Powerful song! I like ve the creativity involved, from the melody to the video to the anointing! More grace to you and your team!! Ubarikiwe sana Rehema
This is so profound huniachiii❤Israel Mbonyi song 4days ago🎉Sarah K new song 4 days ago eeeiy this is amazing there is something about June 🎉🎉Huniachii aaah uko nami eeeiy
Msimu Mpya umeingia katika maisha yangu! Ktk ulimwengu wa kiroho naona vile ambavyo Mungu ameviachilia kuanzia mwezi Juni... Naona baraka juu ya baraka sababu nipo naye sitaogopa lolote ambalo shetani ameliweka njiani!... If you want to connect you can like this
Ahsante MUNGU Kwa kutupa Mjumbe Wako ktk Kizazi chetu, Sister (Rehema Simfukwe.) Ombi langu Mungu niinue na mm Siku Moja Ili nifanye Collaboration na Mtumishi wako huyu maana umeweka vitu vikubwa Ndani yangu Ila Bado ni Muda wangu wa kuviatamia.
Mungu amekuinua sana dada ila nakuombea sana Mungu usijekengeuka maana umaarufu unawatoa wengi kwa Yesu sbb ya ulimbukeni wa mafanikio na wengi wamepotea sana kuharibika wamebaki na majina ya kuwa hai lkn wamekufa kiroho siku nyingi sana .ndio maana Kuna watu wanalia Mungu awainue lkn mungu hawainui sbb anajua wakiinuliwa tu mafanikio yanawatoa rohoni.Mungu akutunze sana pmj na mafanikio yako Bado ukae kwa Mungu na ajivunie ww
Oooh my lord my lord 🙌🙌🙌Your song isn't just a tune; it's a journey of emotions, a melody that unites hearts. It's like a warm hug that reaches deep within, touching the very essence of connection.
Tuzidi kujitahidi kutunza upako wa Mungu tunaoanza nao huduma, Huduma ni siri kubwa, na watu huwa hatuwezi kumwambia mtu ukweli kwa lengo la kutomkwaza, Mungu akubariki sanaa mtumishi wa Mungu, ila tutunze upako wa Mungu, uimbaji wa injili sio sanaa, ni kumsikiliza Mungu na kuimba pamoja na Mungu,
Honestly the song is soo good it has blessed me,,,i have loved how you reply to pple's comments it feels good to someone when a role model replys to them ,,barikiwa mama twakutazamia
Powerful song! I like ve the creativity involved, from the melody to the video to the anointing! More grace to you and your team!! Ubarikiwe sana Rehema
Ubarikiwe sana mama yangu
I love you ministry
If you are from Kenya gonga like hapa tukisonga 😊
😊😊
Mbarikiwe sanaa
Asanteeeeeee
Wakenya sote twasema hatatuacha
Amen
Kabisa 🥳🥳🥳
This my song
AAAAMIIIINA🙏💃🕺🇰🇪
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪the grace that is upon this lady glory to God .
Beautiful song.
Glory to God
Baba usiniachi Mungu wangu nakuitaji Yaweh pls 🙏.nisaidie nkwenye hiyi nyakati nipate ninacho kuomba pls 12.12.2024
Nimekukimbilia Bwana nisiaibike , faraja yangu yote inatoka kwako, ushindi wangu wote unatoka kwako🥰🥰
I can't get enough of this song ...Kenyans in the house 🤚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Amen
@@rehemasimfukwe I would like to meet you one day when you come to Kenya
This is so profound huniachiii❤Israel Mbonyi song 4days ago🎉Sarah K new song 4 days ago eeeiy this is amazing there is something about June 🎉🎉Huniachii aaah uko nami eeeiy
Indeed God will never leave us nor forsake us.
Just as walked with Ezra in Chapter 8:21-23. He proved Himself a reliable God. Amen
Kama umebarikiwa na nyimbo weka like hapo
Ameen
Uuuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Msimu Mpya umeingia katika maisha yangu! Ktk ulimwengu wa kiroho naona vile ambavyo Mungu ameviachilia kuanzia mwezi Juni... Naona baraka juu ya baraka sababu nipo naye sitaogopa lolote ambalo shetani ameliweka njiani!... If you want to connect you can like this
Amen amen
Amen. M in that season too.
Ahsante MUNGU Kwa kutupa Mjumbe Wako ktk Kizazi chetu, Sister (Rehema Simfukwe.) Ombi langu Mungu niinue na mm Siku Moja Ili nifanye Collaboration na Mtumishi wako huyu maana umeweka vitu vikubwa Ndani yangu Ila Bado ni Muda wangu wa kuviatamia.
Psalms 23 the lord is my shepherd he will never leave me nor forsake me in Jesus name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Be blessed 🙌 😊
In these season when you are waiting upon the Lord no matter what happens.It is you and you no one else am Standing upon God's Promises upon my life.❤
🙌🏾🙌🏾
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 blessed from Kenya. Minister Rehema Simfukwe is a real blessing.
Ameeen
HallaluYAH!
Praise be to Yahusha...
Barak Tele!
This song feels like a big hug from God. Ulisema huniachi loving the vibes
Ameen
At all times no 1 fun u bless me alot with ur songs en usipotee ivo tena I really missed ur voice
June is a month of favour and prosperity God will not leave us we must win 🎉🎉
Amen be blessed 🙌
HUNIACHI🔥🔥the powerful song💪💪 Nakupenda mnoo dada Rehema nyimbo zako zinanibariki mnoo🎉🎉
Amen, outfit on point well done. Warembo wa Yesu angelic voices God bless you all🎉🎉🎉❤❤
Eiiiiiiiiyyyyy❤❤❤❤❤❤❤
Huniachiiii Yesuuuuu
Uko namiiiiiii
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mungu amekuinua sana dada ila nakuombea sana Mungu usijekengeuka maana umaarufu unawatoa wengi kwa Yesu sbb ya ulimbukeni wa mafanikio na wengi wamepotea sana kuharibika wamebaki na majina ya kuwa hai lkn wamekufa kiroho siku nyingi sana .ndio maana Kuna watu wanalia Mungu awainue lkn mungu hawainui sbb anajua wakiinuliwa tu mafanikio yanawatoa rohoni.Mungu akutunze sana pmj na mafanikio yako Bado ukae kwa Mungu na ajivunie ww
Amen
I can’t stop crying listening to this song ! The song carries great presence of God !
Ooh Glory to God
Anointing oil flows with power and might. Blessed from 🇰🇪.
#HUNIACHI🎉🎉
am Amazed with song,sooo powerful,,,,,huniachi,,,aaah,katika moto,maji mengi. WOW,,,🔥🔥WOW,,,agree with me,like💯💯💯
God is with me he will never leave me alone Amen.
Nafarijika tu apa. Yesu ni Ngome acha tu....
Ameen
Nakukubali sana rehema
Oooh my lord my lord 🙌🙌🙌Your song isn't just a tune; it's a journey of emotions, a melody that unites hearts. It's like a warm hug that reaches deep within, touching the very essence of connection.
Amen amen
I can't wait for Agape Band Gospel Remix of this song. 🎉 Tutasebene tu all the way na Rehema. Amazing Song Arrangement and Vocals.
Asante Yesu..uko nami❤
Ameen
Huu ni ukiri wangu Kwa mwezi huu mpya wa June na kuendelea Mungu hataniacha
Thissssss song is a blessing 😭😭😭🤲🏻🤲🏻🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️♥️♥️🙌🏻🔥 indeed my God is with me and His spirit 🙇🏻♀️🔥🙌🏻
Rehema safi sana tunabarikiwa sana Mungu akutunze. Hatuachwi Wa Tanzania.
U don't leave me lord ur with me nice song rehema be blessed de daughter of God❤
Wow, that was really fantastic...! I am blessed... My GOD will never leave me alone
hallelujah 🙌 Good sound 👏
From KENYA 🇰🇪
Good worship, for He will not leave us, He will be with us, the source of our strength and fortress indeed
Giving thanks to God for being with me during the whole process of my life
😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
This is my testimony tooo .
Thaank youuuu daddyyy❤❤❤❤
My every morning praise song inanipa Amani sana big up my sister❤
Wooow So sweet,stress reliever❤❤😊 Minister Rehema to the fullest 😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤍🤍🤍more Grace dear❤
Always kudos to nice work well sang song God never leaves us or hide His face from us He is always with us through thin and thick Amen.
Tuzidi kujitahidi kutunza upako wa Mungu tunaoanza nao huduma,
Huduma ni siri kubwa, na watu huwa hatuwezi kumwambia mtu ukweli kwa lengo la kutomkwaza,
Mungu akubariki sanaa mtumishi wa Mungu, ila tutunze upako wa Mungu, uimbaji wa injili sio sanaa, ni kumsikiliza Mungu na kuimba pamoja na Mungu,
Amen
Press on my sister! JEHOVAH is your rewarder🙌
Ameen
Hakika BWANA katika moto na katika maji mengi yeye yupo pamoja nasi 🙏🙏🔥🔥💪💪
Ameen
Hongra sana Dada kazi nzuri na Mavazi yako pia yanaleta utukufu wa Mungu ❤❤❤
Ameen
Wow I LOVE THIS💯
This song reminds me on how God has always been on my side 😢
My favourite song ❣
Wow amazing one ,mungu haniachi
Amen mujakazi wa Mungu.Baba azidi kubariki
Dada hunaga kazi mbovu barikiwa mnoo❤❤
Very amazing nyimbo zako zinanibariki
Wow, i like the message, the melody, the creativity, the dressings, Be blessed more
Wooow this is indeed amazing. We celebrate the grace of God upon you.❤❤❤Guys nipitieni.
That day at JAKAYA CONVENTION ....DODOMA ....Cant forget .....nilikuwa nakusubr kwa ham aiseeee be blessed 😘😘
Ameen
Waooooh,,usiniache Bwana
This is so powerful may God bless you
The assurance we have in Christ.....#@Huniachi... Zambia...
Such a blessed song.mungu wangu huniwachi uko nami hadi mwisho🙏🏿🙏🏿
Kweli Ako na mi weee Asante dada kwa kutuhudumia Dani ya Christo. Neema tele e ❤❤🎉
Halleluya
waaaaao ❤ the song very powerful my lovely singer rehema
Ameeen
Honestly the song is soo good it has blessed me,,,i have loved how you reply to pple's comments it feels good to someone when a role model replys to them ,,barikiwa mama twakutazamia
This is beautiful it's been playing in my mind since yesterday
gratefully song nasilikiza sichoki guyz come and see how GOD did to this woman of GOD how did
this gal never disappoints💕💞💓
Heavenly song✨❤️
Eeeyy🔥🧡.
I'm blessed and encouraged and reassured, especially in my academics 🥹💯. The Word of God to me🧡💯. Thank you Woman of God 🥹. God bless you 🧡.
Umesema uko nami
Sitaogopa ata kitu juu yesu iko namiye
Wuhuuuu 🔥 BE STILL AND KNOW THAT HE IS GOD!!
Ameen
Umebarikiwa
Hallelujah Hallelujah Glory be to God 🙏🏽
Ameen
Amen amen umebarikiwa dada
Ubarikiwe na wewe
@@rehemasimfukwe Amen amen
Mungu ainuliwe zaidi, ubarikiwe sana 🙏
Ni kweli mungu hajawai niacha,it's dad's anniversary and mungu amekua nami,,,I feel blessed by this song.
Amen hatamuacha kabisa
Mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yako
Halleluya
Huniachi aaahh upo nami hakika Mungu hujawahi kuniacha, thank you woman of God Rehema
Ameen
Wimbo mzuri Sana, hongera Sana Rehema.
Ameen
God bless you woman of God,your blessed and the best worshiper,we love you from Danny Lukeha
Ameen
The vocals😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
❤❤
@@rehemasimfukwe 😍
The lord is my Shepherd 🙏
🙌🙌🙌🙏🙏🙏❤️ barikiwa sister 🔥🔥
Utamu wa wimbo kusikia maneno ya kutoka katika Bible. Ubarikiwe sana.!
Na sis Drcongo tunajuwa Mungu hata tuacha kweli
Ameen
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤thanks again
Such a blessing to many❤❤Dada umebarikiwa
Tuliomkumbuka Rehema Simfukwe tuweke like zetu hapa
❤❤
Arudi nyumbani
@@erickkilasi3149 yaani sijui anakuja lini
Wimbo wa baraka sana ,
God bless you mama
Amen
Ameeeen.. great song indeed from rehema simfukwe..
Musicians na MD samyonah mmetisha sana humu...
Mi5 tena
Ameen
Ubarikiwe sana mwanangu kazi yako ni njema nakupenda nakuombea
Amen 🙏
Ur my Role model since I was a kid I love ur new song be blessed Glory to God..........he will never leave me
Ameen
Wow loving this from Kenya
Wakenya tumefika HUNIACHI aaaaa , Rabuka HUNIACHI hadi PARADISO .
Halleluya
Barikiwa Sana Kwa wimbo nzuri sana
🙌🏾🙌🏾
From rwanda❤❤❤😊
Ameen
Hii nzuri sana ,huniachi kabisa uko nami
🙏 Amen
Asante sana DADA yetu kwa kufanyika baraka kwetu hakika MUNGU anatenda kwa watu wake 🎉
Ameen
Ulisema huniachi🎉🎉🎉🎉🎉
Aniachi hata dada Rehema, Mungu Akubariki,sana 🎉🎉 tuko pamoja
This song is on another level from my sister Rehema Simfukwe. True Isaiah 43:1-2 is my portion. God bless you so much and congratulations ❤🎉🎉
Hallelujah 🙏 all praise and honor to you Lord God