Ameni , hii ni Baraka kuu katika maisha ya watu wote, Mchungaj Dr Eliona Kimaro , Mungu akubariki kwa kuachilia neno la uzima . Mafundisho yaliyo kweli ndani ya mioyo ya watu wote. Jaman napenda kuomba somo hili la "Shika sana ulicho nacho" Kama naweza lipata full kwa series .
Ameni , hii ni Baraka kuu katika maisha ya watu wote,
Mchungaj Dr Eliona Kimaro , Mungu akubariki kwa kuachilia neno la uzima .
Mafundisho yaliyo kweli ndani ya mioyo ya watu wote.
Jaman napenda kuomba somo hili la
"Shika sana ulicho nacho"
Kama naweza lipata full kwa series .
Yesu nakuomba unisaidie nikushike wewe maishani mwangu nawe usiniache uwe msaada wangu daima
Mungu Mwenyezi Akuongoze daima.
Amina sana mtumishi wa Bwana
Kila siku.mahubiri yako yananibariki mno! Una karama ya pekee! Ubarikiwe sn mtu wa Mungu!
Ee mungu nisaidie nishike mafundisho yako
Naikimbia dhambi katika jinaa la Yesu
Amen
Mungu nipe nguvu ya kukimbia dhambi
Ubarikiwe Sana Rev
hahahaa hata kwetu kenya hatuyataki.....ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu..so powerful
Amen
Mungu akubariki mch nakukubali sana Nungu ameweka kitu cha tofauti ndani yako
wewe ni wa wote nakukubali mno!!Barikiwa najifunza mno!!!
Napenda huduma yako, ubarikiwe n'a Bwana wa majeshi
Ubarikiwe mch kimaro tumepona kwa maubiri yako
Amina
Acheni Mungu aitwe Mungu
(254)muchungaji neno lako liko na uhai ndamu mwangu
AMINA BARIKIWA MCHUNGAJI.
Ameni
Ujumbe unagusa sana, 'Shika Sana Ulichonacho'
barikiwa sana mtumishi kwa huduma nzur
Amina❤❤
Amen
Barikiwa
Mungu akubariki sana Mchungaji neno lako limeniponya
AMEN
🙁🙁🙁