Wakazi waagizwa kuondoka eneo la Kijabe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 тра 2024
  • Wizara ya usalama sasa imeonya kuwa huenda maporomoko yanayosababishwa na mafuriko yakashuhudiwa katika eneo la Mai Mahiu kwani mvua inaendelea kunyesha katika eneo hilo lililoshuhudia mkasa wiki iliyopita. Waziri Kithure Kindiki sasa ametoa amri familia zote zilizoko katika eneo la hatari zihame kwa hiari jioni hii lau sivyo maafisa wa usalama watatumia nguvu kuwaondoa.

КОМЕНТАРІ • 37

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 29 днів тому

    Tafadhali tujumuike kusali kwa Mungu ili asitishe mvua kwa muda huu na usalama wa wakazi wanaoathiriwa na gharika waendelee na maisha yao ya kawaida. Tuombee Mungu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Місяць тому

    Watu wahame tu kwa roho safi,Coz hatutaki Mafa ingine zaidi.

  • @Yuca878
    @Yuca878 Місяць тому +3

    Sioni haja ya serikari kukataa kupanda miti karibu na mto na inasaidia. Karibu gusii region were floods are being controlled by 🌳

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 Місяць тому +2

      I support you 100% ,Wangare Mathai alitwambia musiharibuu Nature coz after sometime. Nature will destroy us all. Tupande Miti ndie dawa peke yake kwa Kenya yetu

    • @Yuca878
      @Yuca878 Місяць тому

      Yes

  • @GambuniYaMutura
    @GambuniYaMutura Місяць тому +1

    Watutafutie journalist wa Sheng. Sisi watu wa Mutura delicacy hauelewiii hio kiswahili ya TZ

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому

      " Hii mtu ni mkenya sio mtz! Wa tz wanakiswahili ya juu sana. Iam told, tanzanians gather together to laugh/ mock our kiswahili hasa kutoka bunge la kenya, this is how our neighbours see us!

    • @ahmedfeleb4877
      @ahmedfeleb4877 28 днів тому

      ​@kuschprince3216 and we Kenyans mock and make a laugh Stock out of their broken english.

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 Місяць тому +1

    Huyu reporter kwani ako attachment ama😂ju wueh

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому

      "If so, terminate his contract, he can be useful as a clown at childrens birthday parties, hurry up get your cilinder hat, red nose and a slapstick, you must change or loose viewers!

  • @janewambui6608
    @janewambui6608 Місяць тому +2

    Kiswahili waziri ni ngumu lakini uko na point.

  • @user-qy5vs6zu6x
    @user-qy5vs6zu6x Місяць тому

    Thank God letoo is back after a long holiday 😊

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому

      Heeheeee! Hana over time akaenda holiday tena?!

  • @elizabethmuringa152
    @elizabethmuringa152 Місяць тому

    Hidden mipango hapa watu wanatolewa waede wapi,ikiwa wanatolewa kwa amani basi serikali iwapee mashamba

  • @valourcreations8419
    @valourcreations8419 Місяць тому

    Oh Lord ,give strength. to CS of IANG.

  • @mosesdmakingmoreto
    @mosesdmakingmoreto Місяць тому

    Hii hali ya mafuriko ikitoka kutakuja waterborne diseases ..plz government foresee this issue and counter it.

    • @sunshine-jh6we
      @sunshine-jh6we Місяць тому

      😂😂😂 you expect too much from this government....you're funny oooo

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Місяць тому

    Wanahama waede wapi si serikali iwakombolee nyumba Kwa muda woiyi

    • @Kosiwa
      @Kosiwa Місяць тому

      uhaii na kuhama nini muhimu kubafu machozi ya upizani ODM.

  • @dorothyobuya2318
    @dorothyobuya2318 Місяць тому +1

    Can someone help this reporter please. His manner of speech is irritating

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому +1

      " He thinks/ regards himself to be cool the way he reads/airs the news, replace this man!

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 Місяць тому +3

    "Msomaji wa taarifa anasoma hali ya kichizi! Angesoma tuu kawaida, where do you get such jiurnalists? Bure kabisa!

    • @user-qy5vs6zu6x
      @user-qy5vs6zu6x Місяць тому +4

      Ukona umamaa wewe,,,yeye Yuko kazinii na wewe Ata uliachaa shule class 2

    • @vincentogoye
      @vincentogoye Місяць тому +2

      We uko na zako au ujitagazie news zako

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому +1

      @@user-qy5vs6zu6x "The lady presenter is smart, lakini huyu jamaa ni kama ambaye yuko mnada wa kuuza kuku!! Jifundisheni kiswahili, hii ni aibu!!

    • @davidnyasani5070
      @davidnyasani5070 Місяць тому

      We unajua unaongelelea nani?

    • @jojothepolyglot1866
      @jojothepolyglot1866 Місяць тому +1

      @@kuschprince3216 You are right! The report is speaking like he is holding mnyambo and is about to release it. Citizen actually employs relatives of the known owners and family so don't expect much professionalism