HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA MEATU - 08/09/2018

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • Rais Magufuli amewaagiza viongozi wa Mikoa na Wilaya zote nchini kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuandaa mipango bora itakayowawezesha wafugaji kufuga mifugo yao bila kuwaathiri wakulima badala ya kuwaita wafugaji 'wavamizi'.
    Rais Magufuli amesema hayo alipokuwa Meatu katika ziara yake inayoendelea hapa Mkoani Simiyu.

КОМЕНТАРІ • 11