Watu 48 wamefariki kwenye mafuriko Mai Mahiu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 кві 2024
  • Watu 48 wamefariki huku wengine wapatao 50 wakiendelea kutafutwa baada ya maporomoko yaliyosababishwa na mafuriko katika eneo la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru. Mamia ya familia zimeachwa bila makao baada ya mafuriko kusomba vijiji vinne vya eneo hilo.

КОМЕНТАРІ • 51

  • @AsminKhaoya
    @AsminKhaoya Місяць тому +1

    Neno lamungu linanena mungu hana tupenda kubita kihazi nahawezi kutuba mufuwa hituhuwe neno lamungu linanena tujitasame sisi tuko wabi katika mahisha tunatumikia mungu huvile hanavo tukatasa. Neno lahutumishi wamihujisa yahunganga kwa hutabiri wamahisha huvile hitakuwavo kamihujisa yake kutabuka huvile maisha hitakuwa mabaya kimihujisa hisiyo sitahili maishani mwetu yahunganga kwa hutumishi wakujitumikia kwa hutabiri wamaisha huvile hitakuwavo mungu kwa hutabiri wake siyo wamabaya kimihujisa yamufuwa nikiazi yamufuwa kwetu hulimwengu muzima neno kwetu linahusuni kiliyo kwa mafaa yahaina na haina kwa lahama zakulahumu mungu kwa neno kwetu nimibakiliyo yamungu hamebanga na mungu hayuko karibu namibakiliyp kwetu yamafaa neno lamungu linanena tunahaminiana kuliko
    Mungu tujitasame kwa sasa tuko wabi kwa huhaminifu wakuhaminiana kuliko mungu neno linanena mungu hazibo sumama kwetu kwa musumamo wekihama kwetu h:ulimwengu

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 Місяць тому +4

    Poleni sanaaa

  • @mwangiisaacke
    @mwangiisaacke Місяць тому +1

    Poleni sana Mungu tuhurumie

  • @Loshiphameliyomoleli
    @Loshiphameliyomoleli Місяць тому +4

    Poleni Sana

  • @AnnaMaiyo
    @AnnaMaiyo Місяць тому +1

    Nature is unforgiving surely.Poleni sana

  • @purityloko9220
    @purityloko9220 Місяць тому +2

    Poleni sana watu wa mahimahiu

  • @SmilingFreshwaterLake-vs7me
    @SmilingFreshwaterLake-vs7me Місяць тому

    We all of Pakistani are very sed pray to god safe u all

  • @morganalloys2679
    @morganalloys2679 Місяць тому

    Poleni sana majilani God is in control 🙏

  • @Leah.waithera
    @Leah.waithera Місяць тому

    Poreni.sana.famiria..mungu.awatie.gufu

  • @salomekemunto8217
    @salomekemunto8217 Місяць тому

    Mungu tuhurimia pole sana kwa wale wote wamepatwa n shida

  • @ConfusedCardinal-of7qz
    @ConfusedCardinal-of7qz Місяць тому

    Poleni watume kdf madhare

  • @mama-iv9tm
    @mama-iv9tm Місяць тому

    Pholeni mandungu zangu hau hini iko katika dunya nzima ime ja maji hi niwakati taku ombgamungu atu semehe aru saidye kutaka katika hi ajabu mukitizama pakista nadubai saudya india americ kulama hali hali ni. Hi tu basi tuombe mungu atu saidta 😢

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 Місяць тому

    Poleni sana haya mafuriko Jamani ni East Africa yote😢😢😢😢

  • @officialmanji4438
    @officialmanji4438 Місяць тому +2

    Poleni Sana majilani😢

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Місяць тому

    Neno la mungu huwa inatwambia, Mungu hatawai maliza watu wake na Maji. 😢😢😢😢

  • @ManuumwashMwash
    @ManuumwashMwash Місяць тому

    Poleni sana

  • @JamesSilaz-tj2nw
    @JamesSilaz-tj2nw Місяць тому

    Poleni sana kwa wathiriwa na walioawachwa

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p Місяць тому

    poleni ndugu zetu

  • @SharonJira
    @SharonJira Місяць тому +1

    Poleni sana 😢😢

  • @LenguesjohnJony
    @LenguesjohnJony Місяць тому

    Poleni

  • @PENINAHPENDO
    @PENINAHPENDO Місяць тому +1

    Mungu tuonee huruma,aki ni Maombi tu itatuokoa

  • @Real_pic
    @Real_pic Місяць тому +1

    Mother Nature don't joke son

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Місяць тому +1

    Eh Mungu wangu tuhurumie

  • @karuri-xz1um
    @karuri-xz1um Місяць тому +2

    Sad indeed

  • @monicahjoseph1476
    @monicahjoseph1476 Місяць тому

    Funny enough, the Kenya Meteorological dept. had this info about the possible floods.
    They never warned people to move from the endangered zones,now they telling 'em to move,waende wapi surely

  • @anitahshere8063
    @anitahshere8063 Місяць тому +1

    Woi may God have mercy

  • @francismeeme3693
    @francismeeme3693 Місяць тому +1

    Pole

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Місяць тому

    Haki ni uchungu jameni wooiyie, Wooiyie Ichi yetu Kenya. Kila uchaoo ni Machozii

  • @KalosMillers
    @KalosMillers Місяць тому +1

    very sad

  • @mariejules9504
    @mariejules9504 Місяць тому

    God bless you poor people

  • @nehemiah8974
    @nehemiah8974 Місяць тому +1

    😢😢😢pole sn

  • @financegirlke
    @financegirlke Місяць тому +1

    😢

  • @maryndighila6231
    @maryndighila6231 Місяць тому +2

    Why were people saying Swaleh mdoe was dismissed from Citizen tv, people shame on You

    • @user-vg7fz8gw4v
      @user-vg7fz8gw4v Місяць тому

      You can't be serious watu wamekufa na wewe unaona Tu swaleh 😢😢😢

    • @user-iy5bb1ue7q
      @user-iy5bb1ue7q Місяць тому

      Watu wanakufa wewe unaona mdoe shame on you

    • @maryndighila6231
      @maryndighila6231 Місяць тому

      Waaah, this is not our home,the Earth doesn't belong to us, 😭😭😭😭 sisi pia tutaondoka ni siku tu hatujui

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee Місяць тому

    Serikali Imenyamaza kabisa.

  • @EvansMahate-qiim
    @EvansMahate-qiim Місяць тому

    Polen

  • @happytogether9404
    @happytogether9404 Місяць тому

    God have mercy on us 🙏

  • @LucyPinchez
    @LucyPinchez Місяць тому

    Jili

  • @emmaculateakinyi488
    @emmaculateakinyi488 Місяць тому

    Kenya needs repentance

  • @oleturere
    @oleturere Місяць тому

    Mvua imezidi😢

  • @maryfridahndunge5616
    @maryfridahndunge5616 Місяць тому

    God have mercy on us😢

  • @sarahnanjala2494
    @sarahnanjala2494 Місяць тому

    😭😭😭😭

  • @mwikalijosephine5178
    @mwikalijosephine5178 Місяць тому

    God is in control

  • @ManuumwashMwash
    @ManuumwashMwash Місяць тому

    Cheploch

  • @mwangililian8963
    @mwangililian8963 Місяць тому +2

    😢😢😢😢😢

  • @odero1003
    @odero1003 Місяць тому

    Human error or death traps?