KIMENUKA: RC MAKONDA AANZA NA HAWA ARUSHA/ MACHALII WA CHUGA WAMP..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • KIMENUKA: RC MAKONDA AANZA NA HAWA ARUSHA/ MACHALII WA CHUGA WAMP..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #KIMENUKA
    #MAPOKEZIYAMAKONDAARUSHA #MAPOKEZIYARCMAKONDAARUSHA #MAKONDAARUSHA #paulmakonda #MAKONDAATUAARUSHA #tikitvkiakilizaidi #Arusha #RaisSamia
    #live

КОМЕНТАРІ • 60

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 5 місяців тому +2

    Well done Makonda. Speech yako inatupa matumaini. Watanzania wengi walikuwa wamekata tamaa. Tangu umerudi kwenye Samia team watanzania waechangamuka na kuwa na hope kubwa. Use mufano kwa viongozi. Asante sana ubalikiwe sana na Mwenyezi Mungu akulinde.

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 25 днів тому

    Hongera kiongozi wa Watanzania wote

  • @karibubongo-tv636
    @karibubongo-tv636 5 місяців тому +5

    Hongera

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 5 місяців тому +2

    Hongera sana Mhe Makonda,kwa kuzidi kuaminiwa kutoka ktk chama hadi serikali endelea (kuichemsha) serikali, mhe rais pamoja na wa Tz tupo na imani kubwa na weweeee 🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤.

  • @deogratismajenge153
    @deogratismajenge153 5 місяців тому +2

    Nice Speech.

  • @tumahai157
    @tumahai157 5 місяців тому +2

    Wewe ndo unaiweza Arusha Makonda Rais wa kesho❤❤❤

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 5 місяців тому +5

    Jamaa wa watu kumuona tu Jembe Makonda Alijua NGOMA NZITO ndiyo maana kaanza kutetemeka safi sana nimependa uamuzi wako Mh Makonda ntarudia nimependasana

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 5 місяців тому +10

    Huyu Mwamba napenda sana maamuzi yake ukianzia na kuvaa Hizo Gwanda, Yani sijui kama na nyie mmewaza kama mimi

  • @mwokozimunuo3496
    @mwokozimunuo3496 5 місяців тому +2

    Karibu sana mkuu...Arusha imedorora sana siku hizi

  • @Kristofanitv
    @Kristofanitv 5 місяців тому +1

    Hongera sana Mkuu wa mkoa Arusha

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 5 місяців тому +6

    Wacha moto uwake, hata mama anajua Kwenye chema ulikichemsha chama maana yake wewe ni moto, tumbua tu wote baba chapa kazi, unajua kujitoa kwaajili ya kutumikia wananchi na taifa lako Mungu akulinde

  • @NeemaPallangy
    @NeemaPallangy 27 днів тому

    Mungu akulinde kaka piga kazi na maombi kaka ila mm natamani Arusha iwe kama dar kibiashara pia mfumo mzuri wa miundo mbinu za Barbara tunaomba sanaaa kaka

  • @yohanaeliax4702
    @yohanaeliax4702 5 місяців тому +6

    Makonda unaakili sana your a. Genius hi ya spain ippo vzzr

  • @gideonmwalusamba6861
    @gideonmwalusamba6861 5 місяців тому +3

    Makonda sikuwezi upo vizur brother,natamani ungekuja Mbeya

  • @sekiondowarema1786
    @sekiondowarema1786 5 місяців тому +2

    Huyu Mwenyezi Mungu wa Makonda hajalala,anaandaa Raisi makini wa Baadae☝☝☝

  • @nunikayuni6394
    @nunikayuni6394 5 місяців тому +2

    Mungu anatajwa kila wakati mali nizamuzungu alafu munaitaja neno siyo kutuletea mali zetu mungu alivyo

  • @godlizennassari5525
    @godlizennassari5525 5 місяців тому +2

    Ila nakuombea mema kwa mungu

  • @joshualepilal7842
    @joshualepilal7842 5 місяців тому +4

    Jembe hoyeeeeee

  • @user-qv8sv6hv7m
    @user-qv8sv6hv7m 25 днів тому

    Makonda wewe nizaidi ya magufuli mungu akuweke inshaallah natamani ufike lushoto kwetu maana hao wabunge wetu hawajui wafanyalo wana jua matumbo yaotu

  • @user-kx2kr8mp3e
    @user-kx2kr8mp3e 26 днів тому

    Karibu shujaa wetuuu❤❤❤❤❤❤tunakupenda sanaaaa pokea maua yako baba 🎉🎉🎉🎉

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 5 місяців тому +2

    👑 makonda piga kaz mkuu

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 5 місяців тому +4

    Mwamba nimekupata chukuwa mauwa yako 🎉🎉🎉🎉

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 5 місяців тому +4

    Mwamba huyu hapaaaa ndi ndi nding.....

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 5 місяців тому

    Makonda napenda sanaa kazi zako karibu mtwara bradha

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 5 місяців тому +2

    Brother hongera sana, ww ni kilaka brother. Unacheza namba yoyote ndani ya uwanja brother. Mwenyezi MUNGU akutangulie brother, utaweza tu.

  • @rhodaangetile2781
    @rhodaangetile2781 5 місяців тому +2

    Siku zote huwa unatumia ubunifu mkubwa kutekeleza majukumu yako. Nakuombea kheri katika majukumu yako !

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 5 місяців тому +1

    Wewe kiongozi uongozi kipaji sio elimu nimekukubali makonda fanya kazi bradha

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 5 місяців тому +1

    Mama samia namkubali vibaya makonda nakuomba usimwangushe mama upo makini kiongozi miaka tano ijayo ya mama

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 5 місяців тому +1

    Yupo radhi afe kuliko uwe tofauti na mawazo yake ..ni hatari sana

  • @augustinechitemo8207
    @augustinechitemo8207 5 місяців тому +5

    Na huko nako utalikoroga muda si mrefu maana haukawii kukoroga mambo

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 5 місяців тому +2

    Mwamba ameingia Arusha. Piga kazi Baba.

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 4 місяці тому

    Muheshimiwa Makonda. msaidie yule baba Dr. Billal watoto wake na mkewe wasinyongwe

  • @AntonyMbalamwezi-ld6tx
    @AntonyMbalamwezi-ld6tx 5 місяців тому +2

    Piga kazi usiogope kufukuzwa mungu yupo

    • @AntonyMbalamwezi-ld6tx
      @AntonyMbalamwezi-ld6tx 5 місяців тому

      Natamani ulivyo na moyo wakujitoa kama Mimi ninavyo pambana kufundisha watoto shuleni ila majungu hayakosi penye mafanikio:

  • @salimmwaisaka9164
    @salimmwaisaka9164 5 місяців тому +2

    Nikuelewa sana nguvu moja

  • @geraldniyukuri7824
    @geraldniyukuri7824 5 місяців тому

    Big up mheshimiwa

  • @farujohn_org
    @farujohn_org 4 місяці тому

    Mkuu umetisha sana

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 5 місяців тому

    Ok makonda hauwezi chuga,,,,utataga

  • @godlizennassari5525
    @godlizennassari5525 5 місяців тому +2

    Makonda umekuwa mkuwa mkowa arusha bila kufika kibaha pwani kuna mingogoro mingi sana mkuu tunakupenda sana❤😂😊😅😅😅

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 25 днів тому

    Mbonawamenuna makofi wanapiga viongozi wadini tu safisana mh. Makonda.
    Waambie ukweli

  • @mangaikwelamatengo8556
    @mangaikwelamatengo8556 5 місяців тому +3

    Hapo kwenye Bypas umeongea makonda

  • @hassansouzha915
    @hassansouzha915 5 місяців тому +2

    😂😂😂😂 mtu akiacha cm aikute 😂😂

  • @yohanakinyunyi
    @yohanakinyunyi 5 місяців тому

    Simama na Mungu kaka atakuvusha VIONGOZI kama wewe ni wachache sana tusaidie BILA hofu Mungu akutetee sana

  • @kavyashortsleon
    @kavyashortsleon 5 місяців тому +2

    😊😊😊

  • @user-zf5lk3gq2b
    @user-zf5lk3gq2b 5 місяців тому +1

    Mh makonda nakuomba kama itakupendeza uanze kufikiria haja ya miyoyo ya watu wanyonge ambayo ni kuona ukisimama kama raisi baada mh dr samia kumaliza muda wake wa kikatiba

  • @asnathjoseph3539
    @asnathjoseph3539 5 місяців тому

    Mungu ametupa jembe Wana Arusha ni jambo la kumshukiru mungu

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 5 місяців тому +1

    Iko kipaji chako wanyoshe

  • @BarackaSamweli
    @BarackaSamweli 5 місяців тому +1

    Wambie wakora niwengi sana nauinevu

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 5 місяців тому +1

    Huyu anaongea kama mtu ila ni hatari kuliko maneno yake ..msihisi mmepata ...huyo ni msukuma ... hata huruma na kitu chochote wala adabu na kitu chochote anahitaji uwe sawa na mawazo yake je ... kuna binadamu wa hivyo anayeishi???

  • @user-mi3bi3fj3s
    @user-mi3bi3fj3s 5 місяців тому

    Huwa najiuliza sana ndani ya ccm ,tupo wengi sanaa kwenye chama chetu pendwa ,lakin Kwann wenye moyo huu wachache ? Jaman wenye nafasi za juu hebu badiliken jifunzen Kwa makonda nchii mbona itakuwa Raha ,Dah Magu ,Mungu wainue wengine

  • @user-gg7ig1qc5o
    @user-gg7ig1qc5o 5 місяців тому +1

    Na nyie mliojifanya mnaandamana kumpokea mkuu wa mkoa ni kujinafkisha ili asiwatumbue,makonda hapa arusha kuna ubabe wa hovyo sana,, Wanyooshe

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @mangaikwelamatengo8556
    @mangaikwelamatengo8556 5 місяців тому +2

    Weka no yako upewe mchongo makonda

  • @RajabJuma-pe9ml
    @RajabJuma-pe9ml 5 місяців тому

    Sawa mkuu tuna kuelewa sana

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 5 місяців тому

    Wewe jembe tunakuamini sana sana piga kazi hivo hivo LEMA acha kujamba Jamba acha mzalendo apige kazi

  • @alfredbyangwamu9821
    @alfredbyangwamu9821 5 місяців тому

    MAKONDA VEMA KWA UONGOZI WAKO HUU!!! NCHI INGENYOOKA!!! LAKINI KAMA HUKUTAMBULIKANA KWA HUU! BASI KUNA SIKU UTAKAPOTAMBULIKA!!!

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 5 місяців тому

    Mimi naomba wewe mama tuletee makonda mkoa wa mologolo ajeatuzbitie wafugaji kuuwa nakupga wakulima ksa kulinda mazaoyao yasiliwe bang'mbe

  • @JosephKembe
    @JosephKembe 5 місяців тому

    Unasema utatengene barabara unahera ? Warudishe wana ngorongoro ndiyo utuambie