KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 531

  • @protasmathias5064
    @protasmathias5064 Рік тому +2

    wew kila mtumish wa Mungu ni wa uongo, hujui kumbe, yesu alisema tutafanya makubwa zaid yake kwa jina lake, kwanin usihubir injili na sio kukosoa maana wew sio Mungu wa kukosoa...wote ni watumish wa mungu karama ni tofauti na roho ni mmoja.

  • @JamesMbekomize
    @JamesMbekomize 6 місяців тому +1

    Sema usemavyo hunitoi kwa kuhani musa richard mwacha fanya kazi yako mungu pekee ndy anaju na kwambiaje hunitoiii kwa kuhani labda uniue

  • @istermariol2158
    @istermariol2158 Рік тому +14

    Sauti ya Mungu huja kwa ukali kwa ajiri ya kuikemea dhambi.. Barikiwa sana mtumishi kwa kukemea dhambi

  • @NenoabelMwanachila-rr4zu
    @NenoabelMwanachila-rr4zu Рік тому +1

    Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu Paschal nipo pamoja nawe naitaji injili ya kweli kama hii mm naitwa mchungaji Neno Abeli

  • @joshuafidelis9040
    @joshuafidelis9040 Рік тому +23

    Ameeen Ameeeen, barikiwa sana mtumishi wa BWANA,Ev.Pascal Cassian.Keeps preaching the TRUE GOSPEL

  • @Estherm309
    @Estherm309 Рік тому +8

    Ameeeeeeen tukombolewe tusipotee Na wamejivalia Ngozi ya kondoo ndani Ni umbwa mwitu Yesu Kristo tumiminie roho wako mtakatifu tusipotee tunakuitaji Yesu Kristo unene nasi

  • @RashRoz3626
    @RashRoz3626 Рік тому +2

    Shalom mtumishi 🙏Much love from🇰🇪🇰🇪

  • @anthonymatiko2330
    @anthonymatiko2330 Рік тому +1

    Amina 🙏 Mtumishi Pascal cassian mwenyezi Mungu akutangulie na akuzidishie ulizi na imani ya kiroho na kimwili daima litangaze neno lake yeye aliye juu, jina la bwana libarikiwe🙏

  • @iradukundabenigne2108
    @iradukundabenigne2108 Рік тому +4

    Ahsante Mungu kwa ujumbe huu adim
    hivyo basi jenga uzio wa damu yako kwa mtumishi wako Paschal . kwakua adui anamtazama kwa jicho la chuki. Zidi kumpa maarifa na ujasili na ulinzi wako uwe juu yake daima. AMEN

  • @giftjohn8198
    @giftjohn8198 Рік тому +3

    Mm sitegemei kutoka Kwa kuhani msa Bado tunasonga mbele💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

    • @happypyuza1114
      @happypyuza1114 Рік тому

      Tuachie Kuhani Musa wetu acha kuwasema watu hubiri neno la Mungu na kuitangaza injili ya YESU KRISTO mwenye kuhukumu watu ni Mungu pekee, kwa sababu hunamizani ya kupima mema na mabaya ya mtu hata wewe ni binadamu hujakamilika pia unamadhaifu yako, aliyemkamilifu ni Yesu Kristo peke yake, toa kibanzi ndani ya jicho lako ndipo utoe boriti ndani ya jicho la mwenzako hata hivyo kama kweli roho wa Mungu kakuonesha hao kuwa ni manabii wa uongo ni vema ukawafuata na kuwaambia watengeneze na Mungu kabla hasira ya Mungu haijawawakia lakini sio kuja huku public na kuanza kuasema sema tu Biblia inasema utausema ukweli nao ukweli utkuweka huru.

  • @happey2878
    @happey2878 Рік тому +35

    Kweli kabisa ndugu nakupenda bure..nakufatilia sana usiogope kusema kweli ata ingawa chungu lakini kuna roho unasaidia...amen amen

    • @eliasishija7301
      @eliasishija7301 Рік тому

      Nimeipenda hiyo

    • @benjaminchakwe9815
      @benjaminchakwe9815 Рік тому

      Je wewe nawe unasema ukweli au na wewe ni mwoga kama wengine sio unamsifia tu mwenzio hujui anakumbana na nini kama kweli umelipenda hili nenda ungana nae mpeleke injili ya kweli

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому +1

      @@benjaminchakwe9815 anawahubiri injili feki, injili ambayo haiwafungui watu kutoka kwenye matatizo yao, injili ys kuwaponda watumishi wenzake hyo ni injili feki

    • @bryanlimbi326
      @bryanlimbi326 Рік тому

      @@benjaminchakwe9815 we umeungana nae!?

    • @drheriethkamote8113
      @drheriethkamote8113 Рік тому

      Have you been in his church before?

  • @omegamchaki6696
    @omegamchaki6696 Рік тому +1

    Mtumishi wa Mungu unanibariki mnooo.. Mungu azidi kukuinuaa na. Kukutumia sanaaa...Oho... Aksante Yesu Kwa ajili ya Huyu mtumishi wako... imani ya wokovu wang unazid kuimarishwa...👏👏

  • @TamariDusenge-oo5ig
    @TamariDusenge-oo5ig Рік тому +1

    Sina Cha kumshukuru Mungu kwa ajili Yako mchungaji,Mungu akubaliki sana ,ninakufuatilia Kira wakati unanibaliki sana, Mungu azidi kukupigania

  • @giftjohn8198
    @giftjohn8198 Рік тому +2

    Pole sana wewe unasoma mahandiko Gani hivi mwalimu waongo unamjua pole atutaki kujua kuhani msa nimuongo tunacho jua tumepona nabado tunahambatana na kuhani msa🔥🔥

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 Рік тому +3

    AMINA AMINA AMIIII.....NA Mchungaji. Ukweli peke yake ndio utatuweka huru,tuko nyuma yako na Wala usiogope .Tukubali kwa maana Ni Roho Mtakatifu anayetumia kinywa chako Barikiwa Sana.

  • @upendomtweve7830
    @upendomtweve7830 Рік тому +9

    Ubarikiwe sanaa baba....wanapotosha sana watu hao watu

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 Рік тому +6

    Ubarikiwe kwa ujasili Huu maana SI rahisi kuwakosoa Hawa watumishi wauongon, lakini kwa msaada wa Mwenyeezi Mungu utashinda Amen.

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 Рік тому

    Hallelujah Hallelujah Utukuvu kwa bwana yesu Nashukuru sana kwa hio ukweli barikiwa sana

  • @mariamwalongo
    @mariamwalongo Рік тому +1

    Mungu akutunze nimekupenda kwakweli mwenyemasikio naasikie Balikiwasana mtumish

  • @gloriatoya72
    @gloriatoya72 Рік тому +7

    Ameeen barikiwa mtumishi wamungu Kwa ufunuo waneno la Mungu

  • @craudiadominicus6995
    @craudiadominicus6995 Рік тому

    Amen sema kweli ya Mungu mtumishi hakika Mungu typo pamoja nawe,na aendelee kukupigania ili uendelee kusema ile kweli ya Mungu,Maana kiukweli napenda sana injili ya namna hii,hakika katika hili Mungu anainuliwa juu kabisa na shetani na mawakala wake wote chini.

  • @fabianmihale3715
    @fabianmihale3715 Рік тому

    Barikiwa Mtumishi kwa kunyoosha ukweli maana huu NI wakati wa kuikaza kamba ya ukweli uongo ukae pembeni anguko la kanisa lililotokea mwaka 325 bk kule nikea ndio uongo ukapenya ndani makanisa ambayo hayawezi inukatena,Amen

  • @petrowayesu2053
    @petrowayesu2053 Рік тому +15

    Kweli kabisa Najua kusimamia hak ni kutafta kifo lakin wokovu umetufikia sababu ya wengi walio mwaga dam kwajil ya Iman na kusimamia kweli

  • @milcentachando1142
    @milcentachando1142 Рік тому

    Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa kila dakika ninapokuskiza,napenda mafundishow haya , fearless man of God I have ever seen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪uko loud and clear 🙏

  • @elizachama1229
    @elizachama1229 Рік тому +1

    Amina Mtumishi nimejifunza vitu vikubwa na vya muhimu leo, asante na Mungu akubariki sana🙏

  • @danielmwakasanga
    @danielmwakasanga Рік тому +2

    Watumishi wa Mungu naomba sana Roho mtakatifu atusaidie maana tunakoelekea sio ni vema sana kushauriana kwa hekima sio malumbano na kufokeana hivi

  • @indiansonglomanticlove8493
    @indiansonglomanticlove8493 Рік тому +3

    Mungu akuweke na azidi kukulinda na maadui wasiopenda ukweli wa mungu
    najua una Vita kubwa Sana ila mungu atakusimamia na hakika tunakuombea

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 Рік тому

      Ni kweli kabisa uhuni UMEKUWA mwingi

    • @twihuvilafaithnyimbo2907
      @twihuvilafaithnyimbo2907 Рік тому

      Mungu amuweke wapi sasa huyu badala ya kufundisha anaanza kuongelea mtu Mmoja tu mwanaume mwenzio anakuumiza kichwa acha hayo mambo Evangelist piga Injili kama imekushinda wenzio wameweza huwezi kupiga Injili tafuta kanisa linalokufaa ukahubiriwe au na wewe unataka kufungua kanisa sasa unataka wale wahumini wa kiboko ya mizimwi na wachawi utaweza wale wewe? Watu wakajua huna kifua cha Injili kabisa Ya ngoswe muachie Ngoswe mziki wa kuhani huchezi wewe tulia piga Injili yako achana na watu wanao timiza wito wao acha kelele kama una kiu ya maji bwana nini unaningusha Evangelist huwa anakuwaga ana habari za watu anakuwa na Habari za mbinguni tu sasa wewe hizi za kuhani za nini mchawi nini unaogopa atakulega na anajenga wachawi yule Mwamba acha kabisa

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому

    Ubarkiwe sana Mtumish Wa Mungu usiache kusema kweli Ila uwanja Wa sifa za Yesu tumekumic Mtumish upite siku moja utusalimie jaman

  • @stelapeter-lm2yn
    @stelapeter-lm2yn 9 місяців тому

    mtumishi mungu akubaliki unatufungua wengi baba

  • @annakaminyoge9292
    @annakaminyoge9292 Рік тому

    Sema kweli baba, turejeshwe kwa Mungu aliye hai👏👏👏
    Natamani kila mtumishi wa kweli apaze sauti kuwanusuru watu wa Mungu dhidi ya hawa manabii na walimu wa uongo

  • @NenoabelMwanachila-rr4zu
    @NenoabelMwanachila-rr4zu Рік тому

    Kweli inatubidi tuwe wakweli katika kristo yesu na siyo kudanganya watu injili ya mafuta imetawala duniani sema kweli mtumishi wa Mungu Paschal mm naungana na wewe

  • @antonykomba6631
    @antonykomba6631 Рік тому

    Ama kwa hakika mtumishi wa Mungu Paschal unafanya kazi kubwa Sana ya Mungu, na Mungu atakupigania kwenye hili. Maana hawa wachungaji wengi wanayatafsiri maandiko Kama wapendavyo wao ili Hali biblia Ina kanuni zake za usomaji huku kidogo na huku kidogo (ISAYA 28:13) na Mhubiri 7:27 Na pia Mtume Petro anasema watu wasiyo na elimu ya maandiko, na wasiyo imara huzipotoa nyaraka za "MTUME PAULO" Kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine kwa uvunjifu wao wenyewe (2 PETRO 3:15-16). Hongera mchungaji Paschal

  • @stelapeter-lm2yn
    @stelapeter-lm2yn 9 місяців тому

    mtumishi unatuponya ubarikiwe mungu azid kukuinua nass tunakuombea

  • @LydiaAnge-hh5jf
    @LydiaAnge-hh5jf Рік тому +1

    Amen mtumishi wa Mungu Yesu akutiye nguvu.

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 Рік тому

    MUNGU akubaliki Sana mtu wa Mungu lakn usimkosoe mtu kwa kosa la siku moja Hapana hata Mungu mwenyewe hapendilkn nilisha sema kuwa ukiwa na Mungu wa kweli ndani yako simama na Mungu tembea na Mungu na mwenye huku n Mungu c mwanadam. na kitu kingne binadam tunafosi tufanane na problem zetu ni KARAMA MUNGU HAJATUPA SAWA tumezidiana Watumishi wa MUNGU na IMANI ZETU tumezidiana py . Hilo mtambue ndugu zangu wana wa MUNGU na Mungu awasaidie Sana. Ila nyakati Kama hizi n zamwisho zingatieni kilicho ndaniyako py kisimkufuru Mungu maana Mungu nae anawatu wake anawo waamini usimhukumu mtu kwa kuteleza kwa siku moja maana mafundisho sawa na maono uonavyo wewe na mwingne tofauti. Basi usimhukumu watu maana wengne mwachie Mungu Mungu akubaliki Sana 🙏🙏🙏🙏 SAUTI YA MUNGU DUNIANI ITALEJESHA MATEKA WALIO TEKWA NA SHETANI IPO NJIANI BABA YANGU WA MBINGUNI ☝️AWABALIKI SANA🙌

  • @ivana9837
    @ivana9837 Рік тому

    Maji yanatumika kwa jina la Yesu Pascal, tumia muda wako kutafuta ukweli kabla ya kuhukumu kwa kudaka neno moja au mawili
    Kula mkate na divai yaani sakrement au mwili wa Kristo na kutumia maji au mafuta NI yaleyale.

  • @jumafrancis8083
    @jumafrancis8083 Рік тому

    Amen..tumekuawavivu wakusoma maandiko ndoyo mana tunaibiwa na watumishi wauongo

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Рік тому +1

    Hallelujah hallelujah 🔥🔥 Moto 🎤 volume iko sawa pastar 💪🇰🇪🇰🇪.

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Рік тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu unatuelemisha sana Mungu akubariki zaid

  • @mundelejudith3940
    @mundelejudith3940 Рік тому

    Mungu aku bariki sana eti ukakila musibani una mula marehemu mungu niepushe na awama nabi wa siku zamwisho tena uyu mtumishi nilimu ona you tube nika anza mufatiliya sana mwairi siku mbili kumbe ni tapele mkubwa mtumishi mungu aku bariki kutu saidiya

  • @jeridahnancy
    @jeridahnancy Рік тому +1

    Tangu nianze kukufatilia nimefunguka Kwa mengi sana, Mungu akupe neema zaidi Kwa njia hii ya kurejesha ukweli makanisani.... Mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏

  • @rehemamkumbo2082
    @rehemamkumbo2082 Рік тому +3

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu unasema kwelii

  • @flavianarwebangira6726
    @flavianarwebangira6726 Рік тому

    Mwenyezi Mungu akujalie moyo wa uthubutu wa kueleza yanayostahili kwa wapendwa ktk kutafuta ufalme wa Mungu.

  • @wegesaelias5110
    @wegesaelias5110 Рік тому +2

    Aminaaaaaa! Waambie wasije wakasema hatukuonywa.

  • @MwakaSichone
    @MwakaSichone 5 місяців тому

    Nakama shetan atataka akuinukie namuomba mungu afe yeye atakae taka kukuuwa.niombi langu milele

  • @zahorosakala5304
    @zahorosakala5304 Рік тому

    Kazi nzuri sana mtumishi ya kuamsha wakristu. @paschalcassian

  • @A9TZ
    @A9TZ Рік тому

    Amen mtumishi wamungu

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 Рік тому

    Mungu aendee kukupanguvu maana umejitoa kwakweli amina mtumish

  • @benijohn3632
    @benijohn3632 Рік тому

    Mungu akubariki ktk jina Yesu Roho wa Mungu ktk kristo Yesu awe nawe wakati wote

  • @salmajuma894
    @salmajuma894 Рік тому +6

    Amen.turned from saudi Arabia

  • @anissawinasi2579
    @anissawinasi2579 Рік тому

    Amen lazima injili ya Kweli ihubiriwe.
    Mungu akubariki mtumishi.
    Usichoke kuongea Ukweli watu hawahelewi kabisa nyakati tulizo nazo shetani amefunga wengi wasijuwe Ukweli

  • @emanuelsafari9035
    @emanuelsafari9035 Рік тому +1

    Mtumishi wa mungu ukweli wako unatufanya wapi pakweli na uongo kweli speech zako zimejaa ukweli ndani yake nazinani bariki mno endelea kusema ukweli bila woga by Emanuel safari

  • @cynpeter2517
    @cynpeter2517 Рік тому +1

    Nmefurahi kuona channel yako! Mungu akubariki na kukufunika the Real Man of God🙏

  • @adaberthludovick1120
    @adaberthludovick1120 Рік тому

    AMINA, BARIKIWA SANA MTUMISHI WA YESU KRISTO: SASA HIVI HIYO ROHO YA MPINGA KRISTO IMEANZA KUKAMATA VIJANA WADOGO. ENDELEA KUTUSAIDIA

  • @benedictnyange9889
    @benedictnyange9889 Рік тому

    N kweli kabsa mtmshi ,wakolosai 2:20-23 mandiko yako wazl Amina ubarkiwe. Sana

  • @daudilangat6123
    @daudilangat6123 9 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @happynesskibamba6993
    @happynesskibamba6993 Рік тому

    Barikiwa saaana mtumishi. Sema kweri usiogope..aliyekutuma Yuko nawe

  • @suzanmndasha8315
    @suzanmndasha8315 Рік тому

    Ninajua ujumbe unakuja kwa kutengeneza watu asante kaka maana ninatengenezwa ndani barikiwa sana

  • @lukasezekiel7692
    @lukasezekiel7692 Рік тому

    Uko sawa kabisa mtumishi,,,wachungaj wengi wanakaa kimya sijui jukum ilo wanamwachia Nani,,,??!

  • @jaribuchussy4496
    @jaribuchussy4496 Рік тому

    Barikiwe mtumishi wa Bwana, casian, wee kweli umetumwa kukomboa watu na utumwa wa manabii wa uongo.

  • @thomasmandao4179
    @thomasmandao4179 Рік тому

    Amen 🙏 hii ndio njia, kweli na uzina you proceed to pressing teach

  • @pastordominicmabula6363
    @pastordominicmabula6363 Рік тому +8

    Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.
    Having therefore these promises, dearly beloved, let us cleanse ourselves from all filthiness of the flesh and spirit, perfecting holiness in the fear of God.

  • @mariammganga5061
    @mariammganga5061 Рік тому

    Huu sio wakati wakutangatanga ,, tumshike Sana KRISTO YESU,,, BARIKIWA MTUMISHI PASCAL CASIAN,,

  • @christinatiana9623
    @christinatiana9623 Рік тому

    Ameeeeeeeen pastor kwahiyo tusile hata kama tumefiwa khaaaaaaaa kwahiyo tukifiwa tufungee swaumu

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 Рік тому

      Tusile nyama watu wagimu kueleea na huyo anaye kosoa

  • @laodikiagiantsingers1027
    @laodikiagiantsingers1027 Рік тому +1

    Jiadharini na manabii wa uongo maana wamevaa mavazi ya kondooo yamkini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali., Ahsante Paschal kwa kuwafungua watu macho zidi ya manabii wauongo, kwa maana walio wengi hawapendi kusoma biblia, lakn kwa maubir Aya wengi wataokolewa kutoka gizani.

  • @stevembaigwa7078
    @stevembaigwa7078 Рік тому

    Mungu akubariki na akujalie neema maana mitume na manabii walipitia vikwazo usiogope endelea kusema kweli mpaka mwisho

  • @ev.davidjoseph9159
    @ev.davidjoseph9159 Рік тому +4

    Amen God bless you Rev. Pascal.

    • @elshamotieno9876
      @elshamotieno9876 Рік тому

      Ameen endelea kusema ukueli naye mungu atasimama nawe, niko njini nairobi kenya, mathayo 24:24

  • @lydiapeter4284
    @lydiapeter4284 Рік тому

    Amina Seema baba tupone maana tumefungwa wengii nakuelewa saana

  • @PatrickMathias-cs9qc
    @PatrickMathias-cs9qc 8 місяців тому

    Hakika Mungu hatakuripa thawabu zako ubarikiwe

  • @juliasalphonce8307
    @juliasalphonce8307 Рік тому +9

    Mungu akutie nguvu mtumishi Huwa nakukumbuka kwenye maombi yangu nakuombea

    • @ellymoshi2622
      @ellymoshi2622 Рік тому

      Tafuta chakwako kutoka kwa roho mtakatifu mbona unasubiri wenzako wafundishe ndo wewe ukosoe,,upo kusubiri wenzako wapewe na Roho Cha kusema ndo wewe ukosoe kaa magotini upewe Cha kwako acha wivu,,

  • @wangariwangari5605
    @wangariwangari5605 Рік тому

    Sema ukweli waumwe waibike Sana na washindwe IN JESUS MIGHTY NAME

  • @stevenmwakisole8976
    @stevenmwakisole8976 Рік тому +1

    Mtumishi wa Mungu mwenye hekima ya kiungu halopoki kwann usiwafuate kama unaona wanapotea cyo kuongea kwenye mitandao haitakusaidia coz katka viwango vya kiroho ww na hao manabii ww ni mdogo sana ndyo maana watu kama niny huduma zenu haiendelei sababu mnakuwa na kujiinua na Mungu huwashusha wanaojiinua na kuwapandisha wanaojishusha

    • @fransisconyalema6802
      @fransisconyalema6802 Рік тому

      Hivyo viwango vya kiroho umevipima na roho ipi

    • @aludasmbolea455
      @aludasmbolea455 Рік тому +1

      Jamani ataifuata wangapi tangu babu na wewe unashangilia upotovu au ni sehemu yao? Mitandao ni everything Mr Steph. Haropoki maana ungejuaje hapo kama angemfuata .KANISA LA HONGERA KWA KUMLA MAREHEMU. Uko wapi umoja wetu watanzania? Tunatenganishwa live jamani.Huku maamuma wakishangilia emeni emeni emeni ..Amkeni watanzania .Kemeeni Roho ya kutekwa iambieni Arusha AOMBEE WATU WAMPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA KUJAZWA na Siyo kujaza watu Mapesa manyumba magari na loliondo atubu kwelikweli, ili Dare salaam ibaki salama Kwa YESU KRISTO na Mwamposa aongoze Sala ya Toba na Siyo Sala ya pokeapokea na dhambi zako hiyo nyumba itakuzika na hilo gari litakufunika maana umepewa furushi la Siri ya kuzimu na kupakatishwa moto wa jehanamu Kwa kuukimbilia mwenyewe umeungua milele.Ajitokeze shujaa ayarejeshe maji aliyopewa ,Yuko wapi JEMEDARI arudishe gari la mafuta.huyo ataitwa mwana wa aliye juu.Maana kuzimu kutamwopa kama Nini? na shetani atamkimbia Kila akanyagapo.Jifunzeni Kwa wakatwa vidole mbona haponi Kwa Nini?mbona mguu hupona ikivunjika Leo kidole tu? Hakika umeungamanishwa kuzimu damu yako Hadi ikaushwe mwilini Kwa kunyonywa na majini maana umeyataka na kuyatafuta mwenyewe.umeuza damu yako mwenyewe na kuyakabidhi maisha yako Kwa mharibifu maana mwivi huja ili aibe na kuchinja .Kimbia haraka usijakufa wahi Kwa aturehemuye atakuponya na Roho ya uhitaji uliokuthiri kiasi Cha kukushikusha mauti Naam mauti ya milele

  • @geofleyfreenwelluka
    @geofleyfreenwelluka Рік тому +2

    Mtumishi kwakweli apa najengwa iman kubwa katika kiloho ubalikiwe na mungu atakushindia

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 Рік тому

      Achana na kuhani Musa wewe kula nyama Sio kula chakula.

  • @tumsifucharles8782
    @tumsifucharles8782 Рік тому +3

    Binafsi naona hiki ulichokichagua sio sahihi, unashambulia watumishi wenzio bila sababu. Wewe wajibu wako ni kuhubiri Neno la Mungu kama wenzio tufanyavyo na sio kushambulia wenzako.

    • @neemaneema9969
      @neemaneema9969 Рік тому

      Ongea chakwako kilicho Sahihi 😏😏😏😏

    • @gatichristopher6457
      @gatichristopher6457 5 місяців тому +1

      omba neema ya Mungu akuoneshe mahal sahihi pa kusal...n lazma tukumbushwe kua makin tusipotee

  • @celestinecherop7038
    @celestinecherop7038 Рік тому

    Mtumishi wa mungu mchungaji wangu anakutafuta anaeza kukupa aje?

  • @chancealimasi1946
    @chancealimasi1946 Рік тому

    Ubarikiwe sana sana, MUNGU akuinuwe zaidi na zaidi uishinde vita

  • @leokadiakasambala1865
    @leokadiakasambala1865 Рік тому

    Mungu ni mwema Asante ubarikiwe San Mungu atusaidie

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 Рік тому

      Ni kweli kabisa watu wanaangamia hawajui NN MAANA ya injili ya YESU

  • @annachazy5230
    @annachazy5230 Рік тому +1

    MUNGU amekuchagua na atakurinda hadi utakapomaliza kazi yake. Ubarikiwe saana,

    • @jacksonmeli
      @jacksonmeli Рік тому

      Ni kula nyama na wewe huelewi nini

  • @jeannentaho8002
    @jeannentaho8002 Рік тому

    Amène Amène ubarikiwe sana mutumishi wa bwana

  • @Priscadzidzamasha
    @Priscadzidzamasha 3 місяці тому

    Ninachojua YESU ni mmoja na niyule wakana naleo hata milele ss kama KUHANI Musa ni muongo ss kwanini aponye watu kwa jina la YESU jamani niacheni na YESU wa Kuhani Musa from 🇰🇪🇸🇦

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 Рік тому +4

    Kaka hata kama wakubwa watakupinga lakini waumini wa hao wakubwa tunakuunga mkono, endelea kufungua akili na uelewa wa watu wa Mungu. viva pastor/evangelistic Pascal

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 Рік тому

      Yes BALIKIWA lazima tuwe injili ya YESU ya kweli

  • @EstherLut-l9v
    @EstherLut-l9v 4 місяці тому

    Kuhani musa ni mutumishi wa kweli na haki uki endeleya ku pambana na kuhani musa naku onya mwenyezi mungu ata ku ondowa duniyani , Musa ni mpakaliwa mafuta wa yesu christo wa Nazareth aliye hai naku onya tena usikuye kufa

  • @sophiagasper-b4y
    @sophiagasper-b4y 10 місяців тому

    Mungu atusaidie

  • @NancyMwaibula7634
    @NancyMwaibula7634 Рік тому

    Haaa! Kunakitu umekiongea Mungu alisema na Mimi mwaka jana na umenithibitishia leo, jamani Yesu anarudi uwiiii tufanye kazi yake, Asante Yesu

  • @wiliamvicentewiliam4903
    @wiliamvicentewiliam4903 Рік тому

    Paschal MUNGU atakulinde sana, ata wakipanga mikakati ya kukuuwa awataweza kamwe. Wewe unanijenga imani kubwa sana ata uku kwetu Moza wapo.

  • @emmanuelfaya792
    @emmanuelfaya792 Рік тому

    Upo sawa mtumishi wa MUNGU alie hai

  • @daudijacob7377
    @daudijacob7377 Рік тому

    Asante Yesu Halelula Unaonhea ukweli ukweli tena ukweli mtupu

  • @fatmamussa2373
    @fatmamussa2373 Рік тому

    Eee yesu wa kuhani mussa naomba uyu baba apingwe radi mpaka atakapo tubuzambi zake za kumsema vibaya Masii wako kuhani mussa

  • @Pasfiqueabel
    @Pasfiqueabel Рік тому

    Naomba mungu.akulinde maana kwa hili sijui itakuaje mtumishi Wa mungu

  • @agnesnzala885
    @agnesnzala885 Рік тому +2

    Amen Hallelujah ubarikiwe in the name of our Lord Jesus Christ 🙏🙌❤️ You will be protected by God Himself

  • @gayomaster3533
    @gayomaster3533 Рік тому +3

    Ameeen mtumishi Mungu akutie Nguvu Katika hili

    • @gracedamas5883
      @gracedamas5883 Рік тому

      Kuhan Musa yuko sahihi
      Mambo ya msiban nimengi
      Hata mie siwezi kula nyama msiban

  • @merymbaga4838
    @merymbaga4838 Рік тому

    ❤❤barikiwa mtumishi

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu

  • @rhodamkungu4237
    @rhodamkungu4237 Рік тому

    Kuhani na Mwl Musa Richard Mwacha ni Mtumishi wa Mungu....huna point ya maana, Mtumishi anamtumikia Mungu wa kweli... inaonyesha kama umetumwa...tafuta kazi nyingine ya kufanya kama umeshindwa kufanya uinjilisti wako...Mungu akusaidie, akufungue fahamu maana haziko sawa...

  • @felistasombi8497
    @felistasombi8497 11 місяців тому

    Wewe utalaaniwa kwa upinga kazi ya Mungu sio wewe uliyewaita kufanya kazi hiyo kaa kimya waache walio itwa na Mungu wafanye kazi kila mtu amepewa kazi yake na Mungu wewe hajaitwa na Mungu ndio maana unatukana watumishi wa Mungu

  • @violetauma1001
    @violetauma1001 Рік тому +5

    Amen 🙏🙏🙏kwa ufunuo wa neno la mungu

  • @eliambuyamauki7380
    @eliambuyamauki7380 Рік тому +2

    God Bless you Brother...Preach

  • @marcelytsuut3325
    @marcelytsuut3325 Рік тому

    Anayepingana na Paschal cassn Mungu amsaidie

  • @veronicahkhaikwa4929
    @veronicahkhaikwa4929 Рік тому

    Ukimalizana na tanzania pia Kenya uwataje maana wanaudhi sana Roho mtakatifu akuongoze

  • @faithijegwa3592
    @faithijegwa3592 Рік тому

    Unapoitwa ni vizuri kukubali kusoma , wengi wanaona kuingia vyuoni ni shida , tafsiri nyingi zinaleta shida , na kulipotosha kanisa kiukweli inahitajika neema ya Mungu