Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

NIMRUDISHIE BWANA NINI? - Mtunzi: Askofu Lazarus Msimbe SDS | Miaka 25 ya Daraja Takatifu ya Upadre.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2023
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
    Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
    KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
    KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

КОМЕНТАРІ • 31

  • @MATHEWLOUISE-dg6ig
    @MATHEWLOUISE-dg6ig 9 місяців тому +2

    Mungu awalinde watumishi wake.... 🎶🎶🎶🎤🎤🎤
    Kazi nzur

  • @clementlugoda7870
    @clementlugoda7870 9 місяців тому +2

    NIMRUDISHIE BWANA NINI..?
    Asante sana baba, kwa wimbo huu wa tafakari👏👏👏

  • @titoraphael7329
    @titoraphael7329 9 місяців тому +2

    Hongera sana kwake Baba Askofu Lazarus Msimbe. Unanifundisha kutumia vipaji vyetu bila kujali nafasi. It is a kind of Humbleness 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @Dr.Yuda_Romanus_Mahenge
    @Dr.Yuda_Romanus_Mahenge 9 місяців тому +2

    ninacho jifunza ni kutumia karama zetu pasipo kujali nafasi zetu, yote kwasifa na utukufu wa Mungu, Mungu awabariki waimbaji, pia Hongera kwa Baba Askofu Mungu akutangulie katika Utume wako❤🙏

  • @josephherman201
    @josephherman201 9 місяців тому +1

    Hongera sana Mhashamu Askofu Lazarus Msimbe, SDS. Zaburi 116:12

  • @SalomeShongola
    @SalomeShongola 8 місяців тому +1

    Asante yesu,sifa kwa yesu.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 5 місяців тому

      Sifa na utukufu uwe kwa Mungu kwa mema aliyowatendea watoto wangu kwa kuwajalia watoto mapacha❤❤❤

  • @wilhelmimassay9882
    @wilhelmimassay9882 6 місяців тому

    Sijawahi kuona Askofu anapiga kinanda ! Hongera Baba Askofu kwa miaka 25 ya Upadrisho. May God bless you always, May He lead and guide you in your vocation. May you lead God’s flock in the path of righteousness and truth. May the charism of your Congregation of justice and peace, reaching out to the marginalized guide you especially in speaking the truth of justice and peace in our world today especially in Sudan and Palestine

  • @RaphaelOtiende
    @RaphaelOtiende 9 місяців тому +1

    What a marvelous sense of humility,ubarikiwe baba Askofu

  • @user-sn7ve2mb6v
    @user-sn7ve2mb6v 8 місяців тому

    Hongera sana kwa baba Askofu

  • @AugustinoKinunda-tf5tp
    @AugustinoKinunda-tf5tp 9 місяців тому

    Hongera sana Baba Askofu Msimbe, Hongera wanakwaya wote.Hongera sana Sound Engineer na Director Jackson mtoto wa Mzee kembe (MR.JAY) kazi nzuri.

  • @hopeandjoysecondary4481
    @hopeandjoysecondary4481 9 місяців тому

    Hongera sana Baba askofu kwa kutumia vema taranda uliopewa na Mungu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @johnmoghu427
    @johnmoghu427 9 місяців тому

    Hakika Baba Msimbe ni tunu kwa kanisa na Taifa. Mungu na aendelee kumbariki daima❤

  • @EdwinNduhire
    @EdwinNduhire 9 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @samuelmodest6462
    @samuelmodest6462 9 місяців тому +1

    Master_class composition from Bishop Maestro MSIMBE

  • @geoffreymogendi4241
    @geoffreymogendi4241 5 місяців тому

    ❤❤

  • @kipkoechambrose-ny1rh
    @kipkoechambrose-ny1rh 9 місяців тому +1

    Hongera saaana

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 9 місяців тому

    Hongera sana baba Askofu kwa utunzi , wimbo bora sana huu

  • @victustarimo9392
    @victustarimo9392 9 місяців тому +1

    Hongera sana baba

  • @monicakimario2910
    @monicakimario2910 9 місяців тому

    Asante Jugo media kwa kutufikishia ujumbo

  • @muzikimtamumtakatifu897
    @muzikimtamumtakatifu897 9 місяців тому

    Hongera sana kwa utume wa aina zote, hakika umeteuliwa na Mungu siyo kwa bahati bali kwa makusudi❤ Nakutakia utume mwema

  • @mgangajonas152
    @mgangajonas152 9 місяців тому +1

    Nimrudishie bwana nini? Tafakari yangu ya leo amina

    • @monicakimario2910
      @monicakimario2910 9 місяців тому

      Asante sana Baba Msimbe kwa huu wimbo uliogusa moyo wangu

  • @gradientlife
    @gradientlife 9 місяців тому

    Blessings namfurahia sana mhashamu Baba Askofu Msimbe. Very humble.

  • @afyachamber7705
    @afyachamber7705 9 місяців тому +1

    Maestro

  • @KwayaYaMtakatifuCecilia
    @KwayaYaMtakatifuCecilia 9 місяців тому

    Hongera Sana Baba Askofu kwa utume ulio tukuka...

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi 9 місяців тому

    Very humble. Baraka tele kwako baba Askofu

  • @imanhaonga6687
    @imanhaonga6687 9 місяців тому

    hongera sana Mhashamu

  • @mrpcm_tz4307
    @mrpcm_tz4307 9 місяців тому

    Wimbo mzuri ❤❤

  • @simonotwori
    @simonotwori 9 місяців тому

    Amina❤

  • @elizabethndunguru3882
    @elizabethndunguru3882 8 місяців тому

    Nimrudishie Bwana Nini?