VIDEO: DIAMOND ASIMULIA MGOGORO WA KIWANJA ALICHOTAKA KUKINUNUA, WAZIRI AINGILIA KATI AFUNGUKA HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 7 місяців тому +7

    Migogoro ya viwanja tanzania,ni stress.
    Natumaini klinik hii itasaidia katika hili.
    Hongera Tanzania,asante serikali yetu kwa kuendelea kutatua matatizo yetu

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 7 місяців тому +9

    Hongera sana sana.Waziri Kwa kubuni mbinu hii ..migogoro itapungua sana ...Mungu akuhifadhi Jerry....

  • @mmwaupete6265
    @mmwaupete6265 7 місяців тому +4

    Alichokifanya ni kama tangazo, tutashukru kama wananchi walio wengi na hasa wanyonge kama watapata hiyo huduma. Nchi yetu ukiwa hujulikani kupata huduma au haki yako si jambo rahisi na hasa kwa sasa.

  • @toptopress4909
    @toptopress4909 7 місяців тому +7

    Tunapambana kumilikishwa lakini inachukuwa miaka

  • @rebeccamagita9174
    @rebeccamagita9174 7 місяців тому +2

    Njooo Monduli waziri maana huku watu wa ardhi wanatuchanganya mi mwenyewe nina mgogoro wa kiwanja changu nilichouziwa na mtu

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 7 місяців тому +2

    Ni mwanzo mzuri lkn kuwa na hati hakukupi usalama wa ardhi Yako asilimia mia.corrupt land officers wakiwatumia wavamizi wao wa viwanja wanaofaidika nao wanatoa hati juu ya hati nyingine.baadhi ya
    Maafisa ardhi wengi Bado hawana maadili na ndio chanzo Cha vurugu nyingi zisizoisha ktk maeneo mengi ya ardhi nchini na watendaji corrupt wa kata na serikali za mitaa.

  • @WahuBackzy
    @WahuBackzy 7 місяців тому +8

    Kwaiyo uyo alie vaa kanzu ili ndo vazi lake linalo mfanya awe wa kawaida

  • @JoskyRobin-z4p
    @JoskyRobin-z4p 7 місяців тому

    Alijua waziri atamnyenyekeea😂😂

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 7 місяців тому +2

    Kwasababu ni 🌟 ndo maana mnampabania

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 7 місяців тому

    Ni vya matajiri tuu ivi,kama masikini nenda

  • @VascoSospiter-kq2jy
    @VascoSospiter-kq2jy 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @jumayamlongakahabi4960
    @jumayamlongakahabi4960 7 місяців тому +1

    mnajikoosha wakati wananchi nnazungusha rushwa ma2mbo yamejaa rushwa

  • @starjay3052
    @starjay3052 7 місяців тому +4

    morogoro mbona mfanyi ivo au kwa dar tu

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 7 місяців тому +1

    Mbona hapo dodoma hati bafo changamoto jamani.???

  • @Broscarterrazo
    @Broscarterrazo 7 місяців тому +1

    Simba!

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 7 місяців тому +1

    Kwamba hati hazina Deed plan mkuu? Au baada ya hicho kikaratasi tena mtu abaki kusumbuliwa halmashauri?

    • @TheMandela21
      @TheMandela21 7 місяців тому +2

      Hiyo ni kila kitu sasa ndio hati mpya hizo

  • @SaidMbulwa-ks4mk
    @SaidMbulwa-ks4mk 7 місяців тому +4

    Hizo ni mbinu za uchaguzi wanajifanya wanawapenda wananchi

  • @Ars-t2k
    @Ars-t2k 7 місяців тому +1

    Kuna haja ya kuwa na vazi la taifa. Tumesha promote tamaduni za wazungu na waarabu vywakutosha. Nafikiri mpaka wao wanatudharau kwa sbb nasisi tumejidharau.

    • @agreymbwilo5874
      @agreymbwilo5874 7 місяців тому

      Onesmo kavaa suti, Mondi kavaa Kiarabu, Waziri kavaa kiofisi, kuna walinzi wamevaa kibodyguard. Wapo walovaa vitenge na casual wear zingine. Nafkiri Bora kila mtu akavaa vile anavyoona yeye anakua huru ili mradi hayupo uchi. Vazi la taifa hapo inamaana wangekua kama wapo darasani Uniform 😆😆😆😆

  • @alextercisio
    @alextercisio 7 місяців тому +1

    Toa kanzu ya watu wa Qatar ..Dubai na Saudi

    • @alibinali_
      @alibinali_ 7 місяців тому

      Thawb ama kiswahili ama Kanzu ni vazi Arabic na ndo wailamu huvaa sisi wa Africa kutoka Tanzania na Mombasa Kenya tunavaa style ya Oman sana sana kuanzia zama zamababu zetu kuanzia ukoloni
      Sasa @alextercisio huyo ni Muslim na kanzu ndo vazi yake

    • @salimmohamud5390
      @salimmohamud5390 7 місяців тому

      Kanzu ni vazi la waislamu sio warabu

    • @salimmohamud5390
      @salimmohamud5390 7 місяців тому

      Kanzu ni vazi la waislamu sio warabu

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 7 місяців тому +1

    Hii kamba aliyoweka kichwani anafungia Nini 😅😅

    • @samyspesho1698
      @samyspesho1698 7 місяців тому +2

      Kwani ww dini gani

    • @filskischannel9737
      @filskischannel9737 7 місяців тому +1

      Waislamu ni wapotevu sana🤣🤣 mara wanavaa vikofia , Mara vikanzu , mara kama kichwani ....mambo yakuiga waarabu iyo😂

    • @uthmanmaluja7005
      @uthmanmaluja7005 7 місяців тому

      ​@@filskischannel9737Kaa kimya usiingie huko utaumia wewe mwenyewe ni maiti hujui chochote.

    • @rummy2345
      @rummy2345 7 місяців тому +2

      Hiyo ngata ya kubeba ndoo

    • @filskischannel9737
      @filskischannel9737 7 місяців тому

      @@uthmanmaluja7005 🤣

  • @chagga4632
    @chagga4632 7 місяців тому

    Huyu mtangazaji hajielewi anasema diamond ni msanii wa kizazi kipya ...hamna mtanfazaji hapo

    • @FrancisSeverine-ph6td
      @FrancisSeverine-ph6td 7 місяців тому

      Unajua maana ya kizazi kipya kaka? New generation usanii wake ni tofauti na usanii wa 70s, 80s,

  • @mubarakayusuph4191
    @mubarakayusuph4191 7 місяців тому

    Uyo mbunge slaa ana msada wowote uku ukonga,balabala mbovu kabisa,yani daa nammaind kinoma yani.

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 7 місяців тому +5

    Sema bongo matajiri wakiwa hawataki kujulikana kama wana pesa hutafuta watu ambao wanaopenda majisifu huwatupia wao

    • @JanuaryYolamu
      @JanuaryYolamu 7 місяців тому +1

      nawewe umetafutwa nawangap

    • @solomonsamuel3584
      @solomonsamuel3584 7 місяців тому

      We usipoacha loho mbaya walah utakufa masikin

  • @NeemaDotto-mv7sp
    @NeemaDotto-mv7sp 7 місяців тому

    Dimo

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 7 місяців тому +2

    DODOMA jiji unafuatilia Hati Hadi miaka Mitatu. Sasa hv watu wataacha kufanya kazi wawe waanafuatilia hati???

  • @TwoBrother-tc2cu
    @TwoBrother-tc2cu 7 місяців тому +1

    Diomond hilo vazi unalikashifu huelewiki,naichukia hii tabia

    • @nkongokijr7053
      @nkongokijr7053 7 місяців тому +4

      Hilo vazi wenzio waarabu wanabaka huku wamelivaa

    • @Nalitumpaboy-dm4tk
      @Nalitumpaboy-dm4tk 7 місяців тому

      ​@@nkongokijr7053 we muache alete ujinga wake

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 7 місяців тому

      @@nkongokijr7053 sio waarabu wote ni hivyo unavyowafikiria!kuna wengine akili zao ni kama huyo msanii wako

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 7 місяців тому

      @@nkongokijr7053 lakini hilo ni vazi tukufu na ndio ilikuwa vazi la mtume wetu kwaiyo ni haki yangu kuchukuzwa na hilo

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 7 місяців тому

      @@nkongokijr7053 tena uelewe uarabu sio dini na wala sio kigezo kuwa wanachokifanya wao ndio chakuangaliwa kama hujuwi waarabu haohao ndio waliomfukuza mtume pale kwao makka!ndio maana Allah anasema:m'bora ni mchamuungu na sio kabila