Familia iliyoponea Mai Mahiu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 тра 2024
  • Juhudi za uokoaji na kutafuta waathiriwa zaidi zinaendelea katika eneo la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru siku nne baada ya mafuriko kusababisha vifo vya zaidi ya watu 50. Na huku baadhi wakiendelea kuwaomboleza jamaa na kukadiria hasara, kuna wale ambao wanaomshukuru maulana kwa kuwa hai. Serfine Achieng’ Ouma ametuandalia taarifa ifuatayo inayotupa taswira ya mseto wa hisia kati ya wale wanaoomboleza na wale wanaofurahia kunusurika kifo.

КОМЕНТАРІ • 20

  • @jakee2041
    @jakee2041 15 днів тому +4

    Poleni sanaa waathiriwa wote. Those in hospitals .we wish you quick recoveries. God is Able.

  • @user-io3fh8ll8t
    @user-io3fh8ll8t 13 днів тому +1

    Mungu wetu niwewe ndie mweza yote tuonekanie na utuokoa wewe ni mungu mwenye huruma na upendo tunakuitaji baba

  • @falconinc.
    @falconinc. 15 днів тому +7

    James Kirobe is a broken man, thoughts and prayers our brother 🙏

  • @janelokidor
    @janelokidor 15 днів тому

    Haki poleni sana MUNGU Atukumbuke ,this is God judgement only repentance can save us.

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 15 днів тому +2

    Pole Sana brother 😢😢

  • @jescachepkirui3247
    @jescachepkirui3247 15 днів тому +2

    Poleni xana

  • @marymutua5970
    @marymutua5970 15 днів тому +1

    Poleni sana

  • @phemophemo5947
    @phemophemo5947 15 днів тому +2

    Pole😢

  • @jacklinemaravi8688
    @jacklinemaravi8688 15 днів тому +2

    Poleni😢😢

  • @josphinejackson7278
    @josphinejackson7278 15 днів тому +1

    where is the Government to assist

  • @ceciliahmwangi497
    @ceciliahmwangi497 15 днів тому +1

    Did they vote mca ama wako Nairobi

  • @antidote254
    @antidote254 15 днів тому +2

    at times me hushangaa na mungu

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 15 днів тому

      Usishangae... Ask him for a new drainage system and you shall receive 😂😂😂

  • @Davidnyamaimusembi
    @Davidnyamaimusembi 12 днів тому

    Repentance_and_holiness, Prepare The Way, The Messiah Is Coming

  • @emmanuelmeshack4125
    @emmanuelmeshack4125 15 днів тому +1

    God have mercy on us

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 15 днів тому

      How about he gives us a new drainage system instead of mercy? Si Hio itasaidia?

  • @stevemaweu659
    @stevemaweu659 15 днів тому

    Mungu yuko

  • @samwelobonyo5922
    @samwelobonyo5922 15 днів тому

    Kwa mini hi mvua ingeua hawa viongozi wetu