 Рік тому +1

    😅😅

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 Рік тому

      ua-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/v-deo.htmlsi=hY8MN_MTPQMQaLBs

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 11 місяців тому

    Askofu na mwandishi wote wamekutana. Watu wa misifa. Watu wa kukuza mambo yao hata kama ni ya kawaida tu.

  • @pillautv1677
    @pillautv1677 Рік тому +4

    Huu mwili ulikuwa unapaswa uzikwe kwao kamachumu ila kwa jinsi wakoloni walivyokuwa na akili za kuaribu hasili yetu walifanya hivyo ili mwili husiendele kuenziwa kimila. Na mwili ukienziwa kimila nguvu ya mtu huyu aliyekwusha kufariki urudi kama mzimu kutoa msaada kwenye familia na ukoo mzima pale alipokuwa amezaliwa.

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Рік тому +1

    Mwayapamba makaburi na ndani kumejaa mifupa

  • @King_186
    @King_186 Рік тому

    Kanisa zuri ingawa halifikii kanisa la Kigonsera Mbinga,Ruvuma

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 11 місяців тому

    Hilo ni jengo

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 11 місяців тому

    Askofu naye bwana. Mbinguni ni juu? Mafundisho hafifu kabisa

  • @pendozephania8494
    @pendozephania8494 Рік тому

    Mambo ni mengi mda mchache 🏃

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Рік тому +2

    Yan mnakaa kabsa mnasifia jengo aisee et roho ya mji kaaah 😂😂😂😂

  • @eliyakitundu5267
    @eliyakitundu5267 Рік тому +1

    Litabomoka na kombora la atomic nucleus hilo, wekeni msingi wenu kwenye Neno na sio kuweka akili zenu kwenye majengo, kwanza hatukuitwa tuje tujenge majengo, bali tuliitwa tuje tu hubir injili

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 10 місяців тому +1

    Nina swali ndugu zangu. Hivi tangu lini Waislamu wakasifia chochote kinachofanywa na Wakristu?
    Maana kwenye comment naona povu, mara freemason, mara i am proud to be Muslim.. utadhani mliombwa mchango wa ujenzi wa hilo kanisa😂
    Tumeshawazoea kupondea. Kwahiyo endeleeni tu, hamna jipya

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +5

    Namshkuru Mungu Kwa neema ya Uislam 🙏🤲

    • @andrewkissavah8272
      @andrewkissavah8272 Рік тому +1

      Kwenye uislamu kuna neema gani ? Kwenye usilamu hakuna neema bali kuna mauti na jehanamu kwanza bado hamja mwamini Yesu

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 Рік тому

      Labda neema ya upanga kwa upanga sis tuna neema ya samehe 7mara70

    • @veeJesus
      @veeJesus Рік тому

      ​@@andrewkissavah8272umenena vzr

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 Рік тому +1

      Nyie meshaga potea upotevu mkubwa Mungu awaongozeni inshallah

    • @marianajulius5926
      @marianajulius5926 Рік тому

      Kajambe mbele hujaitwa hapa😂 I’m proud to be nyoooko😃😏

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому +4

    Unatoa heshima Kwa kabuli la mtu aliyekufa,je kama hakwenda Mbinguni hamwoni kama mnatoa heshima Kwa Mizimu,kwani hakuna ushilika baina ya wafu na walio hai acheni mara Moja japo Nami ni mkatoliki,

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому +5

      Achana na imani ya watu, endelea na yako

  • @notbulgamnenuka1766
    @notbulgamnenuka1766 Рік тому

    Ibada za wafu😢

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому +1

    Innalillahi Wainna llahiyl Raj oun!
    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    Hapo ni Freemasons tupu tu !
    Hizo 3Pyramids/Triangles na Jicho ni Miongoni mwa Ishara Kuu za Freemasons.
    Afu imeandikwa wapi?!/imefundishwa krk Biblia Kuzikana/Kufanya Makaburi Makakanisani au ndo mwendelezo wa Kujiamulia tu?!
    Jamani Muogopeni Mungu Mola Muumba na Kumbukeni Sku ya Hukmu/Kiama.

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 Рік тому +3

      Uwezo wako wa kufikiria na elimu ya madrasa ndio imekufikisha hapo, tusilulaumu tulaumu kitabu unachokiamini

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 10 місяців тому

      Sio kosa lako, bali ni elimu ndogo, fikra finyu na uwezo mdogo wa kufikiri uliosababishwa na kukaririshwa matamshi usiyo hata yaelewa.
      Na hili ni janga kubwa sana kwa ndugu zetu. Wakati wenzenu wanawekeza kwenye Imani, Huduma na Elimu nyie mnawekeza kwenye Imani tu. Matokeo yake mnakuwa na waumini wajinga ambao ni mzigo kwa Dini na Taifa.

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 Рік тому

    Ila wahaya 😂😂😂

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 Рік тому

    Freemason tuu umetawala

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 10 місяців тому

      Sio kosa lako bali ni ufinyu wa fikra ulio nao. Jiongeze jombaa, aibu sana kubwa zima afu jinga😂

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 Рік тому +6

    Freemason hao kwani hizo harama zao hamzioni

    • @bamanyasalvius123
      @bamanyasalvius123 Рік тому +1

      Fanyeni kazi nyinyi makanisa ya kilokole wavivu mnasubiri maombi eti ndo mpate pesa

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt Рік тому +2

      Tunamuomba Mungu wala sio hao mnao wasema ninyi kwani freemason wapo Wakatoliki tu na nini maana yake tunamuamini aliye mwaga damu yake ili kutukomboa sisi wenye dhambi za kuzidi

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 Рік тому

      Kwa fikira zako wewe za ufreemason

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 Рік тому +1

      We ndio freemason hata kuandika hujui

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn Рік тому

      Wanaharibu Hela kupamba makaburi upuuzi mtupu

  • @tesharose5041
    @tesharose5041 Рік тому

    Amen

  • @King_186
    @King_186 Рік тому +1

    Kanisa zuri ingawa halifikii kanisa la Kigonsera Mbinga,Ruvuma