CHEKI DIAMOND ALIVYOWASILI BUNJU na KUNDI LAKE KUKABIDHIWA HATI ya KIWANJA CHAKE na WAZIRI SILAA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 місяців тому +2

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 4 місяці тому

    Waziri moya ya ardhi mzuri sana

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy 7 місяців тому +3

    safi sana mond mtu wa mendeleo 👏👏👏

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 7 місяців тому +3

    Waziri aje chanika aone mwenyekiti wa serikali ya mtaa zingiziwa anavyotunyanyasa

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 7 місяців тому +2

    Asante Sana Waziri Kwa Majukumu yako

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 7 місяців тому +3

    Hizo hati kila mtu anapata kwa wakati?? Au inategemea na umaarufu wako??

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 7 місяців тому +1

    Nice one.

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 7 місяців тому +1

    Hiyo ndio maana ya super star

  • @GoldenchipsChips
    @GoldenchipsChips 7 місяців тому

    😒ardhi wasumbufu sana unalipia kila kitu alafu unasubirishwa mpaka uhonge

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 7 місяців тому

    Mambo mengi ndo haya ya migogoya ardhi.ya

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 7 місяців тому +3

    Noma hati ni muhimu xna

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc 7 місяців тому +1

    Siasa tu hmna lolote

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr 7 місяців тому

    duh shikamoo diamond dola laki tatu na sabini

  • @UKWELI-TV
    @UKWELI-TV 7 місяців тому

    huyu jamaa ana hela kinyama

  • @SajiduTwaibu
    @SajiduTwaibu 7 місяців тому

    Wazir anavyomwangilia Simba haamini kama Jama anaongea point kama hizo Simba la masimba dangote

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 7 місяців тому +1

    Diamond nae amekuwa chawa duu!

    • @eliashibundabalinze2754
      @eliashibundabalinze2754 7 місяців тому

      Chawa gani wa kutoka dola laki na sabini?
      Tafta usije kuwa mchawi uzeeni

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 7 місяців тому

      @@eliashibundabalinze2754 usikurupuke hayawani we, sikiliza alichozungumza!

  • @Mahonda8080
    @Mahonda8080 7 місяців тому

    Nenda wewe sasa hati moja inaipata kwa miaka mitatu but mondi hati3 ndani ya saa moja

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 7 місяців тому

      Hiyooo sio Kwa sababu ya Mondi ni wizara ya Ardhi ndo ime initiate hiloo. So hata Mondi pia angepitia ukee utaratibu wa kawaida ingekuwa ni hivyo hivyo

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 7 місяців тому

      "Uwe na Kaka mtemi,anafanya kazi Polisi "hii nimeipenda mnooo 😂😂😂😂😂😂

  • @MariamuMkwnzu
    @MariamuMkwnzu 7 місяців тому

    Mucki

  • @benedictmtasiwa8155
    @benedictmtasiwa8155 7 місяців тому

    😂

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 7 місяців тому

    Siasa tu

  • @benedictmtasiwa8155
    @benedictmtasiwa8155 7 місяців тому

    😂