Tupate wapi wachungaji wakiroho wa kweliiii km ktk ulimwengu huu ukiojawa mafundisho ya udhalimu na potofu kwa kiwango hiki. Mungu tusaudieee tuponeeee Mtumishi wa Mungu Abiud Mosholi simamaa ktk zamu yako bila kujali watu wataumia au watachukuliajeee lakn nikuambie wapenda ukweliiii wapo na n wengiiiiii utakao waponywaaa maana hizi n nyakati za hatariiii mnoooo zilizotabiriwaaaa. Ameeen.
Shalomu mtu wa Mungu! Najua hasa umemuuliza Mchungaji lakini nikusaidie tu kuwa tuliookoka hatutakiwi kusherehekea Chrismas kwa sababu nyingi sana, moja sio kweli kwamba Yesu Kristo alizaliwa tarehe 25 decemba, na hilo halikusherehekewa katika biblia hata Yesu mwenyewe alipokuwa yupo hata na mitume wake na sababu nyingi siwezi kuziweka hapa zote ila usiwahukumu wanaosherehekea Chrismas
Christmas ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu, ni kweli Yesu hakuzaliwa tarehe 25/12 lakini kuna siku moja katika mwaka Yesu alizaliwa. Hivyo tarehe sio issue bali tukio. Tarehe 25/12 imekujaje? Google historia ya Christmas - sherehe za kuzaliwa mungu jua wa kipagani. Wanaosherekea Christmas, na mimi nimo, wakaiweka tarehe kwa kuwa Yesu Kristo ni jua la kweli.
@@simonnjovu586,Mungu jua ni shetani so shetani sio Yesu...hatutakiwi mpendwa wangu,yule ndio kiongozi wa ufalme wa giza,usisherehekee kwasababu ni chukizo kwa Mungu
Ubarikiwa pastor kwa somo, tatizo lililopo ni kutokujua nabii wa uongo ni nani wengine wanafikiri kuwa nabii wa uongo ni wale wenye huduma binafsi bila kujua kuwa nabii wa uongo ni yule anaesema neno asilotumwa na MUNGU soma yeremia 28: na 29 utajua ni habari ya Anania na yeremia
Wachungaji na Wainjilist wengi kwa sasa wamejificha ktk ufahamu wa maa ndiko ( biblia) na kufanyia wanaoitwa washarika wao mambo mengi ya..kuwapotosha..lengo lao likiwa matoleo (pesa)
Watu wa Mungu kuweni macho jisomeeni Neno la Mungu ninyi wenyewe ...tafakarini mnachosoma ...msingoje kuelezwa mambo ambayo hayapo ktk ( Biblia.) maandiko. hizi ni nyakati za hatari 2Timotheo 3....
Na hizo lugha mnazijua maana zake,?Mungu husema kila neno lisilo maana,litaletwa hukumuni, na mwenye sifa ya kuitwa Reverend kwenye maandiko mnamjua ,mjihoji, yupo mmoja tu alielithi hilo jina na ninyi ni nani?
Psalms 111:9 holy and reverend is his name, na hakuna mwingine aliitwa hivyo kwa bibilia ,ninyi imekuwaje kujiita mmetoa wapi, na bibilia husema japokuwa tunamababa wengi lakini babayetu ni mmoja aliye mbinguni na japokuwa kuna miungu wengi ama duniani ama mbinguni lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu aliye baba, na ktk kitabu cha kutoka anasema msiwe na miungu wengine a mimi,nyie mmeinguaje hapo?
Tumewajua janja zenu, mnaingiza kwa welevu uzushi ,kwa kusingizia bibilia, kakita hayo aliyo yasoma kuwa akatoa wengine, wapi alitoa wakinababa wa iroho, alafu mnasema kwa midomo kuwa hamtaki fedha,wakati hiyo ndio target yenu, kwbahati mbaya warming hawasomi maandiko,wamejipatia walimu makundi makundi Mungu atusaidie, kama wewe ni mkweli tosha kwa maandiko, Mungu achunguzaye mioyo anawaona
Mchungaj hizo taaa ulizoweka unasheherekea Christmas au wewe hujui hio sherehe orgin yake ni upagan. ILA KAMA ZILIKUWEPO HAPO SIKU ZOTE BAS HAKUNA TATIZO
Barikiwa Mtumishi wa Mungu. Somo zuri na Injili ya kweli hii.
Amen amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana kwa mafundisho yako yenye uzima
Mungu atusaidie,Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai
Hakika tunabarikiwa sana mtumishi mungu akubariki sana akutunze pia
Nakupenda sana pst wangu ubarikiwe na BWANA YESU kwa somo nzuri sana kuhusu huduma hizi
Mimi nampenda pia kuna siku nilishawahi kumuota
Amen Baba yangu kuwa nabarikiwaka na maubiri yako Mungu azidi kukutumiya nyakati izi za mwicho
Amen sana mungu akubariki sana mchungaji
Somo nzuri sana ubarikiwe sana mchungaji, nakupsta nikiwa Kenya kupitia you tube
Amina,mafundisho yenye nguvu kubwa na Mungu na baba yetu uliye juu tusaidie sana kuyaishi hayo
God bless you pasta nakupata nikiwa Kenya napenda sana mahubir yako
Ameeen mtumishi ubarikiwe 🙏
Mungu akutuze baba ilidunia izidikupona
Ukweli mtupu......barikiwa sana
Amina ubarikiwe sana mchungaji
Kanisa si sawa na mifumo ya dhehebu na dini Yk 2:27-28; Mt 16:13--16---Ubarikiwe!
Tupate wapi wachungaji wakiroho wa kweliiii km ktk ulimwengu huu ukiojawa mafundisho ya udhalimu na potofu kwa kiwango hiki.
Mungu tusaudieee tuponeeee
Mtumishi wa Mungu Abiud Mosholi simamaa ktk zamu yako bila kujali watu wataumia au watachukuliajeee lakn nikuambie wapenda ukweliiii wapo na n wengiiiiii utakao waponywaaa maana hizi n nyakati za hatariiii mnoooo zilizotabiriwaaaa.
Ameeen.
Ameen mungu tusaidie
Yesu kristo atusaidie sana atupe macho ya rohoni
Amina 🙏🙏
Hutakufa baliutaishi uyasimlie matendo yamungu milele namilele ameeen
Amina baba MUNGU tusaidie
Amen Mungu atusaidie
Ahsante kwa fundisho umesema vyema !
Injili ya MOTO🔥🔥🙏🙏
Ukweli ni ukweli tu lazima ubaki kuwa ukweli tu, Mungu akutunze na Mungu atusaidie sana
Barikiwa mwalim
Amina mtumishi
Amen 🙏🙏
Ubarikiwe mtumwa wa kristo Yesu nimekupata vizuri, nina swali linanichanganya kuhusu chrismasi, tuliookoka tunapaswa kusherehekea Christmas?
Shalomu mtu wa Mungu! Najua hasa umemuuliza Mchungaji lakini nikusaidie tu kuwa tuliookoka hatutakiwi kusherehekea Chrismas kwa sababu nyingi sana, moja sio kweli kwamba Yesu Kristo alizaliwa tarehe 25 decemba, na hilo halikusherehekewa katika biblia hata Yesu mwenyewe alipokuwa yupo hata na mitume wake na sababu nyingi siwezi kuziweka hapa zote ila usiwahukumu wanaosherehekea Chrismas
@@germanoburushi ubarikiwe kwa majibu
Christmas ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu, ni kweli Yesu hakuzaliwa tarehe 25/12 lakini kuna siku moja katika mwaka Yesu alizaliwa. Hivyo tarehe sio issue bali tukio. Tarehe 25/12 imekujaje? Google historia ya Christmas - sherehe za kuzaliwa mungu jua wa kipagani. Wanaosherekea Christmas, na mimi nimo, wakaiweka tarehe kwa kuwa Yesu Kristo ni jua la kweli.
@@simonnjovu586,Mungu jua ni shetani so shetani sio Yesu...hatutakiwi mpendwa wangu,yule ndio kiongozi wa ufalme wa giza,usisherehekee kwasababu ni chukizo kwa Mungu
AMEN AMEN
Ameen
Ubarikiwa pastor kwa somo, tatizo lililopo ni kutokujua nabii wa uongo ni nani wengine wanafikiri kuwa nabii wa uongo ni wale wenye huduma binafsi bila kujua kuwa nabii wa uongo ni yule anaesema neno asilotumwa na MUNGU soma yeremia 28: na 29 utajua ni habari ya Anania na yeremia
Uko sawa m2mishi,sasa watusaidie kwa maandiko la Baba wa kiroho walitumwa na Nani?
🙏🏾🙏🏾🙌🏾
Amina baba 🙏🧎
Amen mtumishi wa MUNGU aturehemu maana siku hizi zamwisho nihatari sana
99 Piece not ya Wachungaji wanaenda Jehanamu sababu ya kutaka Pesa na Umaarufu Kanisa limepoteza Ladha nikama Makundi ya Wanyang'anyi Tuwe macho.
Mimi mchungaji mpenda hela kwangu ni marufuku kwa sasa ,nimeibiwa hela nyingi sana Hawa mbwa mwitu
Amennii
Amina
Amiina
amen
Aminaa
Wachungaji na Wainjilist wengi kwa sasa wamejificha ktk ufahamu wa maa ndiko ( biblia) na kufanyia wanaoitwa washarika wao mambo mengi ya..kuwapotosha..lengo lao likiwa matoleo (pesa)
Ameni
Mwenye sikio la kusikia amesikia
Kweli naamin huu ni wakati wako. Mungu awe nawe kwa nguvu zake akulinde na kukutetea.
Watu wa Mungu kuweni macho jisomeeni Neno la Mungu ninyi wenyewe ...tafakarini mnachosoma ...msingoje kuelezwa mambo ambayo hayapo ktk ( Biblia.) maandiko. hizi ni nyakati za hatari 2Timotheo 3....
Good .
Mch andaa mwendelezo juu ya makanisa ya kiroho lakin yamepotoka
Izo taa zitoe mch hatsherekei sisi wateule wa Munchies kweli
Good
Na hizo lugha mnazijua maana zake,?Mungu husema kila neno lisilo maana,litaletwa hukumuni, na mwenye sifa ya kuitwa Reverend kwenye maandiko mnamjua ,mjihoji, yupo mmoja tu alielithi hilo jina na ninyi ni nani?
Psalms 111:9 holy and reverend is his name, na hakuna mwingine aliitwa hivyo kwa bibilia ,ninyi imekuwaje kujiita mmetoa wapi, na bibilia husema japokuwa tunamababa wengi lakini babayetu ni mmoja aliye mbinguni na japokuwa kuna miungu wengi ama duniani ama mbinguni lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu aliye baba, na ktk kitabu cha kutoka anasema msiwe na miungu wengine a mimi,nyie mmeinguaje hapo?
Biblia inasema usimwite mtu yoyote baba duniani. Sasa Hio ya kitwa baba wa kiroho mnaitoa wapi pastor??? Baba yetu ni Mmoja TU alie mbinguni.
Tumewajua janja zenu, mnaingiza kwa welevu uzushi ,kwa kusingizia bibilia, kakita hayo aliyo yasoma kuwa akatoa wengine, wapi alitoa wakinababa wa iroho, alafu mnasema kwa midomo kuwa hamtaki fedha,wakati hiyo ndio target yenu, kwbahati mbaya warming hawasomi maandiko,wamejipatia walimu makundi makundi Mungu atusaidie, kama wewe ni mkweli tosha kwa maandiko, Mungu achunguzaye mioyo anawaona
Mchungaj hizo taaa ulizoweka unasheherekea Christmas au wewe hujui hio sherehe orgin yake ni upagan. ILA KAMA ZILIKUWEPO HAPO SIKU ZOTE BAS HAKUNA TATIZO
Taa zinahusiano Gani na ufalme wa mbinguni?
@@AnatoliEvarist-kf7wcHili SoMo nilamda kidogp
Sikiliza injili siotaa
Upon sahihi ndugu ,hizo taa,zipo sikuzote au ni kwasababu ya.. ....
Amina mtumishi
Amina
AMEN
Amina
Amina