Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

UPENDO HUSHINDA YOTE / Mtunzi Askofu Lazarius Vitalis Msimbe SDS - Askofu wa Jimbo Katoliki Morogoro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2023
  • Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
    Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.

КОМЕНТАРІ • 33

  • @zenobiakimario-dc9df
    @zenobiakimario-dc9df 3 місяці тому

    Ahsante sana Baba kwa wimbo mzuri Mungu akubariki Sana!

  • @FestoJackson-k3l
    @FestoJackson-k3l 14 днів тому

    Hongera sana baba asikofu kwa wimbo nzuri.

  • @erhardwilla5415
    @erhardwilla5415 Місяць тому

    Hii ni zaidi ya kuhubiri. Amina baba.

  • @AnnaMilaba
    @AnnaMilaba 27 днів тому

    Amina baba mungu akutie nguvu

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende 9 місяців тому +3

    Hongera Baba. Mungu akulinde akupe nguvu Daima uitende kazi ya Mungu.

  • @annunciatafrancis4279
    @annunciatafrancis4279 6 місяців тому

    Hongera baba Askof

  • @assensiaphilmon3844
    @assensiaphilmon3844 28 днів тому

    Nzuri sana

  • @AbrahamMjema-di1li
    @AbrahamMjema-di1li 7 місяців тому

    Baba askofu yuko vizuri amejaliwa kipaji

  • @anwaritehaule7797
    @anwaritehaule7797 7 місяців тому

    Hongera baba
    I love the catholism

  • @kanisiomgata2667
    @kanisiomgata2667 8 місяців тому +1

    Hongera baba Askofu kwa wimbo mzuri huo.ni ukweli upendo hushinda yote

  • @user-wl6nn4hj4e
    @user-wl6nn4hj4e 9 місяців тому +1

    MWENYEZI MUNGU akuzidishie mema mengi baba askofu.

  • @jestinamwilapo8653
    @jestinamwilapo8653 7 місяців тому

    Kweli upendo hushinda yote

  • @jamemartine9060
    @jamemartine9060 9 місяців тому +1

    Hongera sana Mhashamu Baba Askofu kwa utume wa miaka 25 ya Upadri. Wimbo mzuri sana na ni ukweli kuwa Upendo hushinda yote.

  • @Paschalntunga
    @Paschalntunga 9 місяців тому +1

    Tumshukuru mungu, huu wimbo nimeupenda sana, mungu akusaidie upate nguvu zaidi za kumtumikia mungu🙏

  • @immaculatenyamila5811
    @immaculatenyamila5811 7 місяців тому +1

    ❤❤❤ great inspiration for us who are just beginning ❤❤🙏🙏 Happy anniversary 🎉

  • @yonamjema77
    @yonamjema77 8 місяців тому

    nafarijika sana

  • @mathiassuswa9173
    @mathiassuswa9173 8 днів тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @kanisiomgata2667
    @kanisiomgata2667 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana kwa utume wako baba askofu

  • @VeronicaJames-ou3rd
    @VeronicaJames-ou3rd 6 місяців тому

    Wow hongera sana baba Askofu wetu,Mungu azidi kukupigania

  • @clementlugoda7870
    @clementlugoda7870 9 місяців тому

    HONGERA NYINGI SANA KWAKO BABA ASK. VITALIS MSIMBE SDS.
    Mwenyezi Mungu aendelee KUKUTIA NGUVU KATIKA MAISHA yako ya utume. AMINA

  • @wensilauskibongolo5965
    @wensilauskibongolo5965 8 місяців тому

    Asante sana Mwashamu Baba Askofu Kwa utunzi mzuri, Mungu akutunze na akubariki sana

  • @user-ev5qd8lw1n
    @user-ev5qd8lw1n 9 місяців тому

    Upendo hushinda yote, nimebarikiwa na wimbo huu. Mungu akubariki baba askofu.

  • @oswaldmgaya8935
    @oswaldmgaya8935 8 місяців тому

    Hongera sana baba Askofu. Kazi iendeleee.

  • @hopeandjoysecondary4481
    @hopeandjoysecondary4481 9 місяців тому +1

    Amina

  • @clementlugoda7870
    @clementlugoda7870 9 місяців тому +1

    Pongezi pia kwa kwaya yote kwa kuimba vizuri.
    MUNGU ATUKUZWE MWANADAMU ATAKATIFUZWE

  • @BikiramariaMshindaji
    @BikiramariaMshindaji 9 місяців тому

    Wimbo mzuri sana kwakweli, tumebalikiwa

  • @user-vd7fn1zu3n
    @user-vd7fn1zu3n 9 місяців тому

    Hongera Baba Askofu Ubarikiwe sana 😊😊

  • @EdwinMbaga-ym3ce
    @EdwinMbaga-ym3ce 8 місяців тому

    Hongera ndio ujumbe mkuu wa kristo

  • @niyongabojonas4760
    @niyongabojonas4760 9 місяців тому

    Mungu aendelee kukutunza Mhashamu Askofu

  • @athanasevaristmahega7488
    @athanasevaristmahega7488 8 місяців тому

    Hongera bishop msimbe

  • @SalomeShongola
    @SalomeShongola 8 місяців тому

    Hakika nimebarikiwa kwa Wimbo huu.

  • @albertkombi6492
    @albertkombi6492 6 місяців тому

    vema

  • @dosteajoseph7939
    @dosteajoseph7939 9 місяців тому

    😊