Idadi ya waliokufa maji yafika watu 219 nchini
Вставка
- Опубліковано 3 тра 2024
- Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko imeongezeka hadi watu 219, baada ya vifo 9 zaidi kuripotiwa . Kulingana na ripoti kutoka kwa wizara ya usalama wa ndani zaidi ya familia 41,000 zimepoteza makazi kutokana na mafuriko, ambayo yameathiri zaidi ya watu 223,000 hadi sasa. Serfine Achieng’ Ouma anatupa taswira ya maaşa ya kitaifa ya mafuriko haya.
There should be a national day of National Prayers for a week 🙏
Wakenya tumrudie Mungu hii si kawaida🤔🤭
My prayer is that God forgive us and let it be a blessing to us have mercy upon our Nation Kenya.
God protect our Country 🙏
Please don't just say God have mercy. These is a slight window the Lord God Almighty has open to you to see what is coming during Great tribulation. God's wrath during the time of Noah, you know why He brought floods and destroyed the entire generation. Repent and prepare the way for the coming of the Messiah.Shallom.
Poleni sana
Poleni Sana Kia wale walioathiriwa
God let your willing be done
God have mercy on our nation kenya. Forgive us of all oir sins
God have mercy 🙏🏻🙏🏻
This is not normal pliz it's the end time more prayers needed..Repent and prepare the way for the coming of Messiah 🙏🙏
So sad indeed, God hve mercy on us
Pray for forgiveness achana na mambo ya serikali kwani ndio Mungu na ingekuwa ni moto Bado mngesema serikali saidia
Ina lillah wa ina illah rajun
Aki national govmen
Isn't Loongewan in Samburu County? Just asking.
Tuombe mungu hawa politicians ni ma ghasia kazi yao ni kutenga2
Boleni sana mboma simeadhiliwa
Which country is this
Mungu asante kwa mvua❤❤❤❤❤
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Na walirecord watu wangapi wa corona? Tuliitaka na ndio hii.
ELNINO NDO HII SASA ITATUMALIZA
Heri ibebe chakula kiliko watu weeeh
God protect our country 🙏🙏
❤
Kwani jameni hii mvua ni real ama tumelaaniwa dhambi za wazee zetu
Sisi wenyewe hatutendi dhambi? Sema madhambi yetu
Such a sorroful moments n😢
When disaster movies become real😔😔
Pole sana 😂😂😂
Let's fight as pray God to calm floods
Hi
uga zawanyama
Mvua haitaki kujua malenge
Sasa government itawasaidia aje
Hakuna
𝐺𝑜𝑑 𝑝𝑟𝑜𝑡𝑒𝑐𝑡 𝑜𝑢𝑟 𝑐𝑜𝑛𝑡𝑟𝑦🙏
Looking good follow back done and done ❤❤❤❤