MUNGU WA BARAKA. by John Sway, Kwaya ya ledochowska (BMTL)K/Ndege-Dodoma (Official video)
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2023
- WIMBO:Mungu wa Baraka
MTUNZI:John Sway
WAIMBAJI:Kwaya ya Ledochowska-k/ndege Dodoma
WAPIGA ALA ZA MUZIKI:
MAIN KEYS:Lameck Malimi(Gavanor)
1st AUX:Sylvester Rumala
2nd AUX:Silas Senyagwa
DRUMER:Peter
AUDIO&VIDEO by GR studios-Dodoma
+255755002230/+255767177644
SOUND ENGINEER:Silas Senyagwa(Simba)
VIDEO DIRECTOR:Fredy Mopao
Nmebarikiwa saaana hongereni na mungu azidi kuwabariki na kuwatunza
Hongereni sana
Bmtl my family hamjawahi niangusha you're always on 🔥🔥🔥 praising our Lord Jesus
Jamani na mimi nitahitaji huo upako mtakatifu ❤ mnanyimbo Nzuri mnoooo uwiiiii
Kazi njema sana👍
Wow wimbo mzur Sana,,
Wimbo mkali sana. Hongera sana mwalimu Swai
Wimbo mzuri sana,Mungu awabariki
Kitu kimesimam🎉🎉🎉
Mungu azidi kuwainua wimbo wa moto
Nyimbo nzur Sana..nimebakiwa😊🙏
A very beautiful song that has been sang beautifully 🤗🤗👌👌,Kazi Safi sana 🙏 Baraka kwenu Nyote
tubarikiwe sote mpendwa
Hii ngoma tamu sana hakika.... ni wimbo unaonibariki sana.. Hongereni Wana BMTL, hongera pia kwa mtunzi wa wimbo .
Nzuri sana
Kaka John Sway Mungu azidi kukuinua katika utunzi wimbo umenibariki sanaaa mbarikiwe wanakwaya wote hakika Mungu wetu ni WA Baraka tumshukuru, tumtukuze na tumpe sifa
amina
Nmebarikiwa sana mungu awabarik
Kazi nzuri Roho Mtakatifu awatangulie katika maandalizi ya Tamasha
Ongera mwalimu swai
Ngoma tamu sana hii
Wimbo wangu pendwaaaa❤❤❤
Hii nyimbo imenibariki 🎉
Hongereni sana, I like it sana. Wimbo mzuri, melody nzuri, sauti nzuri na good instrumentations.
Asante sana barikiwa
Good job 👏 👍 👌
Kazi nzur mungu awabariki
BMTL hongereni sana🎉🎉 kazi nzuri sana @kaka Stanley
👏👏👏 Tamu sana
Kapambio katamu sana
Good job
🔥🔥hakika ni ni wa🔥🔥
Mungu awabariki
Mungu nimwema sana...hakika mnatupa raha... na kuona mbingu zinafuka.
Asante sana
Mnaimba vizuri Sana Wana BMTL
Nimebarikiwa sana hongereni sana wana Bmtl
Hongereni Sana ndugu zangu
Mungu anatukuzwa kwa vinywa vyenu BMTL🔥🔥🔥
❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥Mungu ni mkuuu
Hongereni kwa uinjilishaji na mbarikiwe
Mungu awabariki sana asanteniii🎉
Mbarikiwe watu wa mungu
Praise be to God really wonderful
be blessed
Bonge moja la wimbo aiseee, hongereni Sana Wana Bmtl
Hongereni sanaa wana BMTL Wimbo ni mzuri sana am proud of you 👏
Mbarikiwe sana hakika ni Mungu pekee,mko vizur sana
What a song,,,,John swai is back again with this wonderful song🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana 👏👏
Nesmu kimsingi #28
MUNGU WA BARAKA 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🤸
Bravo!
Highly proud of you keep it uppppppp🎉
❤❤❤❤❤ Mungu wa Baraka
Kazi nzuri sana
👏👏👏👏👏 Hongereni nyote..tuendelee kumtumikia Mungu katika fungu hili lililo jemaaa kabisa ni Mungu wa baraka
Mungu aendeleee kuwatunza wana Ledochowska mmeutendea vyema wimbo huu wa ndugu yangu sway..Ujumbe mzuri na wa Kutafakarisha...kiananda mzee wangu lameck kama kawaida kimetulia kabisaa...........hakika Mungu ni wa baraka daima
Ni vema sana kumwimbia Bwana, kusifu kwapendeza ni kuzuri. Kumfanyia shangwe, Nyimbo na Saburi, hakika Kusifu kwapendeza ni kuzuri kabisa🔥🔥🔥🔥
Mungu wa Baraka😋👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Hakika tunabarikiwa
Hongera Sana wimbo mzuri. Mungu azidi kuwabariki.
Amina
Mungu wa baraka Asante kwa yote unayonitendea. Asante sana BMTL ❤❤❤
Mambo ni moto🎉🎉🎉
Nmebarikiwa saaana hongereni na mungu azidi kuwabariki na kuwatunza
Hongereni sana