Nasikiliza leo tarehe 13/12 /2024 but Mungu azidi kututetea siku zote Mungu baba ni wahaki siku zote tuzidi kumuomba sana asante sana Ambwene kwa nyimbo nzuri sana na yenye funzo nikiisikiliza hii nyimbo nalia sana😢😢
Nimeona msiba huko Mwanza,Mama mmoja kafiwa na watoto kumi kwenye ajali moja wakiwa wanakwenda harusini! Dah! Nilivyoona Mama yao amezimia nikajikuta naukumbuka huu wimbo!!! Dah! Kweli Mungu amefanya siri siku ya kifo ili tumuheshimu kila dakika! Eeh Mungu tujalie mwisho mwema.
Sitasahau huu Wimbo uliniokoa nikiwa nataka kujiua na vidonge mwaka 2014 nilipokuwa nikiishi na mama wa kambo,niliusikiliza kabla ya kutaka kujiua nikaona mimi sina matatizo mazito kuna watu wamefikwa na mitihani zaidi yangu
Wimbo huu hakika una namna ambayo ukiusikiliza unaleta faraja na funzo. Kamwe unaesikiliza huu wimbo usije mwacha MUNGU kwenye dunia hii iliyosonga mambo mengi ya Shetani.
Nimewakumbuka wazazi wangu na bib zangu wote Leo nipo mwenyewe tu Dunian kana kwamba sikuzaliwa Sina wakumwambia shida zangu Leo mme wangu nimeanza nae kutafuta tulipo yafikia mafanikio akanifukiza na kunisimanga ntaenda wapi Sina kwetu lakin namtukuza mungu Leo kwa wimbo huu maana kanipa mtiani huu kwa sababu anajua nauweza Amina mungu wangu
Dadangu alikua na corona...amepona sasa. Baba yangu aligongwa na anachuma mguuni na mkononi..mungu nani Kama wewe sasa hivi anatembea.❤❤😢😭😭Mungu mkuu... Shukrani zangu zifike kkkt kariako. Dar es salaam. Na pia Kwa Mchungaji Mshihiri (Mongo LA Ndege) Nipo Kenya nitarudi... Jina Langu Herman ,Miaka 20! Nimeokoka nampenda Yesu!
Jamani naomba tukiwa katika kipindi iki kigumu Cha msiba wa kutokana na Ndege basi weka wimbo huu utapata faraja jamani na kama unasikiliza basi weka Like kwenye comment hii🤝
Huu wimbo nimeukumbuka kwa ajili ya huyu mama ambaye wanawe wanne wamekufa kwa ajali yaan imeniuma mno huu wimbo una funzo ndan yke Mungu yupo wapendwa😭😭
Huu wimbo nimekuja kuuusikikiza Leo baadae ya kuona Ile familia ya Mzee msuya iliyopoteza watoto wanne ,mungu awape uvumilivu na hao ndo watu mungu huwatumia kumsimangia shetan
Kwakweli.. Unapopata mitihani.. Utasema mungu hayupo dunia yote umeachwa pekeyako.. Mungu anao watu anaowahamini.. watu wenye misuli ya imani wao wanapopita kwenye magumu umtukuza katika hayo hawa ndiyo watu mungu huwatumia kumsemangia shetan.. Ona mistal hii iliyo mololo ktk neno la mungu..
Yaani huu wimbo nimeusikiliza nikajikuta natokwa machozi nikawakumbuka wazazi wangu waliofariki kwa kupishana mwezi mmoja kwakweli nilipata wakati mgumu sana
22-08-2024 nwanangu wa miaka miwili amepatikana na saratani nimweka hii nyimbo iniliwaze nimelia sana... Naamini Mungu ana mpango wake kwa mwanangu😭😭😭😭
Allah atamponya saratani inatibika akiwahi matibabu na kama gharama zitakua juu tafadhali fata process tuchangie yaan toa namba vielelezo picha na majibu ya daktari ili kiwaaminisha na wote wataoguswa pole sana ndg yangu
mwaka 2020-2021 nilipitia changamoto kubwa sana jaribu zito ambalo sikuwahi kupitia tangu niokoke, familia nzima walitaka niende kwa waganga ili kila kitu kikae sawa lakini nilishikilia imani yangu na msimamo wa wokovu kila niliposikiliza wimbo huu nilipata nguvu ya kusonga mbele japo kuna wakati niliona shaka sana, ila wimbo huu ulinifanya nishikilie imani katikati ya magumuyote na kubaki peke yangu, HERE I AM TODAY nilishinda kwa kishindo na daraja langu likapanda. MUNGU akubariki sana mtumishi uendelee kuwatia moyo watu katika safari yetu ya kwenda Mbinguni
Kaka Ambwene Mungu akubariki sana, nimefiwa sana, lkn richa ya kufiwa nikipita kwenye magum nakumbuka huu wimbo naanza kuusikiliza unanitia Moyo sana, na kujua Mungu anakusudi NAMI tunaweza pitia magum lkn kumbe Mungu anajivunia sisi na tupitapo kwenye jaribu Mungu anatupa jaribu akiju tunaweza
Kiatu cha mamangu mkubwa watoto watatu wa kiume kwa siku moja na mjuukuu wake alijikuta alii ila amechanganyikiwa aelew nn kimetokea mpaka leo ayuko sawa kuna muda unaweza kuwaza vibaya ila tunamuchia mungu mana yeye ndio anaju kwann ilikua vile
Kwakweli ambwene you are a gift to the body of Christ. 1st Dec 2023 still here. Mungu akuinue juu na juu na ibada yako ya miaka 20 ikawe ya mafanikio katika jina la Yesu
Huu wimbo umekuwa faraja yangu niliposhiriki ibada ya mazishi ya familia ya msuya majeneza yamepangana hapo wazazi wako hapo nimelia sana sana.Lakini nikakumbuka mtetezi wetu yu hai.Katika kupita kwenye magumu wazazi waone mkono wa neema.
Nakumbuka 2014 nilipata changamoto ya Kodi Mungu akaniinulia msaada mkubwa. Nilikuwa nasikiliza sana nyimbo za mtumishi katika kujenga Imani yangu. Siku ya mwisho wa Kodi yangu Bwana akaniinulia msaada masaa machche kabla ya deadline.
Wanaoangalia wimbo huu kwa mwaka 2023 weka like hapa na mungu atakubarik🙏
mm nilimbeba ambwene kipindi naendesha pikipiki mbeya alikuja kijiweni kwetu
Kbisaa
nimekuja kuusikiliza baada ya mama aliyepoteza watoto wake wote wanne Kwa ajali
@@deboralukawe3883Inaumiza sana. August 2023
Hii nyimbo inafunz
Kama na ww Hadi Leo unausikiliza huu wimbo kama mm nipe like
Kama hujawahi kupata msiba ukaguswa unaweza ukauona huu wimbo ni wa kawaida tu😢
Wimbo huu unatoa machoz kila unapouckiliza haijalish una mda gani leo tareh 17.08.2024 unanitoa choz
20.8.2024 nikiwa napitia jaribu landoa lakini naamini Mingu atanivusha
Nasikiliza leo tarehe 13/12 /2024 but Mungu azidi kututetea siku zote Mungu baba ni wahaki siku zote tuzidi kumuomba sana asante sana Ambwene kwa nyimbo nzuri sana na yenye funzo nikiisikiliza hii nyimbo nalia sana😢😢
Nimeona msiba huko Mwanza,Mama mmoja kafiwa na watoto kumi kwenye ajali moja wakiwa wanakwenda harusini! Dah! Nilivyoona Mama yao amezimia nikajikuta naukumbuka huu wimbo!!! Dah! Kweli Mungu amefanya siri siku ya kifo ili tumuheshimu kila dakika! Eeh Mungu tujalie mwisho mwema.
daah
Ameen
Mungu amtie nguvu mama huyo Mungu ni mwema siku zote
Amina
Amina
Nimekumbuka ajari ya kariakooo,mama Neema kapoteza mabinti zake wawili😢😢😢😢
Who is here 2024... few days to 2025 may you see 2025 in Jesus name. Usiwaimwacha mungu😮
Amen
Amen naummwa mkono mwaka wa 4 leo naimani ipo siku nitakuwa swa kwa uwezo wa mungu
Amen
2024 weka laik hapa
Leo tareh 29/11/2024 naiskiliza hii nyimbo naomben like jaman
Japo mi nimuislam lakini mmh hii nyimbo huwa naipenda sana sana🙏
Me mwenyewe muislam naipenda saana
Haijalishi Mwenyezi Mungu/allah/ Jehovah hana Dini. Tumumaini yeye tu. Dini ni njia za kumjua Yeye aliye Mkuu .
Karibu kwa YESU KRISTO.
Wimbo wa taifa
Hata mmm
Wangap tunausikiliza huu wimbo leo j5 talee 13/08/2024
Sasa huu wimbo umempata mwingine wa uhakika 2023, 02 August
Mungu ampe faraja ya kweli huyu mama
Mungu tusikie wanao tunapo kuomba nawaombea wana kariakoo na wote wenye mahitaji na Mungu
Sitasahau huu Wimbo uliniokoa nikiwa nataka kujiua na vidonge mwaka 2014 nilipokuwa nikiishi na mama wa kambo,niliusikiliza kabla ya kutaka kujiua nikaona mimi sina matatizo mazito kuna watu wamefikwa na mitihani zaidi yangu
Tumshkuru mungu kila dakika,wapo wenye matatizo mpaka unasema Afadhali mimi 😢
Uendelee kuwa na misuli ya imani
Hautakufa utaishi kulitangaza utukufu Mungu.
Hii nyimbo huwa inaniumiza sana moyoni huwa nikiangalia machozi huwa yanatoka yenyewe nyimbo inagusa sana moyoni
Nani anaskiliz 2021 kwenye ichi kipind kigumu watanzania😭cha msiba
Npo hapa 2021 Ameen
🙏🙏🙏❤
Nasikiliza 2022 nafarijiwa sana
2022
@@peterissa7992 pppp
Nipo hapa August 7,2023...Mungu awape nguvu na faraja familia ya MSUYA
Wimbo huu hakika una namna ambayo ukiusikiliza unaleta faraja na funzo. Kamwe unaesikiliza huu wimbo usije mwacha MUNGU kwenye dunia hii iliyosonga mambo mengi ya Shetani.
Kabisaaa 😢😢😢😢
Nimerudi tena hapa 3/02/2023 ajali iliyoua watu 14 family Moja hapo Tanga. Mungu ni mwema amina
Nimewakumbuka wazazi wangu na bib zangu wote Leo nipo mwenyewe tu Dunian kana kwamba sikuzaliwa Sina wakumwambia shida zangu Leo mme wangu nimeanza nae kutafuta tulipo yafikia mafanikio akanifukiza na kunisimanga ntaenda wapi Sina kwetu lakin namtukuza mungu Leo kwa wimbo huu maana kanipa mtiani huu kwa sababu anajua nauweza Amina mungu wangu
Pole sana
Me na wewe hatuna tofauti
Pole sana
Mungu akutetee
Usi Kate tamaa mungu yupo😢
Katika maisha usimwachie Mungu nilipitia matatizo ya maradhi Ila nilipona Mungu apewe sifa
Nimejikuta nakuja kusikiliza hii nyimbo tena baada ya Yule mama alie fiwa na watoto wa 2 kwenye ajari ya ghorofa la kariakoo
😢
Ww Kama mm hapa😢
Mimi pia😢🙏
Twende sawa 2020 nahuu ugonjwa wa Corona mungu wetu aturehemu
Pendo Raphael Amen Mungu yupo hakika
Amen
Kabsa
Dadangu alikua na corona...amepona sasa.
Baba yangu aligongwa na anachuma mguuni na mkononi..mungu nani Kama wewe sasa hivi anatembea.❤❤😢😭😭Mungu mkuu...
Shukrani zangu zifike kkkt kariako. Dar es salaam. Na pia Kwa Mchungaji Mshihiri (Mongo LA Ndege)
Nipo Kenya nitarudi...
Jina Langu Herman ,Miaka 20! Nimeokoka nampenda Yesu!
@@10xtradingkenya49 ooh wow Mungu ni yote tena mzuri sana kwa wale wamtumainio
Huu wimbo huwa unanibariki Sana hasa pale ninapo kuwa kwenye magumu MUNGU atutie nguvu peke yetu hatuwezi
Yan we acha tu😢
Hakuna litakalo tutenganisha na upendo wa Mungu. Ndiye mfariji wetu
Jamani naomba tukiwa katika kipindi iki kigumu Cha msiba wa kutokana na Ndege basi weka wimbo huu utapata faraja jamani na kama unasikiliza basi weka Like kwenye comment hii🤝
Huu wimbo nimeukumbuka kwa ajili ya huyu mama ambaye wanawe wanne wamekufa kwa ajali yaan imeniuma mno huu wimbo una funzo ndan yke Mungu yupo wapendwa😭😭
Hata nikipatwa na jaribu kiasi gani sitafikiria kumuacha mungu🙏
Mungu anivushe salama 2025
Huu wimbo umenifariji baada ya kumpoteza mtoto wangu 8 years old..but God still been God.
Pole sana 😪😪😪
Leo nimelia sana baada ya kusikia huu wimbo nimekumbuka mengi sn😢
Pole❤
Huu wimbo nimekuja kuuusikikiza Leo baadae ya kuona Ile familia ya Mzee msuya iliyopoteza watoto wanne ,mungu awape uvumilivu na hao ndo watu mungu huwatumia kumsimangia shetan
NA WEWE NDO MIMI HAPA h.. hivyo hivyo
Nyimbo Kama hizi zinasisimua maisha ya kiroho.
Mwngne Nani anaitazam video hii may 2024 agonge like
Mm apa mkinga og ina nikumbusha mbali sana may 2024
❤
Nimeitazama tena leo🙌🏾
Hii nyimbo n mpya kla siku
Mungu ni mwema ,
I’m watching this today
I’m heartbroken 💔
Nimefikiria Hata kufa but this song changed my whole mindset
Najua nitavuka tuu katika hili
Thank you Lord 🙏
Sorry Mungu ni mwaminifu
Have Faith In The Lord. He is Faithful.
God Loves You... He will never Leave you nor forsake You🫶
Matatizo nlipitia mwaka jana niliuimba Wimbo huu
Mwenyezi Mungu kupitia huu wimbo wape faraja familia ya Msuya bwana wape amani ya moyo wape watu wazuri wa kuwatunza wazazi na watoto bwana
Mungu nifanyie wepesi ktk haya mapito na nisiwe nalalamika, kwasababu sijui kusudi lako.
Kwakweli.. Unapopata mitihani.. Utasema mungu hayupo dunia yote umeachwa pekeyako.. Mungu anao watu anaowahamini.. watu wenye misuli ya imani wao wanapopita kwenye magumu umtukuza katika hayo hawa ndiyo watu mungu huwatumia kumsemangia shetan.. Ona mistal hii iliyo mololo ktk neno la mungu..
Yaani huu wimbo nimeusikiliza nikajikuta natokwa machozi nikawakumbuka wazazi wangu waliofariki kwa kupishana mwezi mmoja kwakweli nilipata wakati mgumu sana
Pole sana , Bwana Yesu akupe faraja ya kudumu mpendwa.
Pole sana Mungu akupe nguvu
Pole saana mi dia Mungu aendelee kukuyatamia🙏
Mungu ana sababu njema mbona kawachukua.....ata Enoch na Elijah hawakuishi miaka mingi
Nimeona nije niusikilize tena huuu wimbo jamn😭😭
Nimemkumbuka mama Neema wa ajari yq kariakooo 2024
Jmn watumishi wa Mungu mnatutia Moja kwa ss tuliojeruhiwa Mungu Akubariki Mwasongwe
Me ni muislam ila hii nyimbo inanigusa sanaa💔
Nyimbo hii huwa inanifaliji sana ubalikiwe sana ambwene
Napenda sana nyimbo zako barikiwa
Nmejikuta nakuja huku kwa msiba wa neema na brigitha na waliokuja tujuane 😢
22-08-2024 nwanangu wa miaka miwili amepatikana na saratani nimweka hii nyimbo iniliwaze nimelia sana... Naamini Mungu ana mpango wake kwa mwanangu😭😭😭😭
Pole sana Mungu akufanyie wepesi
Pole sana, Mungu atafanya njia ktk hili
Pole sana😢
Allah atamponya saratani inatibika akiwahi matibabu na kama gharama zitakua juu tafadhali fata process tuchangie yaan toa namba vielelezo picha na majibu ya daktari ili kiwaaminisha na wote wataoguswa pole sana ndg yangu
Pole Mungu ni muaminifu kila wakati na hutenda kwa wakati sahihi
Jamani huu wimbo mimi unanitoa machozi maana nimepoteza watu mhim sana asante
Pole sana jamanii
Wimbo unaujumbe mzuri sanaa Mungu alinde huduma aliyoiweka ndani yako uzidi kuifanya KAZI yake, Mungu akubariki sanaa.
nimerudi tena kusikiliza huu wimbo baada ya ajali ya kariakoo mama neema kuoiteza watoto wake 2 mungu tusaidie
Wimbo unanigusa rohoni. Mungu ndio anajua🙏
mwaka 2020-2021 nilipitia changamoto kubwa sana jaribu zito ambalo sikuwahi kupitia tangu niokoke, familia nzima walitaka niende kwa waganga ili kila kitu kikae sawa lakini nilishikilia imani yangu na msimamo wa wokovu kila niliposikiliza wimbo huu nilipata nguvu ya kusonga mbele japo kuna wakati niliona shaka sana, ila wimbo huu ulinifanya nishikilie imani katikati ya magumuyote na kubaki peke yangu, HERE I AM TODAY nilishinda kwa kishindo na daraja langu likapanda. MUNGU akubariki sana mtumishi uendelee kuwatia moyo watu katika safari yetu ya kwenda Mbinguni
Mungu anishindie hata nipitapo kwenye magumu
Wimbo huu nimzuri sana unafariji na kuwa tia nguvu walio kosa tumaini gonga like kama na ww ni mmoja wapo
Mungu ni mkubwa san tuendeleeee kukiaminiii jina lakee
Wangapi wakisiliza wimbo huu hupata picha ya kile kinachoimbwa kwa fikra tu?
Mtumishi umefanya kitu kikubwa kwa wimbo huu,ubarikiwe sana.
Huu wimbo umenibariki sana 2024
Hata iweje wimbo huu hautapoteza nguvu hata siku moja.Wimbo una nguvu ya ajabu kwelikweli.Mungu akubariki kwa maono yako yakutunga huu wimbo Ambwene🙏🏻
Naupenda sana huu wimboo unamana kubwa
Kama una bwana ndani yak naukaskiliza wimbo huu nilazima utasisimuka kutoka moyoni.
Wangap wamekuja hapa baada ya majanga yaliyotokea katesh manyara
Wakati unauelezea huu wimbo leo TBC nikabaki najiuliza maswali na kupata jibu kwamba Mungu anaruhusu jaribu ambalo mtu analiweza.
Kabisa
29.11.2024 mambo ni moto!!
tumuombe mungu sana atusaidie katika haya maisha inauma sana iyo tupendane tukiwa hai nawapenda wote wamama wote duniani ilove you mom❤🥀
Mungu anasababu ya kukupa jaribu
MUNGU pekeyake ndiye atakaye kufariji
@@sofiaarianaayeba491 kweli hakuna mwanadam atoaye faraja ya kweli zaidi ya Mungu
Usije kufikiri kumuacha Mungu🙏🙏. Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine mtu wa Mungu
Asante sana kaka ambwene napitia kipindi kigumu cha kumsindikiza nimpendae nina imani na ili litapita
Pole sana Mungu awe mfariji wako
🙏🙏🙏🙏Mungu akubariki Mwimbaji tuliofiwa tunajua maana ya wimbo huu unatupa faraja san
RIP watoto wa mzee Msuya MUNGU awatie nguvu wazazi wao inaumiza ktk yote MUNGU anaweza
nikisikiliza huu wimbo huwa namkumbuka mama angu, jamani mama angu ananiuma, mungu nisaidie
Kaka Ambwene Mungu akubariki sana, nimefiwa sana, lkn richa ya kufiwa nikipita kwenye magum nakumbuka huu wimbo naanza kuusikiliza unanitia Moyo sana, na kujua Mungu anakusudi NAMI tunaweza pitia magum lkn kumbe Mungu anajivunia sisi na tupitapo kwenye jaribu Mungu anatupa jaribu akiju tunaweza
Ambwene Mimi nilipita kwenye kipindi kigumu sana nashukuru sana nyimbo zako zote zimenibariki sana
2024 bado tunafurahia wimbo
Mungu awafanyie wepesi katika magumu mnayopitia 🙏
Huu wimbo nmeukumbuka leo familia imeungua ndan baba na watt3 wamefalik amebak mama na mtt1, mungu amtie nguvu mama aliebak
Polen Sana Majiran Mungu Awatie Nguvu Mama na Mtoto
Till 2023 still it's blessing
Kiatu cha mamangu mkubwa watoto watatu wa kiume kwa siku moja na mjuukuu wake alijikuta alii ila amechanganyikiwa aelew nn kimetokea mpaka leo ayuko sawa kuna muda unaweza kuwaza vibaya ila tunamuchia mungu mana yeye ndio anaju kwann ilikua vile
MUNGU amtie NGUVU, KIBINADAMU NI ngumu ninyi😢😢
Mie huu wimbo sitokuja kuuchoka💐💐💐💐💐💐💐❤️❤️❤️❤️
Huu wimbo unaniinua sana wakati huu mgumu katika maisha yangu,mtumishi Ambwene Mungu akubariki sana
Nafarijiwa na wimbo huu wakati ninapohisi mateso ambwene MUNGU akubariki
Kwakweli ambwene you are a gift to the body of Christ. 1st Dec 2023 still here. Mungu akuinue juu na juu na ibada yako ya miaka 20 ikawe ya mafanikio katika jina la Yesu
Huu wimbo umekuwa faraja yangu niliposhiriki ibada ya mazishi ya familia ya msuya majeneza yamepangana hapo wazazi wako hapo nimelia sana sana.Lakini nikakumbuka mtetezi wetu yu hai.Katika kupita kwenye magumu wazazi waone mkono wa neema.
😢😢😢isee Mungu utabaki kuwa Mungu
Nasikiliza hii nyimbo leo ni tarehe 5/12/2024 Mungu anipe misuli ya amani
Mungu akubarki sana wimbo ni Mungu alikufunulia si akili ya kawaida
2023 October ,Yesu ni mwema wimbo unaendelea kunifunza .
Powerful Song, this song deserves a 100 million views, wakristo muko wapi jamani mubarikiwe na huu wimbo
18/12/2024...Bwana wangu Yesu nipe misuli ya Imani
Miongoni mwa nyimbo zangu pendwa ni pamoja na hii inashika namba 1
Huu wimbo umekuwa faraja yangu mchana na usiku.
Mashujaa wa imani siku zote hurudisha utukufu kwa Mungu
😢 kila Jambo na wakat wake
Baada ya Ile ajali nimekuja kusikiliza huu wimbo
Nifalaja kubwa sana ninapo sikia huu wimbo
Nakumbuka 2014 nilipata changamoto ya Kodi Mungu akaniinulia msaada mkubwa. Nilikuwa nasikiliza sana nyimbo za mtumishi katika kujenga Imani yangu. Siku ya mwisho wa Kodi yangu Bwana akaniinulia msaada masaa machche kabla ya deadline.
Amen
Wimbo ambao nikiusikiliza na pata nguvu❤
Mzee msuya na familia yake utazani ambwene mwasongwe aliwaimbia wao hii nyimbo inaumiza sana kupoteza watoto wote Kwa wakati mmoja 😂
Pole mama musuya
Inaumiza mno
We unajua matumiz ya emoj kweli
Duniani tunapita
Huu wimbo unagusa moyo sana😢 Feb 2021 nilifiwa mama mkwe na mume wangu ndani ya wk 1 😭
😭😭Mungu baba wapokee watawa mapadre wetu
Wimbo huu unanitoa machozi kila nisikizapo namkumbuka mama yangu alietangulia mbele za haki namaneno alionichiaga kipindi yupo hai nimebaki nalia tuu
Mungu akutie nguvu hauko pekeyako
Najkutaga nalia na ndev zangu napousikiliza . 1 love ambwene . umeimba kwa uhalisia wa maisha yetu
Nice
Ameen
Ameen