Tusihukumu tusije tukahukumiwa, ukiokoka nilazima .na ukiokoka unakuwa mwanafunzi, kila siku unajifunza kitu kutoka kwa mungu. Ndomaana kuna roho mtakatifu akitusaidia kila wakati. Kwahiyo tusihukumu. Congratulations dear Ireen Mungu akutangulie ktk safari ya kumtumikia Mungu.
Mungu akubariki Wema andelee kukuketisha na wakuu kama Rais Samia suluhu Hassan Amekuamini kukupa kazi kubwa ya kuwakilisha Taifa. Big up Wema nakupenda sana.🙏🙏🙏👍🧎♀️
Amen sana dada yetu songa mbele usirudi nyuma endelea kumtangaza mungu wetu aliye hai tunakupenda tunakuombea sana watu wajue kwamba mungu ndiye anaye okoa yeye baba wa rehema
Mungu atakutangulia katika safari yako ya utumishi haijalishi umefanya mangapi katika maisha yako Mungu anasema zambi zenu zijapokuwa nyekundu kama damu nitawatakasa mtakuwa weupe kama seluji Mungu atakutakasa haijalishi watu wanaangalia ulipotoka
Nani ajuae wenda kupitia yeye family ya wasanii ikapata wokovu,maana uku nje wanaojihita watu wa MUNGU wanawapiga mawe wamesahau MUNGU ni wetu sote,pili ana jari sana,kama tungesoma Biblia tungeelewa maana yupo mtume Paulo,je alifanya mangapi? BWANA atusamehe
Yesu anaupiga mwingi sanaaa hapo dar sahv Yesu nimwambaaaaaaa yaaan mpaka wema.sepetu anasema Bwana asifiwe yaaaan nimefurahhhhhh ❤❤❤❤❤tunawaombea Tanzania ni baraka
Mungu azidi kukutia nguvu ndugu ruwa ndo nyumbani kwetu basi kikubwa ninachokijua kama mtoto umezaliwa upya katika ulimwengu wa roho hivo stage za ukuaji wako zitaanza taratibu kuanzia rohoni mpaka zitaonekana katika mwili unaoonekana na watu, kwahiyo ukuaji wa kiroho unahitaji juhudi za mtu binafsi kwa msaada wa Mungu.kwa kawaida watu wa mwilini wao wanaangalia matokea ya mwilini ndio maana wengi watakujudge kwa kuutazama mwili. Kwa kiasi wapo sahihi na kwa kiasi hawapo sahihi, nikianza na kiasi walicho sahihi ni kwamba kweli mtu akibadilika na kuanza kumtafuta Mungu lazima tuone matokeo kuanzia rohoni mpaka mwilini kwasababu ili tujue mtoto amekua na kujitambua kipindi anatembea uchi alikuwa hata aibu hana lakini alikuwa hajajua. Ila anavyozidi kukua kimwili na kiakili anaanza kutambua ya kuwa yupo uchi anaanza kuona aibu na kuanza kujisitiri basi mama nae atasema mtoto kakua pia hawapo sahihi kukujudge katika muenekano wako, wa kimwili kwa sababu moja tu, nayo ni hii muda.Nikiwa na maana muda uliozaliwa sio mda utakaa, utambae, usimame, uanze na kutembea hapana sivyo, hata nyumba huwezi kuijenga yote kwa siku moja hiyo nyumba itakuwa haijakamilika. Hata unapomnyonyoa kuku manyoya yake huwezi myonyoa kwa sekunde moja hapana. Mwingine ataanza kumnyonyoa kuazia mapajani mwingie ataanzia kifuani mwingine mgongoni na ndivyo ilivo kwa mtu anayeanza kumtumikia mungu yaani anapozaliwa upya kama agizo la yesu kristo mwana wa Mungu alie hai alivyosema. Hata mtu anapoanza kuoga anaanza na uso labda kwa mfano kwa muda may be wa dakika moja anakuja kichwa dakika 1 anakuja sehemu zingine kwa mfumo huo huo hatimaye mwili mzima unakuwa safi sasa unakuta mtu anaoga gafla mtu kamwona akiwa bado yupo bafuni anamwambia wewe mbona hujanawa miguu. Tulia bado naendelea wakati wa miguu bado Yesu anambadilisha mtu taratibu anamponda ponda anamsaga saga anakuwa chombo cha Bwana mfano mwingine wa ukuaji hata huduma za baadhi ya watumishi hazikuanza gafla kuna stage zake mpaka mtu anafika level flani lakini ukimuuza mhusika ndio anaejua ukweli. Dada yangu mimi nikutie moyo katika Bwana tembea kadiri Mungu anavyokuongoza, wakukukatisha tamaa na kukuvunja moyo ili ujione kuwa hustahili ni wengi hata watu wakaribu ambao hukutarajia watakusema vibaya kikubwa msikilize Mungu aliekuita ikiwa ni kweli kakuita Mungu hashindwi na jambo kila ambalo kalianzisha huwa analimaliza hata ukutane na wateule wa Mungu kukukatisha tamaa usiwasikilize kwani hata shetani anamingia pia.all in all msikilize Mungu pekee. Ubarikiwe sana dada yangu
Unahitaji kujifunza Mungu sana Irene,babako wa kiroho ni Nani?hebu soma neno sana ,wewe utengenezeke Kisha uje utengeneze wengine sio rahisi kiihvyo lazima ulipe gharama ukitaka msaada nitafute ,wewe inatakiwa ufunguliwe Kwanza na mavitu hayo utoe
Irene paul nimeanza kumuona katika makanisa ya kiroho tangu mwaka 2013 na ni mlokole wa muda mrefu aliokoka na kukulia masomo ya wokovu chini ya kanisa la Efatha,makongamano mengi ya ibada na makusanyiko huwa namuona ila sijawahi kuona akijionesha sana kuwa ameokoka ila Irene huyu mmh😅
Kumtumikia Mungu ni hatari wewe,pepo haliwezi toa pepo,giza haliwezi kuingia kwenye Nuru pasipo mchakato wa kuliondoa ,dhambi inagharama zake za kulipia !Kutwa sio shida shida unaitukaje unatakiwa ufanye nn lazima Mungu akupe maelekezo ugharimike Kwanza ,utengenezwe Kwanza ,vipini mdomoni inakuwaje?
Alafu mnatuchanganya sana sasa habari ya utumishi wa mungu na wasanii vinaingilianaje na mambo ya filamu ebu dada Irene niambie umeokoka kwa kumaanisha au unatengeneza mazingira ya kupromot wasanii kwa staili nyingine ? Mambo ya filamu yamekujaje au mnataka kurudia filamu ya yesu 😂😂 jamani ebutofautisha huduma zako za kiroho na uliokuwa unayafanya zamani ili tukielewe uko upande gani kwasasa unatuchanganya
Irene uwoya Mungu akubarki umerudi ukamkumbuka Mungu 😢kwli sala mbele mengine badae ❤hongera daa wema kwa nafasi uliopewa💞💞🌹😊
Yani ningejua penye kanisa ya irene uwoya iko ningekuja aki i use to love her... Nakupenda sana mama keep up good work dear
Tusihukumu tusije tukahukumiwa, ukiokoka nilazima .na ukiokoka unakuwa mwanafunzi, kila siku unajifunza kitu kutoka kwa mungu. Ndomaana kuna roho mtakatifu akitusaidia kila wakati. Kwahiyo tusihukumu. Congratulations dear Ireen Mungu akutangulie ktk safari ya kumtumikia Mungu.
Wow Yesu ni mwokozi atukuzwe Mungu aliye juu mbinguni
Nakupenda saana pia wema my kipenzi
Hongera sana Irene ,Iam proud of you🙏🏿
Irine kipenzii changu Mungu akutie nguvu ❤
Mungu akubariki Wema andelee kukuketisha na wakuu kama Rais Samia suluhu Hassan Amekuamini kukupa kazi kubwa ya kuwakilisha Taifa. Big up Wema nakupenda sana.🙏🙏🙏👍🧎♀️
I stand with pastor Irene❤❤❤❤❤❤
Amen sana dada yetu songa mbele usirudi nyuma endelea kumtangaza mungu wetu aliye hai tunakupenda tunakuombea sana watu wajue kwamba mungu ndiye anaye okoa yeye baba wa rehema
Amen barikiwa sana vingine vitabadilika taratibu
kabisa
Wooow merci seigneur Jésus Christ pour sauver ta fille 👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Be blessed my dear wiki iliopita nimekuona duluti
Irene mungu akubariki
Mungu atakutangulia katika safari yako ya utumishi haijalishi umefanya mangapi katika maisha yako Mungu anasema zambi zenu zijapokuwa nyekundu kama damu nitawatakasa mtakuwa weupe kama seluji Mungu atakutakasa haijalishi watu wanaangalia ulipotoka
Nani ajuae wenda kupitia yeye family ya wasanii ikapata wokovu,maana uku nje wanaojihita watu wa MUNGU wanawapiga mawe wamesahau MUNGU ni wetu sote,pili ana jari sana,kama tungesoma Biblia tungeelewa maana yupo mtume Paulo,je alifanya mangapi? BWANA atusamehe
Kweli mungu nimwema hongera dada umeweza
Safi sana Mungu awabariki awatunze na kuwaepusha na mabaya yote❤❤❤🎉🎉🎉
Najua mungu atakubadilsha talatibu utacha vyonte mungu akubalkki
yeah kutembea katika utakatifu ni hatua
Wow maombi nimependa mlivyoomba
Yesu anaupiga mwingi sanaaa hapo dar sahv Yesu nimwambaaaaaaa yaaan mpaka wema.sepetu anasema Bwana asifiwe yaaaan nimefurahhhhhh ❤❤❤❤❤tunawaombea Tanzania ni baraka
Wahuni hao tu hamna Cha uchungaji. Yy inabidi hawe mfano aache na huo usanii huwezi kuwatumikia mabwana wawili
Kwani kusema Bwana Yesu asifiwe nikumpenda Mungu nakufanya mapenzi yake?
@@GladnessKajuna achana nae ufahamu wake ni mdogo
Ila Irene toa hizo pini kwasabab mchungaji hupasw kuw kam muhuni please
Hongera Irene. Wanaongea huwez shndana nao
Glory be to God hallelujah🙌
😂😂😂😂😂sasa kwa ajili ya sisi wasanii😅😅😅😢,mchungaji bado ni msanii
Mungu azidi kukutia nguvu ndugu ruwa ndo nyumbani kwetu basi kikubwa ninachokijua kama mtoto umezaliwa upya katika ulimwengu wa roho hivo stage za ukuaji wako zitaanza taratibu kuanzia rohoni mpaka zitaonekana katika mwili unaoonekana na watu, kwahiyo ukuaji wa kiroho unahitaji juhudi za mtu binafsi kwa msaada wa Mungu.kwa kawaida watu wa mwilini wao wanaangalia matokea ya mwilini ndio maana wengi watakujudge kwa kuutazama mwili. Kwa kiasi wapo sahihi na kwa kiasi hawapo sahihi, nikianza na kiasi walicho sahihi ni kwamba kweli mtu akibadilika na kuanza kumtafuta Mungu lazima tuone matokeo kuanzia rohoni mpaka mwilini kwasababu ili tujue mtoto amekua na kujitambua kipindi anatembea uchi alikuwa hata aibu hana lakini alikuwa hajajua. Ila anavyozidi kukua kimwili na kiakili anaanza kutambua ya kuwa yupo uchi anaanza kuona aibu na kuanza kujisitiri basi mama nae atasema mtoto kakua pia hawapo sahihi kukujudge katika muenekano wako, wa kimwili kwa sababu moja tu, nayo ni hii muda.Nikiwa na maana muda uliozaliwa sio mda utakaa, utambae, usimame, uanze na kutembea hapana sivyo, hata nyumba huwezi kuijenga yote kwa siku moja hiyo nyumba itakuwa haijakamilika. Hata unapomnyonyoa kuku manyoya yake huwezi myonyoa kwa sekunde moja hapana. Mwingine ataanza kumnyonyoa kuazia mapajani mwingie ataanzia kifuani mwingine mgongoni na ndivyo ilivo kwa mtu anayeanza kumtumikia mungu yaani anapozaliwa upya kama agizo la yesu kristo mwana wa Mungu alie hai alivyosema. Hata mtu anapoanza kuoga anaanza na uso labda kwa mfano kwa muda may be wa dakika moja anakuja kichwa dakika 1 anakuja sehemu zingine kwa mfumo huo huo hatimaye mwili mzima unakuwa safi sasa unakuta mtu anaoga gafla mtu kamwona akiwa bado yupo bafuni anamwambia wewe mbona hujanawa miguu. Tulia bado naendelea wakati wa miguu bado Yesu anambadilisha mtu taratibu anamponda ponda anamsaga saga anakuwa chombo cha Bwana mfano mwingine wa ukuaji hata huduma za baadhi ya watumishi hazikuanza gafla kuna stage zake mpaka mtu anafika level flani lakini ukimuuza mhusika ndio anaejua ukweli. Dada yangu mimi nikutie moyo katika Bwana tembea kadiri Mungu anavyokuongoza, wakukukatisha tamaa na kukuvunja moyo ili ujione kuwa hustahili ni wengi hata watu wakaribu ambao hukutarajia watakusema vibaya kikubwa msikilize Mungu aliekuita ikiwa ni kweli kakuita Mungu hashindwi na jambo kila ambalo kalianzisha huwa analimaliza hata ukutane na wateule wa Mungu kukukatisha tamaa usiwasikilize kwani hata shetani anamingia pia.all in all msikilize Mungu pekee. Ubarikiwe sana dada yangu
Hongera sana
mabadiliko ni hatua
Kwanj Thomas anasemaje huko nyuma mbona sijalielewa jicho lake kwa mtumishi
Amen najua mungu angalii Leo yk bali anaingalia kesho yk naamin kesho yak ni njema sana kaza but.
Tumwachie Mungu yoote.yeye ndio hakim wa haki
Yesu kachelewa mbona,mana kajakum'badilisha Irene uwoya wakati tayari hana marinda.nabado kwenye dua yk anaomba kupanuka zaidi sasa siatapiga basta
Hufai kuwa mchungaji kwa huo mtazamo wako
Mungu hataniwi be serious dada na utawafungua wengi na wengi watapata majibu kwa Mungu unaemtumikia oooh
Irene tunaomba ufanye kazi na Gabo please itapendeza sana tumewamisi mkiwa kwenye movie moja tena muwe mke na mme
Na hivo vipini puani na mdomoni 😢😢😢😢 ok tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini
Yani Irène uwoya umenifuraisha sana
Aiseee
Usimhukumu,usije ukahukumiwa!? Huwezi Jua ukaribu wake na mungu! Muombee tu asonge mbele utabarikiwa😂
Ajuae ukweli ni mungu yetu ni macho mungu anaemtumikia ni mungu kweli au ?
Unahitaji kujifunza Mungu sana Irene,babako wa kiroho ni Nani?hebu soma neno sana ,wewe utengenezeke Kisha uje utengeneze wengine sio rahisi kiihvyo lazima ulipe gharama ukitaka msaada nitafute ,wewe inatakiwa ufunguliwe Kwanza na mavitu hayo utoe
Wote mnao toa hukum Mungu awasameee
Vizuri irene
Hongera sister kwa kujitambua
Mimi nimemuona 2 Anna wng wa jua kali
Bya mungu ni pôle pole piga hatuwa mungu atakusaidia
Amen. Ni taratibu atakuwa Mtumishi mzuri tu
Hongera mwaya mung awalinde
Mungu akubadirish vyote ubadili n'a mwili maana ukiangalia wema mweny hajaokoka n'a WW hamuna utofauti
Mungu awabariki wasanii wetu wazuri 8:56
Oh my God.Mutumishi wa Mungu...Jesus.😅😅😅😅
Aristoooteeee
Wewe unaye muhukumu huyu dada je unampendeza Mungu kwakila kitu’usihukumu usije ukahukumiwa
❤️❤️
HII NI DUA AU MAELEZO😅😅😅😅
Jamani hicho kipini chini ya lips mbona kama hakipendezi kwa mtumishi wa MUNGU
Wema na ww unatakiwa uokoke kama Irene uwoya.
Mungu anatupenda sote
Mmh hicho kpn hap mdomon 🤐
Dada uwoya umeacha pombe sihukum ila Mungu hataniwi ila kama umeamua kumtumikia Mungu ni jambo la kher na ubarikiwe sana
hio kwako wewe dhambi ya kwanza Ni pombe na si kuchovya chovya Kama unavyo chovya mwenyewe
Makucha kama ya mchawi,mapini usoni,matatuuu, n.k,dada wewe Bado ni msanii,na sio mtumishi WA mungu,badilika
Mungu anatazama moyo sisi wanadamu ndo tunatazama ya nje
Wokovu unaingia taratibu taratibu Mungu akishaingia ndani mwake atabadilika
Huyu kwavile ni mtanzania mnamlea hakuna paster
Dada naomba ada ya choo
WAKIRISTO BWANA WASANII SANA
Iren acha kumchezea Mungu
Lzm mtu awe smart!? Kwamba waache kupendeza? Hapana
Ila si kwakile kitundu😂😂😂
Serikari siku hizi inapeleka wasanii Korea?wafanyakazi wa serikali mbona wao hawapelekwi au wao hawana maana sana.
Jitu chafu laombea watu si wajiombee wenyewe
We ni msafi 😢 Usihukumu
Mungu anaangaria moyo siyo vpn
Mtumishi
Nimecheka sanaa
Baada. Yakufanya umalaya na. Kumuuwa mzazi mwenzie
😂😂😂 halooo
Makope,kucha bandia,Vipin,hivi badilisheni muonekano,Ili kuwepo tofaut kati ya waliokoka,na watu wa mataifa
Kama Mungu Amemuita basi atabalilika kwa wakati wa Mungu sio rahisi yeye kubadilikq gafla wakati wa Mungu ndio sahihi zaidi
mama muchungaji na izo kucha za bandiya duuh 😅
🙏🙏🙏❤
Moto ukiwashukia ukawachoma kama sodoma na gomola ndo mtamweshimu Mungu.
Kwa kweli
Ameen 🙏💞❤️❤️
Toa hicho kipini
Irene UWOYAA BADO MCHANGA ROHON NI MATUMAIN YANGU BWANA ALIYE MUITA ATAMBADILISHA YAANI HUU MUONEKANO YESEBEL ATAUACHAAA
Wema Ww Ni Mpambanaji, Makukubali Mno
Irene paul nimeanza kumuona katika makanisa ya kiroho tangu mwaka 2013 na ni mlokole wa muda mrefu aliokoka na kukulia masomo ya wokovu chini ya kanisa la Efatha,makongamano mengi ya ibada na makusanyiko huwa namuona ila sijawahi kuona akijionesha sana kuwa ameokoka ila Irene huyu mmh😅
Mcba MKUBWA huu mtumishi mwnyw anahitaji kuombewa
Msanii anavipin balaa
Mi sishangai maana shetani akizeeka uwa malaika,
Acha kejeli zako ,Badala ufurahie mtu kabadilika Kaamua Maisha yake Kumtegemea Mungu unamrudisha nyuma kwa Maneno ya kuvunja Moyo.Badilika
😂😂😂
Nani amekuambia shetani anazeeka
Usiwe kikwazo kukaa kimya nayo hekima
Kumbe mwenzetu unamjua shetani kijana na mzee
Alaaah😂😅😂
Huyu alikili zake hazipo
Maombi ayo yatafikia ofisi Gani? Wakati Yy mwenyew ni shetani ??
Kumtumikia Mungu ni hatari wewe,pepo haliwezi toa pepo,giza haliwezi kuingia kwenye Nuru pasipo mchakato wa kuliondoa ,dhambi inagharama zake za kulipia !Kutwa sio shida shida unaitukaje unatakiwa ufanye nn lazima Mungu akupe maelekezo ugharimike Kwanza ,utengenezwe Kwanza ,vipini mdomoni inakuwaje?
ACHA MWONEKANO WA DUNIA, HAUNA TOFAUTI NA WANAWAKE WA KIPAGANI. UMEWEKA KOPE ZA BANDIA. MWANAMKE MCHA MUNGU HAWI HIVYO
Toa vipini ivyo watumishi hawana mambo menge
Ww Mungu ana chunguza moyo
katika biblia wapi imeandikwa mwamke asijipambe????
@@joycelaura4611Petro 3:3 na sehem nyingi tu,halafu inaonekana sio msomaji wa biblia😂
Nipolepole
@@angelankya5163
Kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo.
Hivyo yote uyaonayo katika ulimwengu wa mwili ni matokeo ya Moyo
vina mudaaaa basii,,😂
Dada dini aina maigizo hizo njaa na kutafuta umaalufu kwa njia za dini zitakutokea puani nyie mkufuru tu ila utakiona
She's sick
Zidi inuliwa dada Irene.
Mtumishi anakipini
Alafu mnatuchanganya sana sasa habari ya utumishi wa mungu na wasanii vinaingilianaje na mambo ya filamu ebu dada Irene niambie umeokoka kwa kumaanisha au unatengeneza mazingira ya kupromot wasanii kwa staili nyingine ? Mambo ya filamu yamekujaje au mnataka kurudia filamu ya yesu 😂😂 jamani ebutofautisha huduma zako za kiroho na uliokuwa unayafanya zamani ili tukielewe uko upande gani kwasasa unatuchanganya
Mtumishi navipini achakuchafujinalamunguwewe endeleqnaukaabatu
Shetanikageukamaliika
Sura naona nikama face maske ulikua mzuri kitambo.what happen
Makubwa haya😳
Madogo yananafuu
Ivo vikuku na vipini vya nini mtumishi
Bado bado
😂😂😂😂Amen