Nakupenda sanaaaaa dada angu Gordoliver Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania naikubali kazi yako unauvaa uhusika kazi yako unaitendea haki 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🍏🍎🍎🍎🍏🍏🍏🍏🍏🍏
You are so talented and charismatic in nature in your career.I really liked your chemistry with Zembwela on Haikufuma plus the ballads the two of you had.God bless you from now onwards and your talent as well.
Nakupenda sana dada! You are the best, napenda unavomtaja Mungu kwa uhuru, nilikuwa nakupenda, nimezidi kukupenda
Hongera yote hayo unawezeshwa na Mungu.pia kama kweli una hofu ya Mungu hutoshindwa kwa lolote
Nakupe my sister gogoooo
Nakupenda sanaaaaa dada angu Gordoliver Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania naikubali kazi yako unauvaa uhusika kazi yako unaitendea haki 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🍏🍎🍎🍎🍏🍏🍏🍏🍏🍏
Safi sana GODLIVER GORDIAN ongea ukweli watu wapone na watu waelewe na wajitambue .na pia napenda the way unavyoigiza
Thank you so much ❤
Nakupenda sana dada Godliver una kipaji kikubwa sana.big up sana.
Nakupenda sana
Blessed ❤️ ma love u
She's the best Actress now in Tz
Issa anaweza Tena sanaaaaa 🔥🔥🔥❤️💯✔️🇹🇿✔️❤️❤️❤️
Anna nakupenda mnoo napia kazi zurii sana
Kashachumbiwa sasa mashaallah❤
Be blessed annah
Cute❤
Nakupenda bure Anna
❤❤❤
Nimeangalia kitu Bora Sana Leo ubarikiwe
Jaman nampenda Sana uyu dada
Nampenda dada uyo
Nc
Duuu nilikuwa Cjuh kama ndo yule uliyekuwa mke wa Cheche sir ya mtungi🤭hongera dada kwa kaz nzur
Ndio mwenyewe yupo vzr Tu Ila ndio Kwanza Leo najua kua cheche ni Baba watoto wake
Safi sana akuna aka kogombana katika maisha ya leo
Kweli
You are so talented and charismatic in nature in your career.I really liked your chemistry with Zembwela on Haikufuma plus the ballads the two of you had.God bless you from now onwards and your talent as well.
Cheche mzuri na mlienda ila muhuni huyu hawezi kuoa mwanamke yoyotte
Nakupenda anna
MTUMISHI WA MUNGU AKUBARIKI
AMEN
NAKUPENDA MNO❣️❣️❣️
Hofu ya Mungu ndio mzizi mkubwa Sana wa usalama wa mtu yyte yaan namaanisha hofu jmnn ohooo
Sio unaact Kisha unapenda wanaume hovyo tu
Fanya ujengeeeee anakushinda bi staaa wewe Ana akili sana mwenzio kajenga mjengo wa mana
Kwani hamuwezi kuact bila ya kulala na mwanaume kitanda kimoja hebu aangalieni kina mzeee jongo hawakuwa hivyo
Nimrembo 🥰
Cheche kakutoa akili wewe ndio mana akakutia mimba
Utulie sasa kwa mumeo
Uhuni uko kila sehemu ila kwenye usaniii umezidi mana mnaukaribisha uhuni .mana wewe ushalalla na wanaume wa ngapi kwa kuact tu
Kwenye kujibu maswali uko vi zuri najifunza mengi ila uhuni ndio unanikera
Wewe una una hofu ya mungu wewe
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
Dada unajuwa mno adi unapitiliza ila sijui Tanzania tunakwama wapi wasanii wazuri awapewagi kipaumbele dah Mungu akutunze
Pambweee sana unajiamini
A
Hakun hata ugumu hapo
Hebu tuwacheweee mungu.aseme kwani.yupo.ka.mtu.acha.kukufuru weedada
Sema kama unamajini.yako.yanakutuma
Kwahiyo wewe unaamini majini yananguvu kuliko Mungu. Muache mwenzio amtukuze Mungu kwa namna yake.
Mbona una hasira dada
@@salhaswai5398 Ulimuona km ana hasira?
Wewe majini yako ndio yaliyokutuma uandike hvyo?
We c umecheza Siri ya mtungi wewe? Mbona ata huisemi...mi nilikujulia apo
Ameongelea alizocheza mwaka 2021 tu, Ila anazo nyingi mno.
❤❤❤