TIBA MIMEA NI UCHAWI MTUPU•WAKRISTO WENGI MMEKUNYWA MAARIFA YA WAGANGA KWA KIGEZO CHA TIBA MBADALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 17 днів тому +8

    Nampenda Bwana Yesu Katika maisha yangu yote. Amen!!!

  • @nikitaopiyo4628
    @nikitaopiyo4628 5 днів тому

    nashukuru sana nimezidi kufunguka macho,,ibarikiwe sana ,mtumishi wa Mungu aliye hai!

  • @saramss7262
    @saramss7262 17 днів тому +3

    Aminnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaa barikiwaaa sana mjoli wa KRISTO YESU Awe nanyi JACKTANI na amieli

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 15 днів тому +2

    Ok sawa,hii ni kweli,nimekunywa hizo dawa za makopo .Kuna siku nimeota nimeemda Kwa mganga wa kienyeji kabla hajanipa hiyo dawa amesema subiri kidogo kabla hajaniambia nitumie,nikajua anaenda kunuiza hizo dawa,nikakataa nikasema siwezi tumia dawa za kienyeji,Kwa maana namuamini BWANA YESU KRISTO,baade nikaonyesha like kopo la dawa nililotumia ,kumbe ni dawa za uganga wa kienyeji.BWANA atupe maarifa ya kuona zaidi

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 17 днів тому +4

    Wow! Surprise! Ukiwa na Yesu unatembea kifua mbele... so amazing

  • @marcbiryanguze7364
    @marcbiryanguze7364 17 днів тому +4

    Dawa asili kilamtu nimuhimu ajifunze na ajichumiye mwenyewe.

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 17 днів тому +1

    Amen endelea kusema wamasikio asikie asiyenama sikio yakiloho aache

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 16 днів тому +1

    Naomben link ya gruop jaman la promover watsap

  • @angelamugoywa4917
    @angelamugoywa4917 12 днів тому

    Ameeen 🙏

  • @EmmanuelDavid-x5k
    @EmmanuelDavid-x5k 17 днів тому +1

    BWANA YESU ASIFIWE . Mtumishi wa MUNGU alie hai

  • @borntosucceed6877
    @borntosucceed6877 17 днів тому +5

    Msikilize mchungaji na akimaliza utamuelewa anachomaanisha. Ubarikiwe Mch Katekela

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

      @@borntosucceed6877 Huyu mchungaji alisema kwamba Korona ilitoka kuzimu ikapita kwa wataalam wa maabara na jopo la madaktari wakaithibitisha, je tunawaaminije hao wataalam? na akiwa kuzimu akitengeneza na wanaotuandalia chanjo ni haohao wataalam ambao inasemekana ni freemason

    • @florakwayu5646
      @florakwayu5646 16 днів тому

      Watu wamesoma kichwa cha habari tu hawajamsikiliza

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 17 днів тому +4

    Kwa mantiki hiyo sayansi na teknolojia mbalimbali zinatokana na Mungu, mafuta ya kujichubua kwa kuwa yanatoka maabara ni halali kwa kuwa wametengeneza wataalam wenye mafunuo ya Mungu, kwa maana sayansi ni mafunuo ya Mungu, kwa mantiki hiyo hata chanjo ya Korona, haikuwa na madhara maana ilithibishwa na kutengenezwa maabara hizo hizo za dawa na Dawa za uzazi wa mpango pia halali kwa kuwa zimethibitishwa na madaktari wa kitaalam.

    • @EvaSimon-g4v
      @EvaSimon-g4v 17 днів тому +2

      Unatafta urahs wa maisha hapoo na SI uhalisia wa neno la Mungu

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 17 днів тому +1

      Tiba mbadala ni kweli zingine ni za ramli

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

      Pia hizo zimehalalishwa kwa neno lipi la Mungu?

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

      ​@@EvaSimon-g4v pia hizo zimehalalishwa kwa neno lipi la Mungu?

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 17 днів тому +1

      Sayansi ni uchawi mtupu.

  • @MariamMganga-ss9mm
    @MariamMganga-ss9mm 16 днів тому

    MUNGU akutunze sana,, unajua Tena unajua sana ,, nimekuelewa Baba anaebisha mwache,, tukiona mtu anabisha kapokea kimwili sio kiroho

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 15 днів тому

    Amina

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv День тому

    Hiyo ni kweli maana niliwahi kwenda kwa mganga wa kienyeji akasemaakasema ameambiwa na mapepo aende ziwa Tanganyika katikati akachukue dawa sasa nikawaza atafikaje kule katikati ya ziwa yani ni uchawi kabisaaaaa

  • @kondelalukuba3896
    @kondelalukuba3896 17 днів тому +4

    Kwani hizi dawa tunazoletewa na wazungu zinatokana na nini, si hii mimea tuliyonayo hapa Duniani

    • @piusnkwale
      @piusnkwale 17 днів тому +3

      Anachozungumza ni elimu juu ya tiba.kutambua dawa sio jambo la mchezo.wengi wanaoteshwa na mizimu. Hao wa hospitali wamesomea tiba.hawa wa tiba asili wengi wao hawana elimu ila wanapata mafunuo kwa mizimu mimi ndio nimemuelewa hivo

    • @Sabinasinoya
      @Sabinasinoya 17 днів тому

      ​@@piusnkwalendivyo hilivyo

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 14 днів тому

    Tumeongea kweli kabisa hapa ila wengi watakupinga maana hawajui mimi wakati niko mdogo nimenyweshwa sanaa izi sawa za mitishamba wasafwa wa mbeya tunaziita mbozyo yani zinatengenezwa na viungo vya watoto wachanga n.k ila watu wengi maana wanatumia izo

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 11 днів тому

    Mtumishi wa Mungu umeanza kitumia mafuta makali ya kuchuna mwili au macho yangu?

  • @NicholasNgecu07
    @NicholasNgecu07 16 днів тому +1

    Mambo gani haya sasa wataka tutumie tiba zilizoko hospitalini, tiba asili ndio zuri. Tiba mimea si uchawi, wachawi ndio hutumia mimea kwenye harakati zao na kunao wanaozitumia kutibu lakini si wote wanaotumia mimea wachawi. Mimi mwenyewe hutumia tiba mimea lakini mimi si mchawi. Wacha kupotosha watu kaka.

  • @daniellmuttema8816
    @daniellmuttema8816 15 днів тому

    Kweli kabisa

  • @flourishing_wilderness6072
    @flourishing_wilderness6072 13 днів тому

    Na dawa za asili za kihindi na kiarabu tunaziweka wapi kiroho??
    Maana zingine wameshaziweka kwa mfumo wa vidonge (mfano ayurved)

  • @Revo_silayo
    @Revo_silayo 17 днів тому +1

    Dawa za kienyeji zilizo mbaya ni zile znazotokana na uchawi au uganga, lakini majani kama majani sio kwasabab Mungu ndiye aliyesema tutumie majani kama dawa...hapa ni chanzo tu cha ufunuo wa hizo DAWA EZEKIELI 47:12,MWANZO 1:29

    • @EmmanuelDavid-x5k
      @EmmanuelDavid-x5k 17 днів тому

      @@Revo_silayo nipe andiko ambalo MUNGU amesema utumie dawa za kienyeji na upone

    • @Revo_silayo
      @Revo_silayo 17 днів тому

      @@EmmanuelDavid-x5k soma EZEKIELI 47:12,pia soma MWANZO 1:29

    • @Revo_silayo
      @Revo_silayo 17 днів тому

      @EmmanuelDavid-x5k EZEKIELI 47:12,MWANZO 1:29

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 17 днів тому +1

      Mi ninaimani ni ufunuo tu Kwa nn Mmungu alimwambia Adamu anaweza. Kula matunda ya miti yt kasoro mti wa uzima? Hapo mnatukaririsha vingine jmn,mi ninaimani miti. Km miti haina tatz tatz ni kwenda Kwa waganga

    • @Revo_silayo
      @Revo_silayo 17 днів тому

      @basilisamsaka8469 uvuvio wakujua huo mti kama nkutoka kwa Mungu mimi naona sawa...mana kuna watu wameokoka na wanafunuliwa miti shamba na Mungu, na ni watu wakufunga na kuomba.

  • @abelchibon7382
    @abelchibon7382 8 днів тому

    Dawa za kienyej tuziache tutumie dawa za kisasa 😁😁

  • @NhungaWanyama
    @NhungaWanyama 14 днів тому

    Basi na kula tusile maana vyakula vyote vinatokana na mimea ndiyo hiyo miti shamba ki utaalam kuna mimea mingi sana inatakiwa tuitumie ila utafiti wa kisayansi bado unachunguza kuna ningine ni sumu na mingine sio,hapo bado!

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 17 днів тому

    Amen

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 17 днів тому +2

    Basi hata vidonge ni dhambi maana ni mchanganyiko wa mimea

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 3 дні тому

    Kwani enzi za Yesu hawakutumia mitishamba?? Mungu ameumba miti na chakula kama dawa inategemea unatumiaje ila.sio kweli kua mitishamba ni ushirikina, yani kunywa mwarobaini ni ushirikina ???

  • @JaneMujuni-je8wv
    @JaneMujuni-je8wv 17 днів тому +7

    Acha upotoshaji mbona mnakula mboga za majani kwa ajili ya vitamini?Mkishatumikia kuzimu mnajiona mnajua kila kitu,kwa maana hiyo unataka kusema dawa za viwandani ndio za mbinguni au,Funguka ufahamu,Mungu aliumba vitu vyiote vimuhudumie mwanadamu,Kwa ajili ya utukufu wake tu,Omba Roho Mtakatifu akupe ufunuo juu ya kila mmea .

    • @gracekiondo2541
      @gracekiondo2541 17 днів тому +1

      Kwanza Dawa za Hospitali karibu zote ni mimea! Mpaka Vitamins zote! Unajua hawa wahubiri wengine hawana akili na nafikiri hawana elimu ya kichungaji.

    • @phestostanley4019
      @phestostanley4019 17 днів тому +1

      Cheki na wewe unakuja na ideology za kisabato , kuna roho za utambuzi ambazo mnazo humo kwenye makanisani kwenu, mbona waganga wa kienyeji hawauzi vidongo tumia akili

    • @williammwakipesile1111
      @williammwakipesile1111 16 днів тому

      BWANA YESU ASIFIWE. Mnaompinga mtumishi huyu hamjielewi ni waambie muombeni ROHO MTAKATIFU awafunulie yaliyojificha sirini mimi nilishamshuhudia mtu alikuja kwenye huduma tuliyokua tunahudumu akasema nimekuja kwenye huduma hii mniombee kazi yangu nakosa wateja kwa sababu mnaomba watu wanapona hawaji tena kwetu nikawa tena hospitali moja kubwa hapa arusha mhudumu aniambia aise fulani mhh angalia vitanda vyeupe hakuna dili nikasikia kwenye star tv waganga walikutana na kuomba kibali cha kuponya magonjwa ya ini figo pafu kwahiyo msishabikie msichokijua ohh namshukukojua ROHO MTAKATIFU ni mzuri.
      AMMMEEEEN

    • @williammwakipesile1111
      @williammwakipesile1111 16 днів тому +3

      Je kuna andiko lolote kwenye biblia lililotuambia tutengeneze miti shamba ili uwe dawa? kwenye kitabu cha mwanzo kinasema nimewapa majani yawe chukula kwenu na kwanya wanayama au nanyi niwaganga wa kinyeji wauza miti shamba?

    • @AgnesMussa-t7r
      @AgnesMussa-t7r 16 днів тому +2

      Bendera Chuma, mlingoti chuma katekela

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 17 днів тому +10

    Vidonge ni mimea ,,ambayo wame iprocess kiwandani ,,for that case hata dawa za hospital ni dhambi ,,ikiwa ukitafuna majani ya mti ukanywa ni dhambi 😮

    • @borntosucceed6877
      @borntosucceed6877 17 днів тому +2

      Mchungajia kalenga tiba asili msikilize hadi mwisho punguza ujuaji

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

      @@borntosucceed6877 hivi wewe unaelewa maana ya asili, asili ni kile kitu ambacho ni halisi kabisa akijachakachuliwa yaani kwa tafsiri ya haraka hakijapitia kiwandani, hatuzungumzii ramli, wala kutazama bao hapa kuna tofauti kati ya dawa asili, na ramli.

    • @Sabinasinoya
      @Sabinasinoya 17 днів тому +2

      Mchungaji ajakataa ila msikilize mpaka mwisho then njoo comment mpendwa

    • @LeonardEdward-fb2bn
      @LeonardEdward-fb2bn 17 днів тому

      @@borntosucceed6877 kwa comment yako tu inaonekana ww ni mdogo wake na shetani ,,hata km uko kanisani unapoteza muda

    • @LeonardEdward-fb2bn
      @LeonardEdward-fb2bn 17 днів тому

      @@Sabinasinoya ubarikiwa Sana 🙏

  • @AnethShadrack
    @AnethShadrack 17 днів тому +1

    Hili kweli ni wito wa vita😂😂

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 16 днів тому +2

    Ktk hili fundisho Mch,umechemsha dawa ya kienyeji kujitibu kama umeichimba au kuitengeneza wexe mwenyewe,au umeinunua kwa wauzaji sio kosa,ukiwa na mashaka nayo ni kuitakasa kwa damu ya Yesu, angalia kiwango chako kisishuke mbona tulikuwa tunakukubali je sasa hivi imekuwaje,jichunguze!!!!

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 14 днів тому

      Acha kutetea dawa za kienyeji wewe huna unalojua msikilize vizuri izo dawa zimewekwa mpaka unga wa kondo la uzazi lililokauka wengine mpaka chembe chembe za watoto wachanga waliowaua

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 13 днів тому

      Nazungumzia Dawa za mimea,matunda,au za kujichimbia mwenyewe sio kosa,hâta mimi ni Mtumishi,kwanza vidonge vingi vinamadhala Maana vina kemikali mimi situmii vidonge Bali Dawa za asili Ktk kujitibu😅

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 16 днів тому

    Wazungu wengi wanao gundua dawa za kama za kutibu corona Ukimwi wote ni wapagani wengi wao ni FreeMasoni na waabudu shetani mbona dawa zao tunazitumia ktk hili umechemsha ,shida nini mbona naona kiwango chako kimeshuka shida nini ongeza kufunga na kuomba, Umesema habali za nyama kwa hiyo tusile jibu,tule tunywe dawa ktk kuzitakasa kwa jina la Yesu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 17 днів тому

    Jaman km nikichu mpera nikachrmsha nikanywa hilo ni tatz?

    • @EmmanuelDavid-x5k
      @EmmanuelDavid-x5k 17 днів тому

      @@basilisamsaka8469 andiko limesema wapi ..biblia imesema omben mtapewa tafuteni mtapata.kingine kama hauwezi kuomba wapo watumishi wa MUNGU alie hai watakuombea na utapona

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 17 днів тому +1

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 17 днів тому +1

      Dawa za kujibua ni ushetani

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 17 днів тому +1

      Dawa za kujichubua ni ushetani

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 17 днів тому

      Msikilize kwa makini usifuate mawazo yako, ifuate Biblia achana porojo za shetani

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 17 днів тому +1

      @@joshuatituslusinde1260 wewe huoni Bible una ushabiki nipe neno la Mungu linalothibitisha kwamba hizo dawa za maabara zimetoka katika mafunuo ya Mungu, na hao wataalam wamefunuliwa na Mungu? Yaani kama hizo nazo dawa za maabara hazitokani na maono ya shetani????

    • @Frosita
      @Frosita 17 днів тому

      Wewe hujamwelewa kabisaaa ..

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anithibitishaje kwamba dawa za maabara imetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

    • @princecyu8658
      @princecyu8658 15 днів тому

      Hivi huwa mnasikiliza au ukiwa na upinzani wako basi kila kitu lazima upinge? hajasema dawa za mitishamba ni mbaya ila ni nani aliyetambua kuwa ni dawa hapo ndio shida. kama wewe umekula tango na ukaona linakusaidia kwenye kumeng'enya chakula hiyo si dhambi ila kama mganga au mtu anayejifanya tiba mbadala kakuambia muhoji alipopata huo utaalamu. ni vigumu wapi kuelewa hapo?

  • @williammwakipesile1111
    @williammwakipesile1111 16 днів тому

    Wapenda someni maandiko matakatifu na pia tujiadhari kwani kama hawa ndugu wanaompinga huyu ndugu wanasoma biblia zilizoandikwa ili kupinga ile kweli iliyohakikiwa au kupitishwa mara saba kwenye moto au watonyeshe andiko linalo jipinga

  • @JoyceZabron
    @JoyceZabron 16 днів тому

    Asa mchungaji apa kwa mfano mtu unashauriwa kutumia mbegu za mti wa mlonge kwa ajili ya kupanga uzazi , badala ya kutumia majira, je hizo mbegu ni dhambi pia?

  • @Markoisaackiunsi
    @Markoisaackiunsi 17 днів тому +1

    Nimemuele vema sana huyu mchungaji, si kwamba amesema usitumie mimea kama dawa, laah!, bali hizo dawa zinatoka katika mikono gani ili ziwe na ufanisi sawia katika mwili wa mwanadamu, si ndio ndugu zangu

  • @williammwakipesile1111
    @williammwakipesile1111 16 днів тому

    Wewe sudi huyo shehe anaesomea wa albadir anatuma roho mgonjwa wanatuma watu kuvunja nazi kupasua mayai viza kutoa kafara mbona hauwakei kwa ushauri wangu kaeni msikilize msiingilie watumishi wanaoposha mbona hamsemi zaidi mnawashangilia ROHO wa BWANA aseme nanyi na mtubu

  • @SudiBahati
    @SudiBahati 17 днів тому

    Nyie ni vichaa sio wachungaji serikali Iko wapi wachungaji nimekuwa wengi nyie uchungaji mnausomea

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 17 днів тому

    Miti shamba ni halali yani chakula lakini miti pori yani herb ni haramu

  • @pamphilasunzu6183
    @pamphilasunzu6183 13 днів тому

    Mbona biblia inasema ukiwa unaijuwa dawa umpe ndugu yako bila kudai malipo, na kama dawa za kienyeji ni mbaya kwanini yesu alitumia udongo kwa kipofu???

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 17 днів тому +1

    Dawa za miti ni nzuri lakini zile umechuma mwenyewe.... za kununua kwangu ni no; hata kama imedhibitishwa na nani...

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack 17 днів тому

    Wachungaji wa leo

  • @EmmanuelDavid-x5k
    @EmmanuelDavid-x5k 17 днів тому

    Wanaotumia dawa za kienyeji wote jehanamu

    • @peterntora5041
      @peterntora5041 17 днів тому

      Hata mchicha ni majani
      Je kwa kula mchicha, karoti, tangawizi, na aina nyingine za matunda ni dhambi?

    • @EmmanuelDavid-x5k
      @EmmanuelDavid-x5k 17 днів тому

      @peterntora5041 tofautisha chakula na dawa za kienyeji tena unazitoa kwenye viringe vya waganga na majini hapo .hauwezi kumuona YESU.maandiko ....ayubu 5:3-4 na yeremia 46:11

  • @Kingsalumoni
    @Kingsalumoni 17 днів тому

    Amen

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

    • @goodluckdaniel4670
      @goodluckdaniel4670 17 днів тому +2

      wewe huelewi chochote,, rudia zaidi ya mara kumi kumsikiliza mtumishi,,bado hujaelewa chochote hapo,,rudia tena

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

      Wewe ndio hujaelewa

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 17 днів тому

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio Mungu?