Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
LIVE: KMK MAKUBURI PERFORMENCE: SEGMENT 1. TAMASHA LA LEDOCHOWSKA DODOMA
Вставка
- Опубліковано 21 жов 2023
- All our voices to our Lord God the creator of the universe.We will not stop,THE GLORY AND GREATNESS IS WITH HIM forever and ever,Amen
Number 1 choir in East Africa, mimi ni mkenya, na nawafwatilia sana, muinuwe jina la Yesu juu sana. Kazi safi
AKI WANAKWAYA WA KMK MIMI MNANIVUJAVUJA NIKIWAOA NASKIA NIKO DUNIA INGINE, I WISH KAA NINGEKUA NA MABAWA NIWENAWAFUATA KILA MUEDAPO. BUT I ALWAYS PRAY FOR YOU, YOU RETAIN THAT SPIRIT ALL THE DAYS OF YOUR LIFE. MUNGU AZIDI KUWAPA GUVU, NA UPEDO KATI YENU NINYI KWA NINYI. NAWAPEDA SANA. FROM QATAR BUT KENYAN.
Kwa kweli kivumbi na jasho hapa. Weeeee mitambo miwili pamoja. from Dar na Dom. Waaaaaaa. Subwoofer kamili hizi. Nawapenda sana Kizito na Ledo❤❤❤❤.
Nawaona marafiki zangu hatari sana🔥🔥🔥Nikiwa arusha nawapata vizuri
Mimi natoka burundi napenda sana simukujeni mtufanyie dawa nduguzangu nawapenda sana
Ilikuwa cku pouwa sanaaa🔥
Yaaaan zechariah ningepata tu nafasi nikushik hata mkono unatenda vyema sana
😅😅 🙏🏼🙏🏼
Lazima mtiribu awe na utimamu wa mwili 🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂
Unyama mwingi kweli kweli.......... online but enjoyed @Zacharia_Lyimo hatari
Nawakubali chama langu. Mko juu
Watching from Thika, Kenya. You guyz are the best in the world 🎉🎉🎉
🙌🎉karibuni nairinga
Mje na mikoani jamani,karibuni sana Moro
Natoka Kenya,si mkuje tuwaone tafhadhali.
Beautiful choir.., I love you sana
Huyo instructor vile anakanyagia ngoma 🥰💗💗
Nikivumbi na jasho
Sending my hugs to you wapendwa wangu🥰🥰🥰
So Nice.Deo gratia❤
Nawamc sana hongeren
Kizito na ledo....hatari...
Nawaona vinzuli sana hongeleni sana
Aka kawimbo ka mwanzo kanaitwa naskia wanasema Sia nimekapenda Kama japo mtandaoni nisaidie nikatafute
Kanaitwa siyahamba ekukanyenkwenko tafuta youtube
Nzuri san
Huyu Gerald huyu ! Apewe maua yake tu woii😂😂😂
Mwalimu zaidi ya mwalimu ise
❤❤❤❤❤❤
🔥
❤❤🎉
❤❤
Mwambieni uyo Zacharia apunguze fujo 😂
Inaweza kuwa ni fujo kwako na wengine ... 😲😲 lakini ikumbukwe kuwa hapo ni kwenye tamasha hivyo kunakuwa na burudani 🕺🕺💃💃 kama hizo kupitia wanakwaya wote na mtiribu. Na hapo bado hawajaingia BMTL na mtiribu wao mambo ni 🔥🔥🔥🔥 kuimba ni kuzuri na kumsifu Mungu na wanadamu watakatifuzwe.
😂😂🙏🏼🙏🏼
@@zachariageraldkaka nilikukubali sana hiyo siku hasa ulivokuwa unacheza na kuiongoza hiyo kwaya vyema nilikuwepo hapo ukumbini Dodoma tz!
@@zachariagerald wimbo wa kwanza kwenye segment unaitwaje na mtunzi watu wote kisanyikeni..
@@martinmabala9760mtunzi wa kusanyeni sauti ni Bernad Mukasa