Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

REV. DR. ELIONA KIMARO: USHENZI WA PROFESA KWA WANAFUNZI WA KIKE CHUO KIKUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2022

КОМЕНТАРІ • 55

  • @nangatv9218
    @nangatv9218 Рік тому +3

    Yesu alimwambia Thomas mwenye mashaka heri mtu yule anaeamini na hajaona, Thomas alimuona Yesu na alijua atakufa na kufufuka na hakuamini bado kama Yesu kweli kafufuka mpaka alipomshika na alama za misumari, mimi nimemuona Yesu, nimemuona Mungu kwenye maisha yangu, Naamini!!!

  • @macklinakabyazi3036
    @macklinakabyazi3036 Рік тому +7

    Napenda mifano YA huyu mtumishi wa Mungu.

    • @timothymoshi5800
      @timothymoshi5800 Рік тому

      Ndugu yangu Macklina, hii Siyo mifano. Ni ushuhuda. Ni Mambo halisi yaliyotokea.

    • @macklinakabyazi3036
      @macklinakabyazi3036 Рік тому

      @@timothymoshi5800 hapo ndo nilikosea kunyoosha maelezo ndugu yangu

  • @siphaelmbise3175
    @siphaelmbise3175 Рік тому +2

    barikiwa sana mchungaji ni kweli apandacho mtu ndicho atakachovuna

  • @geofreytimoth8084
    @geofreytimoth8084 Рік тому +3

    Mungu akuzidishiye nguvu tunabarikiwa na mafunzo baba.

  • @esmilykipele4008
    @esmilykipele4008 Рік тому +2

    What??? I need grace here to forgive such a man . Hapa nahitaji ombi hilo mchungaji Niokolewe na yule muovu🙏🙏

  • @amoogaza6825
    @amoogaza6825 Рік тому +4

    Asante kwa mafundisho

  • @faustinahugo9621
    @faustinahugo9621 Рік тому +2

    Mungu akubariki mchungaji 🙏🙏 unachosema nasikia 😭 Mungu utuokoe na yule mwovu 🙏

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 3 місяці тому

    Mungu aturehemu sana dhambi ya baba ni kiboko

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому +2

    Mungu akubariki baba. Umenifunza jambo

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 Рік тому +4

    Good lesson, goes around comes around, tuwe makini kwa nafasi zetu.

  • @paulsabe3917
    @paulsabe3917 Рік тому +1

    Mimi huwa nashangaa sana.Mama mkaanga mihogo hana chochote;Watoto wake wanakuwa profesa.Lakini profesa anashindwa kurise hata mtoto mmoja kuwa profesa.Kumbe haya mambo yanachangia.Mungu atunusuru na haya maovu.

    • @richhaule9264
      @richhaule9264 Рік тому +1

      Sometimes wanakuwaga maprofesa ila kwakutumia nguvu ya pesa zaid

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Рік тому

    Mungu atusaidie Vyeo hivi na lecturers wetu kwa kweli inatia uchungu

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Рік тому +1

    Asante kwa kisa hivhi amvacho kina mafundisho mazuri.

  • @tinasteve5181
    @tinasteve5181 Рік тому +3

    Uuuuuuiiiiii 🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭 ya duniani naogopa sana

  • @user-bj2sl5cp1w
    @user-bj2sl5cp1w 8 місяців тому

    Mungu akubariki mchungaji 🙏🙏🙏

  • @zawadipaul4857
    @zawadipaul4857 Рік тому

    Bwana Yesu kumbuka rehema, uovu wa Wazazi usiwapate watoto 🙏

  • @gideonking5404
    @gideonking5404 Рік тому +1

    Nakupenda Mtu wa MUNGU 🙏

  • @juslenkavira6961
    @juslenkavira6961 Рік тому +1

    Ubarikiwe baba yangu kwa mafudisho Mungu azidi kukubariki na akupe mwisho muzuri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 Рік тому

    Amina,barikiwa sana

  • @andersonmtui4094
    @andersonmtui4094 Рік тому +3

    January mkobogo wa chuo cha iringa @Tumaini ndio tabia zake kuwafelisha watoto wakike wa chuo cha tumaini iringa nakuwaapia hawawezi faulu yupo rafiki angu alifelishwa kwenda kumuuliza kwanini akamwambia anaenda dodoma kwahiyo hamfuate akamrekebishie dodoma matokeo yake kaenda kulala nae dodoma ndio akambadilishia matokeo na huwa anawaambiaga kabisa mtafeli

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 Рік тому +1

    Ni kweli kabisa baba.

  • @jacquelinesemu1347
    @jacquelinesemu1347 Рік тому +4

    Watoto wanateseka kwa dhambi za wazazi wao.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Рік тому +4

    MUNGU UTUOKOE WATU WAKO DHIDI YA NJAMA ZOTE ZA MWOVU.

  • @nangatv9218
    @nangatv9218 Рік тому +1

    Na huyo mama nae kama hujamuhoji nae anayake mengi amefanya kwa watoto wa wenzie...Mungu analipa hapa hapa duniani

  • @rahelmyombo9874
    @rahelmyombo9874 Рік тому +1

    Hadi natetemeka Yesu tusaidie 😢

  • @Carcrycal95
    @Carcrycal95 Рік тому +3

    Aise huu ujumbe sio wa kawaida. Mungu arehemu kizazi chetu

    • @mwanzajosephine468
      @mwanzajosephine468 Рік тому +1

      Hakika Mungu aturehemu mno mno mno.

    • @Carcrycal95
      @Carcrycal95 Рік тому

      @@mwanzajosephine468 hakikisha kila unapofungua kinywa chako kuwasiliana (kuomba) Kwa Mungu Baba Kama umejaliwa watoto ombea sana watoto wako, ndoa ila zaidi ambea watoto wa jilani marafiki na jamaa maana kadri unapoombea wengine ndivyo Mungu anatenda kwako.

    • @mwanzajosephine468
      @mwanzajosephine468 Рік тому

      @@Carcrycal95 Amina Roho mtakatifu anikumbushe kila iitwa po leo barikiwe mno.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +2

    BABA usiwatie majaribu watoto wetu bali uwaokoe na yule muovu

  • @user-tb6xx2wh1t
    @user-tb6xx2wh1t 9 місяців тому

    Naomba namba Yako nataka nikutafutie uliko nishiliki mkutano

  • @gloryabdulhassan7100
    @gloryabdulhassan7100 Рік тому +1

    Mwenye sikio na asikie roho asema na kanisa

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 Рік тому

    Yaani mpaka unajiuliza useme Nini ...aisee ni ngumu sana sana ..Mungu tu atusaidie

  • @gracekasambala4712
    @gracekasambala4712 Рік тому

    Barikiwa kwa mafundisho ya ukweli

  • @bensonogindo8963
    @bensonogindo8963 Рік тому

    Sacrifice haikua kwa watoto hawa facility is hoja ni aliwai kuwavunjia matabahu ya barrier

  • @monicakimati4619
    @monicakimati4619 Рік тому

    Maombolezo 5:7

  • @lilianmyinga4578
    @lilianmyinga4578 Рік тому

    Yesu wa Nazareth tureheme! maana wewe ni mungu wa kuogopwa, unajibu maombi kwa majira na wakati umurehemu mtu huyu

    • @swailaurence2108
      @swailaurence2108 Рік тому

      Asante Mtumishi, huu Ni ukweli mtupu. Mungu tunusuru Baba!!

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 Рік тому

    MUNGU tusaidie na watoto Wetu

  • @amaninoi1959
    @amaninoi1959 Рік тому +1

    ... usitutie majaribuni bali utuokoe na yule mwovu ...

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому

    Wali disco, siyo ku suprimentaly !!??

    • @goblessjrtz5464
      @goblessjrtz5464 Рік тому +1

      Disco means Discontinue (kuachishwa) and suprimentary (kurudia mtihan)

  • @elardurasa2025
    @elardurasa2025 Рік тому

    Kuna demu namuona hapo muuza k mpaka nimeshangaa

  • @salomemuasya2331
    @salomemuasya2331 Рік тому

    fuzo kuu

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 Рік тому

    ,😆😆anaweza kutuitia huyo prof. Kuja kutoa ushuhuda, "imaginary story"

  • @amoogaza6825
    @amoogaza6825 Рік тому +1

    Asante kwa mafundisho

  • @bensonogindo8963
    @bensonogindo8963 Рік тому

    Sacrifice haikua kwa watoto hawa facility is hoja ni aliwai kuwavunjia matabahu ya barrier