MAKAMO WA RAISI AMUONYA PASCHAL WIMBO WAKE MPYA KUTAJA MAJINA. AMGOMEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @jameskija
    @jameskija Рік тому +20

    Amina sana tena uwaambie natamani Mungu ukuinue juuu kabisa ulihubili neno la kweli nasi kona kona nakuombea Mungu awe nawe akupiganie akulinde leo kesho hata milele

  • @deborahngoliga
    @deborahngoliga 7 місяців тому +2

    mungu akubariki sana mwinjilisti wangu napenda sana mtu anayezungumza ukweli ili tupone sema babaaa, usiogope vitisho vya mtu yeyote mungu ni mwema, na uponyaji hauuzwii jaman watu tunapotea.

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 Рік тому +5

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Paschal. Usiogope tuko wengi tulio pamoja nawe. Tutakusapoti kwa kila jambo. Hao ni mawakala wa shetani tu wanaona shida siri zao kufichuliwa

  • @justineronard7747
    @justineronard7747 Рік тому +1

    Ubarikiweeeee mnooo, chapa injili ya kweli ya Yesu Kristo, isiyo chakachuliwa.

  • @elishabsfcultivation9517
    @elishabsfcultivation9517 Рік тому +5

    Mtumishi wa MUNGU upo sahihi kwa 100% nakupenda sanaa Katika Kristo Yesu, Mimi mwenyewe nimekuwa nikikilashi sana kupitia Facebook hayo mahubiri ya mwamposa, na wengine kama yeye! husiogope MUNGU Yu pamoja naweee! Nyimbo zako zinanibaliki sana nikisikilizaaa

  • @marymnemela2432
    @marymnemela2432 Рік тому +7

    Mungu akutie nguvu simamia kweli, niko pamoja na wewe barikiwa sana

  • @gib3888
    @gib3888 Рік тому +55

    mtumishi wa mungu usiogope hivo n vitisho baridi kwanza nyimbo zako zime n pariki snaa mungu yupo pamoja nawewe 🙏🙏

    • @mfirimassawe9023
      @mfirimassawe9023 Рік тому +1

      Tupe Mandiko yasemayo kuwa mafuta yamesha nguvu au kupitwa na na wakat,mtumish unatafuta Kiki na watumishi wamungu ,utapotea kuwa makini ,huku si

    • @celiahaule9166
      @celiahaule9166 Рік тому

      Sema baba wanadamu tupone

    • @lolenvitus8467
      @lolenvitus8467 Рік тому

      AMINA 🙏 baba, siku zote msema kweli huchukiwa na walio wakosaji,mungu akulinde mtumishi wa mungu.

  • @KyalwahiMwengegilson-it8hn
    @KyalwahiMwengegilson-it8hn Рік тому +1

    Asante sana mchungaji , giza na nuru havi changamani, Mungu akubariki

  • @alexseve7720
    @alexseve7720 Рік тому +21

    Ubalikiwe sana Mtumishi hiyo Ndiyo kweli Watu wana takiwa Kujua..waziache Njia zao Mbaya..🙏🙏🙏🙏

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 Рік тому +56

    Songa mbele baba , Mungu mtetezi wako yupo atakupigania. Yesu alituambia tuwe tayari hata kufa 😢na tunayoambiwa gizani lazima tuyaseme nuruni 🙏🙏🙏 . Makamo wako mkuu ni yesu 💪💪💪

  • @laodikiagiantsingers1027
    @laodikiagiantsingers1027 Рік тому +10

    Mungu akutangulieee mtumishiii wa Mungu uendeleeeee kutufudishaa na akuepusheee na rohoo za husdaa

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 Рік тому +3

    Ameeen, mungu akitie nguvu mtumishi wa mungu,maana huu ukweli unaousema lazima wakuchukie aseee sio kwa nondo hizi,,barikiwa sana🙏🙏🙏

  • @abinelsimon3963
    @abinelsimon3963 Рік тому +3

    Hongera sana mtumishi,Mungu wa mbinguni akubaliki,nena maana dunia ilipofika Ni pabaya watumishi hawapendi kuambiwa ukweli,Amani ya Bwana iwe pamoja nawe katika huduma yako!

  • @sakinarugudukajoshua4921
    @sakinarugudukajoshua4921 Рік тому +3

    Ubarikiwe Tena kwa kufanya kazi ya Mungu kwa ujasiri. Unapo mtumikiya Mungu kwa kweli na haki Unatangaza vita na shetani.
    Wajumbe wa shetani wote watakucukia kwa kweli iliyo ndani mwako.
    Acha Yesu Christo akutete na akuvike nguvu upate kushinda hila za shetani. Mungu akuinuwe kiroho na kimwili pia.

  • @johnchalahani6924
    @johnchalahani6924 Рік тому +16

    Uko sawa Paschal. wanaopinga ni vipofu wa Neno la Mungu. Endelea kusema kweli ya Mungu

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi Рік тому +6

    Kuwaonya hadharani ni halali maana hata wao ramli wanazopigia waumini wao kanisan huwa wanafanya wazi wazi. Big up sana mtumishi Paschal Mungu akujalie neema kubwa uendelee kutia mchanga vitumbua vya hawa wahuni wa mjini wanojiita watumishi.

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 Рік тому +27

    Amen Mtumishi wa Mungu,Mungu amekuponya kwa makusudi,sema kweli na Mungu atakubariki,nakupenda Sana,nakumbuka wakati unaumwa tulikuwa tunaongea kupitia sms

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 Рік тому +17

    🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏 Paschal umejaaa roho mtakatifu,wanaoshindana na roho mtakatifu wa Mungu aliye ndani yako Hao ni mashetani wanataka waendelee kutupoteza, wameshindwa tena wameshindwaaaa katika jina la Yesu, Amen 👏👏👏

  • @happynesspaul7553
    @happynesspaul7553 Рік тому +10

    Njia ambayo mungu ametumia ni kufikisha ujimbe Kwa njia ya uiambaji. Msitetee uovu

  • @AnneCherotich-gj9eg
    @AnneCherotich-gj9eg Рік тому +1

    Hata Yesu Mwenyewe enzi za kulihubiri neno lake Mungu aliyapitia yaya hsya mchungaji.Songa mbele na injili kwa kuwa hiyo injili uhubiriyo ni moto na inachoma hila potovu za muovu shetani ambaye ndiye pingamizi mkuu wa injili hii takatifu.Hamna maana yeyote katika usajili ws yeyote anayelikufuru neno la Mwenyezi Mungu katika huduma yake ila ni matapishi kwa yeye yule amuogopaye na kumhubiri Mungu wetu aliyehai amina.🤩🇰🇪

    • @AmriJastini
      @AmriJastini 4 місяці тому

      Wapi yesu alisema kuwa Yohana umekosea kuwaombea watu kwa kutumia dhana ya aina yeyote kaka tuwe makini usisapoti tuu chunguza kwa undani.karibu tuungane pamoja kulijua neno kwa la biblia kalibu sana

  • @consolatamuga7471
    @consolatamuga7471 Рік тому +22

    Mwenyezi Mungu akutangulie akufunike kwa damu ya mwanae mpendwa Yesu Kristo adui asipate nafasi juu yako

    • @leahsanga3777
      @leahsanga3777 Рік тому

      Mungu akusaidie baba kaza mwendo endelea na kazi ya bwana hivyo ni vitisho tuu vyakutaka kuharibu kazi ya bwana endelea baba kaza mwendo wala usikate wala kugeuka nyuma na mungu akusaidie kwa jina la yesuuuuuuuuuuuuhuuuuuuuuu

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 Рік тому +2

    Que Dieu vous bénisse, serviteur de Dieu, vous dites la vérité, c'est pourquoi ils se battent, mais ne vous inquiétez pas de leurs paroles.
    usijali na maneno yao mtumishi wa mungu Paschal Cassian cha msingi tu simama imara na injili ya bwana wetu yesu kristo ubarikiwe sana tu

  • @indiansonglomanticlove8493
    @indiansonglomanticlove8493 Рік тому +15

    mwenyezi mungu akulinde na akupambanie kwenye Vita yako mtumishi

    • @SabinaFrayo
      @SabinaFrayo 2 місяці тому

      Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

  • @carolineatieno2875
    @carolineatieno2875 Рік тому +11

    Shetani imeingia ndani yao ndo maana wana chuki na wewe the truth must be told, if they dont need the truth then come to kenya we need it especially me i neee to kno God more and i love that song, yenye umesema,WAMBIENI WATU UKUELI i lov it so much, tell them the truth man of God and be blesed.

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 Рік тому +33

    Upo sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu. Nakuombea SONGA mbele USIOGOPE vitisho vya wanadamu. Siri za shetani ni lazima zifunuliwe na watu waje kwa Yesu.

    • @azizanyiranzeyimana7073
      @azizanyiranzeyimana7073 Рік тому +1

      Pascal ikwaumeitwa na Mungu basi simama kama Paulo kwa waroma walausiwaogope. Kwamaanawoga nimtego,natena ukweli unakata kamakisu kwayule asie mkweli basi simamakama Elia pazasauti. Mpaka Mungu mwenyewe atakaposema inatosha. 🙏 🙏 🙏

    • @edwardnathan6294
      @edwardnathan6294 Рік тому

      Uko sahihi mtumishi

    • @marthakibona
      @marthakibona Рік тому

      Kweli kabixa

  • @agnesnzala885
    @agnesnzala885 Рік тому +7

    I love so so so much Your songs especially the new song very very nice song O love ❤️😍💖❣️💕 it

  • @fasheamani5395
    @fasheamani5395 Рік тому +11

    Mbarikiwa na Paschal nawapenda Bure, mmoja anagonga kwa anjili na mwingine kwa nyimbo, endeleeni tu.

  • @BeforeZayekha
    @BeforeZayekha 6 днів тому

    Ukweri kaka Mungu akubariki sana kaka Asante sana kwakutufundisha neno la mungu

  • @josetomasnyangu3021
    @josetomasnyangu3021 Рік тому +16

    Asante Baba mwamposa amefika uku Mozambiqui na weng Sana wanakwenda kununua, mafuta..Mimi nimepona kwa sababu yakukufatiliya sana nikamjua kabisa uuyu tapli

  • @JanethNgulo-iz3hy
    @JanethNgulo-iz3hy 2 місяці тому

    Amina sana mtumishi wa mungu barikiwa sanaaa ninkufatilia Toka wimbo wa Dunia kwaheri mungu akulinde

  • @beatricemdoe7192
    @beatricemdoe7192 Рік тому +12

    Mtumishi wa mungu mungu akubariki na akulinde unayosema ni sahihi kabisa taji lako mbinguni ni kubwa sana sana

    • @starfordbrown3924
      @starfordbrown3924 Рік тому

      Amina mtumishi ongea ukweli sikuzote ukweli unauma nakuombea mungu akutie nguvu usitishiwe na wanadamu wewe mwangalie mungu tuu

  • @EdinaSijaona
    @EdinaSijaona Місяць тому

    ❤Mungu akubariki sana kwa hilo kaka. Unanibariki sana kaka kwa kuongea UKWELI. Maana UKWELI unamuweka mtu HURU. Ili tuwe huru mbali na uovu ni lazima tulijue Neno la Kweli. Neno la Kristo Yesu kweli kweli. Ubarikiwe sana kaka. Usiogope wala kuionea haya Injili.

  • @enock_george
    @enock_george Рік тому +6

    Asante sana kaka kwa kuendelea kuisema kweli Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu

  • @stefanodeus244
    @stefanodeus244 Рік тому +4

    Amina baba Mungu akubariki sana mtumishi nawapenda sana Pascal cassian pamoja na Mbarikiwa Mwakipesile Mungu akutunze na kukuhifadhi "je tuwasikilize ninyi kuliko Mungu"

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 Рік тому

      Mbarikiwa Mwakipesile na Pasco Kassin ni Moto wa kuotea mbaliii

  • @kingmhondela
    @kingmhondela Рік тому

    Amen ni kweli kabsa Mtumishi wa Mungu pascal,Nabii mkuu ni Yesu pekee, kazi Moja wapo za Watumishi wa Mungu ni Kuonya,Kukaripia na kutia moyo.

  • @simiyukevin6239
    @simiyukevin6239 Рік тому +17

    Hapo ndipo mtumishi injili lazima isonge mbele kwa ukweli Mungu akujalie neema Na tunakupenda sana 🙏🙏🙏

    • @solsimaniakanam7843
      @solsimaniakanam7843 Рік тому

      Kilamumoja anavitavyake huyuamefikiya hapohakuna wakumuzuiya anapita atafikalevo yengine huyuanaaza yukomahali pangumu ambapo wezakewalipita wanaedambele pole utafikatu nimekujibu kiulimwengu Waroho badouko porini nyikani kamayohana hujamubatiza yesu hizomeseji hungezijibu ungeimbawimbotu ukifatananao utabakihapo kwamabishano nasikiyahuruma ya Mungu ukweli achananao usiwajibu kamawatakuhitaji kweli watakuitaofisini achakuwajibu diowanakulengeza hivyohiyo ombasana mutumishi

    • @stanslauschacha2833
      @stanslauschacha2833 Рік тому

      Mungu akupe wigo wa ulinzi

    • @nashonjonas9240
      @nashonjonas9240 Рік тому

      Injili ilinza kwa mateso, itaisha kwa mateso tunaomba kwa wanao sema kweli tuko nyuma yako, sisi tunahila kilichondani ya manabii wauwongo, barikiwa baba

  • @sajienswebe5557
    @sajienswebe5557 Рік тому

    Mtumishi Mungu akusaidie Roho Mtakatifu huwa anajitukuza wewe simama wito wako Mungu kakuita kuponda watumishi WA Mungu hiyo sio vema hubiri neno watu wamfuate Mungu. Kutaja majina ya watu katika mahubiri Yako SI proper. Jitahidi kusimamia wito wako. Manabii wameitwa na Mungu na niwapakwa mafuta huo uinjilisti una mtumikia Mungu yupi. ROHO MTAKATIFU ni mwelevu sana. Nakushauri acha kuwapaka watumishi WA Mungu

  • @peninanganzu2883
    @peninanganzu2883 Рік тому +6

    Mungu ni pamoja nawe Mimi niko mbali nakuona nakusikiya Jesus's hopefully is above you usiogope kusema ukweli wa Mungu tutakuombea Dunia imefika mwisho jibulangu ni Amen kumbuka poul Amen 🙏

  • @emanuelcharles406
    @emanuelcharles406 Рік тому

    Nimekuelewa sana ....mtumishi Mungu akutetee na kukupingania na akufikishe salaama ktk safar yako

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 Рік тому +15

    Hallelujah hallelujah kaka yangu 🙏🙏🙏 hiyo ni Kweli!! Maana jina analolitumia ni la yesu christo unayemuamini, sasa nilazima ulitetee jina la christo lisiendelee kuhaibika kwenye mahuduma zao za mafuta na maji 😢. Kuliko watu walifuate neno ili wapone ki Roho na kimwili, matokeo yake wanafata mafuta na maji 😢

  • @ConscientKavusa
    @ConscientKavusa 5 місяців тому +1

    Muinjilisti wa mahubiri mazuri ya kutengeneza njia ya ujio wa Kristu Yesu, songa mbele. Mungu wa kweli, akuwezeshe na kukushindania. Dunia imeharibika. Waganga wametaka wapitie Jina la Yesu Kristu ili wapate mali ya dunia. Mtumishi Paschal Cassian nakuunga mkono. Mungu atusamehe ku kupungukiwa.

  • @joshuamwamala4795
    @joshuamwamala4795 Рік тому +66

    Hii ni sauti ya mtu aliyaye nyikani tutengeneze njia zetu Yesu analudi upes Mungu tusaidie.

    • @chengeson
      @chengeson Рік тому +1

      Amen

    • @josebambo1419
      @josebambo1419 Рік тому

      Huo wimbo unaitwaje tafadhali

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 Рік тому +2

      @@chengeson NI KWELI KABISA MTUMISHI NENO LA MUNGU LINASEMA WAZI KWAMBA MUMEPEWA BURE. TOWENI BURE

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 Рік тому +2

      HUYO MAKAMU WA RAIS YUPO KATIKA HEKIMA YA KIDUNIA AMBAYO NI UPUMBAVU MBELE ZA MUNGU

    • @danielnzikali
      @danielnzikali 4 місяці тому

      ​@@josebambo1419mwamposa

  • @davidjackson448
    @davidjackson448 Рік тому +9

    Mungu azidi kukutumia mteule maana hii vita sio yako bali ni ya Mungu na wanao jiinua kukuvunja moyo Mungu atashughulika nao naamini.🙏🙏

  • @barakakasamia5036
    @barakakasamia5036 Рік тому +13

    Natamani neema kama iyo iwe juyangu Mungu anitumie kama wewe na kuzidi ili ulimwengu ufaamu kuwa wapo watumishi was Mungu wa kweli

  • @sadocklupasa5676
    @sadocklupasa5676 Рік тому

    Amina mtumishi wa Mungu, neno la Mungu likikuchoma ujue unatakiwa kubadilika, ujumbe wameupata manabii wauongo waupokee ujumbe. Hawataki wanataka ujumbe umewafikia.

  • @judithbett420
    @judithbett420 Рік тому +13

    Ni kweli kabisa usipowaambia watu ukweli utahukumiwa. Ni vizuri umesema ukweli na utakuwa Safi mbele ya Mungu. Mungu akuzingire na Malaika wake na akufunuke na damu ya yesu. Atakaye jaribu kukugusa moto ya yesu imuchoma kabisa katika Jina la yesu amen 🙏

  • @ladikessy763
    @ladikessy763 Рік тому +1

    Amina 🙏 barikiwa sana kaka songa mbele Iman ni njema Kwa Kila mmoja

  • @mossendoghwe317
    @mossendoghwe317 Рік тому +11

    Uko sahihi kabisa, usiyumbishwe tena simamia msimamo wako anaeinuka kupngana na wewe atashindana na kusudi la Mungu na Mungu atashughulika nae!

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 Рік тому +3

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wahambiye yote kabisa siku zote ukweli lazima usemwe ukweli unahuma wewe songa mbele Mungu yuko upande wako

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 Рік тому +6

    Unatakiwa kuombewa sanasana tuko vitani vita ni kali sana tunaomba Yesu akulinde akufunike akukumbatie akufiche akuatamie ee Yesu mlinde yohana ni sauti ya mtu iliayo nyikani

  • @ruthmwasomola2004
    @ruthmwasomola2004 Рік тому +7

    Mtumishi endelea kusema kweli na mungu azidi kuwa na wewe daima kweli inapo semwa kwa wabaya lazima inajeluhi nyimbo zako zinabaliki sana

  • @geralddasius3625
    @geralddasius3625 Рік тому +13

    Kweli mtumishi wa Mungu wambie wapone maana wanaangamia kwa kukosa maarifa bwana akusaidie sana

  • @dorcascasrlos
    @dorcascasrlos Рік тому +3

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, na akulinde Mana umekubali kuihubiri kweli katika nyakati hizi za mwisho👏👏

    • @brucemandara2708
      @brucemandara2708 Рік тому

      Hongera Paschal Mungu akutunze dhidi ya hao wanaopingana Na wewe Mungu akupiganie Na akutunze

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 Рік тому +16

    Ameeen nimekuelewa San mtumishi ubalikiwe

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Рік тому +2

    Ubarikiwe na BWANA kwa kazi njema ya Mungu.

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 Рік тому +14

    Amen,huo ndio upendo wa Mungu kwa Kila mwenye pumzi,,,maana Moto wa milele Hauna mtu maarufuu 🙏🌹.

  • @lidyafrancoyunus2743
    @lidyafrancoyunus2743 Рік тому

    Mungu akubariki mtumishi piga kelele usiache watu wanadanganywa hivihivi mwenye sikio na asikie neno roho anayaambia makanisa Mungu akuzingire kwa damu ya Yesu

  • @lazarolawa6747
    @lazarolawa6747 Рік тому +5

    Mtumishi wa mungu nskupa pongez kubwa sana kwa kuimba nyimbo zinazo tufungua macho narikiwe sana myumishi nakukubali🙏🙏🙏👏👏👏

  • @juneserastochales7172
    @juneserastochales7172 Рік тому

    Mtushi wa Mungu songa mbele,, kumbuka Mungu kukuacha hadi leo Nikuokoa dunia maana watumishi wengi wa leo wamekuwa wakifanyisha biashara kwenye dini,, ila wewe Nimungu kweli anakutumia barikiwe sana

  • @manenoerick9957
    @manenoerick9957 Рік тому +4

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. Utapingwa kwa sababu ya kweli uliyoisema. Ila nondo ishawaingia. Kanisa la Leo tuache umazingaombwe kwenye Mazabahu ya Mungu.

    • @ruthjemson4386
      @ruthjemson4386 Рік тому

      Ubarikiwe Sana mtumishi Cassian nakuelewa sana

  • @LugoraMashaka
    @LugoraMashaka Місяць тому

    Mungu atakuripa kwa kazi unayoifanya wala usiogope vitisho vya adui wanadamu hawapendi kuambiwa ukweli Mungu akutie nguvu

  • @happey2878
    @happey2878 Рік тому +23

    Dume la yesu toka Tanzania nakupenda sana waambie kweli wanafiki wamemzoea mungu.usiogope passical mungu yu pamoja nawe aliekuepusha ajali alikuwa na makusudi nawe.

    • @martinakapugi1306
      @martinakapugi1306 Рік тому +2

      Mungu aendelee kukutumia mtumishi nabarikiwa sana kuna muda napona kupitia tuu nyimbo zako

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 Рік тому +1

      Yesu alisema falme haziwezi kufininiana Musa mwacha awe frmason angewakama fremason ? Mm nitasali Kwa Musa mwacha

    • @piuselias1729
      @piuselias1729 Рік тому

      Mungu sio mungu✌

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 Рік тому

      @Jacline David ndio nishachagua

    • @magwalichite3474
      @magwalichite3474 Рік тому

      Uko sawa kabisa maana wanaoweza kusema ukweli ni wachache,wewe SEMA na tuko nyuma Yako kwa maombi.Mungu akutie nguvu wala usiogope.soma wafilipi 1:21,27

  • @eliyasengo4749
    @eliyasengo4749 Рік тому

    Sema tu baba Tena ongeza voice nakupenda Sana MUNGU aKulinde akuongonze aKulinde akuokoe nawaendao kinyume nawew wapigwe kwadamu ya ya YESU aliye hai

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 Рік тому +18

    NPO nyuma yako mda mlefu sana,nakuombea kwa MUNGU azid kukulinda ili uzid kuitangaza kweli yake milele,by NYEMO wanyotanjema 🎤🎧🎤

  • @littleheroe541
    @littleheroe541 Рік тому

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu usiogope piga kaz injili yako naielewa sana

  • @jumaomutimba7494
    @jumaomutimba7494 Рік тому +5

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huo mzuri, na uafikie pia watumishi wengine huku Kenya

  • @marytemba5822
    @marytemba5822 Рік тому +1

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu,Mungu akulinde usiku na mchana

  • @مريمم-غ3س
    @مريمم-غ3س Рік тому +18

    Utuzwe sana na bwana Mungu 🙏🙏 uko sahihi kabisa

    • @justermulengeki6970
      @justermulengeki6970 Рік тому +1

      Imani ni Nini? Mungu tusaidie tuwaombee.

    • @annaclethankwabho2552
      @annaclethankwabho2552 Рік тому +2

      Usiope mtumishi wewe toa ujumbe wa Mungu hata akina Paulo walifungwa ukifungwa atakuwa ameruhusu aliye kutuma neno la MUNGU wanalifanya kimazoea ....Mungu aendelee kukutunza

  • @annambilinyi3722
    @annambilinyi3722 Рік тому +2

    Ufalme wa Mungu,unatekwa na wenye nguvu kama wewe,Damu ya Yesu ikufunike!!Songa mbele usirudi nyuma mtumishi tupo pamoja,tunakuombea!

  • @norfenvgeraldo9493
    @norfenvgeraldo9493 Рік тому +4

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Paschal , neno linassema kemea , karipia, na mtu yoyote asikuzarau 🙌 keep going 💪

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 Рік тому +1

    Hakika sauti ya mtu aliaye nyikani, ukiguswa na Neno la Mungu, jambo la msingi ni kubadilika tuuu, acha longo longo. Mungu akubariki sana mtumishi Pascal Kasian🙏🙏🙏💕💕💕

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 Рік тому +11

    Neema ya Yesu kristo ikulinde mtumishi. Umepona kwa kusudi la Mungu.

  • @LaurenciaMarco
    @LaurenciaMarco 20 днів тому

    Mungu hakusaindie mtumishi wa mungu hakutie nguvu songa mbele sema kweli hat bibilia inasema watakuja mnabii wa uongo

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 Рік тому +19

    Ukweli unaweka mtu uhuru kwa maisha ya nyakati hizi watu hawapendi ukweli wa MUNGU hizi n nyakati za mwisho MUNGU akubariki mtumishi

  • @eveeric173
    @eveeric173 Рік тому +7

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Baba tunahitaji watumishi wakweli tumechoshwa namawakala wa shetani usihongope Mungu alikutuma upoupande wako

    • @alvinbuchumi8689
      @alvinbuchumi8689 Рік тому

      Waache Mungu Mwenyewe,hawaukumu,wewe waombee tumia hekima,hakuna mkamilifu,Chini ya just,simama na Mungu wako kwauaminifu ,tumepona kupitia mwamposa na tumeacha ulevi na uzinzi,mwache auze

    • @hajirithomas9146
      @hajirithomas9146 Рік тому

      Ubarikiwe mtumishi wa Mungu , Mungu wa Mbinguni akubariki na kukutia nguvu na hakuna silaha yoyote italayofanikiwa juu Yako!!!

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 Рік тому +5

    Daah mwamba wa Bss 2008 Umeupiga mwingi sana madam LITA mungu akupe maisha marefu uwatoe wakina Pascal Wengine Amiina

    • @paskaliasuwi
      @paskaliasuwi Рік тому

      🙏🙏

    • @JosamaSamwel-zk7sf
      @JosamaSamwel-zk7sf 10 місяців тому

      Mtumishi wa mungu hayupo awezaye kukunyamazisha,na huyo makam inaonekana na yeye ni mmoja wao, hata ingekuwa ni mim ungenitaja,kwa nini nikosee halafu nikionywa nianze kujifichia kwa viongoziii? Watubu tena watubu

  • @moseskundu5950
    @moseskundu5950 Рік тому +2

    Amen.mtumishi wa mungu waambie ukweli waelewe👍👍.
    Waohao ndio huenda huko miujiza ndio maana hawataki ukweli🙏🙏🙏

  • @abdulmilingita2114
    @abdulmilingita2114 Рік тому +10

    Ukweli unaumiza na ukiwa mtu wa kuongea kweli kwa dunia ya leo jibu ni kwamba utapigwa vita mno.
    Mungu akulinde sana PASCAL

    • @AbelyThedonny-ko4fw
      @AbelyThedonny-ko4fw Рік тому

      Kaza buki cassian kila hatua mungu yuko na wewe

    • @madamsanga
      @madamsanga Рік тому

      Hujatujibu swali letu bado tatizo unapaniki sana broo

    • @madamsanga
      @madamsanga Рік тому +1

      Wewe unahukumu na umeona ndonjia ya kutokea kimaisha

    • @magrethlubimbi4055
      @magrethlubimbi4055 Рік тому

      Dada Muombe Mungu reheme na hekima za kiMungu za kuona vya rohon

  • @LaurenciaMarco
    @LaurenciaMarco 20 днів тому

    Sema kweli baba angu pascal Cassian mungu hakusaindie mtumishi mungu , mungu hakutie nguvu tunakuombea

  • @asminmakoha6889
    @asminmakoha6889 Рік тому +9

    Mungu akupiganie wanadam hawapendi ukweli washindwe katika jina lamungu wanazaridi

  • @mathewbahati2831
    @mathewbahati2831 Рік тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, uko sahihi. Onya, shauri, Tia moyo , kemea. Maandiko yako wazi, timiza kusudi la Mungu

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 Рік тому +21

    Songa mbele Mtumishi wa Mungu, hivyo ni vitisho vya shetani kukudhoofisha ili usiseme kile ambacho Mungu amekuagiza useme. Songa mbele Mtumishi wa Mungu, shetani fumba kinywa chako kwa Jina la YESU. AMEEN.

    • @frankdickson1480
      @frankdickson1480 Рік тому

      Kaka Usiogope sema kweli MUNGU atakua upande Wako Unanitia Moyo Sanaaaaa

    • @frankdickson1480
      @frankdickson1480 Рік тому

      Mimi naitwa Pastor Frank nipo dodoma mjini, Yesu Asidi kukupa Mafunuo

    • @marthamaganga5700
      @marthamaganga5700 Рік тому

      MUNGU aturehemu tupate Kuona mambo ya rohoni.🙏

    • @victoriaeliud1218
      @victoriaeliud1218 Рік тому

      Amina a wewesongambele

  • @matendombilinyi476
    @matendombilinyi476 Рік тому +2

    BWANA, Mungu wetu; uliye muumba wa vyote ktk njina la Yesu kristo. Mtumishi wako huyu tunamwombea kwako mtunze na umlinde. Nyosha njia yake na isafishwe kwa uweza wako Yesu Kristo! Ameeeeeeeen.

  • @YOHANAJAPHET4821
    @YOHANAJAPHET4821 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi WA mungu hii ndo injili Sasa

  • @margaretambani552
    @margaretambani552 Рік тому +25

    Injili iendelee mbele usimupe shetani nafasi God always wil protect u 🙏

  • @bigabimagereka5768
    @bigabimagereka5768 Рік тому +2

    Amen ndugu Pascal, waambiye kweli ya Bibilia. Songa mbele na iinjili usiogope siku za mwisho kutatokeya na manabii wawongo.

  • @Glove233
    @Glove233 Рік тому +4

    Namkubali Sana huyu brother Mwenyezi mungu akutangulie 💓🙏

  • @nevylysonkimori614
    @nevylysonkimori614 6 місяців тому

    Mungu akufunike mtumishi kwa kusema kweli, bibilia yasema usiogope wauwao mwili mwishowe hawana la kufanya Tena Bali muogope Mungu anaye uwezo wa kuua halafu ahukumu Tena kuenda jahanamu God bless true servant of God

  • @yustinmbilinyi671
    @yustinmbilinyi671 Рік тому +6

    Barikiwa sana mtumishi Mungu akusimamie kwenye kila ulitendalo kama paulo mtume wa Kristo aliipigania imani mpaka hata kukubari kufa ikiwezekana na ndio maana mtume Paulo alisema siionei haya injili kwasababu niuweza wa Mungu uuletao wokovu kwa kila atakae amini. Soma Warumi 1:16 ila ukitaka kumuelewa saw saw Pascal mtumishi wa Mungu soma kuanzia hiyo hiyo Warumi 1:15 mpaka mstar wa 32 utaelewa sana sana kwakua huyo Pascal mimi namfananisha na mtume Paulo isome historia ya Paulo alikuaje mwanzo na mwisho alikuaje alafu fuatilia na historia ya huyu mtumishi wa Mungu pascal utaona ufanano wao alafu cha ajabu unaweza ukakuta hata yeye Pascal hajui kwamba utendaji wake wa kazi ya Mungu anafanya kwa kipawa kama alichokuanacho mtume paulo

    • @godfreyapolnary5856
      @godfreyapolnary5856 Рік тому

      Na Mimi ntakuja na hoja yangu mniambie umeandikiwa wapi mtumishi wa Mungu aitwe Baba maana Mimi toka nisamage biblia huwa naona mtumishi ,mtu wa Mungu,nabii wa bwana ,mtume ,mwinjilisti ,mwalimu,mchungaji ,na askofu Mara moja ndani ya biblia lakini ili Jina askofu ndo Lina maana kubwa kwa kanisa la Sasa na msingi wa kanisa wa Sasa unaonekana umejengwa juu ya Askofu badala ya kuwa Kama unavyoelekeza biblia kuwa umejengwa juu ya hao mitume na manabii wanaopigwa Vita leo kwa upande wa biblia baba NI Mungu pekee ukija kimwili baba NI yule aliye kuzaa kimwili labda Mimi ndo sielewi biblia mnisaidie.

    • @astonmassawe
      @astonmassawe Рік тому

      Amen mtumishi songa mbele baba...

  • @JamesSamuel-b3d
    @JamesSamuel-b3d 8 місяців тому

    Mm nakupenda San mungu amejitukuz kwako mtumish usiogp mm nilanz kukufuatilia nilipo maliza darasa LA saba 2020 huwez kunyamasishwa nakupenda Sana nakosa LA kusema

  • @reginamalima9701
    @reginamalima9701 Рік тому +4

    Mungu akuongezee Iman kaka mimi na familia yangu tunakufwatilia sana asante hata sasa kuna roho umeziokoa barikiwa mno

    • @debolasinkala2220
      @debolasinkala2220 Рік тому

      amen amen ukwel unauma apo umewagusa kaka onge ukwel wapone ao

  • @naumimwaihojo8959
    @naumimwaihojo8959 Рік тому +1

    Nakuombea sana Mungu azaidi kubariki kukuinua na kukutumia watumishi wengi sasa wanaangalia mafanikio yao si kuihubiri kweri endelea na Mungu yuko pamoja nawewe kama mikaya

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 Рік тому +10

    Neno la Mungu ni upanga, usiogope Mtumishi wa Bwana, Mungu yupo pamoja nawe.

  • @lucykilambu8720
    @lucykilambu8720 Рік тому +1

    Amen 🙏 mtumishi wa Mungu usimuogope mwanadamu kile umepewa toa anaye taka kugeuka ageuke maonyo ya Mungu ni mazuri ubarikiwe sana

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 Рік тому +9

    Yaani mimi niliokoka kutoka moyoni mwangu ,mtumishi wewe ndoulinisaidia,Mungu akupe maisha marefu uendelee kuokoa na wengine

  • @goodmtega6807
    @goodmtega6807 Рік тому

    Hajiamin momben mungu muweze kwenda sambamba watumishi jaman msifalakane wenyew njia nimoja,

  • @chritinaphilip7439
    @chritinaphilip7439 Рік тому +5

    Amen mtumishi songa mbele na huduma Mungu alie kuita anakujua vema sema tupone Ombi langu kwa Mungu akulinde na awe upande wako uingiapo na utokapo neema yake iwe juu yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @fredndomba
      @fredndomba Рік тому

      Mnabishania mtandaoni maslahi au nn?

    • @chritinaphilip7439
      @chritinaphilip7439 Рік тому

      @@fredndomba tunabixhana naww au🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fredndomba
      @fredndomba Рік тому

      Kazi ya mungu wameacha wanacho bishania hakuna mantik yoteyote angalia watumishi wakubwa waromani katholic hukuti kituhiki angalia mwambosa mwingira kuhani Musa nk wako bz na kz ya Bwana....wanatushisha viwango Hawa vya kiiman

    • @chritinaphilip7439
      @chritinaphilip7439 Рік тому

      Sasa ninan hao unaowataj hakun mkubwa hapo kaa rohon ndugu Union jambo hulielew achan nalo amen🙊🙊

  • @wiliamvicentewiliam4903
    @wiliamvicentewiliam4903 Рік тому

    Paschal Mungu wetu YESU Cristo akulinde sana ebu songa mbele na injili ya ukweli.

  • @franckkonkwa2120
    @franckkonkwa2120 Рік тому +6

    Jambo mtumishi wa mungu siko mtazania ao siko muimbaji Ila Niko mushabiki Yako kutoka Burundi tafuta mawasuliano mazuri na watu wote

  • @sandrasanga9884
    @sandrasanga9884 Рік тому

    Ubalikiwe kaka Mungu alikuokoa namaiti ili utuhubilie kweli mm binfsi nakushukulu sana kaka kupitia nyimbo zako ulinifanya nimwage mafta ya nwaposa pamoja na maji Mungu akutuze uwaokoe b awengine