Watu 45 wafariki Mai Mahiu
Вставка
- Опубліковано 28 кві 2024
- Watu 45 wamethibitishwa kufariki huku makumi wengine wakijeruhiwa kufuatia mafuriko katika eneo la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru. Hii ni baada ya mto eneo hilo kuvunja kingo na kusababisha kusombwa kwa kijiji kizima cha Kamuchiri. Juhudi za uokoaji na uopoaji zinaendelea kwa sasa eneo hilo.
😭😭😭😭 let's pray for our Country this is too much ,, Mungu tusamehe dhambi zetu tulinde na utuokoe hatuna wa kuliliya ni wewe tu 😭😭polen kwa walio fiwa ,,,, My family there l pray God to protect you all 😢🙏
Lets pray for our country kenya..for those hu are traveling nd those who are affected...may God protect his pple😢😢😢😥
Prophesy fulfilled...we should seek God through Repentance as a nation
Natoa pole sana kwa jirani zetukenya kwa maafa mungu awalaze mahali pema marehemu na majeruhi wapone
2chro 7:14.... If my people which are called by my name, shall humble themselves and pray and seek my face,and turn from their wicked ways,I the Lord will hear from heaven and forgive them their sins and heal their land.
Poleni sana wenzetu. Makiwa kwa waliopotesa maisha yao.
Mungu tuonee huruma aky so sad 😭😭😭
God have mercy on your people😢
Pole kwa hatirika ee mungu tusaidie nasaidia watu wako wanaposafiri
GOD IS WITH YOU PPLE
Weh! Our country is very incompetent when it comes to disaster management 😢
God rescue the people in trouble.ameen
As a country , we never learn😢😢😢
Yanj kijiji zima mungu wangu hii ninini
Poleni kwa wale wenye wamepotesa maisha yao
Wooi.
Let's Repent as a country no one can stand GODs wrath. Unless. The Lord himself intervenes
So painful God have mercy
God have macy on our country
Poleni sana
Yaaa madhambi za viongozi wenu kuuwa watu hawana atia Wacha mungu afanye kazi yake yaa better am not in Kenya maovu yenu imezidii
Wewe hauna madhambi
Unaongeaje kama mtoto mjinga kuliko kwambia wenzako pole we unaona tu viongozi kwani wewe unadhambi wewe ukikufa leo kosa ni kwa nani
Who will treat them in the hospitals now if they have complications? Kenyan doctors should get back during this crisis and always leave a few in hospital according to their oath to protect life.
Wapendwa tuombeni sana kuna chinda
Hawa watu wapelekwe Dabibi farm by Jane Kihara
Treated by whom people are on strike
Ee mungu wetu wakenya tulikosea wapi 😢
What's going on Kenya surely
It’s our fault world wide. We are not taking care of the environment
😢😢
What kind of dam is that? With no concrete wall? Hapana 😢.
So shocking news 😮😮
So sad
Solai dam just three years ago, alot of things going wrong yet as a country govt is focused energy and resources in the wrong places
😭😭😭😭 MUNGU tusamehe watoto wako
Muka ua ogolah.Gods revange is unstopable..mukishangilia vivo vya wajaluo ...saa bdo hi ya kulipia uovu
Mass action is needed
Where is benhin
Ruto wife
Makiwa kwa Familia zilizoadhiriwa
This is a national disaster for real 😳
True.
Ruto Ruto??
But why is the government quite of this tragic, if they will not take action afadhari corona
Yani last month ilikua accident ya Magari sai ni maji 😢😢
People are dying because of William Ruto incompetence, corruption and arrogance.
Ruto is rain ama Barbara bure wewe kabisa God help our people all over
How can someone died because of somebody else,,,uko na kichwa kubwa bila akili,,,my God help us
Shame on you 😕
Yes I agree 💯
@nikkonicholaans4541 anaongea ukweli na hukweli hamupendi isemwe
All drainage part the rich people and useless land grappling wamenjenga mangorofa.
The same way theis poor kenyan wanakufa hata nyinyi hizo mangorofa mtaacha tu
Mnadhani Benny Hinn na kina Awuor wanarudi bure?....
Just ask God for Mercy and forgiveness
It's becoming worse everyday
Maombi ya statehouse ilienda wapi mungu asaidia wakenya
Hiyo ni maombi sasa
Poleni sana