REV. DR. ELIONA KIMARO: UNA KITU GANI MKONONI MWAKO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU : 02/10/2022
    KICHWA CHA SOMO: UNA KITU GANI
    MKONONI MWAKO?
    "WHAT'S IN YOUR HAND"
    Kutoka 4 : 1 - 5
    2 Wafalme 4 : 1 - 7

    Kutoka 4 : 1 - 5
    1 Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, Bwana hakukutokea.
    2 Bwana akamwambia, Ni nini hiyo uliyo nayo mkononi mwako? Akasema, Ni fimbo.
    3 Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia mbele yake.
    4 Bwana akamwambia Musa, Nyosha mkono wako, kamshike mkia; (akaunyosha mkono wake akamshika, naye akageuka kuwa fimbo mkononi mwake;)
    5 ili kwamba wapate kusadiki ya kwamba Bwana, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amekutokea.
    2 Wafalme 4 : 1 - 7
    1 Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha Bwana; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
    2 Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.
    3 Akasema, Nenda, ukatake vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usitake vichache.
    4 Kisha uingie ndani, ukajifungie mlango wewe na wanao, ukavimiminie mafuta vyombo vile vyote; navyo vilivyojaa ukavitenge.
    5 Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina.
    6 Ikawa, vilipokwisha kujaa vile vyombo, akamwambia mwanawe, Niletee tena chombo. Akamwambia, Hakuna tena chombo. Mafuta yakakoma.
    7 Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Enenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako.

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maoni na ushauri:
    Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    Email: rev.kimaroe1@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 94

  • @user-zy3sb7ez7m
    @user-zy3sb7ez7m 4 місяці тому +4

    Watching from kenya mchungaji strong message lazma upitie magumu ndiposa upate ushuhuda i gonna fire the world again🔥🔥🔥🔥🔥Ameeeeeen you have made my day plz ni kanisa gani hili kanisa la neno lililo hai

  • @ecreativebye.mrindoko1482
    @ecreativebye.mrindoko1482 Рік тому +5

    Somo hili limenifundisha kitu cha muhimu sana na kunibariki🙏. Asante Baba Mchungaji, Mungu azidi kukubariki.

  • @esthermlinga2082
    @esthermlinga2082 29 днів тому

    Mungu nakushuku kwa sauti yoko kupia mtumishi wako

  • @jacqnlyimo8454
    @jacqnlyimo8454 Рік тому +16

    Nabarikiwa sana nawe Mtumishi wa Mungu, Nikiwa mjamzito nilipita magumu sana, mahubiri yako yaliniponya na kunifariji, nilijifungua mtoto wa kiume na nimemwita ELIONA, nikipata Kibali nitakuja Kijitonyama kushuhudia. Ubarikiwe.

    • @barakamganga1467
      @barakamganga1467 Рік тому +1

      Barikiwa sana baba mchungaji

    • @anethkitambi3140
      @anethkitambi3140 Рік тому

      Mungu Yu mwema sana

    • @RosehappyMtei
      @RosehappyMtei 3 місяці тому

      Amen, nimebarikiwa sana na neno. Mungu azidi kukubariki mchungani.

    • @simonrwakayango1411
      @simonrwakayango1411 Місяць тому

      Mungu wa mbinguni akubariki dr.kimaro nabarikiwa sana, natamani sana uwe kiongozi wa chi hii

  • @jacklinemoshi1489
    @jacklinemoshi1489 Рік тому +3

    Amen 🙏 Mwenyezi Mungu akubariki baba mchungaji ,Mungu naomba univushe 🙏

  • @kainibachungege3430
    @kainibachungege3430 Рік тому +4

    Dr Kimaro Tunashukuru Sana Kwa Kuifundisha Tanzania kuhusu onjili iliyo ya kweli. Mungu Aeendelee Kukutumia Mtumishi wa Mungu Kwa Ajili ya Taifa la Mungu la TanAnua. Runajivunia utume wako. Mungu Aeendelee Kukuongoza, Kukulinda, na Kukubariki ili tuendelee Kubarikiwa. Ameni.

  • @neema5650
    @neema5650 Рік тому +2

    Mimi ni mkenya,mchungaji unanijenga kila uchao,baraka za mwenyezi mungu zikuandame kila wakati

  • @ookomartha2399
    @ookomartha2399 Рік тому +1

    I Gonna fire the world again. AMEN AMEN AMEN God bless you Rev. Inspiration msg.

  • @simonmasai870
    @simonmasai870 2 місяці тому

    Kazi njema mtumishi wa mungu

  • @dennomtotowasarah1519
    @dennomtotowasarah1519 Рік тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Rev. Eliona Kimaro

  • @annamasalu981
    @annamasalu981 3 місяці тому

    Mtumishi wa Mungu Kimaro.Homilia zako hazichakai.Kila siku zipo hai.

  • @perpetuampita5018
    @perpetuampita5018 Рік тому +3

    Oh I'm gonna fire the world
    again!!!

  • @enjoybenjamini4713
    @enjoybenjamini4713 Рік тому +1

    Mungu asinyamanze hata siku moja, mafundisho yako yamenivusha pakubwa Sana. Barikiwa Baba

  • @marymunene7229
    @marymunene7229 Рік тому +3

    Rev is such a blessing to today's reality.
    What do l have in my hands!

  • @danielmille5443
    @danielmille5443 3 місяці тому

    Mungu azid kukupa maisha marefu hapa dunian mtumsh wa mungu

  • @MugholeAnnemarie
    @MugholeAnnemarie 4 місяці тому

    Asante sana kwa somo mtumishi wa Mungu nime barikiwa sana🎉🎉🎉

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    POWERFUL SERMON hard time created a strong person. OMG BLESSES TO DR.ELIONA KIMARO. I ADORE ALL HIS TEACHING TECHNIC! LIKE U!.

  • @OkuliMushi
    @OkuliMushi 9 місяців тому

    Nabarikiwa sana na mahubiri yako Mungu akupe miaka mingi duniani

  • @makeupbymauwa8505
    @makeupbymauwa8505 5 місяців тому

    Mungu akubariki na mahubiri yako .ninatatizo ya kaka yangu kupiga mke kila wakati na kuoa sana .

  • @jichofoundationtv6893
    @jichofoundationtv6893 3 місяці тому

    Amen

  • @user-vv2ov6wc4v
    @user-vv2ov6wc4v 10 місяців тому

    Ubarikiwe mchungaj nabarikiwa sana na mafundisho yako

  • @maryngonyani4961
    @maryngonyani4961 6 місяців тому

    Asante baba mchungaji mungu akubariki

  • @everlinekemunto267
    @everlinekemunto267 Рік тому

    Amen, ahsante kwa neno mtu wa Mungu, ubarikiwe, ni ukweli baba huku saudi hatusikii taste ya food, samaki ni kama kiziki cha mti kilio osa,potatoes ni mbaya waja tu,lakini Mungu ni mwaminifu miaka 2 na miezi 10.

  • @veraikundansuri66
    @veraikundansuri66 Рік тому

    Mtumishi MUNGU AKUBARIKI Sana kwa mafundisho mazuri MUNGU atusaidie tuipende nchi yetu na kuiombea.

  • @yakobomutoko5449
    @yakobomutoko5449 Рік тому

    Asante kwa ujumbe wa uvivio mungu akunzr daima

  • @richardhenry5463
    @richardhenry5463 Рік тому

    Hakika ni kwa neema ya mungu,tumetabasamu tena,nakutakia likizo njema utuombee, mchungaji,mungu akubariki

  • @yakobomutoko5449
    @yakobomutoko5449 Рік тому

    Am blessed with the message by mchungaji eliona

  • @mwitamariba1152
    @mwitamariba1152 Рік тому +3

    Much blessed with this message . Watching from Meru Kenya. It has met my point of need.

  • @verenaisskimambo5783
    @verenaisskimambo5783 Рік тому

    Asante mchungaji sisi tunaishi ni kwa neema yake mwenyezi mungu

  • @hubertmwemezi8426
    @hubertmwemezi8426 Рік тому

    Mwenyezi Mungu azidi kukubariki Mchungaji 🙏🙏

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    I'm fire the world again! BARIKIWA BABA KUHANI Dr ELIONA KIMARO. Wewe ni jembe LETU KUBWA unayetufundisha yote kwa MOYO mkuu kusudi sote kumjua MUNGU na kumcha na tubarikiwre

  • @MgogoOnline
    @MgogoOnline Рік тому +1

    Amen nabarikiwa na neno

  • @neemanshiga1843
    @neemanshiga1843 Рік тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @johnkidibule-ln7de
    @johnkidibule-ln7de Рік тому +1

    Glory to God Father

  • @salomemchaki3354
    @salomemchaki3354 Рік тому

    Namdhukuru mchungaji kunikumbusha Kuna nilicho nacha amen

  • @CharlesOnetu
    @CharlesOnetu 7 днів тому

    Siyo unafaa tu kuwa kiongozi wa kiroho!
    Wastahili kuketi Ikulu"
    Hakika Bwana yu mbele yako""

  • @lolamsoka2335
    @lolamsoka2335 Рік тому

    Praise Lord Jesus Amen.

  • @kenethfredrick997
    @kenethfredrick997 Рік тому

    Be Blessed Rev. Eliona Kimaro

  • @agnessshahanga8738
    @agnessshahanga8738 Рік тому

    Baba Mungu akubariki Sanaa

  • @mary3714-hss
    @mary3714-hss Рік тому +1

    I'm gonna 🔥 the world again

  • @lukakimati4433
    @lukakimati4433 Рік тому +1

    Amina baba kimaro

  • @janemwakasege6460
    @janemwakasege6460 Рік тому

    Mungu aniwezeshe kufanikiwa kupitia Madhabahu hiii

  • @MugholeAnnemarie
    @MugholeAnnemarie 4 місяці тому

    Ninaliya mutumishi wetu, Sammy Mumbesa😢😢😢 Covid ilisha tiya kidonda mu roho

  • @hamisibanju6151
    @hamisibanju6151 Рік тому +1

    AMINA MCHUNGAJI KIMARO FROM KILIFI KENYA

  • @lolamsoka2335
    @lolamsoka2335 Рік тому

    God, have mercy on me, giving me wisdom to use what l have in my hands. God help me.God fill me with excellent brain like that of my Lord Jesus to see clearly and know how to start using what l have to progress 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Thank you, Jesus.

  • @halidekamwela
    @halidekamwela Рік тому

    Ahsante sana

  • @gloriatimba
    @gloriatimba Рік тому

    Amen Rev.Dr.Kimaro mahuburi na mafundisho yako yamefanyika baraka sana kwny maisha yang nazid kubarikiwa siku baada ya siku Mungu azid kukutunza

  • @godfreykatunzi9680
    @godfreykatunzi9680 Рік тому

    Barikiwa saana Mtumishi Wakweri

  • @rachelmacha3725
    @rachelmacha3725 Рік тому

    Kweli mafundishi ni mazuri kiroho na kiuchumi Mungu tusaidie

  • @ombenmoto227
    @ombenmoto227 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi wa mung

  • @MugholeAnnemarie
    @MugholeAnnemarie 4 місяці тому

    Amina🎉🎉🎉

  • @jamillahsengo3966
    @jamillahsengo3966 Рік тому +1

    Karama yake itakuzwa zaidi.Anacho kisema ni sauti ya Mungu.

  • @assumptamassoi4134
    @assumptamassoi4134 Рік тому +1

    Mungu aendelee kukubariki Baba Mchungaji kwa kuendelea kutubariki kupitia neno la Mungu kila uchao.🙏🙏

    • @makeupbymauwa8505
      @makeupbymauwa8505 5 місяців тому

      Mahubiri mengi yako ninavyo isikiya je wewe ni agrikani au catholic lakini ulitoka Islam.

  • @mary3714-hss
    @mary3714-hss Рік тому

    I'm gonna 🔥

  • @lolamsoka2335
    @lolamsoka2335 Рік тому

    🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 Amen.

  • @juddyndungu8673
    @juddyndungu8673 Рік тому

    Amen 🙏. Mungu azidi kukuinua.

  • @marykarothi7452
    @marykarothi7452 Рік тому

    Asante baba mchungaji! Nasikia kubarikiwa sana nikiwa kenya, taveta.

  • @janemyinga2575
    @janemyinga2575 Рік тому

    Ameeen

  • @danielmsagati8745
    @danielmsagati8745 Рік тому

    I gonna fire the world again in Jesus name. Amen

  • @janemwakasege6460
    @janemwakasege6460 Рік тому

    Na Mahubiri haya hakika Mungu atafanya

  • @danielkipeta2355
    @danielkipeta2355 Рік тому +1

    Wewe nimwanauchumi ambae serikali ikikusikiliza nchi inaweza ikapaa kama mushare.
    Kwanza serikali haiko kwenye kilimo. Ingenunua ndege zamizigo na tungelima mboga matunda natungeirisha Dunia kwakweli

  • @eliasimuro3920
    @eliasimuro3920 Рік тому

    Amin

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 Рік тому

    Ameeeeeeeen

  • @yakobomutoko5449
    @yakobomutoko5449 Рік тому

    Niombe igonna fire the world again mchungaji ni mchungaji yakobo nahitaji upako wa roho mtakatifu Ninna kitu mkonono mwangu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    I GONNA FIRETHE WORKD AGAIN. AMEN

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому

    Amen🙏

  • @joymumo6628
    @joymumo6628 10 місяців тому

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪👩🏾‍🏫

  • @mercykoech1487
    @mercykoech1487 Рік тому

    I gonna fire the world

  • @esthermodestus7649
    @esthermodestus7649 Рік тому

    Ameen

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 22 дні тому

    Ufunuo 3:11

  • @lilianaswani5440
    @lilianaswani5440 Рік тому

    Ni ukweli niko uku,watu ni wengi sana lakini awatembei mchana ,na chakula chetu ni mchele na mikate mikavu ,kila siku,ni neema tu tulio nayo

  • @AnofLazaro-gf5qy
    @AnofLazaro-gf5qy Рік тому

    Q

  • @elichiliameela3204
    @elichiliameela3204 8 місяців тому

    Amen

  • @stevenkisusi5973
    @stevenkisusi5973 Рік тому +1

    Amen

  • @goliathmwalongo8938
    @goliathmwalongo8938 Рік тому +2

    Amen

  • @janemwakasege6460
    @janemwakasege6460 Рік тому

    Amen

  • @ziadamwansekwe1041
    @ziadamwansekwe1041 Рік тому

    Amen