Amina mtumish nakuona kama yohana sauti ya mtu aliaye nyikandi ndo wewe mtumishi ubarikiwe sana yesu yuko njiani kurudi Akiwa katika cheo chake cha MUNGU kwaiyo tengenezeni njia zenu na mtubu ludin msalabani BWANA anawaita
Hii ndiyo Injili tunayoitaka ili tupate kibali cha kumuona MUNGU! Wachungaji badilikeni waambieni watu ukweli! Msipoihubiri kweli ya MUNGU Hakika mtahukumiwa siku ya mwisho!! DAMU ya YESU ikufunike Mtumishi Pascal Cassian siku zote za maisha yako AMEEN!!
Tuikubarini kweli jamani sisi wanadam, Kiukweli tumebadirika sana nakwenda kuamini hizi ni nyakati za mwisho 😢😢tumrudieni muumba wetu. Makanusa yetu yamekuwa ya hovyo sana, Nikupe 🌹🌹🌹🎉🎉Mtumishi Ev. Paschal Kassian Endelea kutufundisha yale yalio mema AMEEN🙏
Ujumbe mkubwa sana.tunashangaa sana hata ukikataza wanawake asivaa suruali watu wanakupinga ,asante sana kwa Ujumbe huu utawafikia kabisa. Ubarikiwe sana
Ndani Suruar na Gauni Ndevu Napia Kabla Ya Kuvaa omba roho mtaka tifu akuongoze upate kibali mimi mwenyewe na ishi nje ya nchi kwenye ma snow but sivai rsurual njee na vaa tait ndani na skert nzito au gauni nzito@@vickytorry100
Asanteni kwa hili .Mavazi ya wanakwaya kwa walokole wanakwaya mavazi nguo mkono mmoja mfupi mkono mwingine ni mrefu wengine nguo ndefu safi na mwingine inabana .Awana mpango wengine suruali . Webgine wanaume wanasuka rasta wako kwenye kwaya wanaimba eti ni kisasa. TZ TZ ni nini kimewakumba. Nimaendeleo mnaiga sana huo simpango wa Mungu. Mawigi etc Jezaberi sio kanisani ni Disco mpeleke.
SHETANI KATUMIA SANA MAKANISA YA MANABII WA UONGO KUHARIBU KANISA LA MUNGU. MANABII wengi Wake zao Huvaa ovyo Sana. Inabidi tuchague MOJA, kwa Mungu au DUNIA.
Yes tunapokuwa tunavaa sukualiNi kibuli MAANA tuneambiwa na neno la MUNGU haya makatazo ya KUVAA suluali na KUJICHUBUA mawigi MABANGILI hereni na mwingine MENGI Ila dhambI Sio dili
Uko sahihi Sana pastor haya Mambo yaliingizwa duniani taratibu nikama ushoga ulivyoingia tz na duniani kote .shetani anapo Leta Jambo lake huwa anaanza taratibu baadaye kilekitu kinazoeleka.tuna shukuru Sana Mtumishi ushauri Wangu omba kibari kwa Mungu upelekele mafundisho haya tz nzima na duniani kote,kwakuwa makanisa mengi sasahivi yapo na utandawazi
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu paschal cassian ni wimbo wako wa ona wanavyomwabudu,waambieni watu pamoja na kiapo cha dam umenifunza kitu kwakwel injili yako ni dhahiri maana yote unayoimba yalitabiriwa ktk maandiko
Sikuzote msema kweli uwa anakuwa apendwi maana ukweli unachoma mpendwa lafiki yangu na mchungaji sema kweli kweli maana ata maandiko yanasema kweli itatuweka huru
Asante sanamchunganji wewe uko hapo kukosoa mapasta ware ambae Wana one machafu lakini hawawesi Sema nju Wasikose waumini wengi kanisani Mungu akumbaliki sana .
Wanawake Wanawake Wanawake nimewaita mara ngapi adi mimi nikiwa mmoja wao c tusikie haya ba tubadilike aki ndo maana Wanawake ni wachache MBINGUNI 😢😢👂👂👂👂let's hear this
Nikweeli kabisa wanawake mbinguni nihaba wana wake tuna mambo mengi ya nayo m muwakilisha shetani nilisha wahi kusikia huo ushuhuda MUNGU atusaidie MUNGU atuponyee.
Sina mengi ya kusema zaidi naomba Mungu atufungue macho ya rohoni yatiwe Nuru,katika hili wengi hawatakuelewa Kwa maana mioyo yao imetiwa Giza,heri yao wanaotambua nyakati tulizonazo,KURUDI KWA YESU NA MWISHO WA NYAKATI ku karibu Bora ukanyamaza Kwa usichokijua kuliko kutukana na hyo siku ukatolea hasabu.
NI SAHIHI KABISA MTUMISHI WAAMUE MOJA KABISA KUWA UPANDE WA MUNGU NA KUFUATA YA MUNGU AU KUWA UPANDE WA DUNIA NA KUFUATA MAMBO YAKE 15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Ufunuo wa Yohana 3:15 16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu. Ufunuo wa Yohana 3:16 &&&&&&&& 15 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. 1 Yohana 2:15 16 Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. 1 Yohana 2:16
Ameeen . Mungu akupe maisha marefu uzidi kuihubiri injiri ya kweli.Injiri kama hii kwa sasa imekuwa adim. Watu wanahubiri mafanikio tu,habari ya kwenda mbinguni imekwisha jamani.
Mtumishi hubiri wokovu watu wamjue Mungu mambo ya mavazi ni Roho Mtakatifu tu mwenyewe awezae kubadilisha moyo wa mtu ... Wapo wanaovaa madera na uzinzi hauishi💁🏽♀️
Hata kama dunia itaangamia lakini Mungu atainua watu watakao weza kuikomboa kwa njia ya mahubiri na maombi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mahubiri kama haya siku hizi yamekuwa adimu Sana,
Hongera Sana , Paschal cassian
Amen
Utayapata wapi wakati pesa ndo Kila kitu
Amina mtumishi wa Mungu mwanamke alie okoka huwezi kuvaa suruali wala kusuka nywele na kuweka makucha ya kuzimu hayo sema baba sema
You are highly anointed ! May Almighty God heal his church to day
Asante sana pasco navazi kautufu limekupendeza sana yesu akubalik sna
Ukweli kabisa mtumishi wa mungu ubarikiwe sana...... mwenye masikio asikie na ajibadilishe.
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Daaah leo umegusa penyewe kabisa mtumishi wa mungu,
Moto unatusubiri hakika mwenye sikio na asikieeee Mungu sio lazima ashuke duniani kawaambie acheni dhambi anatumia watumishi wake kama hawa
Una kuta mekapu nywele ata kufunga kitamba akuna mwa na mke mcha Mungu awezi kwenda kichwa wazi afunge kitamba chake kichwani
Amina mtumish nakuona kama yohana sauti ya mtu aliaye nyikandi ndo wewe mtumishi ubarikiwe sana yesu yuko njiani kurudi Akiwa katika cheo chake cha MUNGU kwaiyo tengenezeni njia zenu na mtubu ludin msalabani BWANA anawaita
Wanawake tuzingatie.
Asante kwa mafundisho Pastor PaschalCassian. 😇🙏
Hii ndiyo Injili tunayoitaka ili tupate kibali cha kumuona MUNGU! Wachungaji badilikeni waambieni watu ukweli! Msipoihubiri kweli ya MUNGU Hakika mtahukumiwa siku ya mwisho!! DAMU ya YESU ikufunike Mtumishi Pascal Cassian siku zote za maisha yako AMEEN!!
Hallelujah hallelujah Sema Pastor Tupone kwa Jina la Yesu , Wamama na Wadada Tupone Kabisa 📌📌📌📌📌📌📌
Tuikubarini kweli jamani sisi wanadam,
Kiukweli tumebadirika sana nakwenda kuamini hizi ni nyakati za mwisho 😢😢tumrudieni muumba wetu.
Makanusa yetu yamekuwa ya hovyo sana,
Nikupe 🌹🌹🌹🎉🎉Mtumishi Ev. Paschal Kassian
Endelea kutufundisha yale yalio mema AMEEN🙏
May God continue strengthening you man of God. This kind of teachings in churches are very rare thank God you are there fearing no one.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Ahsante yesu kwa ujumbe huuu SEMA kwa kinywa Cha mtumishi wako tupone wote, amen
Nabarikiwa Sana Yesu yupo mlangoni anabisha yeyote atakaye na amfungulie
Mungu akubariki nimebarikiwa sana mutumishi
Ukweli nikwamba hata kama nipo burundian 🇧🇮🇧🇮 nahitaji sana kushiliki pamoja nakanisa lako maana wafundisha kweli nabalikia sana mungu akubaliki san
Tafuta kanisa ya areshe bi.... UA-cam iko address...niloona ni watu wengi hufunga nywele, wanavaa dress karibu wote...
Ujumbe mkubwa sana.tunashangaa sana hata ukikataza wanawake asivaa suruali watu wanakupinga ,asante sana kwa Ujumbe huu utawafikia kabisa. Ubarikiwe sana
Hamjaishi nchi Za baridi nguo gani utavaa? kuna winter uvae gauni si utaugua! Mambo mengine yanazungumzwa tu siyo vitendo
Ndani Suruar na Gauni Ndevu Napia Kabla Ya Kuvaa omba roho mtaka tifu akuongoze upate kibali mimi mwenyewe na ishi nje ya nchi kwenye ma snow but sivai rsurual njee na vaa tait ndani na skert nzito au gauni nzito@@vickytorry100
Mungu adusam Sana kama unakua kazin unalazimika kuva pantalo utafanyaee?
Amina mtumishi mungu awe pamoja na nawe katika huduma ya neno la mungu
Asanteni kwa hili .Mavazi ya wanakwaya kwa walokole wanakwaya mavazi nguo mkono mmoja mfupi mkono mwingine ni mrefu wengine nguo ndefu safi na mwingine inabana .Awana mpango wengine suruali . Webgine wanaume wanasuka rasta wako kwenye kwaya wanaimba eti ni kisasa. TZ TZ ni nini kimewakumba. Nimaendeleo mnaiga sana huo simpango wa Mungu. Mawigi etc Jezaberi sio kanisani ni Disco mpeleke.
cassian hongera kwa kazi nzuri...pia tunaomba kama mtumishi wa Bwana paza pia sauti juu ya serikali hii juu ya kukamatwa kwa Mbarikiwa Mwakipesile..
Mungu akutie nguvu na kukubariki kaka hakika unaihubiri kweli ya neno la Mungu usichoke
Hallelujah glory to the Lord, everything have shown to the Holy Bible.
Mchungaji casian yupo sahihi kabisa na ndiye mchungaji anae simama vizuri na neno la Mungu.Ubarikiwe sana mtumishi.
SHETANI KATUMIA SANA MAKANISA YA MANABII WA UONGO KUHARIBU KANISA LA MUNGU. MANABII wengi Wake zao Huvaa ovyo Sana. Inabidi tuchague MOJA, kwa Mungu au DUNIA.
Mungu hajabadilika.
Mungu akubariki sana mtumishi. Wa kweli. Shetani ni mhuni. Amejiingiza kwa Siri kwa waliookoka..
Ni siku za mwisho .
Ujumbe huu ni safi sana. Tufanye bidii walio taja jina lake Bwana mwokozi tujichunge sana namna tunavaa.
Awa ndio wa mtumishi wa Mungu wanya kati zamwisho
Yes tunapokuwa tunavaa sukualiNi kibuli MAANA tuneambiwa na neno la MUNGU haya makatazo ya KUVAA suluali na KUJICHUBUA mawigi MABANGILI hereni na mwingine MENGI Ila dhambI Sio dili
Mungu ni mtakatifu na hakuna uovu ndani yake.wacha tuishi maisha ya utakatifu.
Uko sahihi Sana pastor haya Mambo yaliingizwa duniani taratibu nikama ushoga ulivyoingia tz na duniani kote .shetani anapo Leta Jambo lake huwa anaanza taratibu baadaye kilekitu kinazoeleka.tuna shukuru Sana Mtumishi ushauri Wangu omba kibari kwa Mungu upelekele mafundisho haya tz nzima na duniani kote,kwakuwa makanisa mengi sasahivi yapo na utandawazi
🙏🙏🙏🙏 Eeeh Mungu nisaidie kwa tamaa za kidunia
Amen wanaogopa kupoteza sadaka .ety Rohoni Mungu hayuko kama tunavo mchukulia n neema tu kwakwel
Tunaishi kwa neema si sheria
Umetanganyua wewe
Mungu akubariki mtumish wa Mungu,tunabarikiwa sana na injili yako
God protect you man of God,,,am from Kenya and TikTok to
Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏
Mungu akupe maisha marefu
Hallelujah Hallelujah Utukuvu kwa yesu mtumishi barikiwa sana kujitolea kufundisha ukweli barikiwa sana
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu paschal cassian ni wimbo wako wa ona wanavyomwabudu,waambieni watu pamoja na kiapo cha dam umenifunza kitu kwakwel injili yako ni dhahiri maana yote unayoimba yalitabiriwa ktk maandiko
Siketi ndogo ndongo matako yapo juu
Sikuzote msema kweli uwa anakuwa apendwi maana ukweli unachoma mpendwa lafiki yangu na mchungaji sema kweli kweli maana ata maandiko yanasema kweli itatuweka huru
Anaitwa Natasha pastor ,you're right Mimi sijaweka hayo mavazi Kwa mwili ,zangu skirt za shika aridhi nikitembea Hadi nasifiwa na dad wangu
Hello
Amen mtumishi waMungu Kaziyako ninjema uwe namoyo mkuu
Wow! God be blessed mtumishi🙏
Asante sana kwa somo sina chakukupa baba angu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤tukijaliwa tutafanya kazi ya mungu😢😢😢😢😢
Mungu aendelee kukutumia kuwafungua wengine kwa utukufu wake MUNGU.
Wewe Sema ukwelitu hata wakushukie mungu yuko upande wako ukweli ongea amen kabisa mtumishi wamungu
Asante sanamchunganji wewe uko hapo kukosoa mapasta ware ambae Wana one machafu lakini hawawesi Sema nju Wasikose waumini wengi kanisani Mungu akumbaliki sana .
Wanawake Wanawake Wanawake nimewaita mara ngapi adi mimi nikiwa mmoja wao c tusikie haya ba tubadilike aki ndo maana Wanawake ni wachache MBINGUNI 😢😢👂👂👂👂let's hear this
Nikweeli kabisa wanawake mbinguni nihaba wana wake tuna mambo mengi ya nayo m muwakilisha shetani nilisha wahi kusikia huo ushuhuda MUNGU atusaidie MUNGU atuponyee.
Ameni
Barikiwa mtumishi wa mungu. Wanawake tupone jaman
Kweli kbs wanawake tubadilike
Aminq
Apo bado watapinga maandiko watakwambia anaangalia moyo❤😅
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU
Amen uko sawa tuliishi neno Yesu anarudi upesi sana
Wote tuseme amen 🙏
amen
𝘼𝙢𝙚𝙣
Mungu azidi kukupa nguvu ❤
Ata ksuka nywele wana ska
Right. Correctly spoken. With ears let them hear the voice of the Holy Spirit. On judgment day, let's meet
Mungu akutie nguvu sana,watumishi wengi,wanatetemeka sana kusema ukweli usio na unafiki sijuwi humwonea hofu mungu wa Dunia inasikitisha sana ??
Barikiwa mtumishi 🙌🙏
Mungu akubariki mtumishi unaongea ukweli kabisa.....wanawake tunavaa vibaya kanisani.
Sina mengi ya kusema zaidi naomba Mungu atufungue macho ya rohoni yatiwe Nuru,katika hili wengi hawatakuelewa Kwa maana mioyo yao imetiwa Giza,heri yao wanaotambua nyakati tulizonazo,KURUDI KWA YESU NA MWISHO WA NYAKATI ku karibu Bora ukanyamaza Kwa usichokijua kuliko kutukana na hyo siku ukatolea hasabu.
Amen amen ubarikiwe na mungu
Uko vizuri,MUNGU akubariki.Dunia imevulugika! Tuwaambie bila uoga.
Amém, mungu atusaidiye
Jamani Mungu atusaidie hiliandiko sikuwai kulisoma Haki Kuanzia leo ndio basi siwezi kuvaa tenaMungu aniongoze
Maandalio ya moyo ni yamwanadam
Hii ndo injili ya Kweli ❤🙏
Hakika ni aibu sana watu wameharibu hekalu la Mungu limekuwa ni nyumba ya makahaba, wanafanya km mama yao Jezebel.
Nilitamani sana , mtumishi yeyote anisome hi kitabu ,, MUNGU atusame , sema mtumishi tupone🙏🙏
Hapana mtumishi,hujayaelewa vizuri maandiko,
Haleluya
Kunamchungaj alinijibu tuwe tunavaa mazoezin
Ukimuonesha andko anajenga ukiwa mbele
haleluya haleluya mtumishi pigiria msumari maana roho ya yezeberi imeliteka kanisa la leo
Mungu akubariki mtumishi endelea kutuelimisha
Ameeeen mungu akubariki sanaa
NI SAHIHI KABISA MTUMISHI WAAMUE MOJA KABISA KUWA UPANDE WA MUNGU NA KUFUATA YA MUNGU AU KUWA UPANDE WA DUNIA NA KUFUATA MAMBO YAKE
15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto.
Ufunuo wa Yohana 3:15
16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Ufunuo wa Yohana 3:16
&&&&&&&&
15 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake.
1 Yohana 2:15
16 Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.
1 Yohana 2:16
Na kila inapotajwa "dunia" Ina maana
Shetani, mauti na uovu/muovu.
Amenn ubalikiwe sana mtumish
Muito bem pastor Deus te abençoe
Amina Sana tukiwambia wanasema eti tuwaache wanasema siyo Sisi tunao tengeneza mbingu ❤
Mungu akubariki sana ukweli mtupu
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ameeen . Mungu akupe maisha marefu uzidi kuihubiri injiri ya kweli.Injiri kama hii kwa sasa imekuwa adim. Watu wanahubiri mafanikio tu,habari ya kwenda mbinguni imekwisha jamani.
Amina mtumishi wa Mungu
Safi usinyamaze mtumishi 🙏🙏
Ubararikiwe baba Asante
Mungu atusaidie na aendelee kukutumia
Hongera mtumishi barikiwa sana na Mungu emeeeeen
Amin ubarikiwe sana
Mtumishi wa Mungu asante kwa mafundisho
Mtumishi hubiri wokovu watu wamjue Mungu mambo ya mavazi ni Roho Mtakatifu tu mwenyewe awezae kubadilisha moyo wa mtu ... Wapo wanaovaa madera na uzinzi hauishi💁🏽♀️
If you could even for one day listen to the pastor with a willing heart but woe to you for destruction is before you
Amina Mungu akutunze
kabisa mtu wa mungu
mtumishi naweza pata hyo background music pleaseeeeeeee kama naweza nijibu nikutumie namb please mtumishi
Siku ya hukumu inakuja wengi wao hawautak ukwel ila siku yaja watatolea hesabu mbele ya Yesu
Amina ndefuu so much Asante.
mungu habadiriki mathew 24:35 Elohim habadiri na neno lake halitabadilika
Barikiwa mtumishi sema tupone
Amen uruma sana kweli.
Natamani sana mtumishi tuungane kiroho.
Ukweli mchungu Asante Paschal Cassian