MTUME MUHAMMAD NA YESU WALITABIRIWA NDANI YA BIBLIA NA MUSA MWENYEWE | UST SULEIMAN MBOGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 23 години тому +1

    Ujumbe umefika na umeeleweka,jazakaAllahu Alkheir shekh Mbogo,pia tunakushukuru simulizi kwa vipindi bora,Allah akuoneshe hakki na kuifata

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 20 годин тому +2

    Poleni waisilam mnajuhudi nyiiiingi lakini sikatika bwana yesu, okokeni tu.

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 6 годин тому +1

    Nawausiya wakristo aceni matusi uondiyo ukweli wa sheikh Mungu amemuongoza

  • @hajisalimmhina3983
    @hajisalimmhina3983 День тому +1

    Sheikh mwalimu mbogo hili somo lirudie tena ulieleze vizuri zaidi tukuelewe

  • @Bistwishs
    @Bistwishs День тому +1

    Maashaallah asiekuelewa basi huyo hataki .ni mbishi tu

  • @Ayxha12Zanzibar-h9u
    @Ayxha12Zanzibar-h9u 23 години тому +2

    JAMANI BIBLIA, YESU MWENYEWE NA MWENYEZI MUNGU HAWAMJUI MUHAMMAD KAMA MTUME. NA TUKUBALI TU KUWA UISLAM BILA UONGO UMEKUFA KITAMBO.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu День тому +4

    Sio Muhammad tu majina yote ya mitume wakiristo wameyabadilisha walikaa kikao wakijadili hili tuliite hivi vile yote ila la Muhammad mpaka leo walishindwa kuliita kinyume chake kwa rehema za Mungu ameliacha kama lilivo ila hawaelewi

    • @jonasjoe3623
      @jonasjoe3623 День тому

      Kikao gani ?kilifanyika wapi na lini?

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu День тому

      @jonasjoe3623 mhmm fuatilia bibilia yenu usisome andiko la kufutiwa zambi tu hata mungu pia lilijadiliwa tumuite munguu au bwana munguu au jehovaaa andiko pia walikaa wakajadili ndio wakapata jina la mungu wenu

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 День тому +2

    Muhammad alikua mwehu tu, aliingiwa na tamaa ya kuwa mtume tu,

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 22 години тому +2

    Haaaaa Daaaaaa nimecheka sana jamani Kweli Mwamedi anaweza kuwa kwenye Funuo 19: 11 Nunua bible soma hiyo yote mpaka chini utajua kuwa bila Uwongo Waisilamu chali plz soma hiyo Anayosema ufunuo utaona Aibu tosha ila sawa

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan День тому

    Unachoniudhi mbogo maelezo mengi minampenda shafi hua anajibu short unakula mda sana unajielezea sana hii fani bado kilamtu na fani yake nakupenda mbogo Kwa ajili ya ALLAH unajitahidi lkn bado maelezo mengi mno

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 20 годин тому

      Kiukweli kila mwalimu ana style yake ya ufundishaji, sasa walimu wote wakiwa wanafundisha shortcut watu wengine hawawezi kuujifunza kwakua wanaofatilia wanatofautiana uelewa. Cha umuhimu tuwaombee Dua Walimu wetu waendelee kufikisha ujumbe

    • @uongohaunanafasi8572
      @uongohaunanafasi8572 18 годин тому

      @@FadhilZaharan Acha hasadi wewe na unafiki kwani lazima utuambie sisi kuwa unampenda mtu fulani,? Kwani kuna aliye kutuma utengeneze Fitina pumbavu sana wewe!!! Yaani hapa tuna ona adui wa Muislam ni Muislam

  • @TomAyodi
    @TomAyodi 19 годин тому +2

    Huyu ni muongo

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 20 годин тому +1

    Ujumbe umefika wasiposilimu wataishia motoni

  • @Ayxha12Zanzibar-h9u
    @Ayxha12Zanzibar-h9u 23 години тому +1

    HAKUNA MUNGU ANAEONGEA KWENYE QURAN JAMANI, ACHENI KUPOTEZA MUDA APO. ANAONGEA KWENYE QURAN NI MUHAMMAD MWENYEWE.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu День тому +1

    Tunaangalia kwa hasira tu lakini elemu hii ni kubwa sana ambayo inafichwa na huwezi kuisikia kanisa lolote music musichoke kusomesha wenzetu wamegubikwa giza ipo siku wataelewa ukweli kwani sasa wameelewa kama krismasi sio kuzaliwa yesu wameanza kuelewa na ilikuwa ngumu kusema jambo hili mazinge amesemaaa leo wamekubali

  • @TheAlman
    @TheAlman День тому +5

    Huyu mwamba yupo vizuri
    Tuletee tena vipindi vyake

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 23 години тому

      Mtume Muhamad kaka ake ni fedhuli kama mafedhuli wengine. Amka. Matendo yake hayana ushirika na unabii hata punje.

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 23 години тому

      Hakuna utabiri wa kuunganisha unganisha ivyo, ili kuja kumpata mtume. Maandiko ya Biblia hayako ivyo. UTABIRI WA BIBLIA HUMLENGA MTU MOJA KWA MOJA.

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 23 години тому

      We mzee acha kukufuru, Yesu hana UNDUGU na mbakaji wenu munaemuita nabii. Acha bangi mzee.

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 День тому +1

    Usipoelewe hili somo nenda hospital

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg 21 годину тому +2

    Eti Muhammad ndio aliiandika Quran? wakristo kumbe muna mambo ya ajabu kweli Quran ni maneno ya Allah alomteremshia Muhammad kupitia jibril Yani Gabriel
    Kwa hivyo Musa Yani mosses aliiandika taurati?Musa alipewa taurati ni kitabu alichoteremshiwa kutoka Kwa Allah

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 9 годин тому

      We unachekesha kweli,eti Quran Mtume alipewa na jubril hahahaaa ( shetani Ndie aliempa Mtume wenu kitabu Cha Quran kasome Quran2:97 uone.

  • @rodrickjulles8369
    @rodrickjulles8369 14 годин тому +1

    😂😂 uyu Jama lazima apelekwe mirembe. Ana matatizo ya kichwa..,, ndugu yangu husikufuru

  • @amittambwe473
    @amittambwe473 20 годин тому +1

    Mashabiki kwanini munapenda matusi? Funguweni Masikiyo na akili ili muelewe na mujuwe. Matusi niya mutu mwenye hana ufahamu.

  • @SaidIsmail-f1j
    @SaidIsmail-f1j 9 годин тому +1

    Ivi wakristo munajua maana ya utabir? Maana ya neno utabir ni kitu ambacho akijawahi kutokea kabla ya huyo anaetabili au hicho kinachotabir sasa biblia imekuja baada ya yesu utasemaje musa na yesu wametabiliwa kwenye biblia wakati wao walitangulia kuja dunian kabla ya biblia?

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan День тому +1

    Dah kumfundisha asiekua muislam nikazi sana ukisoma biblia vizuri utauona uislam lkn watu wanaleta hoja zisizokua na msingi lkn ipo siku nyinyi mnaomkataa Muhammad kwatamaa tu za Dunia mtakutana na mola wenu ipo siku nyie pingeni mtakavyopinga ipo siku Yaani maandiko yapo waazi kabisa

    • @frankmugomba3484
      @frankmugomba3484 23 години тому

      Mhhhhh wapi nioneshe kidogo Uisilamu kidogo kwa Bible kidogo nijifunze kitu nisiwe mbishi tu??

    • @FadhilZaharan
      @FadhilZaharan 7 годин тому

      @frankmugomba3484 ww ulitaka Neno uislam huwezi ukapata kwasababu waliotafsiri biblia walichakachua wametoa maneno mengi hata ukisoma dibaji utauona hebu tuliza akili yako soma biblia vizuri utaona Kuna mapungufu mengi sana kinachowasumbua watu nimazoea

  • @JohnAwinda
    @JohnAwinda 4 години тому

    Na biblia sio kitabu cha MUNGU lakini leo himetabiri mohamed hatari sana

  • @goodytairo2672
    @goodytairo2672 21 годину тому

    Biblia haitafsiriwi ivo unawaingiza watu chaka farasi mweupe unajuwa anawakilisha nini

  • @Ayxha12Zanzibar-h9u
    @Ayxha12Zanzibar-h9u 23 години тому +1

    BIBLIA HAINA NABII ALIEOA MTOTO WA MIAKA6. ACHENI KUFURU WAISLAM.

    • @rashidmilanzi253
      @rashidmilanzi253 8 годин тому +1

      Ila Adam kaoa mtoto wasikumoja apa sasa sijui mbakaj alikua nani

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 20 годин тому

    Huyu shehe na kingereza chake cha mchongo ananichekeshaga

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 19 годин тому +1

    Du huyu shehe ni muongo anavyoibadilisha biblia ionekane imemtaja Muhamadi et muhamadi ni neno la Mungu du hii ni kufuru