Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2020
  • Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.Wafilipi 4:12
    Nilipita kwenye nyakati za furaha, nilipita kwenye nyakati za kupendwa, kufanikiwa, kuwa na vingi ila kuna nyakati nilipita kwenye nyakati za giza nene. Nyakati za kukataliwa, kukosa, lakini katika kila HALI Mungu alinifundisha kuwa yeye bado atabaki kuwa ni MUNGU tena ndio CHANZO cha UHAI wangu na atabaki kuwa Mungu wa kuabudiwa. Ni maombi yangu Mungu akamrudishe kila mmoja wetu kwenye kiini/CHANZO halisi cha UHAI wetu hata kama tutapitia nyakati ngumu kiasi gani ila tubaki kumpenda,kumuishia na kumuabudu daima maana yeye ni Mungu wa nyakati zote.
    Live recorded at: Shillo Studios
    Audio captured by: S&M Entertainment
    Mixed/Mastered by : Samuel
    Video captured by : Upendo Media
    Video Edited by: Fredrick Stephano
    Video Directed by : Huruma Charles
    Music Directed by; Samuel Yonah
    Musicians & Vocals:
    Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital
    #RehemaSimfukwe#Chanzo#GospelVideo

КОМЕНТАРІ • 4,5 тис.

  • @mwlelishamathayo6528
    @mwlelishamathayo6528 3 роки тому +1407

    Nyimbo kama hizi sio za kuandika ni direct kutoka kwa Roho Mtakatifu mwenyewe.....MUNGU akupe kuliishi kusudi lake na kuufikia utimilifu wa wito wako ....

    • @sarahchaggu7073
      @sarahchaggu7073 3 роки тому +18

      Exactly.

    • @barakaephraim8367
      @barakaephraim8367 3 роки тому +7

      Wewe wasema stay connected!

    • @anordalex7571
      @anordalex7571 3 роки тому +12

      Yes nakubali, yani ni uhimbaji ulotukuka saana, unaoweza kumwinua Mungu kwenye kiti cha enzi akasema kweli duniani kuna watu.

    • @sylviakisanga7507
      @sylviakisanga7507 3 роки тому +1

      yes

    • @joynyassy972
      @joynyassy972 3 роки тому +5

      Amina, na apewe sifa Mungu mkuu

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 5 місяців тому +141

    2024 Bado ukiisiliziza unaskia uwepo wa MUNGU ndan yko😢 halleluyaa

  • @Epimack_s
    @Epimack_s 5 місяців тому +50

    Philippians 4:12-13 12 I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want. 13 I can do all this through him who gives me strength. AMEN

  • @alexojeto5658
    @alexojeto5658 2 роки тому +326

    My son wasnt feeling okay last night and i and him hardly slept,today morning when i boarded a bus to work,this was the first song that was playing in the bus. I reached the office and quickly searched the song title and cried to God sababu yeye ndio chanzo cha uhai wake,some hours later i called the nanny to know how hes doing and was happy to hear that hes better and just playing around. Lord my heart is full,i will always praise you Jehovah even in the midst of darkness. Holy is your name

  • @Gikonyoea
    @Gikonyoea 2 роки тому +2035

    I've never admitted this to anyone but this is the only worship song that moves me to tears, and every morning at work because I'm always the first person to arrive...I put this song on full blast and I loose myself in God's presence...I end up crying my heart out singing this song and God did come through for me by surrendering myself completely to Him and from being a laughing stock for family members, to being unappreciated and underpaid at work God has opened the door for me to fly outside the country and work there during the world cup next year...truly Matthew 6:33 works, never loose hope, never go back to the world, God will come through for you!

    • @jmtvgospel2642
      @jmtvgospel2642 2 роки тому +8

      Wow i love this

    • @MoN_KaDO
      @MoN_KaDO 2 роки тому +7

      I'm get a power to keep gone even there cross wind ahead May God let me to be safe,not only me but with my family. Thanks My Lord Jesus Christ for the gift give to me 🙏🙏🙏

    • @pastorsallytv2024
      @pastorsallytv2024 2 роки тому +5

      Powerful testimony Alvin

    • @praxykiki2091
      @praxykiki2091 2 роки тому +2

      Congratulations bro,keep going Glory to God ,Glory to God.

    • @jerushanjiru3927
      @jerushanjiru3927 2 роки тому +2

      Woooow this is awesome God our source of life!!! Blessings to you!

  • @azizamuhali5531
    @azizamuhali5531 3 роки тому +128

    Nikikumbuka vile nililala na njaa, nikadharauliwa, nikakataliwa, nikasemwa namengine mengi huu wimbo unaniingia akilin mpk moyoni 😢 Mungu ni mwema sana hata sasa ameniheshimisha 😇😇

  • @boazwambua387
    @boazwambua387 9 місяців тому +84

    I remember the first time heard this song I was arrested by the Holy Spirit and I cried like a child right in front of my wife and children..... The kids were like Daddy are you crying?... I couldn't control myself. Barikiwa sana Rehema Mungu azidi kukuinua... This is just a glimpse of how things will be in Heaven .... Just worshipping the KING OF KINGS, THE LORD OF LORDS, THE ONE WHO TELLS THE SEA THAT THIS IS THE FAR YOU CAN GO.

    • @rosena_-yw6tq
      @rosena_-yw6tq 3 місяці тому

      thanks I would love to also listen​@Follow_JesusDaily

  • @sheilamabera2578
    @sheilamabera2578 Рік тому +53

    Spiritual revelation to all those who have faced rejection and experience hardships in life

  • @joycewangeshi6202
    @joycewangeshi6202 3 роки тому +825

    May everyone listening to this song never lack favour before God's eyes.🙏

    • @mercymtitu3444
      @mercymtitu3444 3 роки тому +2

      AMINA MPENDWA..THIS SONG BLESSES AND HEALS THE SOUL.

    • @florahangel1718
      @florahangel1718 3 роки тому +4

      Amen and Amen. Same to you

    • @joynyassy972
      @joynyassy972 3 роки тому +4

      Amen. this song is pure unadulterated worship sweet melody to our heavenly father hallelujah!

    • @geofreybonyo9762
      @geofreybonyo9762 3 роки тому +1

      Amen and Amen

    • @faithkirui8350
      @faithkirui8350 3 роки тому +1

      Amen

  • @WorshipHubwithChama
    @WorshipHubwithChama 3 роки тому +303

    My neighbor just woke me up, with some loud music, instead of being angry, I had to search this song, What a song!.. what a song to wake me up.

    • @gwarawara887
      @gwarawara887 3 роки тому +4

      Mungu ana njia nyingi

    • @JBB875
      @JBB875 3 роки тому +1

      Glory to GOD

    • @emilyadhiambo7199
      @emilyadhiambo7199 3 роки тому +5

      Me too, i forgot to close the television,this song woke me up,

    • @penelopestanley7021
      @penelopestanley7021 3 роки тому +3

      Me too this song wake me up I heard it from my sister's phone.

    • @alphashila6957
      @alphashila6957 3 роки тому +1

      😆😆😆😆😆

  • @Emilianamfoi
    @Emilianamfoi 2 місяці тому +8

    Wimbo huu umenifanya nitoe macho zi sababu ya kipindi kigumu ninachopitia, ahsante MUNGU kwa kuwa ww ni chanzo cha uhai wangu.

  • @mtoto_wa_Mfalme12
    @mtoto_wa_Mfalme12 Рік тому +17

    10 Million Viewers 06/06/2023
    Hawa watu wote Million 10 umewabariki kwa Wimbo huu. Mungu AKUBARIKI Mtumishi 🙌

  • @boazdanken
    @boazdanken 3 роки тому +131

    MUNGU Akubariki Sana Mtu wa MUNGU umenibaliki Sana Glory to Jesus

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому +4

      Amen Amen my kaka

    • @furahaminde673
      @furahaminde673 3 роки тому +1

      UMENIBARIKI SANA GLORY To GOD

    • @sundaykasyupa2430
      @sundaykasyupa2430 3 роки тому +8

      Napenda unyenyekevu wako Boaz Danken. Mungu uwainua wanyenyekevu, Mungu uwapinga wenye kiburi.
      I love you my brother

    • @happychonde3451
      @happychonde3451 3 роки тому +1

      Boaz you are blessing to our generation

    • @nuruchandi4134
      @nuruchandi4134 3 роки тому +1

      Hallelujah

  • @adeladavis1876
    @adeladavis1876 3 роки тому +201

    Yaani nilivyosikia huu mwimbo , nikaanza kulia maana nimepitia mambo mengi ila Bado Yesu ananipigania 😢😭😭😭 kuna muda nakataa tamaa kuendelea ila 🙏🏼

    • @upendosanga7044
      @upendosanga7044 3 роки тому +3

      Usikate tamaa Mungu yupo nawe hayo yote ametaka upitie kwa kusudi kabisa na kwa utukufu wake

    • @JBB875
      @JBB875 3 роки тому +1

      Usikate tamaa mpendwa, MUNGU yupo nawe, MUNGU Ni mkuu na ni mwaminifu sana

    • @nuruelmada9570
      @nuruelmada9570 3 роки тому +1

      @@upendosanga7044 amina

    • @anthonyfahami5183
      @anthonyfahami5183 3 роки тому +1

      Barikiwa sana dada

    • @anthonyfahami5183
      @anthonyfahami5183 3 роки тому

      Barikiwa sana dada

  • @talentplug7794
    @talentplug7794 Рік тому +107

    After being abandoned and rejected at birth, God was not done with me. Every day I am reminded that He had a plan and a purpose for me despite my hurtful past. Kweli yeye ndiye chanzo cha uhai na maisha yangu. Wonderful song, makes me remember all the good God has done in my life. All glory to Jesus!

  • @vividchris3746
    @vividchris3746 2 роки тому +90

    THIS IS THE KIND OF WORSHIP THAT IS BEYOND OUR ABILITY EVEN THE GUITAR GUY FORGOT HE IS THERE TO PLAY THE INSTRUMENT AND HE IS CARRIED AWAY BY THE ANNOINTING IN THE SONG. REHEMA SIMFUKWE YOU ARE A BLESSING

  • @Ambmercymasika
    @Ambmercymasika 3 роки тому +535

    Beautiful and powerful 🙌

    • @merie8265
      @merie8265 3 роки тому +28

      Eeh nimekulike wa Kwanza mercy nipee like hahaha

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому +45

      Ooh my dear Thank you so much... God bless you so so much ..keep the fire burning in you too sis

    • @kelvinkijo7500
      @kelvinkijo7500 3 роки тому +7

      Baraka sana watumishi wa BWANA

    • @stevebiko2289
      @stevebiko2289 3 роки тому +19

      The two of you can do a piece together that could light up the world with worship

    • @brendamshai5394
      @brendamshai5394 3 роки тому +10

      Glory to Jesus. Kweli wewe Yesu ndio chanzo cha uhai wangu. Kama sio wewe ningekuwa nimezikwa nikasahaulika. Asante Yesu kwa kunishika mkono wakati wa majaribu na kunipa ushindi.

  • @marynyakunga9575
    @marynyakunga9575 3 роки тому +78

    Nasikiliza kila siku hii nyimbo nikiwa nalia na kumwambia Mungu yeye ni CHANZO CHA UHAI WANGU

  • @EmmanuelZenda-ji5gc
    @EmmanuelZenda-ji5gc Місяць тому +5

    Kila nikipitia Magumu basi hii nyimbo unifariji mana Mungu ndio chanzo cha uhai wangu na anajua kwanini alinileta duniani,Being into hard times and trauma lately as I quit my university studies due to insufficient money to pay for my fee,But I believe in God I'll soon get back.

  • @langsondavid8123
    @langsondavid8123 Рік тому +11

    Naitwa langson David nkwamu wa Sumbawanga Rukwa Tanzania.Napenda uimbaji huu.nikisikiliza wimbo nabubujikwa na machozi.Mungu awabariki Dana.real touched

    • @amonidafa9665
      @amonidafa9665 3 місяці тому

      Endelea kuufurahia uzuri wa Yesu

  • @lameckvlad5672
    @lameckvlad5672 3 роки тому +69

    Nikisikiliza huu wimbo kuna namna naona vile Mungu akishughulika na mambo yangu.
    Glory to God 🙏

  • @eyvezale7357
    @eyvezale7357 3 роки тому +98

    Tears😭😭😭😭😭😭😭😭😭 I just heard this song from our church worship team Karura Community Chapel, Nairobi🇰🇪🇰🇪 and since then I can't stop thinking about it

  • @isiongongaira7920
    @isiongongaira7920 Рік тому +12

    Tangu siku ile niliskiza huu wimbo,kipindi kile nilikua nayapitia magumu sana ila nilipata utulivu,muumba wetu hawezi akatuacha tukateseke,mwenyezi mungu akuzidishie mengi Rehema (wengi wanapata kupona kupitia huu wimbo pata kubarikiwa nawe)

  • @IscaAtieno
    @IscaAtieno Рік тому +11

    Right now am not in my right state of mind but i really don't want to complain coz i know God is helping someone else who needs Him more than me i know it's going to be fine 🙏🙏

  • @kambua
    @kambua 3 роки тому +206

    What a powerful song woman of God 🙌🏾

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 роки тому +363

    Na huu ndio wakati wako uliokubalika machoni pa bwana keep up we are together,nice song

  • @irenemrua1350
    @irenemrua1350 Рік тому +10

    Miaka miwili sichoki kuusikiliza huu wimbo. Mungu wa mbinguni kupitia wimbo huu naomba Usinipite Mungu wangu, naomba ukanitendee makubwa ndani ya mwaka huu 2023 angalau nifanye hata kidgo ya matarajio😭😭😭🙏🙏🙏🙏NAKUINUA MUNGU WANGU

  • @Richard_Range
    @Richard_Range Рік тому +12

    They say in Life there are no second chances, But GOD gave me a fresh start!
    Na Wewe (GOD) ni Chanzo! Aleluyahh
    Hii nyimbo inanibariki sana🙏🏽

  • @mamabyela18
    @mamabyela18 2 роки тому +168

    I heard this song for the first time during my cousin sister's funeral, right there I realised that nothing realy matters in this world except worshiping the author and finisher of my life, Jehova Jireh

    • @lucimueni9746
      @lucimueni9746 2 роки тому

      What a nice vibe Mama....imagine this is not our home we are just passing by But we need to thank God that He gave us an opportunity to live on this world.Glory be to God our Father.

    • @larinaawino2542
      @larinaawino2542 2 роки тому

      God have mercy on me🙏🏽 I can't stop crying because of this song.🙏🏽🙏🏽

    • @gildachris9953
      @gildachris9953 Рік тому

      @@lucimueni9746 dbnmczx ex

    • @costasmsumba4525
      @costasmsumba4525 Рік тому

      Thank you Jesus

    • @esthermwangi1559
      @esthermwangi1559 Рік тому +1

      Ameeeeeen

  • @aliceo9529
    @aliceo9529 2 роки тому +411

    After facing rejection and hatred from the, family from the church, this is where I got my solace..for someone who has experienced pure hatred, I found love in this song 🎵 ❤thank you

    • @mbarikiwaamina5885
      @mbarikiwaamina5885 2 роки тому +7

      Jesus is there for you...he realy love you and his love is sufficient

    • @anyubangu4148
      @anyubangu4148 2 роки тому +7

      I read your message, it builds up my spiritual muscles. Thank you.

    • @angieblessed
      @angieblessed 2 роки тому

      Amen

    • @karentabitha12
      @karentabitha12 Рік тому +8

      This message is one of the quoted verses Paul wrote , kindly read you will see this message.
      I think it's the book of Luke tht says woe to those tht are loved by the world but you who is not loved by the world is loved by God.
      Jiwe waliokataa waashi Sasa n jiwe la pembeni...
      When people reject you know tht God will never reject you n you are highly favoured . I have faced through tht but i learnt to keep God first in everything and i have gained favour infront of him and he brought the right connections so don't mind who is not for you focus on God only if you focus on man you will loose focus on God those tht reject you now are not true people they are fake. B blessed

    • @vivianjasphet113
      @vivianjasphet113 Рік тому +2

      You are blessed dear❤️

  • @elegoodness6267
    @elegoodness6267 6 місяців тому +15

    I'm from Nigeria.
    And i heard this song to the glory of God. I don't even know the country singing,but i just want to worship with you and say that, Jesus Christ is the source of my life too.
    I love this God that created so many languages in the world. This one is too super.
    God bless you my sister Rehema

  • @fredrickmakori8037
    @fredrickmakori8037 Рік тому +9

    Wewe ni chanzo cha uhai wangu kweli

  • @barbiemuzira6051
    @barbiemuzira6051 2 роки тому +237

    The first day I listened to this song I cried more than I have ever cried in my life remaindering me where God got me from ,my childhood was not easy I grew up like a grown up woman struggled in everything and i realized that God was the source of my life,be blessed more than you think

  • @DERICKMARTON
    @DERICKMARTON 3 роки тому +86

    Ila niwaambie ukweli jamani Mungu ametubariki saana AFRICA hongera saana dada yangu so proud of you🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥

  • @moreenkamadi7474
    @moreenkamadi7474 Рік тому +9

    Am going through alot silently, l always pray to God to see me through,,, today l dreamt l was singing this song. Woke to search for it. I have really cried. I feel God in my way. Jesus is real

  • @user-bw7db5un3q
    @user-bw7db5un3q 2 місяці тому +4

    wewe ni chanzo Cha uhai wangu Mungu yupo atakuwepo Wimbo unainua sana kiimaniii😢❤

  • @henrickmruma
    @henrickmruma 3 роки тому +322

    I am addicted to this song. God has revealed great things to me through this song. I pray that it touch a lot of lives and generations. You are always blessed rehema.

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому +12

      Thank you so much my brother im humbled

    • @abiyamashaka5716
      @abiyamashaka5716 3 роки тому +4

      it will do so brother,its a song with too much anointing

    • @isaacmutai1677
      @isaacmutai1677 3 роки тому +1

      AM TOO ADDICTED TOO,WHAT A BLESSING..

    • @nickodemsimchimba594
      @nickodemsimchimba594 3 роки тому +4

      @@rehemasimfukwe dada wew ni kabila gani? I'm so sorry where is your originality?.... I'm so blessed with your anointed and powerful song

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому +5

      @@nickodemsimchimba594Mbeya,Mbozi, Kamsamba

  • @brownangeldancers9563
    @brownangeldancers9563 2 роки тому +272

    I played this song again and again at a point when my fiance dropped me just like that ...I was on a travel..receiving this trebled heart break text and block..any minute I lost sleep at night.i would play it and cry like never before my mouth wild open full of pains.but I give glory to GOD.this song opened a new door for me.a greater proposal with two great wishes of a man with his own house and a wish to add a second kid.i found all these two.Glory be to God.God bless u siz for such a powerful song.am blessed. Mostly this part of..wacha upepo na uvume.with my wedding cloths in my cupboard..kuna Mungu...God bless u siz..thnks alot

    • @erenestawanjiru1935
      @erenestawanjiru1935 2 роки тому +2

      Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawsome Testimony....What A Mighty God We Serve.

    • @daisyeunice8772
      @daisyeunice8772 2 роки тому +1

      Might have taken you through hell

    • @daisyeunice8772
      @daisyeunice8772 2 роки тому +6

      We serve a living God, He wanted to separate you from the previous relationship which

    • @linnmoraanash
      @linnmoraanash 2 роки тому +3

      God was preparing a way for you after all cries now you can smile

    • @loraynwyali9746
      @loraynwyali9746 2 роки тому +5

      How did u manage to get over I'm going through the same thing n it hurts so much

  • @gracenyae001
    @gracenyae001 Рік тому +6

    Nitamsifu mungu mpaka kufa kwangu 🙏🙏🤞bila yeye ningekuwa nimekufa

    • @graceriziki-bk8sc
      @graceriziki-bk8sc 6 місяців тому

      Na mimi nita musifu munga hadi siku ya pumuzi zangu za mwisho apa chini ya jua ame ni rudishia uwai wakati nili kua nime jua nime pata magonjwa ya moyo

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 7 годин тому

    Hakika bila mungu!!sisi wengine sijuwi ingekuwaje!! Umetutoa mbali mungu wetu!! Katika yote tuliyopitia!! Ulikua pamoja nasi!! Asante yesu!!

  • @eveotiato2210
    @eveotiato2210 2 роки тому +154

    In the month of may, God saw me through all I was going through as a house help in Thome estate. He elevated me
    From a house help to a credit officer
    This was the song
    God bless you Rehema

    • @sheizzybaby6923
      @sheizzybaby6923 2 роки тому

      Wow!! Congratulations & God Bless You!!

    • @tomyumguzz
      @tomyumguzz 2 роки тому

      9:00 - 10:30

    • @tomyumguzz
      @tomyumguzz 2 роки тому

      God is faithful, Amen Amen. Never forget the experience you encountered in this deep soaking worship, welkam to Citam Thika Rd, on every Wednesday for prayers and on Sundays for our services start

    • @user-ki4ii4fx6u
      @user-ki4ii4fx6u 3 місяці тому

      Amen

  • @EmilianKatubayemo
    @EmilianKatubayemo 3 роки тому +41

    Mungu akubariki Sana dada yangu wimbo huu ni wambinguni hakika

  • @user-bv6gh2ve2g
    @user-bv6gh2ve2g 2 місяці тому +5

    🙏katika yote wewe bado ni Mungu.

  • @didindayiragije927
    @didindayiragije927 9 місяців тому +5

    is there anyone who's still listenning to this food soul untill now like me? I can't be tired to listen this amazing song. Thank you psalmist Rehema for your sweet songs!

  • @prettysunshine7537
    @prettysunshine7537 2 роки тому +165

    I Listened to this song when I was at the verge of giving up due to lack of school fees...and it reminded me that he's the source of my life😭😭😭😭😭dear lord am greatful🙏🙏....keep on touching souls minister of God

    • @user-ki4ii4fx6u
      @user-ki4ii4fx6u 3 місяці тому

      Amen He is a faithful God, he'll do it in time

  • @dorisngenomusic5214
    @dorisngenomusic5214 2 роки тому +269

    I'll be ministering with this song in my church this coming Sunday and I'm really praying it'll be a blessing😊🤗

    • @lewismukoya5853
      @lewismukoya5853 2 роки тому +1

      May God bless you Rehema

    • @mirriamwambui446
      @mirriamwambui446 2 роки тому +1

      Where my sister we join you

    • @josatinooking388
      @josatinooking388 2 роки тому

      i have been planning to minister with the song for a month now, the day i get a chance i will do it with my whole heart and i do pray it shall be a blessing to the ppl of God

    • @hiltrudekihiyo3323
      @hiltrudekihiyo3323 2 роки тому

      I can't say more God has shown Mercy in me during delivery oh! was last year I keep singing the song when I have no other option

    • @carolngile6086
      @carolngile6086 2 роки тому +1

      AMEN 🙏

  • @Thedanniels
    @Thedanniels Рік тому +16

    This is a powerful song....even if you didn't want to pray and just give up in God,this song can revive you again

  • @thebiblelounge
    @thebiblelounge 2 роки тому +33

    Am thankful to God for this song, I look back at my history from birth, and am reminded over and over again that God is the reason for my existence. I am going through Psalms 139, and David echoes God's knowledge and cares over us.
    I thank God for you Rehema. Mungu akubariki sana!

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 3 роки тому +50

    This is time Tanzania will rise and Worship God who is the source of everything 😭😭😭😭😭

  • @estherthea8180
    @estherthea8180 2 роки тому +31

    Phillipians 4:12
    I rejoiced greatly in the Lord that at last you renewed your concern for me. Indeed, you were concerned, but you had no opportunity to show it. I am not saying this because I am in need, for I have learned to be content whatever the circumstances. I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want. I can do all this through Him who gives me strength.

  • @user-lf2zr3fj9g
    @user-lf2zr3fj9g Місяць тому +3

    Daaah! Jaman kila ninapo isikiliza hii nyimbo lazima nilie machoz kwasabb nakumbuka magumu mengi sana niliyo yapitia katika maisha yangu😢 ila acha Mungu ubaki tu kuwa Mungu maana umenitoa mbali sana mimi na wanangu...hakika wewe ni chanzo cha uhai wangu na wewe ni chanzo cha mafanikio yangu na pia wewe ni chanzo cha kila jema linalotokea katika maisha yangu.😢 I worship you Dear Lord❤🙏😭😭😭

    • @user-lf2zr3fj9g
      @user-lf2zr3fj9g Місяць тому +1

      Dada Regema Mwenyez Mungu azidi kukupa kibali cha kuendelea kuifanya kazi yake, Mungu azidi kukupa kipawa cha kuifanya kazi yake, nakupenda sana dada angu na Mungu akubariki na azidi kukutia nguvu❤

  • @joanyohana2371
    @joanyohana2371 Рік тому +15

    During my depression,this song gave me strength to move on and know that GOD is my only strength🙌.He is the source of life🙌🙏

    • @Lydiamaheli-uj7ok
      @Lydiamaheli-uj7ok 10 місяців тому

      Indeed is the source of our life,be blessed

  • @ireneokobwa7081
    @ireneokobwa7081 2 роки тому +127

    I have been going through financial strain and trusting God for a breakthrough but when I heard this song for the first time I started thanking God cause He is still Faithfull no matter what He is STILL GOD!!!!!

  • @hosianapaulo5320
    @hosianapaulo5320 3 роки тому +597

    This song made me cry😭😭😭😭😭there is a secret in worship nakuabudu mungu wa maisha yangu chanzo cha uhai wangu🙌🙌🙌🙌

  • @JanethJanethjackson2024
    @JanethJanethjackson2024 Місяць тому +4

    Ninajua kushiba na kuona njaa katika yote wew bado upo 😓😭

  • @marywambui5891
    @marywambui5891 Рік тому +36

    Indeed this song is a miraculous song,, after listening to it 20times God just opened my doors,, still counting my blessings while listening to it 🙏🙏🙏let it be a blessing to everyone

  • @zoravoofficial607
    @zoravoofficial607 3 роки тому +57

    ...too much anointing in your ministry my sister,goooooo

  • @benedictoryona4811
    @benedictoryona4811 3 роки тому +53

    The first day I heard this song,horry spirit spoken to me about my struggling, he said to me he always with me,in the darkness he is my chanzoo

    • @salomejackson7812
      @salomejackson7812 3 роки тому +1

      God be with u my ccter good news groly to jesus

    • @upendosanga7044
      @upendosanga7044 3 роки тому +4

      Kujua hilo tu mtukuze Mungu endelea kumwomba Mungu atafanya jambo kubwa utashangaa ,mi am testimony Mungu yupo anaishi

    • @queenamani5302
      @queenamani5302 3 роки тому

      Nashukuru mungu hicho ndiyo nacho weza kusema ila dada mungu aku bariki maana nahisi leo ndugu zangu wange pata msiba lakini kupitia this song najikuta nina sababu yaku ishi god bless you dear

  • @robingass8412
    @robingass8412 2 роки тому +27

    I'm glad I came across this song. My life is meaningless without God. I have enjoyed and suffered in equal measure. I have hurt inside that nobody can even think about what I almost did. God through his mysteries made me change my mind. I'm glad you sang this song

  • @coachnyokabi
    @coachnyokabi 2 роки тому +27

    This song is such a blessing to my life at this very moment 🙏. Indeed God is the center of our lives, His the author of our lives , at the center of everything and every situation, Lord I will worship you in truth and spirit no matter what comes my way. Amen

  • @asiatumaulana6853
    @asiatumaulana6853 3 роки тому +189

    Well im from zimbabwe and im teaching myself swahili .this is going to be on my everyday worship playlist

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 3 роки тому +141

    Here in 2021 listening for the first time and tears just flowing freely, deep words, thank you lord😢😢😢

    • @ezeenconceptzguc6532
      @ezeenconceptzguc6532 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.....

    • @lilianmushi6240
      @lilianmushi6240 3 роки тому

      @@ezeenconceptzguc6532 SCAM dont you fear God you people.

    • @alexodanga9702
      @alexodanga9702 3 роки тому +1

      It's a touching song

    • @christinasillo792
      @christinasillo792 2 роки тому +1

      True Amen

  • @jamesmaghanga4303
    @jamesmaghanga4303 Рік тому +28

    This is undoubtedly the only African worship song that ever moved me to tears. The lyrics and passion in that song literally enter in my veins and bones. Truly, truly, this is deep. I will worship you Lord. I will lift up your mighty name and praise you because you are worthy to be praised.

    • @janemathenge2820
      @janemathenge2820 10 місяців тому +1

      Nathaniel Nassey is another one who leave you in tears,Cece Williams.

    • @valerymushamuka6611
      @valerymushamuka6611 6 місяців тому

      Il faut essayer de suivre le groupe adorons l'éternel et tu verras que Dieu a des nombreux vases d'honneur en Afrique. Gloire au Seigneur pour l'oeuve qu'elle a mit dans notre sœur Rehema.

  • @petermuisraeli254
    @petermuisraeli254 Рік тому +14

    Who is here tonight? January, 2023
    What a wow ...
    Huu wimbo umenibariki sanaaa

  • @mutheumumu
    @mutheumumu 3 роки тому +108

    Couldn't stop crying when I first listened to this song, my sister was playing it! God is truly faithful! God bless you Rehema for allowing God to use you.

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому +2

      Glory be to God dear

    • @bonphaceemmanuel9072
      @bonphaceemmanuel9072 3 роки тому

      Nkwel mungu n chanzo cha uhai wetu na jina la bwana limidiwe,,,,mwimbaj hongera yan nimesikiliza iii gospel ad natokwa choz

    • @oficialybadclever2377
      @oficialybadclever2377 2 роки тому

      @@rehemasimfukwe 🙏🙏

  • @rhodawilliam5548
    @rhodawilliam5548 3 роки тому +61

    Had goosebumps...OMG i cnt get enough of this song....Mungu azidi kukutumia minister rey

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому +2

      🤗

    • @zipwangui
      @zipwangui 3 роки тому +2

      Woow thought i was alone. Just heard the song today. Made me shed tears knowing He has always been God, father, the king of kings.

    • @RoseRose-hz9mx
      @RoseRose-hz9mx 3 роки тому +2

      @@rehemasimfukwe😘 🤲

    • @boazwambua387
      @boazwambua387 3 роки тому +1

      @@rehemasimfukwe hi siz can I invite you to our church?

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому

      @@boazwambua387 0714101562

  • @esther4402
    @esther4402 2 роки тому +8

    I have condition that has troubled me for a long time and at this moment at night as I was thinking about this condition I heard this song in my spirit, I had never listened to all of it. Mungu wewe ni chanzo cha uhai wangu,najua utaniponya na nitakuja kushuhudia papa hapa.

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  2 роки тому +3

      I speak healing up on you in Jesus name

    • @esther4402
      @esther4402 Рік тому +1

      @@rehemasimfukwe Glory to God,not long after this I got complete healing. Mungu ni chanzo cha uhai wetu hakika. Sifa na utukufu ni zake.

  • @user-cr2gd4rc8w
    @user-cr2gd4rc8w 4 місяці тому +3

    Nyimbo imenibariki sana kipindi ambacho nilihisi mungu ayupo lkn bada ya kusikia hii nyimbo kua mungu ni chanzo cha uhai wangu nimepata tumaini upya ahsante mtumishi kwa kazi nzuri

  • @Daphney_Amisi
    @Daphney_Amisi 2 роки тому +71

    There's really something about this song 😭😭😭🤍🤍
    Listened to it recently after losing my dad and it's making my healing better! 🙏❤️😭 I cry so hard when I listen 🤍

    • @tweletuchannel
      @tweletuchannel 2 роки тому +3

      May you find complete healing in Jesus name

    • @joymasavu5125
      @joymasavu5125 2 роки тому +1

      Hugs ❤️

    • @gloryraphael1837
      @gloryraphael1837 2 роки тому

      very sorry may our almighty God you strength

    • @mercymeriy7851
      @mercymeriy7851 2 роки тому

      I also lost mom few months ago.today memories are too much unbearable..am relaxing listening it.i feel much better than the midday..

    • @wemakibanga
      @wemakibanga Рік тому

      ​@@tweletuchannel k😅

  • @gracemfangavo4824
    @gracemfangavo4824 3 роки тому +31

    Wimbo wa nyakati zangu zote...... Ur such a blessed ssy, an u make me fll blessd too nakupenda, na nampenda Yesu wangu kwaajili yako

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 роки тому

      Amen my love... Blessings

    • @evansbish9387
      @evansbish9387 3 роки тому

      Mungu akishuka anaonekana kweli ni baraka na uponyaji

  • @melanieshalua7882
    @melanieshalua7882 Рік тому +8

    The first time I found this song accidentally on UA-cam it has about 200+K views I new it is going to be the big song...and It is !!

  • @marynjerimbugua3800
    @marynjerimbugua3800 Рік тому +6

    Thank you lord for everything 🙏 ,you deserve all the honour and glory .

  • @mediustibamwenda4454
    @mediustibamwenda4454 3 роки тому +22

    The song describes my whole life I have shaded 😭 I have gone thru pain but nothing will ever separate me from the word of God. With God's time, I blv everything will turn out right

  • @Aswito_MadamSports
    @Aswito_MadamSports 2 роки тому +70

    I've heard this song being sang in our youth church and I had to look for it🙌it really ministered to me. May God bless you Rehema

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 Рік тому +7

    Good Morning, Father Lord, today's a new day, a chance for a new start! Yesterday is gone & with it any mistakes, regrets, or failures I may have experience!It's a good day to be glad & give thanks & I do Lord!Thank YOU for today a new opportunity to love, give & be all YOU want me to be! HALLELUJAH!

  • @pamelamugo9627
    @pamelamugo9627 Рік тому +5

    In the midst of my severe depression, anxiety, en panic attacks, this message comforts me 💯🙏
    It's my prayer to meet this woman of God one day en I believe she'll be the one to make my dreams of praising and worshipping God for the rest of my life but.....Am in desperate situation of being in the presence of God ..........................

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 2 роки тому +6

    Nimeusikia huu wimbo mara moja tu kwenye radio ya mtu mwingine roho yangu ikanihakikishia kuwa ndani ya huu wimbo yupo Mungu barikiwa sana dada😔

  • @ndindamuthini9865
    @ndindamuthini9865 3 роки тому +71

    She's the Tasha cobbs of Africa💯💯

    • @karistachusi4874
      @karistachusi4874 3 роки тому +1

      Yes dear and jekalyn karr their voices resembles

    • @lucymukiri2134
      @lucymukiri2134 3 роки тому +1

    • @ed4Jesus
      @ed4Jesus 3 роки тому +1

      in every single way n form,

    • @fencilatemesi3341
      @fencilatemesi3341 3 роки тому

      Wow may God bless you this is so touching my sister,, kwa kweli yeye n chanzo

  • @loisewambui4086
    @loisewambui4086 Рік тому +76

    This song was sung in Nairobi Kenya 🇰🇪 during Rhemafeast 2022..I cried a river as I reflected on how God is the source of my life..He is everything that I have
    God is faithful as a Father

    • @michellewangila5163
      @michellewangila5163 Рік тому +2

      Rhema feast is an unexplainable experience.

    • @jamesthiongo312
      @jamesthiongo312 Рік тому

      I was there and now I'm here..

    • @violetbukusi929
      @violetbukusi929 Рік тому +1

      Me too Loise... the song has been an anthem for my spirit since RHEMA FEAST 🙌🙌🙌

    • @sialema8500
      @sialema8500 Рік тому

      God is faithful as a father indeed. His promises and love are true and everlasting❤❤

  • @msemakweli3132
    @msemakweli3132 3 місяці тому +2

    Napenda nyimbo zako Sana ila hata Kwa neema sisikii ukitaja Yesu wala Mungu Yehovah..labda mwisho mwisho naomba jina lake litajwe mwanzo Hadi mwisho. Jivunie Yesu wako unayemwabudu..

  • @kuinduhiu5659
    @kuinduhiu5659 2 роки тому +73

    Hallelujah! Philippians 4:12
    I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want.

  • @serahnjeri5654
    @serahnjeri5654 3 роки тому +43

    Much Love 😍❤️💕from ±254🇰🇪
    Praise JESUS for this blessed and anointed song🙏🏾God Bless You my sister and take you to greater heights. You are a blessing 😘😘😘

  • @jamesmwangi1527
    @jamesmwangi1527 7 місяців тому +7

    There's a presence of God in this great song

  • @JanethJanethjackson2024
    @JanethJanethjackson2024 Місяць тому +2

    Maisha yangu bila Mungu sizani kama ninaweza 😭😭😭

  • @charitywanyela418
    @charitywanyela418 2 роки тому +41

    Heard this song and cried so much. Still grieving my daughter and the journey is a tough one but God is still on the throne even at our darkest moments

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 2 роки тому

      Sending prayer hugs , Mungu akuonekanie katika mapito yako 🙏🏿🙏🏿🇹🇿

    • @carolnyamu
      @carolnyamu Рік тому

      Hang in there. There's no formula for grieving. Give yourself time to heal and God will comfort you for sure.

    • @neshmutai
      @neshmutai Рік тому

      ❤🫂🫂

    • @MugiKelvin
      @MugiKelvin Рік тому

      Prayers for you Charity

    • @daisyasha9941
      @daisyasha9941 Рік тому

      Hugs to you Charity.....May He Renew your Strength.

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 2 роки тому +18

    There's something in this lady's voice, i can feel this in my heart.. 😭😭

  • @Kira1995.
    @Kira1995. 5 місяців тому +4

    I have listened to this song this morning and I'm full of emotions because truly God is the reason for my existence. This is going to be one of the songs on my wedding this year in Jesus name.

  • @victormutoro4852
    @victormutoro4852 Рік тому +10

    To fail and to succeed?to be hungry and to be full and remain to be God ,This song has blessed me my family Thank you Rehema for being used by the holy ghost to bless us .

  • @millytete7223
    @millytete7223 2 роки тому +10

    Whenever am going through crisis in my life I listen to these song,I lost daddy son years ago,I was very young and starting from scratch wasn't easy,as a single mother I have undergone alot of ups and down bt I appreciate God yeye ni chanzo Cha uhai wetu,

  • @dorisjerude7187
    @dorisjerude7187 3 роки тому +9

    Lord receive my worship today ,you deserve all the glory and adoration .Wewe ni chanzo cha uhai wangu mungu wangu. Nakuishia ,nakutegemea ,nakuabudu.

  • @emmaculateachieng6425
    @emmaculateachieng6425 Рік тому +9

    I cried when i listened to this song. Praise be to LORD MOST HIGH

  • @rachealkavata5697
    @rachealkavata5697 10 місяців тому +8

    Each different time I listen and worship along the song breaks me and I tremble in the presence of God.
    True worship.

  • @stephennjiraini328
    @stephennjiraini328 2 роки тому +34

    There something the Holy ghost is going to deposit to anyone listening to this intense melody
    Truly Jesus you are the essence of my everything.wewe ni chanzo changu

  • @muhohothegreat
    @muhohothegreat 2 роки тому +67

    Listening to this song past midnight amidst thoughts, depression and hopelessness may God provide to anyone struggling and doubtful. Bwana wewe ni chanzo chetu please restore happiness to our faces.

  • @dianandinda83
    @dianandinda83 Місяць тому +2

    Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa 
Katika yote wewe bado Mungu 
Ninajua kushiba na kuona njaa 
Katika yote wewe bado Mungu
    Hata upepo nao uvume 
Mimi nitakuabudu wewe 
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe 
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa 
Katika yote wewe bado Mungu 
Ninajua kushiba na kuona njaa 
Katika yote wewe bado Mungu
    Ninajua udhaifu na kuwa na afya 
Katika yote wewe Bado Mungu
    Hata upepo nao uvume 
Mimi nitakuabudu wewe (Ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe 
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Nakuabudu Nakuabudu 
Wewe ni chanzo cha uhai wangu 
Nakuabudu Nakuabudu 
Wewe ni chanzo cha uhai wangu 
Nakuinua Nakuinua 
Wewe ni chanzo cha uhai wangu

  • @brendaluchemo
    @brendaluchemo 2 роки тому +10

    Just stumbled upon this, but I beleive it was by the leading of the Holy Spirit, because I was looking for a song that will speak to the core of my soul. Now I cannot get enough. Powerful, beautiful, true worship🙌🙌🙌

  • @frankdmushi
    @frankdmushi 2 роки тому +25

    Powerful...!
    Our GOD is a Good GOD, and whatever He does is perfect. Let's give Him all tge Glory.
    When He allows difficulty seasons be sure He will also command better seasons to come.
    Always grateful to our Good GOD.

  • @ruthnyandiya3606
    @ruthnyandiya3606 2 роки тому +46

    This song, I cant count how many times it blesses my soul, cool down my depression and teach me to be grateful to my creator. thank you Rehema.

  • @mercymeriy7851
    @mercymeriy7851 2 роки тому +3

    The song always reminds me of Apostle PAUL in the bible...

  • @abdallahsufiani8490
    @abdallahsufiani8490 Рік тому +2

    Yah nyimbo nzuri iko katika viwango vya kiroho Bwana Yesu akutendee zaidi